ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Muongozaji jaribu kuangalia kipindi unarekodia wapi.Hapo Upepo ni mwingi sana inakua shida kumsikia Baharia.Hata hivyo unafanya kazi nzuri kuelewesha Jamii.
Sauti sio nzuri
Nitajitahidi wadau wangu kutafuta sehemu nzuri nivumilieni tu
Kweli bab seif Rudi hata kwenye gari kama kwa siga
Upepo mkAli sana
duh noma sana😁😄😃
Sauti siyo Upepo Mkali inapoteza hamasa ya kusikiliza.
Baby seif Leo nimekuw wa Kwsnza . Kukoment na kuview
Safi sana 😊
Hapo kuna upepo na sauti zinaingiliana jaribuni kitumia sehemu ambayo ipo kimya, pia nashauri mtumie mic ili mpate sauti nzuri
Tupo tupo sanaaa
Fanya mpango uwe una rekodi ndani sababu kipindi ni kizuri ila Sauti ni mtihani.
Upepo bwana unazingua
Kishindo achoshukanacho kilikua kikubwa masikini miguu ikazama tumboni
Upepo babu kipindi hakinogi
Beb record hii kipindi kwa nyumba upepo unaharibu kipindi
mkuu jitaied story za njiani ziwe ndefu Kama za kina siga sio episode ya 2 tu mtu kashaingia south
Sauti ya msimuliaji aisikiki
Sauti kidogo inasumbua upepo
SAUTI BABU SEIF UPEPOOO