Msimuliaji upo vizuri sana Lusifer alikuwepo Mbinguni kabla hajafukuzwa na hii unaipata Kitabu cha Mwanzo 1:1 hapo ni ulimwengu wa kwanza ulipofanywa na Mungu na Mwanzo 1:2 Ndipo baada ya kumtupa Duniani baada ya kuasi Kukawa na Ukiwa na Utupu(Giza)
Yaabbana tunakuomba uwaongoze wale wasiotaka na wanaotaka kushika njia yako ya uzima wa milele iliyoo nyooka na utubashirie kuupata huo uzima wa milele ktk dunia kupitia matendo yetu na uturidhie kuingia ktk pepo yako AMIIN
Hahaha hahahaha Nawacheka sana, wengine mara ameshiba ngurue maneno mengi, lakini alicho kishika na anacho kisoma kinwalenga watu gani!? Ahsante studio! Imedhihiriks wazi kabisa hakuna hata mmoja mwenye haki ya kuingia mbinguni awe mkristo awe muislam, mwavaa nguo tu miyoni mwenu mmesahau hata utimize maandishi, Shetani alihadhirika kwa mambo ya siri bas ujue siri yako na wewe ni moyo POLENI SANA BINADAMU
IPO tofauti ya Mwanzo 1:1 ,,1:2Tofauti ni hapo Mungu alipoumba ulimwwngu kwa kusema vitu vikatokea Biblia ni pana sana ivi unajua kwa Mfano wakati Ibrahimu anaitwa na Mungu Mwanzo 12:1'3 Ayubu alikuwepo na alikua anapata mateso na kati ya Ayubu na Ibrahimu kuna undugu mmoja alitoka Uru (IBRAHIMU) Na Using (AYUBU) Na umbali Wapo ulikua mail 600👏👏👏👏
Pia tukumbuke Biblia ktk kitabu cha mwanzo uumbaji wa Mungu wa Dunia 1,2,3 Na Biblia iliposema Ktk Mwanzo 1:1 HAPO MWANZO MUNGU ALIZIUMBA MBINGU NA NCHI ,Biblia haisemi hapo mwanzo ni Muda gani ulipita mpaka kipindi cha ukiwa wa dunia Mwanzo 1:2
Mbona Mohammad kaabudu sanamu apo macca au ujui kama uislam ni upagani walio kua wanaabudu sanamu na kuabudu jiwe ambalo mpaka leo mnaliabudu ilo jiwe apo macca na kuzunguka alikahaba mala saba uchi msxuuuu wapagani watumwa wa shetani nyinyi wafuga majini
Ulicho kosa NI kushindwa kutofautisha kati ya SHERIA YA DHAMBI (TORATI) NA SHERIA YA KRISTO WAGARATIA 6:2 SHERIA YA dhambi na sheria ya Kristo zinatofautishwa vizuri katika MATHAYO 5:21 KUENDELEA LKN SHERIA YA KRISTO INAPEWA MAJINA KADHAA KATIKA BIBLIA MAJINA HAYO NI KAMA IFUATAVYO: SHERIA YA KRISTO, SHERIA YA KIFALME, SHERIA YA ROHO, SHERIA YA UHURU,AGANO JIPYA, NEEMA NA KWELI, NJIA KWELI NA UZIMA NK NA SHERIA YA DHAMBI INAMAJINA YAKE, AMBAYO MDA USINGE TOSHA KUELEZA KWAHIYO SHERIA TUNAYO ITIMIZA KTK AGANO JIPYA WAGARATIA 6:2 TUITIMIZE SHERIA YA KRISTO MUNGU AKASEMA HUYU NDIYE MWANANGU MPENDWA NINAYE PENDEZWA NAE MSOKIENI YEYE NA HAPA SIYO ANDIKO TU SAUTI ILITOKA JUU LIVE KAMA YESU AKISEMA ISHIKE SABATO HAKUNA MASWALI LKN KWA BAHATI MBAYA HAKUSEMA LKN HATA YEYE HAKUSHIKA YOHANA 9:17
Abu Khanifah Mwombe Mungu akufunulie ukweli umjue na kumfuata yeye aliye wa kweli.....Lusifa Ni mwongo na baba wa uongo hataki mtu yeyote aokolewe ndiyo maana tunamwita mwenye wivu tangu mwanzo. Kama watu wote watamfuata Kristo wataokolewa shetani ataangamia peke yake..
Asante Mwenyezi Mungu muumba mbingu na dunia
Asante kwa ukombozi
Msimuliaji upo vizuri sana Lusifer alikuwepo Mbinguni kabla hajafukuzwa na hii unaipata Kitabu cha Mwanzo 1:1 hapo ni ulimwengu wa kwanza ulipofanywa na Mungu na Mwanzo 1:2 Ndipo baada ya kumtupa Duniani baada ya kuasi Kukawa na Ukiwa na Utupu(Giza)
Elimu nzuri sana ya muumba wetu God
be blessed GOD is all might!
Mungu wangu niepushe na dhambi ya kiburi, wivu na ukaidi wa mapenzi yako kupitia jina la YESU Kristo. Amen
eeeehe Mungu, daima utukumbushe "dunia na fahari zake zinapita"
Eeh mungu nisamehe dhambi zangu maana Mimi no mkosefu naomba uniongoze kwa kila jambo Amen
Mdigo Danxon
Mungu tusamehe kwa sababu atujui tunachofanya
Mungu ni Mkuu sana our father
naeshim sana maneno yote yanayo muusu mungu nakupenda mungu muubaji vyote
Eeeh mungu wamajeshi mimi nimu tenda zambi sistahili mbele ya niokowe baba kwa mukono wa muovu shetani
Mungu nirehemu mimi nimkosaji
Yaabbana tunakuomba uwaongoze wale wasiotaka na wanaotaka kushika njia yako ya uzima wa milele iliyoo nyooka na utubashirie kuupata huo uzima wa milele ktk dunia kupitia matendo yetu na uturidhie kuingia ktk pepo yako AMIIN
Ee Mungu uturehem sawasawa na fadhili yako
Mwenyezi Mungu tupe nguvu ya kushinda dhambi
Asante kwa mafundisho barikiwa saan
Hakika Mungu ni mweza yote.. Mungu utusamehe sisi wenye dhambi
jina LA bwana lihimidiwe amen.
Asante Mungu kwaajili ya mwanao mpendwa Asante Yesu kwaajili ya damu yako ya thamani nihurumie
ee MUNGU Mwema nitetee usichoke NA maovu yangu amina.
MUNGU you mwema sana
ewee yesu usiniachee
Mung mwema xiku zote amina
Mungu kwetu ni Mungu wa kuokoa na njia za kutoka mautin Zina Bwana YESU halelluya
mungu ndio kila kitu
Festo Kalengela Hiyo stori apana niyauongo tena nikufuru Fanya toba ww muubiti
Fanya toba ww mtangazaji
Asasnte mungu kwa upendo wa agape
Mungu bb tubariki tusimamie tusianguke kiimani
Usikumbuke uovuwangu mm,neema zako nazihitaji
mungu Wetu asifiwe saidi
Yesu tusaidie watoto wako ili tusijiinue
Nirehemu ee Munguwangu
Mungu ni muweza
mungguhanamshirika
mungu uhirumiye ulimwengu
Hahaha hahahaha
Nawacheka sana, wengine mara ameshiba ngurue maneno mengi, lakini alicho kishika na anacho kisoma kinwalenga watu gani!?
Ahsante studio!
Imedhihiriks wazi kabisa hakuna hata mmoja mwenye haki ya kuingia mbinguni awe mkristo awe muislam, mwavaa nguo tu miyoni mwenu mmesahau hata utimize maandishi, Shetani alihadhirika kwa mambo ya siri bas ujue siri yako na wewe ni moyo
POLENI SANA BINADAMU
Hiyo book iko sawa
Mungu Mimi ni mwenye dhambi mamba msamaha
Tuokoe na muofu shtani
Mungu atusaidie
Eeeh Mung tusam tunajua kwamba tuna kukosea sna
IPO tofauti ya Mwanzo 1:1 ,,1:2Tofauti ni hapo Mungu alipoumba ulimwwngu kwa kusema vitu vikatokea Biblia ni pana sana ivi unajua kwa Mfano wakati Ibrahimu anaitwa na Mungu Mwanzo 12:1'3 Ayubu alikuwepo na alikua anapata mateso na kati ya Ayubu na Ibrahimu kuna undugu mmoja alitoka Uru (IBRAHIMU) Na Using (AYUBU) Na umbali Wapo ulikua mail 600👏👏👏👏
Ninzuri sana
Baba utusamehe wakosefu
asante yesu kwakunifanya niwe mm
Mungu turehem
Maajabu
Tuhurumie Mungu wetu
mungu awajua walio wake toka matumboni kwamama zao.
Eee baba nitoe kwene upotofu wa zambi
Ameen
Somo zuri sana
mungu nimwema
ewe mwenyez mung tukinge na huyu adui shetani ili nasi tuuone ufalme wako wa amani
emungu nisamehe mm mzambi nisie stahil
Dah kweli
Mungu utakapo rundi usiniwache
mungu nakupenda wema wako
halleluuyaaa
Asante kwa somo zuri, nimevarikiwa
Mungu yuko na wewe Dorca
Asante mungu kwaupendo wako
Hakika Mungu ni mkuu mno
ee mungu 2hurumie
Asante Mungu kwa upendo wako
Ee mungu utusamehe mana hatujui tulitendalo
Haswa Ni Kweli hamjui mlitendalo bila kujisalimisha ktk njia ya m/mungu abaddan hamuwezi kuupata ufalme wa mbinguni.
Praise the lord 🙏🙏🙏
🙏🙏🙏👏👏 Amen
asante mungu
josephati
Amen
vizuri
Aca kutundanganya yesu hajazaliwa.
asante mungu kwa upendo wako
Rokasa ya mbongo
rokasa ya mbongo
picha za yesu kiristoo
amina
Pia tukumbuke Biblia ktk kitabu cha mwanzo uumbaji wa Mungu wa Dunia 1,2,3 Na Biblia iliposema Ktk Mwanzo 1:1 HAPO MWANZO MUNGU ALIZIUMBA MBINGU NA NCHI ,Biblia haisemi hapo mwanzo ni Muda gani ulipita mpaka kipindi cha ukiwa wa dunia Mwanzo 1:2
Mungu,endelea,kututetea,maana,wewe,ni,mwema,wajua,yote,tuyafanyayo
asante MUNGU Kwa kumtuma mwanao
vizur
Amen
asnte mngu
amina
Amina
Mungu anatupenda.Nimebarikiwa
Nimejifunza tusiwena tamaa kama lusifaa
I will never go beside of your command ment,🙏
ISLAM IS GREATER
PLZ READ QURAN KAREEM
ITS A GREAT BOOK IN WHOLE WORLD
FOR ALL HUMAN
THERE ARE NO BOOK LIKE THIS IN THE WORLD
Utajua cku ya mwisho
Huyo ndio lusifa anae udanganya na kuupotosha ulimwengu..
mungu nimwema
Kwa hiyo huyo aliyeoneshwa anaangikwa msalabani ni Bwana Yesu!? Ibada ya sanamu.
we kuma usi kebehei din za wenzako. una juwa wazi kwamba hiyo ni filam inayo hadithia Maisha ya yesu.
Mbona Mohammad kaabudu sanamu apo macca au ujui kama uislam ni upagani walio kua wanaabudu sanamu na kuabudu jiwe ambalo mpaka leo mnaliabudu ilo jiwe apo macca na kuzunguka alikahaba mala saba uchi msxuuuu wapagani watumwa wa shetani nyinyi wafuga majini
nice teaching
amen
Lucifer c ni sayari what is Lucifer?
Ulicho kosa NI kushindwa kutofautisha kati ya SHERIA YA DHAMBI (TORATI) NA SHERIA YA KRISTO WAGARATIA 6:2 SHERIA YA dhambi na sheria ya Kristo zinatofautishwa vizuri katika MATHAYO 5:21 KUENDELEA LKN SHERIA YA KRISTO INAPEWA MAJINA KADHAA KATIKA BIBLIA MAJINA HAYO NI KAMA IFUATAVYO: SHERIA YA KRISTO, SHERIA YA KIFALME, SHERIA YA ROHO, SHERIA YA UHURU,AGANO JIPYA, NEEMA NA KWELI, NJIA KWELI NA UZIMA NK NA SHERIA YA DHAMBI INAMAJINA YAKE, AMBAYO MDA USINGE TOSHA KUELEZA KWAHIYO SHERIA TUNAYO ITIMIZA KTK AGANO JIPYA WAGARATIA 6:2 TUITIMIZE SHERIA YA KRISTO MUNGU AKASEMA HUYU NDIYE MWANANGU MPENDWA NINAYE PENDEZWA NAE MSOKIENI YEYE NA HAPA SIYO ANDIKO TU SAUTI ILITOKA JUU LIVE KAMA YESU AKISEMA ISHIKE SABATO HAKUNA MASWALI LKN KWA BAHATI MBAYA HAKUSEMA LKN HATA YEYE HAKUSHIKA YOHANA 9:17
Fire
that voice
Hii
baati bukuku
kiukweli tumtii muumba
uwongo mtupu
Maganga Samson kweli kabisa uongo mtupu. Mungu hana mtoto wala hafanani na kiumbe chochote
Maganga Samson muongo mama ako mzazi mpumbavu wewe
abdallah shaaban kama uongo tuambie ukweli were kama unajua huna hekima
Shindwa nauregee katik jina rayesu krisito
Wewe ni mpinga Kristo sishangai Mungu akurehemu
aise
mmepotea pamoja na mtangazaji
Pumbafu zako
Ushindwe mara saba shetani wewe nena una meno mabaya
Yesu ni njia ya kwenda uziman
Ee mwenyez mungu utusameh sisi wakosefu
search for watsapp
Hakuna aliye mkuu ila mungu peke yake asante yesu kwa ukomboz wako kwetu haleluyaaa
Huu ni Ushilikina. Lusifa alipoona wivu Duuh ni Uwongo usiokuwa Hata na Mipaka
Abu Khanifah Mwombe Mungu akufunulie ukweli umjue na kumfuata yeye aliye wa kweli.....Lusifa Ni mwongo na baba wa uongo hataki mtu yeyote aokolewe ndiyo maana tunamwita mwenye wivu tangu mwanzo.
Kama watu wote watamfuata Kristo wataokolewa shetani ataangamia peke yake..
philosophy udom Ukweli mnaupinga nyinyi Kwakuamini kwenu bila ya kutumia Akili.
Asante yesu
Elimu nzuri sana ya muumba wetu God
Amen
asante mungu
Sara3nice 3sara Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo siku zote huanza na herufi kubwa.
ukianza na heruf ndogo huyo mungu wa ulimwengu Yaan rusifa.
Amen
Amen