Aise hadi nimesisimuka kabisa, yani nimesisimuka. Sasa madogo kama hawa wameua kinyama. Yani hata vile vidogo vya ufaransa vinavyokuwa kwenye dance schools havikaribii hapa hata kwa mbalii, sasa imagine na hawa wangekuwa na programme maalum yakuendeleza vipaji vyao, si wangekuwa balaa kubwa mno hapa ulimwenguni. Yani hapa hawana programme rasmi na wanaua hivi, aise ni kwere. Yani kwenye exporting industry tusikazaznie tu raw materials, we can export hata entertainment kama hivi, so serikali muwe mnawekeza na humu pia, na tena kwenye huu ulimwengu wa AI tunaoelekea huku ndiyo kutakuwa na biashara, maana ajira ndiyo kama mnavyojua waungwana computer zitahandle a lot of them. Shout out to chino shout to those kids #vivaTanzania🇹🇿 Tanzania got Talent, hao madogo wanajiitaje? Wanatakiwa wapate management nzuri na platform mob ya kuwasimamia na kupromote vipaji vyao. Yani wanakitu na ukweli vile yani nilisisimka kabisa nilivyocheki hiyo video

Sio poa ivy ivy kaka kuw na Moy wa kuwajali wa2🎉
Kuna mtoto amebebwa juu juu anamuona chino wanaman
Madogo wanajua tz vipaji vipo daima
Madogooooo......nomaaaaaaaa❤❤❤
Chino anaroho yakusaidia Sana... Big up bro keep it up
Madogoo❤❤❤❤❤❤ wapo vizur
Kubbbah! N mbaya tu enywe ...I love it
Wametisha😂😂😂😂
amakwer wanatisha
Nice.
Tunakoelek3a lazima tuje kutawaliwa Tena.!
Noma sana ❤
Pk noma sanaaaaaa family
Madogo. Wameua vibe. Aisee
Nimeangalia nimrudia mala tano yaaani sichoki 🙌
Mdongo wakamuzid ad fud mwenyew yani apo chino hana mbaya ameshabachkua
👋👋👋wametsha san😂
Bongo kila mtu anajua
Madogo wameuwa aiseeeeeeeh
Nakubali Sana ❤❤
Chino sitayle za kudance ndo zilezile tu kuluka na kupanchi sa abadir na yeye
Asee madog wanaweza ile mbaya
Watoto ni Atari kinoma noma yani
Wana kitu very impressive
Madogo wako vizuri saana
Wanatokea wapi hawa madògo, plz
Hawa madogo atar sana et
Baba madogo noma sana
Madogo wanaweza
Wapo vizur
Mnajiita wakubwa jipangeni chino mkuubwa sana
Noma kabisa hawa madogo
Wapo vizuri
Vipaji always viko mtaani🔥🔥
Always bro
Madogo ni wakali Sana. Naina Kama Chino akiwachukua ili kuviendeleza vpaj vyao.
Kuna jamaa kaja mtoto wake miaka isiyozid miaka 3 ktk hii video mmemuona..😢😢😢
Dah sjui ana akil gan..🥹🥹🥹
Wanajua sana
chino jina lake tu ndo wakati wake wa kuvuma ila wala co mkali
😊😊
Mshasema watoto
BWANA YESU ASIFIWE ndugu zanguni tumwamini huyu YESU ili mwisho wetu uwe salama
We nae km umetumwa hapa yesu kaingiaje xx
Balaa 🔥🔥
Chino inabd awachkue hawa machalii asiwaache machalii wanavaibu kwanza wanajua kucheza yan ni burdan toxha
Machali wazuri kwa kudance
wametisha xana
Madogo wametisha
Wameuwa
🎉🎉
❤❤❤
🔥🔥
🔥🔥🔥
Kwakweli wamewakalisha wanacheza kama watumia machine 😂
Wametixh
Madogo Wako vizuri
Dogo aliyevaa mzula kauwa
Wameua
Madg wak vzr chno bdo mno kwnz me chino ujatoboa kwang
Sawa umetoboa wewe
Umetoboa ww
Ndio Kesha toboa mwenzio
Hahaha twakuona umetoboa wewee uko vizury
Wew ndo umetoboa mwanangu sio hongera Acha unafiki
Dhahabu siku zote ipo kwenye mchanga PABAYA kwenye vumbi,. hizo ni dhahabu niaminni mimi
Kila chenye thamani ni dhahabu