KUNA WATU HAWAKO KATIKA MPANGO WA BINADAMU NA MUNGU - ( GENESIS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 27

  • @nanciembugua8395
    @nanciembugua8395 ปีที่แล้ว +1

    Deep,teaching, I have listened for the second time and I have received the revelation..dad iam blessed here in canada through you 🙏🏻 may God bless you and keep you.

  • @gladysngulu4541
    @gladysngulu4541 ปีที่แล้ว +1

    Jehovah niweke katika mpango ya kubarikiwa

  • @theresiahmaina3442
    @theresiahmaina3442 ปีที่แล้ว +2

    Asante Apostle kwa kutuongoza vyema

  • @CelebVibe01
    @CelebVibe01 ปีที่แล้ว +2

    AMINA. Wakristo wengine wetu tungeisha mapema, tungekufa mapema na mambo yetu yangeharibika lakini kuna kitu tulifanya ikaweka msukumo kwa Mungu na maisha yakabadilika. Kuna siri ya baraka zetu imefichwa na Mungu lakini Anaweza ifichua mradi tu tutakuwa wakarimu kama Abrahamu. Tukitaka Aifichue tukubali kumshibisha na bila shaka Akishiba Ataanza kutoa maneno . Tumshukuru Mungu tuko JWM kwa Madhabahu Yake na Ambapo kuna Kibali, letu ni kunyakua baraka na kuchochea Mungu Kutubariki kwa kuweka msukumo.

  • @wycliffnyaenya-sf4fg
    @wycliffnyaenya-sf4fg ปีที่แล้ว +1

    Helloo mwangaza tv napongeza wanakwaya wote pamoja na Zubedii Mudavadi na mke wake kwa kazi nzuri .God bless you

  • @theresiahmaina3442
    @theresiahmaina3442 ปีที่แล้ว +2

    Karibu Daddy utulishe tuko jaa

  • @freddieg2847
    @freddieg2847 ปีที่แล้ว +4

    Glory be to GOD

  • @tabithamuthoni2052
    @tabithamuthoni2052 ปีที่แล้ว +2

    Hakika mungu atabandirisha mambo

  • @njerukamau6107
    @njerukamau6107 ปีที่แล้ว

    Mungu nifichulie sili

  • @njerukamau6107
    @njerukamau6107 ปีที่แล้ว

    Mungu naomba kutembea nawe

  • @CelebVibe01
    @CelebVibe01 ปีที่แล้ว +1

    AMINA. Wakristo kuna watu hawana kibali Machoni Mwa Mungu na machoni mwa watu. Wakati utakapoishi kuna watu wako kwa njia za kubarikiwa na baraka zinawapenda na kuna wengine hupata baraka kwa sababu ya kutembea na yule yuko na ahadi. Ukitaka kubarikiwa hata kama wewe huko katika Ahadi Ya Mungu tembea Naye. Wakati mko urafiki na Mungu, umekubali kujipeana Kwake na wakati umekubali kukaa Naye kuna siri zingine Atakufichulia. Ukitaka baraka weka msukumo. Abrahamu alifanya msukumo kwa Mungu Naye Mungu Akasema hawezi mficha kile Alitaka kufanya Sodoma.

  • @jennifermuli9148
    @jennifermuli9148 ปีที่แล้ว +2

    Powerful sermon,now I know something I didn't know.Thanks to God and to our Dad

  • @theresiahmaina3442
    @theresiahmaina3442 ปีที่แล้ว +2

    Watching neno la mungu

  • @emilynyaga5947
    @emilynyaga5947 ปีที่แล้ว +1

    Amen Hallelujah. .the sermon was a blessing to me..very inspiring. .thankful Jesus

  • @theresiahmaina3442
    @theresiahmaina3442 ปีที่แล้ว +2

    Amen 🙏

  • @josephmwehe5964
    @josephmwehe5964 ปีที่แล้ว

    God bless

  • @theresiahmaina3442
    @theresiahmaina3442 ปีที่แล้ว +2

    Online Mimi nakusikia vizuri

  • @boniemuchoki1175
    @boniemuchoki1175 ปีที่แล้ว +1

    Great Teachings, Blessed.

  • @muenyp
    @muenyp ปีที่แล้ว +1

    good job camera guys its very clear now

  • @JaneNjeri-yp3vr
    @JaneNjeri-yp3vr ปีที่แล้ว +1

    Wow Aki Jehova nissi natamani tu upendo wa Babeli kwa my dad, May God shower his blessings upon this church 🙏

  • @Bellanna100
    @Bellanna100 ปีที่แล้ว

    😢😢😢😢😢😢 ni ukweli sikuangi kwa mpango wa God ama wa watu 😭😭😭😭😭😭😭😭wapedwa wa jesus winner ministry mahali mko mnikubuke na maobi kuna watu wananipiga na uchawi wanafunga mambo yangu yote kabiashara kangu kadogo kamekwama siuzi 😢😢😢naishi mwihoko githurai please mnikubuke maobi nimepada madhabahu ya kupigana na wachawi lakini sioni any changes mimi ni wa jesus winner nasijui uganga ama uchawi sijawai ingia nyumba wa ganga ama wachawi 😭😭😭😭😭 sijui nifanye nini tena ni me fast nikijifungua hizo attack zinaaza tena 😩😩😩😩😩😩

  • @njerukamau6107
    @njerukamau6107 ปีที่แล้ว

    Nahitanji msukumo

  • @hanniez_shiro8052
    @hanniez_shiro8052 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @florencenyambura4940
    @florencenyambura4940 ปีที่แล้ว +1

    Glory to God

  • @freddieg2847
    @freddieg2847 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @joshuamusyoki1904
    @joshuamusyoki1904 ปีที่แล้ว

    Amen