Halima Mdee 'AVURUGA' Bunge, Sakata la Muswada wa Siasa "Acheni Upotoshaji"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Halima Mdee 'AVURUGA' Bunge, Sakata la Muswada wa Siasa "Acheni Upotoshaji"
    Mbunge wa Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chadema, Halima Mdee, amewasha moto Bungeni wakati akichangia hoja katika mjadala wa vyama vya siasa ulipowasilishwa Bungeni leo Januari 29.
    #HalimaMdeeBungeni
    Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter
    GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK www.youtube.co....

ความคิดเห็น • 285

  • @Lord-Kipsang
    @Lord-Kipsang 5 ปีที่แล้ว +26

    I LOVE YOU HALIMA MDEE.from NAIROBI.

    • @rinovatkazimili7362
      @rinovatkazimili7362 5 ปีที่แล้ว

      Wabunghe wote wa upinzani bora sana kuliko hawa mazwazawa maana hawajali elimu na afya za Watanzania. Katika watu wanalipa sifa bunge la Tanzania ni huyu Dada Halima Mdee. Huyo Mhagama anaemuongelea ndie anaefanya bunge laTanzania liwe dhaifu. Wabunge wakiongea anaingilia kati sijui yeye Mhagama na Magufuli wana mahusiano gani. Mke mdogo au mkubwa. CCM inanunua wabunge kila kukichja na kukataa kupeleka watoto shule ili waongoze watoto wajinga. Watanzania amkeni mumelala. Hamtaki watoto wenu wapelekwe shule na CCM ili ndege za Serekali waendeshe kina nani Wakenya. Treni waendeshe watu gani Wanyarwanda. Mitambo ya umeme wasimamie nani Waganda. Acheni ujinga wenu Watanzania. Wabunge wa upinzani ni hazina yenu wapeni moyo.

  • @Harunery
    @Harunery 5 ปีที่แล้ว +7

    Naomba mniunganishe na huyu mdada,i love her so much

  • @edithadushi5147
    @edithadushi5147 5 ปีที่แล้ว +8

    Nakupenda sana dada angu mungu akulinde

  • @pauloawe7338
    @pauloawe7338 5 ปีที่แล้ว +18

    Halima ni noma na mkubali sana , ni sawa wabunge 50 wa ccm yeye 1

    • @akidatajiri5837
      @akidatajiri5837 4 ปีที่แล้ว

      Fikla zako nauwezo wakufkili sio mbaya, nimtazamo tu

    • @leticiajames5492
      @leticiajames5492 4 ปีที่แล้ว

      Halima mdee wewe ndo unanifanya nifuatilie bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania

  • @akibamajaliwa2193
    @akibamajaliwa2193 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki hawa wabunge hususani wanaotoka vyama pinzani,Maana mi ndo naona wanaojari misingi,utu,haki,umoja, pamoja na shida za wananchi.Kwa sababu gan wabunge hawa wa chama tawala mmebweteka sana kwakuwa mko katika chama tawala yaani kila kitu kwao ni ndiyo hata kama ni kibaya kazi ni kukubali tu ndiyo hata huwa hawahoji, ila naoumba huu ongozi uliopo uwabane kwelikweli muwajibike ipasavyo kama wanavyofanaya viongozi wa kutoka vyama mbalimblai vy a upinzani hapa nchini..hususan katika kutetea haki,na kurinda utu na misingi ya watanzania----->

  • @mujunskytv6889
    @mujunskytv6889 5 ปีที่แล้ว +26

    sema mama hawa jamaaa hawajielew.gonga bonge la like

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 5 ปีที่แล้ว +7

    Upinzani mngekuwa mnaongea kwa pointi Kama hivi Bigup mdeee Ingawa Mimi ccm

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 5 ปีที่แล้ว +11

    My roll model my jembe my sweet siasa!

  • @angelamumy4145
    @angelamumy4145 5 ปีที่แล้ว +4

    The Grate Woman❤❤❤

  • @marygaspary199
    @marygaspary199 4 ปีที่แล้ว +10

    Halima Mdee mama lao, gongea nyundo hapo !

    • @ramadhanisuleimani5202
      @ramadhanisuleimani5202 4 ปีที่แล้ว

      Huyu anapendaga sifa tu sasa ukali wa mini si uongee talatibu tu kwani hapo ni bungeni panataka hesma kubwa

    • @ambitiousholyspirit395
      @ambitiousholyspirit395 3 ปีที่แล้ว

      Takumis jembe langu

  • @musasiame2776
    @musasiame2776 5 ปีที่แล้ว +7

    big up

  • @domiciancosmas1823
    @domiciancosmas1823 5 ปีที่แล้ว +29

    2020 sipigi kura nitakuwa busy na kilimo cha nyanya chungu..☺☺

    • @tulizojeremiah8065
      @tulizojeremiah8065 5 ปีที่แล้ว

      hahahaha big up

    • @josephatmartin3449
      @josephatmartin3449 5 ปีที่แล้ว

      Ndugu kura yako ni muhimu sana. Katika kazi zako siasa ni jambo muhimu sana. Mheshimiwa Magufuli atatolewa madarakani na kura yako. Uchaguzi 2020 unasimamiwa na Marekani baada ya kumuona huyu Magufuli anataka kujiongezea muda. Hawa Wadada wa Vyama vya upinzani ndio wanalifanya bunge lisiwe dhaifu. CCM wapelekeni wabunge wenu semina. Tumechoshwa na ndio ndio za kina Kibajaji.

    • @miriamlaizer3195
      @miriamlaizer3195 4 ปีที่แล้ว

      Hahahahaaa,unaniacha hoi

    • @emmanueljuvieh4316
      @emmanueljuvieh4316 4 ปีที่แล้ว

      Mimi pia kaka ntakuwa nanyeshea miche ya maparachichi

  • @danielnelson1087
    @danielnelson1087 5 ปีที่แล้ว +8

    Ila Halima mdee ameshindikana

  • @stanleypaulo3457
    @stanleypaulo3457 4 ปีที่แล้ว +4

    💕mdee

  • @anithakalist6194
    @anithakalist6194 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewa bulaya huko vizuri,tunakuombea mungu azidi kukutumia Kwa viwango vingine🙏

  • @jacquelinemwakasala9563
    @jacquelinemwakasala9563 5 ปีที่แล้ว +10

    nampenda halima hafi naumwa.yaan anajiamini.msomi.anajielewa mungu akutunze halima uzidi kunga'AA

  • @hellenalex9541
    @hellenalex9541 5 ปีที่แล้ว +6

    Super woman

    • @awardzcharlz1812
      @awardzcharlz1812 5 ปีที่แล้ว

      Hellen,Dada e2 Halima mdee just a super women.

  • @johnmollel1648
    @johnmollel1648 5 ปีที่แล้ว +30

    Huyu Dada ni noma ni kichwa chake kimoja ni sawa na wabunge wote wa kijani

  • @annamalunda2732
    @annamalunda2732 4 ปีที่แล้ว +1

    Am proud of u Mumieee

  • @elinajacksonharusha7155
    @elinajacksonharusha7155 5 ปีที่แล้ว

    Hata wakusemaje vibaya bado unaniumiza kichwa, mwanamke shupavu unayejielewa, Mungu akupe maisha marefu Halima na wengine wengi.

  • @djonetz2730
    @djonetz2730 5 ปีที่แล้ว +3

    Uko sawa mama nakukubaliii asikukubali ajiue

  • @kasimuyahaya4010
    @kasimuyahaya4010 5 ปีที่แล้ว +3

    Nilikuwa nimelala nimeota hii sauti tu nikabidi nisikie tu ilove you mdee

  • @shambulibahini6326
    @shambulibahini6326 5 ปีที่แล้ว

    Real politician...big up madam for your patriotic situation you have...and God bless you

  • @fredreckmwakalinga3475
    @fredreckmwakalinga3475 5 ปีที่แล้ว +21

    wabunge wa ccm ni kma TBC redio chenga chenga

  • @kashambachamzuri8082
    @kashambachamzuri8082 5 ปีที่แล้ว +2

    asante
    dada
    mungu
    yuko
    nanyi
    kunasikuatajibu
    maombi
    ya
    wa
    tz

  • @bartholomewezeckiel967
    @bartholomewezeckiel967 5 ปีที่แล้ว +18

    Ccm wamebaki kupotosha ukweli kuwa uongo huo ni ushetani,halima mdee semeni ukweli Mungu yupo pamoja

  • @aminabanka8203
    @aminabanka8203 5 ปีที่แล้ว +2

    asante Mweshimiwa Halima Mdee kwa niamba ye2 safi sana pambana Mama kufa ni kufa tu hakuna atakayebaki hum duniani God blessed u sima hata kama kuna nyuki wanakuuma Mama

  • @khayriyamussa6274
    @khayriyamussa6274 4 ปีที่แล้ว

    nimependa hiyo hamjui lini mutakua wap... Hongera dada uko vzuri

  • @teddymtweve6784
    @teddymtweve6784 4 ปีที่แล้ว +1

    I love you mdee ✌

    • @amoor-km8tq
      @amoor-km8tq 4 ปีที่แล้ว

      hogera halima dada

  • @unclesamtz6048
    @unclesamtz6048 5 ปีที่แล้ว +5

    Waambie hao mabashite

    • @mussamalick1045
      @mussamalick1045 5 ปีที่แล้ว

      Daah mi ni ccm lkn huyu dada nampenda kwa misimamo yake. Natamani hata awe mke wangu wa pili aisee.

  • @NyumbaniHabariMedia
    @NyumbaniHabariMedia 5 ปีที่แล้ว +4

    Asante sn Mh. Mdee....wewe ni bora kuliko wao wengi

  • @neemaonersmojuma3147
    @neemaonersmojuma3147 5 ปีที่แล้ว +3

    Mbunge mwenye hoja 2020 kawe hakuna mpinzani Dada we ni mbunge forever and ever

  • @samsonmwankosole375
    @samsonmwankosole375 5 ปีที่แล้ว

    Asante Halima Mdee Kazi nzuri

  • @etwekitilya5855
    @etwekitilya5855 4 ปีที่แล้ว +2

    👏👏👏 Mungu atuhurumie jaman Dada Halima Mdee Mungu akutunze sana...

  • @rajaburaja2458
    @rajaburaja2458 5 ปีที่แล้ว +4

    Asante jembelet waeleze hao

  • @bashirhasan255
    @bashirhasan255 5 ปีที่แล้ว +21

    Mimi ni ccm damdam ila chadema wako vizuri sisi ccm tutapata zambi sana

    • @brunomhume740
      @brunomhume740 5 ปีที่แล้ว

      Ama kweli halima ni jembe!

    • @rinovatkazimili7362
      @rinovatkazimili7362 5 ปีที่แล้ว

      Mnawakataa CHADEMA lakini Watanzania mtakuja kujuta. CCM hawataki watoto wenu wawe na elimu. Jiangalieni kwenye familia wasomi ni wangapi na ni wangapi hawana ajira. CCM no msiwachague tena. Semeni uchaguzi usimamiwe na Marekani watoke. Hawawezi iba kura. Mnashangilia CCM wakati wengi mnalala njaa mafala nyie.

    • @zuhurasebastian5883
      @zuhurasebastian5883 4 ปีที่แล้ว

      Waambie mama sisi tupo tayari kwa lolote apa Tanzania maana tumezidi kuumizwa Viongozi tulionao mitaani ni sawa na mavi ya nguruwe awaeleweki kazi yao ni kujambajamba upuuzi tu halima tufikishie ujumbe mama tunakutegemea

    • @raymondmjebe2412
      @raymondmjebe2412 4 ปีที่แล้ว

      uwe na kumbukumbu make mungu xo mwanasiasa

    • @ambitiousholyspirit395
      @ambitiousholyspirit395 3 ปีที่แล้ว

      Kweli

  • @simuyangu1356
    @simuyangu1356 5 ปีที่แล้ว +8

    Ilikuwa niende zimbabwe...ila kwa hoja hizi itanibidi nibaki Tzd..halima ni Noma

    • @beautyibrahim8428
      @beautyibrahim8428 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂Muulize roma kilichomtudisha tz huko zimbabwe nn

  • @masterngao5538
    @masterngao5538 5 ปีที่แล้ว +2

    It's not comedy but its true

  • @nassororamadhan2515
    @nassororamadhan2515 5 ปีที่แล้ว +2

    Nafrah sana nikiwa nasoma comment halafu jamaa anaandika et chadema hamna kitu bila hoja yoyote....masela yana replay kwa kipondo cha hatarii halafu aliye komment kimyaaaa

  • @meshackmangare9194
    @meshackmangare9194 4 ปีที่แล้ว

    Big up sana mdee!.

  • @hassanlamumba5054
    @hassanlamumba5054 4 ปีที่แล้ว

    Harina juu

  • @karimujuma7784
    @karimujuma7784 5 ปีที่แล้ว +30

    Cku nkiipgia kura ccm mwenyezi mungu anitoe roho hapohapo

    • @mudhakirudauda7933
      @mudhakirudauda7933 5 ปีที่แล้ว

      Aameen

    • @chrisantgeorge3677
      @chrisantgeorge3677 5 ปีที่แล้ว

      Siku ukiipigia kura ccm ndo siku utaacha kufilwa

    • @omaricyrilysaidi3718
      @omaricyrilysaidi3718 5 ปีที่แล้ว +1

      CCM woteeeee ni mambumbumbu

    • @masterngao5538
      @masterngao5538 5 ปีที่แล้ว

      Daaah we hatari

    • @elizagabrael4818
      @elizagabrael4818 5 ปีที่แล้ว +1

      Ccm wangekuwa ndio wamiliki wa rangi ya kijani,nisingekuwa na chochote kile chenye rangi ya njano wa kijani ,kwa kuwa ningejiskia nimevaa na kutengeneza na unafiki,ningejiskia mwoga na mtumwa wa fikra,ningejiskia mtetea tumbo na maslahi binafsi kuliko ya nchi nilie tayari hata kumkosea Mungu na walio wengi kwa ajili ya kujipendekeza na kumwogopa mtu asininyime cheo au mkate.Lakini kwa kuwa ni Mali ya Mungu Basi.Ila wa wanaaibisha sana kwa uvunjifu huu wa Sheria na serikali yao

  • @idrisahussein3869
    @idrisahussein3869 5 ปีที่แล้ว +29

    Vichwa ninavyoviamini vipo upinzani,labda kule chama tawala nimchukuwe Bashe na Nape tu wengine wote naona midoli tu.

  • @karimujuma7784
    @karimujuma7784 5 ปีที่แล้ว +5

    Ukiwa wa ajabu lazima utakua na ufofauti moyoni ccm wa ajabu sana

  • @ricksonmrema86
    @ricksonmrema86 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli mdee

  • @janesway3680
    @janesway3680 5 ปีที่แล้ว +2

    mbunge mmoja utadhani wabunge 200 wa ...mtu kama huyu ndo anafaa awe waziri

  • @ridiamwainunualsee7495
    @ridiamwainunualsee7495 4 ปีที่แล้ว

    Halima mdee nakupenda buree

  • @hamismasoud8306
    @hamismasoud8306 5 ปีที่แล้ว +1

    Hui mswada ni kiboko ya wanasiasa wahuni wote wezi wa ruzuku pia akili itawakaa sawa maana kuna chama mpaka leo hakina ofisi hata moja Tz nzima.

  • @beautyibrahim8428
    @beautyibrahim8428 5 ปีที่แล้ว +34

    Halima mdee na ester bulaya ndo mnanifanya nifuatilie maswala ya bungee

    • @tousihhhh6765
      @tousihhhh6765 4 ปีที่แล้ว

      kabisa ndungu huy halima faya🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @lupfunyambote4690
    @lupfunyambote4690 5 ปีที่แล้ว

    Sauti ya matumaini, Asante.

  • @valeriananziku3561
    @valeriananziku3561 5 ปีที่แล้ว +10

    Yaani Mimi sins lakusema ngoja niingie chumbani niwaombee marehemu Ghadafi,Saddam Hussein,Iddiamin Dada, YonasSavimbi, Adrof Hitler,Mzolewa,MobutuSeseseco wengine wiki ijayo

  • @husenially8649
    @husenially8649 5 ปีที่แล้ว

    ase mh umetisha sana

  • @josechondo4415
    @josechondo4415 4 ปีที่แล้ว

    Ongeraa mdee wapashee aoo wspuuzi

  • @loishiyemollel8071
    @loishiyemollel8071 5 ปีที่แล้ว

    Wabunge waliochaguliwa na wananchi wanajua wajibu wao ,hongera mamy

  • @kawelasaidi502
    @kawelasaidi502 4 ปีที่แล้ว +1

    huyu mama yuko vzr

  • @sophyemmanuel5129
    @sophyemmanuel5129 4 ปีที่แล้ว

    Vizuli sana mdee

  • @BESTTV1LIVE
    @BESTTV1LIVE 5 ปีที่แล้ว +5

    dakaka 8:05 =10????????????????????????????????????????????? wizi wandani kwa ndani

  • @farajimtoi9238
    @farajimtoi9238 5 ปีที่แล้ว

    Tatizo hapo inaonekana hiyo sheria inataka kutungwa kama vile ni ya temporary tu bila kuangalia miaka mingi mbele inatoa mwanya kwa kiongozi kuweza kufanya maamuzi ya kuathiri wengi bila kuonekana popote kuwa amevunja sheria.
    Mfano msajili anaweza kushinikizwa na mtu yoyote kufanya maamuzi ambayo sio sahihi kwa kutumia mwanya huo wa sheria.
    Halima na Zitto nimewaelewa sana, mswaada ni mzuri ila marekebisho machache yanatakiwa. Wabunge wengine yaoneni hayo mapungufu ili sheria iwe nzuri kiutekelezaji.

  • @shekheissa3390
    @shekheissa3390 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwr sema mama

  • @emmanuelnimbasa1754
    @emmanuelnimbasa1754 4 ปีที่แล้ว +1

    Mie ni mwanandoa tayari ni mwanandoa ila halima ningependelea awe mke wangu endapo hajaolewa.

  • @rehemaradhid5716
    @rehemaradhid5716 4 ปีที่แล้ว +1

    Aliyenisimamia kesi😃😃mbavu zangu mambo madogo madogo

  • @kaminyogemwachelwa9884
    @kaminyogemwachelwa9884 5 ปีที่แล้ว +16

    Wapinzani vichwa hakika

    • @zodaatzodatdaahkaziipo3997
      @zodaatzodatdaahkaziipo3997 5 ปีที่แล้ว

      Kaminyoge Mwachelwa anaongea kama mwehuhu mhm nahilo bezi mbona zito hivyo , sijaona ponti unaongea pumba tupu wew

    • @awardzcharlz1812
      @awardzcharlz1812 5 ปีที่แล้ว

      Kwel!

  • @juliaslaizer341
    @juliaslaizer341 5 ปีที่แล้ว +5

    Kweli Mungu atawapigania ipo siku isiyo na jina

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 4 ปีที่แล้ว

    Hujawahi kuniangusha hata siku moja hongera jembe langu halima mdee

  • @marthacharles8151
    @marthacharles8151 5 ปีที่แล้ว

    Nakupenda buree

  • @ziadasadiki8196
    @ziadasadiki8196 4 ปีที่แล้ว

    Ulikosea tu kwenye Lockdown ya MABEBERU ili uwe Mzalendo mzuri.

  • @manoom2135
    @manoom2135 5 ปีที่แล้ว

    Nakukubali mama

  • @josefumnama3780
    @josefumnama3780 4 ปีที่แล้ว

    Mngu akulinde

  • @mussamalick1045
    @mussamalick1045 5 ปีที่แล้ว

    Mimi ni ccm pia .lkn nampenda sana huyu dada . I wish angekuwa mke wangu wa pili .ana msimamo sana

  • @miltonmiltonpaulo3436
    @miltonmiltonpaulo3436 5 ปีที่แล้ว

    yap sema mama

  • @dvdmaro903
    @dvdmaro903 5 ปีที่แล้ว +4

    Dk 10 halafu hapa zinasomeka 8:48 mnaedit

  • @lukakyauke9716
    @lukakyauke9716 5 ปีที่แล้ว +2

    Simba jike umetisha kunguruma

  • @chrissjeremiah6379
    @chrissjeremiah6379 5 ปีที่แล้ว +2

    Yani ww mdada ungekuwa mwanaume ungekuwa noma Kama mwanamke unasmbua hivo je, ungekuwa dume, Piga kazi mama sema Ukweli

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 4 ปีที่แล้ว

      Awe mwanaume mara ngapi??mpe mkeo uone kama atarudi kwako

  • @paulntalima8244
    @paulntalima8244 5 ปีที่แล้ว

    Naam

  • @salamakhamis7245
    @salamakhamis7245 5 ปีที่แล้ว +1

    Dada Halima jitahidi ukiongea usijkamue sana utapata matatizo mbeleni

    • @mtotowahalimamdeetunduliss6238
      @mtotowahalimamdeetunduliss6238 5 ปีที่แล้ว

      hajikamui ila wanasheria wengi wao hawawezagi kuongea taratibu huwa wanaongea kwa msisitizo na kwa nguvu

  • @erikibarnabas6089
    @erikibarnabas6089 4 ปีที่แล้ว

    Jembe nakukubali

  • @godfreymligo5140
    @godfreymligo5140 5 ปีที่แล้ว +2

    Sitopiga kura 2020 sababu ccm wamesha jipigia kura badara ya wananchi

    • @marygaspar6429
      @marygaspar6429 5 ปีที่แล้ว

      Halima Jembe jamani!

    • @marygaspar6429
      @marygaspar6429 5 ปีที่แล้ว

      Magufuli angepata wabunge 50, kama Halima, hakuna kingechoharibika kwenye bunge la Tanzania!

    • @hasanuzenga7532
      @hasanuzenga7532 5 ปีที่แล้ว

      Noma. xana

  • @edgarevance2172
    @edgarevance2172 5 ปีที่แล้ว +8

    Halima anazungumza ukweli mtupu

  • @halimakhalfan1196
    @halimakhalfan1196 4 ปีที่แล้ว +1

    jmn jmn halima weew nnnomaa

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 5 ปีที่แล้ว +1

    Ludovick Kasusa: acha wivu na uongo kaka, Halima anasoma Halima anafatilia kazi zake kwa karibu na kuzifanya kwa umakini tangu zamani:

  • @stellamoss8573
    @stellamoss8573 5 ปีที่แล้ว

    nakuelewaga sana mudee

  • @hejopantumsifusimon21
    @hejopantumsifusimon21 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubal mby alima mdeee mwaaaah

  • @giftlenox8234
    @giftlenox8234 4 ปีที่แล้ว

    nawakubali sana chadema japo ccm wanatuona

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 5 ปีที่แล้ว +10

    Ccm bora wafe wote, hatupendi hata kuwaona wakichangia, Kijani bora Muoze kabisa, hao Ccm wabumge wa ndioo mzee heri wafe

    • @gracegrace8620
      @gracegrace8620 5 ปีที่แล้ว

      na utaaza ww kuoza maana sote ni binadamu vipi umuwazie mabaya mwezio je,unaijua kesho yako?

    • @vivianmbiro6866
      @vivianmbiro6866 5 ปีที่แล้ว

      Namkubali mdee kinyama yaan bigup

    • @mgenikhamis.zubeirkhamiszb9934
      @mgenikhamis.zubeirkhamiszb9934 4 ปีที่แล้ว

      Wakifa Wote utapata faida gani? Ikesha na wewe jitasimini utakaa maisha ongea pointi usitusokote kama huna chakiongea siunyamaze tu

  • @jacksonmodaha1590
    @jacksonmodaha1590 5 ปีที่แล้ว +2

    CCM watawamaliza jmn kaeni makini

  • @jafarmtumwa3804
    @jafarmtumwa3804 4 ปีที่แล้ว

    Nilikuwa nakupenda Sana lakin inasikitisha toka wananchi wako wakuwe kwenye hicho kiti hujarud nyuma hata kuwaona

  • @godfreymligo5140
    @godfreymligo5140 5 ปีที่แล้ว +2

    Safisana mdee

  • @smaihsmaih2815
    @smaihsmaih2815 5 ปีที่แล้ว +2

    huyu sichoki kumsikiliza anaongea kwa hisia sana
    na anasomeka vizur

    • @francischitina9919
      @francischitina9919 4 ปีที่แล้ว

      kila iitwapo leo wabunge wa upinzan schoki kuwasikiliza

  • @deusywikes610
    @deusywikes610 5 ปีที่แล้ว +1

    Ccm sasa mnakoendelea mnataka kuturudisha kwenye ukoloni

    • @pipichepe7107
      @pipichepe7107 4 ปีที่แล้ว

      Nakupenda sana halima una point sana yani pasua majipu pasua pasua sana waone haibu sasas naole mzulu halima ole hata apate kakovu kaongea ukweli mtaaza mtazama tazama kila anakoenda kumvizia olewenu

  • @furahinurio8917
    @furahinurio8917 5 ปีที่แล้ว +3

    Jembe

  • @loishiyemollel8071
    @loishiyemollel8071 5 ปีที่แล้ว

    Mimi kwa hofu ya kucharangwa mapanga kwe mistari ya kupigia kura ,naiomba serikali ituruhusu tupige kura kwenye mitandao yetu ,nina hamu na ari ya kupiga kura lakini naogopa kweli kuona manyanyaso

  • @Juma-fb8rf
    @Juma-fb8rf 5 ปีที่แล้ว +5

    Halima ww Jembe !!

  • @mgalatiakarume5596
    @mgalatiakarume5596 5 ปีที่แล้ว

    hapa naona kuna mikakati ya kumtengenezea mtu atawawale milele asante mdee mbunge unaye ongoza jimbo wanaloishi vigogo wa serikali hakika kichwa hiki ni hatarii na waibe kura wafanye nini wewe ni mbunge wakawe maisha

  • @nkindikojr1393
    @nkindikojr1393 4 ปีที่แล้ว +1

    Duuuh

  • @moseslaizer538
    @moseslaizer538 4 ปีที่แล้ว

    Yaani mimi bila upinzani hata siangaiki kuangalia bunge

  • @mgendimussa7224
    @mgendimussa7224 5 ปีที่แล้ว +4

    Dada upo poa sn sf

  • @levicaristides2731
    @levicaristides2731 5 ปีที่แล้ว

    Sauti ya senge nakukumbali sana

  • @sindanokali
    @sindanokali 4 ปีที่แล้ว

    ilike your ideology halima mdee

  • @simondibili4585
    @simondibili4585 5 ปีที่แล้ว +1

    Siku wakiodoka wapizani mm ctafatilia bunge

  • @rehemaradhid5716
    @rehemaradhid5716 4 ปีที่แล้ว +1

    Nilikuwa nasinzia lakini kumuona mh mdee usingizi umekata😃😃