salafy kenya
salafy kenya
  • 85
  • 33 463

วีดีโอ

Surah Rahman - سُوْرَۃ الرَّحْمَٰن | Sheikh Abdallah Humeid | Translated Quran Recitation
มุมมอง 334 หลายเดือนก่อน
Surah Rahman - سُوْرَۃ الرَّحْمَٰن | Sheikh Abdallah Humeid | Translated Quran Recitation
MAKATAZO YA KUMPATIA MTUME ﷺ SIFA ZISIZO KUWA ZAKE
มุมมอง 204 หลายเดือนก่อน
REF :- إتحاف الإلف بتفسير آخر آية سورة الكهف Sheikh Abul Khatwaab حفظه الله
Msururu wa kufichua hoja tata za wazushi. |Sh. Abdallah Humeid حفظه الله PART 5B
มุมมอง 36ปีที่แล้ว
Msururu wa kufichua hoja tata za wazushi. |Sh. Abdallah Humeid حفظه الله PART 5B
Msururu wa kufichua hoja tata za wazushi. |Sh. Abdallah Humeid حفظه الله PART 5A
มุมมอง 21ปีที่แล้ว
Msururu wa kufichua hoja tata za wazushi. |Sh. Abdallah Humeid حفظه الله PART 5A
Msururu wa kufichua hoja tata za wazushi-Sh. Abdallah Humeid حفظه الله و رعاه :PART 3A
มุมมอง 21ปีที่แล้ว
Msururu wa kufichua hoja tata za wazushi-Sh. Abdallah Humeid حفظه الله و رعاه :PART 3A
Msururu wa kufichua hoja tata za wazushi -Sh. Abdallah Humeid حفظه الله و رعاه:PART 4
มุมมอง 11ปีที่แล้ว
Msururu wa kufichua hoja tata za wazushi -Sh. Abdallah Humeid حفظه الله و رعاه:PART 4
Msururu wa kufichua hoja tata za wazushi -Sh. Abdallah Humeid حفظه الله و رعاه:PART 3B
มุมมอง 8ปีที่แล้ว
Msururu wa kufichua hoja tata za wazushi -Sh. Abdallah Humeid حفظه الله و رعاه:PART 3B
Msururu wa kufichua hoja tata za wazushi-Sh. Abdallah humeid حفظه الله تعالى PART 2B
มุมมอง 7ปีที่แล้ว
Msururu wa kufichua hoja tata za wazushi-Sh. Abdallah humeid حفظه الله تعالى PART 2B
Msururu wa kufichua hoja tata za wazushi-Sh. Abdallah humeid حفظه الله :PART 2 A
มุมมอง 50ปีที่แล้ว
Msururu wa kufichua hoja tata za wazushi-Sh. Abdallah humeid حفظه الله :PART 2 A
Msururi wa kufichua hoja tata za wazushi-Sh. Abdallah Humeid حفظه الله و رعاه :PART 1
มุมมอง 93ปีที่แล้ว
Msururi wa kufichua hoja tata za wazushi-Sh. Abdallah Humeid حفظه الله و رعاه :PART 1
SURATUL FAJR| SHEIKH ABDALLAH HUMEID| swahili translation
มุมมอง 61ปีที่แล้ว
SURATUL FAJR| SHEIKH ABDALLAH HUMEID| swahili translation
SURATUL BALAD|SHEIKH ABDALLAH HUMEID حفظه الله ورعاه |KISWAHILI TRANSLATION
มุมมอง 51ปีที่แล้ว
SURATUL BALAD|SHEIKH ABDALLAH HUMEID حفظه الله ورعاه |KISWAHILI TRANSLATION
KHUTBA|KUMPEMDA MTUME S.A.W |SHEIKH ABDALLAH HUMEID حفظه الله ورعاه
มุมมอง 97ปีที่แล้ว
KHUTBA|KUMPEMDA MTUME S.A.W |SHEIKH ABDALLAH HUMEID حفظه الله ورعاه
SURATU NAJM-SHEIKH ABDALLAH HUMEID ‏حفظه الله
มุมมอง 57ปีที่แล้ว
SURATU NAJM-SHEIKH ABDALLAH HUMEID ‏حفظه الله
SHEIKH ABDALLAH HUMEID- SURATU SAAD سورة ص
มุมมอง 81ปีที่แล้ว
SHEIKH ABDALLAH HUMEID- SURATU SAAD سورة ص
SHEIKH ABDALLAH HUMEID QURAN SURAH AL IMRAN 1-51
มุมมอง 137ปีที่แล้ว
SHEIKH ABDALLAH HUMEID QURAN SURAH AL IMRAN 1-51
SHEIKH ABDALLAH HUMEID QURAN-Surah Al Bakara261-286
มุมมอง 57ปีที่แล้ว
SHEIKH ABDALLAH HUMEID QURAN-Surah Al Bakara261-286
اسمع القصة العجيبة والمؤثرة" لقاء نبينا إبراهيم عليه السلام بأبيه آزر يوم القيامة" وفيها درسٌ عظيم🍂
มุมมอง 13ปีที่แล้ว
اسمع القصة العجيبة والمؤثرة" لقاء نبينا إبراهيم عليه السلام بأبيه آزر يوم القيامة" وفيها درسٌ عظيم🍂
HISTORIA NZURI YENYE KISHANGAZA NAMNA AFRIKA MASHARIKI IVYOKUA MIAKA 1000 ILIYO PITA
มุมมอง 25ปีที่แล้ว
HISTORIA NZURI YENYE KISHANGAZA NAMNA AFRIKA MASHARIKI IVYOKUA MIAKA 1000 ILIYO PITA
HAKI ZA WATOTO KABLA HAWAJAZALIWA
มุมมอง 252 ปีที่แล้ว
HAKI ZA WATOTO KABLA HAWAJAZALIWA
HAKI ZA WATOTO KABLA HAWAJAZALIWA....4
มุมมอง 142 ปีที่แล้ว
HAKI ZA WATOTO KABLA HAWAJAZALIWA....4
HAKI ZA WATOTO KABLA HAWAJAZALIWA....0003
มุมมอง 132 ปีที่แล้ว
HAKI ZA WATOTO KABLA HAWAJAZALIWA....0003
HAKI ZA WATOTO KABLA HAWAJAZALIWA....002
มุมมอง 92 ปีที่แล้ว
HAKI ZA WATOTO KABLA HAWAJAZALIWA....002
HAKI ZA WATOTO KABLA HAWAJAZALIWA...0001
มุมมอง 92 ปีที่แล้ว
HAKI ZA WATOTO KABLA HAWAJAZALIWA...0001
FAIDA ZA KUFUGA NDEVU-SHEIKH ABDALLAH HUMEID
มุมมอง 5312 ปีที่แล้ว
FAIDA ZA KUFUGA NDEVU-SHEIKH ABDALLAH HUMEID
KUPENDA NI MARASHI TENA KUNATESA SANA ..#MAPENZI#DAAWA#ASSALAFIYAH
มุมมอง 462 ปีที่แล้ว
KUPENDA NI MARASHI TENA KUNATESA SANA ..#MAPENZI#DAAWA#ASSALAFIYAH
KUVUNJA HOJA ZA KEBEHI DHIDI YA SHEIKH ABDALLAH HUMEID
มุมมอง 1.1K2 ปีที่แล้ว
KUVUNJA HOJA ZA KEBEHI DHIDI YA SHEIKH ABDALLAH HUMEID
umuhimu wa wakati- sheikh abdallah Humeid حفظه الله
มุมมอง 2402 ปีที่แล้ว
umuhimu wa wakati- sheikh abdallah Humeid حفظه الله
sheikh Abdallah humeid- raddi kwa mufti menk
มุมมอง 14K2 ปีที่แล้ว
sheikh Abdallah humeid- raddi kwa mufti menk

ความคิดเห็น

  • @NAJMASAIDI-e6b
    @NAJMASAIDI-e6b หลายเดือนก่อน

    Punguza chuki muogope mungu

  • @NAJMASAIDI-e6b
    @NAJMASAIDI-e6b หลายเดือนก่อน

    Acha fitna we sheikh

  • @tawakkalgwandi-e5c
    @tawakkalgwandi-e5c หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @user-do8yq6kh8f
    @user-do8yq6kh8f 10 หลายเดือนก่อน

    Im an indian

  • @ExcitedCricketHelmet-wr4sq
    @ExcitedCricketHelmet-wr4sq 10 หลายเดือนก่อน

    Abdalla ni Simba mahizb mtabakia tu kumfitini his always right

  • @IaiqaWilnus-cc5dv
    @IaiqaWilnus-cc5dv 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu Abdallah Humeid Kwan hua anajiona Nan mi hua simuelew anachokifanya ye zake kupinga tu.

    • @abubakarshaban6118
      @abubakarshaban6118 10 หลายเดือนก่อน

      موتوا بغيظكم... Kufa na hasira zenu...

    • @kadrimwingamno258
      @kadrimwingamno258 9 หลายเดือนก่อน

      Akili ndogo awezi kuelewa akili kubwa.

    • @kadrimwingamno258
      @kadrimwingamno258 9 หลายเดือนก่อน

      Allah amuifadhi Abdallah Humeid

    • @abdallahal-khaify
      @abdallahal-khaify 9 หลายเดือนก่อน

      Kitu gani kinachokufanya usielewe? Zakir Naik anasema yeye anajuwa vitu elfu moja ambavyo Allaah hawezi kufanya , Allaah mwenyewe anasema yeye ni mwenye uwezo wa kufanya kila kitu . Sasa huoni kama Zakir Naik anampinga ALLAAH ? Sheikh Abdallah Humeid anachokisema mbona kipo wazi na ni sahihi .

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 11 หลายเดือนก่อน

    Kinachowauma na ile kuslimisha watu

  • @Is-hakaAbass
    @Is-hakaAbass ปีที่แล้ว

    Ikiwa muongo, ataambiwa kuwa ni muongo... Nyinyi makhurafy

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 ปีที่แล้ว

    Jamaaa mungo uyuuuu anaongoza kwa kutunga visa vya kufurahisha watu

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 ปีที่แล้ว

    kama anazua basi ataitwa muongo na kama visa sio vya uongo aje hadharani aseme

  • @mussakhamis-g8c
    @mussakhamis-g8c ปีที่แล้ว

    VISA VYOOTE LAZIMA MAWAHABI WAVIJUE KAMA HAWAVIJUI MAWAHABI NI VYAUONGO

    • @maalimhamad1297
      @maalimhamad1297 ปีที่แล้ว

      Hivi nyinyi mna akiki kweli

    • @yasirshee3152
      @yasirshee3152 ปีที่แล้ว

      Fanya heshima na mitume ya Allah yani yamaanisha nabii Musa ni kozimeni au....?

  • @cuteenuuu9102
    @cuteenuuu9102 ปีที่แล้ว

    MashaaAllah

  • @shaneyswaleh6661
    @shaneyswaleh6661 ปีที่แล้ว

    Mashallah.may Allah bless you for the amazing work you do.

  • @IBN_IDREES
    @IBN_IDREES ปีที่แล้ว

    May Allah grant Sister Zainab Ahmed and her family jannah, ameen🤲

  • @IBN_IDREES
    @IBN_IDREES ปีที่แล้ว

    Mashallah ❤❤

    • @salafiykenya9870
      @salafiykenya9870 ปีที่แล้ว

      Thanks for your support akhy

    • @IBN_IDREES
      @IBN_IDREES ปีที่แล้ว

      ​@@salafiykenya9870no problem, just supporting my brother

    • @salafiykenya9870
      @salafiykenya9870 ปีที่แล้ว

      @@IBN_IDREES may allah reward you and your family

    • @IBN_IDREES
      @IBN_IDREES ปีที่แล้ว

      @@salafiykenya9870 amin, jazakallahu khair🤲❤

  • @shaneyswaleh6661
    @shaneyswaleh6661 ปีที่แล้ว

    May the Almighty bless you for the work you do.

  • @IBN_IDREES
    @IBN_IDREES ปีที่แล้ว

    Mashallah❤ I love it, do you have more?

  • @swalehseifmuhammed8289
    @swalehseifmuhammed8289 ปีที่แล้ว

    Tatizo lako ww bado bado elimu yako ndogo kaziyako ni kutukana watu tu bado sanaaaaa

    • @salafiykenya9870
      @salafiykenya9870 ปีที่แล้ว

      Umesema kweli … haya mwenye elimu tufunze

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว

      Ah mm nampenda othman maalim lkn kisa hichi cha nabii mussa hilo nakataa visa vyote vimo kwenye Quran lkn hii ya kuzini na mtu kaburini haipo kisa hicho.

    • @OmarAbuumuwiya-kw3ij
      @OmarAbuumuwiya-kw3ij ปีที่แล้ว

      Ww pia jahili hujui lolote kma nikweli aliyoyasema maalim hichi kisa kimetoka wapi na kitabu gani kilicho sema kisa hiki

  • @Harbo1003
    @Harbo1003 ปีที่แล้ว

    Can you translate it in english and who is speaking?

  • @ahmedsalehe9489
    @ahmedsalehe9489 ปีที่แล้ว

    Allah hawezi kupata mtoto, Allah hawezi kulala, Allah hawezi kula, Allah hawezi kuoa Wala kuolewa, Allah hawezi kwenda haja n.k Hizi ni siafa alizo zielezea Allah katika Qur'an ndio maana Zakir naiki akasema kwamba Kuna mambo anaweza kuyataja ambayo Allah hawezi kuyafanya

    • @أسودالغابة1
      @أسودالغابة1 ปีที่แล้ว

      Chunga na uwe na tahadhari katika kumsemea Allah bila ya Elimu, maaanake itakupeleka katika kumzulia uwongo, Allah ajasema"kuna asiloweza kufanya" bali amepinga kua haiendani na utukufu wake na ukubwa wake, na yeye yupo mbali na mambo hayo ya upungufu na mambo yote yasio na hikma ndani yake,.... Quran 17:43 "سبحانه وتعالى عما يقولون علوّا كبيرا"

    • @mohamedkatoya1550
      @mohamedkatoya1550 ปีที่แล้ว

      ​@@أسودالغابة1Allah akulipe kheri kwa kulieka sawa ndugu barakàllahu feek

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 ปีที่แล้ว

      إن الله على كل شيء قدير

    • @khamisrubea5083
      @khamisrubea5083 11 หลายเดือนก่อน

      Sasa nyinyi nakuulizeni mungu anaweza kuoa ?

    • @أسودالغابة1
      @أسودالغابة1 11 หลายเดือนก่อน

      @@khamisrubea5083 Akhy hao Hawaelewi Kua Allah anafanya yale yanaoendana na utukufu wake na kwa namna inayoendana na utukufu tu, na wala sio mambo ya Duni tena ya kupunguza utukufu na taadhima yke, tafauti na viumbe wake wasio na utukufu kwa upande zote za maisha yao..Na utukufu wa muumba imekamilika upande zote siku zote utukufu wake iko juu na mbali sn na upungufu wa waviumbe zake na waja wake... Allahu A'lam "و الله على كل شيء قدير"

  • @binti_athman8145
    @binti_athman8145 ปีที่แล้ว

    Saheeh!

  • @jaffarsaleh5109
    @jaffarsaleh5109 ปีที่แล้ว

    We sheikh mjinga sana.. Ss Saudia anauwa kila siku kule Yemen mshenz ww ushawah kusema kitu.. vibaraka wako Saudia.. Dilele mjinga kwel wewe😂

    • @salafiykenya9870
      @salafiykenya9870 ปีที่แล้ว

      Hahaha nawewe hata Quran hujui kusoma… wacha masomo mengine

  • @rayhannahilyas5203
    @rayhannahilyas5203 ปีที่แล้ว

    الحمد الله

  • @saidmohammed2830
    @saidmohammed2830 2 ปีที่แล้ว

    صالح الفوزان حفظه الله

  • @saydsultan9499
    @saydsultan9499 2 ปีที่แล้ว

    Baraka Allahu feek

  • @ramadhanimtetu7246
    @ramadhanimtetu7246 2 ปีที่แล้ว

    Shia ni Viumbe Waovu Mno

  • @shurahbiil9988
    @shurahbiil9988 2 ปีที่แล้ว

    Maashaallah Maashaallah Allah Awahifadhi mashekhe wakisalafy

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 2 ปีที่แล้ว

    Allah akulipe kheri aaamin Nkupnd san Sheikh

  • @adambakari6176
    @adambakari6176 2 ปีที่แล้ว

    Nyinyi ndio kundi lafitna mnawwasema watu kwa majina kilasiku Nyinyi ndio mko sawa nanikasema?

    • @salafiykenya9870
      @salafiykenya9870 2 ปีที่แล้ว

      Hahaha kwani wewe upo pahala ujui kama uko sawa sisi tuko sahihi sheikh adam ....hatuwasikizi sababu hamna lolote lakutupa ndugu

  • @umuuhafswa9414
    @umuuhafswa9414 2 ปีที่แล้ว

    Hhhhh BarakAllah fiyk sheikh

  • @assiyajeylani8734
    @assiyajeylani8734 3 ปีที่แล้ว

    Allah Amuhifadhi sheikh wetu Abu Hashim

  • @assiyajeylani8734
    @assiyajeylani8734 3 ปีที่แล้ว

    ماشاءاللہ

  • @saydsultan9499
    @saydsultan9499 3 ปีที่แล้ว

    Allahu yahfadhuka

  • @ramadhaninurudinimsema9514
    @ramadhaninurudinimsema9514 3 ปีที่แล้ว

    Allah akuifadh shkh

  • @jumahamadi6550
    @jumahamadi6550 3 ปีที่แล้ว

    Wallahi huyoo mufti wa muembeni mbona anapotosha watu bila ya kujali kwamba kesho mbele ya Allah ataulizwa huyo ni mpotoshaji !!!!

  • @sultansaidy2187
    @sultansaidy2187 3 ปีที่แล้ว

    Wewe acha mamboyako salafi ndionini kwanini munajitukuza na salafi salafi ndio kuraani au hadithi yamtume salafi ndionini

    • @nusalim3389
      @nusalim3389 3 ปีที่แล้ว

      Sasa Kama hujui mbona watoa hukmu na shutma kabla?

    • @musabomar661
      @musabomar661 3 ปีที่แล้ว

      Ujahil wako ndio unakupelekesha uropokwe kama punda alokosa mchunga

    • @othmanhussein3345
      @othmanhussein3345 2 ปีที่แล้ว

      Msalie vizuri mtume sema hiv صلى الله عليه وسلم

  • @shabanijuma4162
    @shabanijuma4162 3 ปีที่แล้ว

    Asili watu hawaijui neemah mpka itakapo waondokea... mombasa tatzo watu wana uislamu wa mazoea kama yaan tumezaliwa tu sisi waislm lakn hajui chochte katka dini wallah ndio maana wanaburuzwa thu......

  • @saadsumayyasaid7140
    @saadsumayyasaid7140 3 ปีที่แล้ว

    sasa nyinyi hamueki mihadhara iyo ya kisalafi.maji yakikosa njia ,popote hupita

  • @abdallahmoussa614
    @abdallahmoussa614 3 ปีที่แล้ว

    Allah azidi kuwapa umri weny kheri ma Sheikh wetu wapendwa ambao mnalongania kweny haki...