AMINA. Wakristo Mungu Atawapiga adui zetu. Vile vita vimeinuka kinyume na sisi Mungu Anaenda Kutupigania Mwenyewe. Tukiona majaribio yoyote yametukaba sana kuna mambo makubwa Mungu Ametuwekea mbele. Hata tukiwa kwa maajribio tusiwahi ambia Mungu Atuondolee majaribio hayo bali tumuombe nguvu ya kuyashinda kwa maana tukiyashinda majaribio tunaingia to another level. Tuko mbioni kuelekea lengo letu. Huenda ikawa kuna mambo yametukumba ama kuna vita vimetuzunguka, lakini siku ya leo Mungu Anashuka Kutupigania Mwenyewe. Kile tumekusudia kufanya mwaka huu tutafanya hata mara mbili na hakuna adui yeyote atatuzuilia.
AMINA. Wakristo haijalishi maadui watainuka na kuongezeka kiwango gani kutupiga, Yule Mungu tunayemtumikia ni mkubwa kuwaliko na kuliko wafalme wote. Watajiangalilia kwa macho yao tukisonga mbele kwa maana Baraka Ya Mungu sio ya kuficha. Wakitupangia vita mchana Mungu Atatupigania usiku. Atatupatia upako usio wa kawaida na Atuinue kiwango kipya ambapo hatutawaogopa maadui. Kutoka leo tusiogope yeyote ama chochote kilicho kinyume chetu kwa maana Mungu Amesema Ndiyo Anatubariki na hakuna wa kupinga. Kuna Malaika Atatembea leo Amalize uchawi na uganga wao nguvu. Maadui wataisha kesho wakati kama huu.
Happiest Father's day to Daddy Bishop Mwai, Uncle Apostle Kiongo, Rev Raphael, Rev Mathenge, Pst Gichohi, Pst Muriithi & Pst Kibiego. More Grace and Long life Men Of God.
AMINA. Wakristo watu wengine lazima wawekwe mikononi mwetu ndivyo wakiri yale walitupangia, kutufanyia na kutuombea. Mungu Atatuma malaika kwa watesi wetu na hawatapata amani. Kuna watu tutapatana nao waulize ni sisi ama sio sisi kwa sababu Mungu Atakuwa Ametubadilisha na Kutupeleka kiwango kingine. Ile shida yote na vitisho vyote tumetishwa navyo tuviwekelee hapo chini kwa Madhabahu. Leo saa hii maadui wanasema sisi ni bure lakini kesho watatuita waheshimiwa. Mungu Amesema leo hawataingia kwetu wala kupiga mishale kwa maana Ametuwekea Ukuta Wa Ulinzi. Hiyo hiyo njia adui alikujia n diyo atarudia.
Mungu nipiganie
We we ni Mungu mwaminifu siku zote
Bwana nimerudi tena Amen
This is a powerful message. Wachawi wote katika maisha yangu washindwe katika jina la yesu. I have faith God is restoring my marriage.
Naomba mungu anikumbuke
Ohh yes atanipigania uyu mungu
Amen, thank you God
ni kweli mungu wako pastor habahatishangi na huyo mungu ssi tukombali atukubuke kesho saa tano amen,amen
AMINA. Wakristo Mungu Atawapiga adui zetu. Vile vita vimeinuka kinyume na sisi Mungu Anaenda Kutupigania Mwenyewe. Tukiona majaribio yoyote yametukaba sana kuna mambo makubwa Mungu Ametuwekea mbele. Hata tukiwa kwa maajribio tusiwahi ambia Mungu Atuondolee majaribio hayo bali tumuombe nguvu ya kuyashinda kwa maana tukiyashinda majaribio tunaingia to another level. Tuko mbioni kuelekea lengo letu. Huenda ikawa kuna mambo yametukumba ama kuna vita vimetuzunguka, lakini siku ya leo Mungu Anashuka Kutupigania Mwenyewe. Kile tumekusudia kufanya mwaka huu tutafanya hata mara mbili na hakuna adui yeyote atatuzuilia.
AMINA. Wakristo haijalishi maadui watainuka na kuongezeka kiwango gani kutupiga, Yule Mungu tunayemtumikia ni mkubwa kuwaliko na kuliko wafalme wote. Watajiangalilia kwa macho yao tukisonga mbele kwa maana Baraka Ya Mungu sio ya kuficha. Wakitupangia vita mchana Mungu Atatupigania usiku. Atatupatia upako usio wa kawaida na Atuinue kiwango kipya ambapo hatutawaogopa maadui. Kutoka leo tusiogope yeyote ama chochote kilicho kinyume chetu kwa maana Mungu Amesema Ndiyo Anatubariki na hakuna wa kupinga. Kuna Malaika Atatembea leo Amalize uchawi na uganga wao nguvu. Maadui wataisha kesho wakati kama huu.
Happy father's day to my spiritual Dad pastor mwai and all apostle's
Happiest Father's day to Daddy Bishop Mwai, Uncle Apostle Kiongo, Rev Raphael, Rev Mathenge, Pst Gichohi, Pst Muriithi & Pst Kibiego. More Grace and Long life Men Of God.
Thankyou God kweli touching message amen mungu asante kwa ubali huu hakika niwewe
AMINA. Wakristo watu wengine lazima wawekwe mikononi mwetu ndivyo wakiri yale walitupangia, kutufanyia na kutuombea. Mungu Atatuma malaika kwa watesi wetu na hawatapata amani. Kuna watu tutapatana nao waulize ni sisi ama sio sisi kwa sababu Mungu Atakuwa Ametubadilisha na Kutupeleka kiwango kingine. Ile shida yote na vitisho vyote tumetishwa navyo tuviwekelee hapo chini kwa Madhabahu. Leo saa hii maadui wanasema sisi ni bure lakini kesho watatuita waheshimiwa. Mungu Amesema leo hawataingia kwetu wala kupiga mishale kwa maana Ametuwekea Ukuta Wa Ulinzi. Hiyo hiyo njia adui alikujia n diyo atarudia.
Amen
Message is home our senior
Kutoka leo sitaogopa tena. Fear not!!
Happy Father's day to all pastor's in Jesus winner and to all Father's out there.
Amen Glory Be to GOD.
Groly to Our might lord.
Amen