Now the government should take a leaf from CHADEMA and provide a level playing field, and conduct a fair ,transparent and verifiable general election , and if that were to happen ,it would be a game changer and Tanzania will change for the better !!!
Mungu akulinde wewe ndie tegemezi Kwa wanainchi kuwaondoa matatizo. Walio nayo kama kutozwa ushuru kwenye masoko,,,tatizo la kukosa dawa hospitalin,,elimu ya ubaguzi
Ila tuache umbea jez ya chadema ni nzuri sana na nyie mnao mponda mbowe tumewajua nyie cyo wa kwetu ndomaana mmeangukia kejeli kwa mw/kt wetu mtupishe nyie hamna jpya
Nakupenda sana mm na familia yangu mzima Mungu akutangulie kwenye harakati zako Mungu awe nawe dakika hadi sekunde
Mungu aliesimama dhidi ya jaribio la kuuwawa na serikali ya ccm bado angali hai🙏
Mungu anakupenda na mimi nakupenda ushindiii kwako
Wew ni mwenyekiti tayar
Viva Tundu Lisu
Chadema honger sn
Big up chadema kwa mkutano wakuji kipekee
Congratulations sana TL
Nakuombea sana LISU ushinde mungu ni mwema wewe ni mshindi
Now the government should take a leaf from CHADEMA and provide a level playing field, and conduct a fair ,transparent and verifiable general election , and if that were to happen ,it would be a game changer and Tanzania will change for the better !!!
It's time for Tundu Lissu
lisu hiyeeeeeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Lisu was born leader
Ni swala la muda 2 maana hata wizi hauwezi kudumu ushindi ni wa lisu round hii🎉🎉🎉🎉
Mungu akulinde wewe ndie tegemezi Kwa wanainchi kuwaondoa matatizo. Walio nayo kama kutozwa ushuru kwenye masoko,,,tatizo la kukosa dawa hospitalin,,elimu ya ubaguzi
A born leader.
uchaguzi ukienda wa haki mr mbowe kifo cha mende kinamuhusu😂
Hafi kifo cha mende huyu mtakufa nyie vifo vya mende watumwa wa Lissu.
Tunakupenda kiongozi wetu lisu
Tundu oyeeeeeee tatizo wamejipanga kukuibia kura
Aibiwe na nani huyo yeye mwenyewe mwizi subirini atakavyowafanya akipata uwenyekiti. Huyu ni kibaraka wa wazungu mtashangaa atakavyowageuka
Lissuuuuuuuuuu
All the best lissu
Ushinde baba angu kila la kheri
Hiyo pamba mliyopiga mmependeza sana,Ni unabii mzuri kwa chama chenu.
Mwamba huyu hapa
kongole tundulisu
Losu tunakuhitaji sana
Ila tuache umbea jez ya chadema ni nzuri sana na nyie mnao mponda mbowe tumewajua nyie cyo wa kwetu ndomaana mmeangukia kejeli kwa mw/kt wetu mtupishe nyie hamna jpya
I love my friends
Ee Mola wetu Mtukufu,wewe unayejua hata yaliyo gizani,tunakuomba sana utupatie kiongozi atakaye simamia haki za wote tunaoonewa.
Duu
Lisu unafaaaa sana
LISU MWENYEKITI WETU
Wewe ni mshindi wewe ni mshindi tu
Umesahau kuomba kura mnyapaa
Apo awaombi kula hapo
Mh mbowe mitano tena
MBOWE WA KONYO
Lisu ndio mpinzani sahihi
People's
MNYIKA MNAFIKI HUYU
Hakiamungu mbowe anamuogopa lissu anampga jicho fulani hiv
Usimshirikishe Mungu kwa uongo wako atakuhukumu wewe hayawani.
😂😂😂😂😂😂😂😂@@ashaali7154
Mimi nitimu lisu ila nahisi mbowe anapitia