Asante dada mungu hakusaidie kwakazi zuri sana nimehipenda video wako naomba picha ya dawa na mm nitiye sababu nimependa sana natakakuhitafuta lamda nawezakuipata hiyo dawa
@@joyce663Asante sana dada nikiweka step1alafu nikiosha uwa azikozi na nywele zangu ni ngumu sana alafu uwa Zina katika nifanyaje dada naomba uni saidiye please
Asante sana kipenzii...nimeipenda sana hii video unajitahidi kueleza vizuri ubarikiwee🙏🙏....je na dawa ipi inatumika kuretouch curl??
Asante Sana ,unatumia Tu hizo za movit.
th-cam.com/video/SblKugW4CdU/w-d-xo.html
@@joyce663 h
Hi do you have a branch in Nairobi. I always love to learn curlcut
@janewanjiru690 we can organise I teach you
No but we can organise I teach you how reach me.on joycewanjiku183@gmail.com
Je , unaweza kutengeneza mawimba kwa kutumia kitana baada ya kuweka hiyo dawa ya curl
Asante kwa kufundisha vizuri Mungu akubariki sana
🙏🙏nashukuru
Asante dada mungu hakusaidie kwakazi zuri sana nimehipenda video wako naomba picha ya dawa na mm nitiye sababu nimependa sana natakakuhitafuta lamda nawezakuipata hiyo dawa
Asnte nimejifunza nilikua napoteza wateja salon kwangu coz cjui kuweka curls but now nitafanya🙏
Thanks kwa maelekezo yote
Asante kwa maelezo mazur
Nataka kujua baada ya curl unaruhusiwa kuoga kichwani kila uogapo
Unaeza oga mbila tatizo but kubuka kuoga Sana sio afya ya nywle (wasomi husema sio mzuri kuoga kila siku
Muniambie mana ya sache kuyitia nweleni
samahan naomba kuuliza baada ya kumaliza step zote hiyo nywele huikaushwi?
Waooow ❤❤
Curl kiti ni nzur jmn but ustumie moto wowote kichwan uskae kweny dryer wala kuboldry and if huna strong hair inakata nywele
Ukishaweka hiyo step one ukafunga hizo rolas je unakaa kwenye drya
Kunakitu sijaelewa apo guy uwekaji kila moja unantumia dakika ngapp
Thank u too dear nimeenjoy 😘😘😘
🙏
Hi dada nina swali, kwani nilazima niweke lolaz? , na kama sitakiwi kiweka nafanya je na dry? au please
Sio lazima but usipo utapata straight kit .
Ukimalizana na step 1 unapaka Tu step 3
Curls zikikataa unaweza kurudia
Eeee but iyo tu curling lotion
Treatment hiyo inaitwaj
Sorry dada baada ya kuweka lolaz unakaa kwa draya ?
La hasha huhitaji Moto ya dry kamwe,hii nywele yatumia koto ya kawaida
Madam hiyo kali inaweza kuunguza ngoz wakat wa kuweka
Nataka kuweka curly kit lakini nywele yangu ni chache mbele. Itaongeza nywele venye watu husema
Madam hiyo dawa inaunguza ngoz wakat ukiweka
Nilijaribu kuweka lakini curls hazikushika na nyewele iliiva vizuri lakini curls hazikushika
Redo the curling lotion step and stay with rollers for longer time
Dear naomba kuuliza Nina stop 1, na step 3,naweza tumia hzo tu, na naweza tumia rola za mfuniko
Lazima step11 ikuwe ,na rola tumia za mpira
Habar dada...vp kama umeeka karikiti...unaeza rudishia Tena baada ya wiki kadhaa...yaan ku returch Kali!!?
Unangoja miezi tatu
Naomba kujua naona kuna movit ya curl nyeupe na nyingine kama mafuta ina utofauti gani apo,
Curl ni hiyo unaeka rollers hiyo ingine ni treatment tazama hii 👉👉th-cam.com/video/SblKugW4CdU/w-d-xo.html
Lotion Curly inachukua muda gani
I had always wanted to tell you do this in Swahili am waiting
Jee unakaa mda gani ukeweka rolaz
Hujambo yafaa ukae Hadi ishike rollers na yategemea Pia na ungumu we nywele
iyo treatment ni ipi madam ?
Butisa
Je unawaza kutumia lolazi kubwa kuweka Kalikiti
Eeee unaweza Eka nay0
Madam step 3 unaweka mda gani
After the is completely curled you use it as cleaning agent to rinse off the curling lotion
Madam kwa iyo ata nywele ikiwa ndefu aifai kukaa kwa draya
Mimi siekagi Kwa draya
Thanks
What is the name of the curly kit products?
I used movit but there are other brands
th-cam.com/video/SblKugW4CdU/w-d-xo.html
M naitaji kujua ila unaosha Kisha unaweka stepu Wani Kisha mostaiza ire yamweisho
Asante Kwa kutazama
Fuatilia hii video 👉👉th-cam.com/video/SblKugW4CdU/w-d-xo.html&feature=share9
Ukishamaliza kuweka rola unamweka kwenye draya Kwan
No drier pliz
Naomba uludie tena
Sawa
Asante sana dada
Waweza kutazama hii pia ili uwelewe zaidi ,,, 🙏nashukuru sana
th-cam.com/play/PL3HIp3QeUgtRlzJYdq80t93idUjc97ZMe.html
@@joyce663Asante sana😊
Sio lazima kuingia kwenye draya
Katika kuweka curlkit hakuna kamwe kuingia draya la maana ni timing baada ya kuweka curling lotion (step 3)
Nilipenda kusikia sauti yako kwa Kiswahili
Where is your salon?
Irene thank you for your support.. I am in nakuru
Hiio uliopaka kabla ya jel n nn then ukaosha
It's a treatment dear it's very recommendable after ever chem application
Namba
Hi joyce ni lini utakuja Tanzania?
Matarajio yangu sana
Matarajio yangu sana
@@joyce663 haki karibu nimependa sana vile unaweka curly huku hawaweki vizuri hivyo
Nitatembea siku moja
Je ni treatment gani umetumia?
Lorys treatment
Nawza pata wap rollers ya curl
I get them in cosmetics
Hiyo treatment ni mimi tena
Relaxing hair for hw long
Until it process enough not to overprocess
Unakausha kwakutumia nini baada ya kufunga rolasi
Hii ni wetperm no drying
Hiyo dawa unaitas aje ya curl
Check this
th-cam.com/video/SblKugW4CdU/w-d-xo.html
Uko wapi dear
Nakuru
Ni dawa gani unatumia na curling lotion inaitwaje
th-cam.com/users/shortsshO9rKSMhQQ?feature=share
👆👆👆👆👆👆 Check that
Thanks dear
Hallo unapatikana sehemu gani nilikama naweza kuja uniweke?
@thread queen
Nakuru
Ila Nina swali mimi nikiweka dawa nikiiyosha ili niweke step namba2 azikozi?
Asante Sana dada,,,,,,ope MDA nywele yako baadda ya kuweka namba2 tafadhali
@@joyce663Asante sana dada nikiweka step1alafu nikiosha uwa azikozi na nywele zangu ni ngumu sana alafu uwa Zina katika nifanyaje dada naomba uni saidiye please
Una elekeza vizur sana dada
Asante sana
Naomba kuliza unaosha nywele kwanza ndo unaweka dawa au
Sawa asante nitafanya hivyo
Hiyo dawa ulioyoweka mara ya pili inaitwaje
Curling lotion
Step 2 unakaanayo muda gani
Inategemea na nywele kama nivyo eleza
What's ur location
Nakuru
Nauli
Kutoka wapi
Ukiweka curl unakaa kwenye drya
Aparna hakuna dryer unless ni treatment
No tafadhali.
Asante kwa kufundisha vizuri Mungu akubariki sana
Amen