MREMBO Asimulia UNYAMA Wanaofanyiwa WAFANYAKAZI wa NDANI UARABUNI, KUBAKWA, KULAWITIWA | PT 2...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • MREMBO Asimulia UNYAMA Wanaofanyiwa WAFANYAKAZI wa NDANI UARABUNI, KUBAKWA, KULAWITIWA | PT 2...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY: shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 411

  • @happinessakim2679
    @happinessakim2679 3 ปีที่แล้ว +15

    Watu wenye ngoz nyeupe wanawachukia Sana watu weusi,,,,,Kama halijakukuta wew nyamaza,,,,,,tunaushahid weng wanaoenda huko wanarudi na maumivu,,,,,,,,makali.

    • @lucyhusein4043
      @lucyhusein4043 3 ปีที่แล้ว +1

      Hap hawa weupe wamejiumba honhera yao nadunia yao wataish milele

    • @robbyzacharia9961
      @robbyzacharia9961 3 ปีที่แล้ว +1

      Yaani kweli ngozi nyeupe wanaroho mbaya sanaaa wahindi na waarabu wanaroho mbaya sanaa

    • @mamialsawafi8020
      @mamialsawafi8020 3 ปีที่แล้ว

      @salma oman utawaweza watu wasokuwa na shukran sasa watakoma wameanza kufungiwa kuingia nchi za kiarabu kwa kashfa zao na matusi sasa imekula kwao watatia adabu na bado watadhalilika kwa nafsi zao chafu. Oman hawatakiwi tena labda waingie kwa matembezi kwa kazi za ndani hakuna

  • @alalwialalwiii8194
    @alalwialalwiii8194 3 ปีที่แล้ว +11

    Jamani tuseme ukwer huyu Dada kunavitu a naongea ukwerii kabisaaa

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 3 ปีที่แล้ว +18

    Wala sio uongo hayo yapo ila kwamimi Alhamdulillah naishi vizuri Sana wanahofu namungu mashallah

    • @didilove1054
      @didilove1054 3 ปีที่แล้ว +1

      We tupo pamoj mimi niko vizur kbx

    • @didilove1054
      @didilove1054 3 ปีที่แล้ว

      Duuuuuh natamani nikujue

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว +1

      huku uarabun ni shidaaaaaa hata mie nipo huku ni balaa

    • @ishaomari2232
      @ishaomari2232 3 ปีที่แล้ว +2

      Ni kwel mpnz lkn sijui kwnn wengine wanamtukana huyu dada anasema ukweli wake mana ni kwel yapo mateso

    • @waheedahtanzania4912
      @waheedahtanzania4912 3 ปีที่แล้ว

      Mashallah swadakta zidi kumuomba Mungu ili aepushe ibris asitinge ndani na kuiharibu Amani ya nyumba Inshaallah 👏

  • @eshasalim3660
    @eshasalim3660 3 ปีที่แล้ว +16

    Nibahati sana kupata tajiri mzuri wengine wanafanywa kama watumwa

    • @udaku..travel8506
      @udaku..travel8506 3 ปีที่แล้ว

      Huyu dada muongo sana wanakimbiya maboss wao wanajiuzaa mm mwanaume nipo oman mwaka wa nne nawajuwa sana wanakimbiya wanambaga wanajiuwa rial 5 ama 10 wapo wanao wanafanya kaz vizur tu usitukane warabu malaya wewe kama manyanyaso kila sehemu yapo ungesema baazi ningekunga mkono ila kusema warabu wabaya huo ungo

    • @waheedahtanzania4912
      @waheedahtanzania4912 3 ปีที่แล้ว +1

      Sahihi kuna wengine wazuri maboss na wengine wanaroho mbaya maboos

    • @aishaomari944
      @aishaomari944 3 ปีที่แล้ว +1

      Hata useme nini mm uarabuni ndio nimefika nimetua mizigo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nahis yy yalimshinda

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      @@udaku..travel8506 KAJIPAMBA KWA HELA ZA WATEJA WAKE WATU WANAMJUWA HUYO.

    • @sukariyao6537
      @sukariyao6537 3 ปีที่แล้ว +1

      @@udaku..travel8506 toka hapa malaya wewe we mwenyewe ndio muarabu mshenzi ni kweli waarabu wanaroho mbaya sana na umalaya wewe ndio boss wao unawanunua malaya 😏

  • @laymashabani832
    @laymashabani832 3 ปีที่แล้ว +7

    Kiukweli tunateseka tena tunateseka vizur tu

    • @aminaramdan3283
      @aminaramdan3283 3 ปีที่แล้ว

      Sasa kama Unateseka Kwanini Unang'ang'ania ktk Inchi Inayokunyanyasa,, Inamana Hakuna Zuri Mnayofanyiwa Ila ni Kunyanyaswa Kwanini Msiseme na wema Wao Ila Mnachokikumbuka Ni Mabaya tuu,,

    • @Salhiya-hr7dy
      @Salhiya-hr7dy 2 ปีที่แล้ว

      @@aminaramdan3283 Ww dada heeeeh 🥺🥺🥺🥺

  • @aminahussein5418
    @aminahussein5418 3 ปีที่แล้ว +7

    Awezi kuongopa nikweli kabisaaa

  • @eshasalim3660
    @eshasalim3660 3 ปีที่แล้ว +11

    Hayo anayozungumza Miss Lydia siurongo Mimi nilikwenda Saudia na mume wangu alichelewa kufika kunipokea basi niliwekwa kwa hiyo room ndani kulikua na wanawake wengi wasubiri huyo tajiri ambae amemleta huyo mfanyi kazi

  • @mwanaherhussani7425
    @mwanaherhussani7425 2 ปีที่แล้ว +1

    So warabu wote Wana roho mbaya jamani musihukumu mbona Mimi Nina miaka kumi na hakuna hayo bwanaa acheni kuchafuwa watu

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 ปีที่แล้ว

      Kila mtu Ana bahati yake , mengine ni kwelii

  • @hadeeegahalmawali504
    @hadeeegahalmawali504 3 ปีที่แล้ว +5

    Kweli kbs huku unashida tu lkn ndio tunatafuta tu

  • @Salhiya-hr7dy
    @Salhiya-hr7dy 2 ปีที่แล้ว

    Nacheka na comment za Waja jmny mpk wengn mseme ivo haaaaah naskia raha nikisoma 😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂

  • @giftkadzo1339
    @giftkadzo1339 3 ปีที่แล้ว +5

    Ukipata watu wazuri shukuru mungu wengi ni wanyama

  • @dimbagomussa7705
    @dimbagomussa7705 3 ปีที่แล้ว +5

    Dada unachosema ni sahihi

  • @miriamdaudmhombodaudmhombo9549
    @miriamdaudmhombodaudmhombo9549 3 ปีที่แล้ว +10

    Huyu dada anavyoongea ni kweli kabisa haya mambo yapo kabisa na muarabu ana roho mbaya sana

    • @007-h9m
      @007-h9m 3 ปีที่แล้ว

      Hata mwafiririka ana roho mbaya sana juzi kule Tanga kaburutwa mtu kwa piki piki hadi amekufa so jambo kama hilo halijawahi kutokea uarabuni

    • @gallegalleson4427
      @gallegalleson4427 3 ปีที่แล้ว +1

      Waarabu wafukuzwe tz

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว +1

      @@gallegalleson4427 WEWE MRUNDI UTAFUKUZWA WEWE.

    • @amarliashamhope6792
      @amarliashamhope6792 3 ปีที่แล้ว

      Yani wana roho z wanyama kabisa

    • @fatmasalim8293
      @fatmasalim8293 2 ปีที่แล้ว

      Shika adabu yako hata wa afrika pia wana roho wangapi twaona mnavyowatesa sio warabu wote usihukumu watu

  • @muneeraalrawahi8513
    @muneeraalrawahi8513 หลายเดือนก่อน

    Alafu hakuna ndege unaweza kubeba mabegi zaidi ya mawili unless ununue kg extra hata Qatar airways huezi kuchukua zaidi ya mabegi mawili ukiwa economy

  • @fainesimathiasi179
    @fainesimathiasi179 2 ปีที่แล้ว

    Kachoka mbwaaa huyooo ameshatimiza malengo.yakeee.huooo

  • @mwanajumawachu7543
    @mwanajumawachu7543 3 ปีที่แล้ว +2

    Warabu hatu waonei.ila.wengi.wao ni wabaya xana,yaani wanajiona.wao ndio binadamu wewe ndio hufai

  • @latefalatefa2664
    @latefalatefa2664 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu dada sio muongo anasema kweli maboss wengine niwa zuri tu ila wengine hatachakula niwachoyo mimi nipo oman nimeyashuhudia ila mimi namshukuru Mungu kwa chakula nakula ninachokitaka

  • @gloryr9497
    @gloryr9497 3 ปีที่แล้ว +2

    Kama nyie ni wafatiliaji wazuri tafuta tuko tv uone Kuna dada aliuwawa huko saudia tangu mwezi wa pili taarifa unakuja mwezi wa sita mkenya huyo,Sasa mtasemaje ni uongo

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      SAUDIA SIO OMAN USILETE HABARI ZA WA KENYA NA WASAUDIA KENYA HAMNA SERIKALI??? NA BURUNDI HAWANA SERIKALI???

  • @shamalhabsi3563
    @shamalhabsi3563 3 ปีที่แล้ว +1

    Mnafiki mkubwa siku hizi hamna ticket kila kitu kiko kwenye system uongo unadhihirisha hata Ethiopië anashindwa kuitaja kweli unafiki ni mbaya 😀😀😀😀

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 3 ปีที่แล้ว +3

    Na wengine wanacomment wewe muongo baadhi yao ujuwe wanaishi oman kwa hiyo lazima wanatete kuwq hamna mateso 😄lakini mateso yapo wengine hadi wananyimwa chakula na wengine wanapigwa, wengine mashallah wanakutana na nyumba nzuri na maboss wazuri wenye hofu na Mungu wanaishi uzuri mashallah

  • @suzanalucasemanuel7006
    @suzanalucasemanuel7006 ปีที่แล้ว

    Ni ukweli jaman dada zetu wanapitia changamoto pole dada

  • @MwajeiKhamis
    @MwajeiKhamis 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada so muongo hapo kwenye kupishana kidogo tu unakatiw wf mungu atutie nguvu sijasema wote ila mm

  • @muneeraalrawahi8513
    @muneeraalrawahi8513 หลายเดือนก่อน

    Kama mnaona mnateswa na warabu basi msiende kufanya kazi kwa warabu mtafute nchi zenye watu wema

  • @abdallaabeid2951
    @abdallaabeid2951 3 ปีที่แล้ว +2

    Uyu mtangazaji arudi chuo akasome tena skills za kumuhoji mtu yaani hajuwi ata mtu anahojiwa vipi anaboa sana.

  • @munamohd963
    @munamohd963 3 ปีที่แล้ว +9

    Tuko huku dada uko kutoka ndani shida

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว +1

      umeonaee

    • @erastonicholas5589
      @erastonicholas5589 3 ปีที่แล้ว

      Kama kutoka ndani ni shida hamna hata sumu ya panya ukawachanganyia kwenye mikate yao?au juisi jiongeze urudi bongo kume noga

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว

      @@erastonicholas5589 kasharudi yupo dar

    • @waheedahtanzania4912
      @waheedahtanzania4912 3 ปีที่แล้ว

      @@erastonicholas5589 Astaghfirullahu laadhwimu Acha kumfundisha mwenzio roho ya kiibris yakutia sumu tutakuchukulia hatua kama huwezi comments nyamaza

    • @halimahamady3284
      @halimahamady3284 3 ปีที่แล้ว

      @@waheedahtanzania4912 wew nawe nahisi ndo haoahao ma agent

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 6 หลายเดือนก่อน

    Dada nikweriiiiiiii hujaongopa. Nkikweriiiiiiiiiii.

  • @pillyolsen8377
    @pillyolsen8377 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwakweli bora ufanye kazi na mungu kuliko mwarabu mzugu anajuwa uninafamu na unafanya kazi kea masaa na unalipwa kwa masaa yako

  • @TatuMatendo
    @TatuMatendo หลายเดือนก่อน

    Uyu dada anaongea ukweli kabisa wala siuongo

  • @issaissah8832
    @issaissah8832 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nipo Saudia kwahyo binti yupo Sawa kabisa wa arabu ni selfish kinoma

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 ปีที่แล้ว

    Waarabu nimangurue na mashetani nyoka maumbwa hawa

  • @nasserkhoduri4087
    @nasserkhoduri4087 3 ปีที่แล้ว +4

    Tatizooo ubaloziiiiii wa Tanzaniaaa😫😫😫

  • @fatmasaid9242
    @fatmasaid9242 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanatunyanysa sana ngoz nyeusi hawatupend tuseme na umaskini weťu uarabuni Hakuna Raha TUSIKUBLI KWENDA

  • @rahmasoliman489
    @rahmasoliman489 ปีที่แล้ว

    Kwanini usingelipia hayo mabengi

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 2 หลายเดือนก่อน

    Safir kwa sheria sio wakatazwe utawalisha ww

  • @sarahmackenga3868
    @sarahmackenga3868 3 ปีที่แล้ว +5

    Huyu dada anaongea ukweli mtupu, angalie tuko ya kenya Kuna wadada wanasimulia mateso wanayopata huko saudia

    • @marcynhumbi3534
      @marcynhumbi3534 3 ปีที่แล้ว +1

      Na wanawake wengi tu kenya wanarudi kwao wakiwa marehemu kwaajili ya mambo kama hayo

    • @marcynhumbi3534
      @marcynhumbi3534 3 ปีที่แล้ว

      Na wanawake wengi tu kenya wanarudi kwao wakiwa marehemu kwaajili ya mambo kama hayo

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      @@marcynhumbi3534 WAZUIYENI WASENDE.

  • @Shalom2018
    @Shalom2018 3 ปีที่แล้ว +3

    Hayo mateso nchi za waarabu itakuwa ni kweli,wakenya wengi wameelezea hayo matatizo wengine wamekufa pia

    • @dawaseif3699
      @dawaseif3699 3 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabisa halaf cjui wana cri kukupeleka spitali ni wagumu sana

  • @mariambakari8041
    @mariambakari8041 3 ปีที่แล้ว +1

    Niukweli anayo yaongea nakwawale wanasema niuongo hayaja wakuta washukuru

  • @roseeliasi4339
    @roseeliasi4339 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwa upande wangu nashukuru boss wangu ana hofu ya Mungu ila anachokisema huyu dada ni kweli nna rafiki yangu huku ananyimwa chakula

    • @roseeliasi4339
      @roseeliasi4339 3 ปีที่แล้ว

      @@erastonicholas5589 🤣🤣🤣 yaaninimejichunga hatarii mwezi ujao namaliza mkataba

  • @ahmedalsheyban9312
    @ahmedalsheyban9312 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwanza wew sio mtazania kwanin usiend kwenu Burundi ukahojiwe huko kwenu wew acha kuchafuw Tanzania acha uongo

    • @abdijecha6932
      @abdijecha6932 3 ปีที่แล้ว

      Muongo huyu bwana .sanna

    • @Salhiya-hr7dy
      @Salhiya-hr7dy 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 3 ปีที่แล้ว +1

    Unachosema yote ni ukweli na haya yafike Serikalini. Hamna watu wenye roho chafu hapa duniani kama waarabu hao nguruwe wanaona Waafrika ni watumwa tu , na mwarabu hamthamini mwaafrika kabisa na kwao huko so primitive na hakuna haki za binadamu. Hizo nchi uwa wanauwa Waafrika tena Saudi Arabia ndio makatili sana hao mbwa. Madada zetu ni bora muende kutafuta maisha sehemu zingine ila sio Uarabuni.

  • @SihabaAbdallah-li6dx
    @SihabaAbdallah-li6dx 7 หลายเดือนก่อน

    Hajaongopea anoongea yote hajaongopea

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 2 หลายเดือนก่อน

    Usipaniki😂😂😂 nipo miaka na mikaka

  • @salome0015
    @salome0015 3 ปีที่แล้ว +2

    Nikweli kabisa mm Niko saudia Arabia ni nacho kiona ni Mungu tu 😭😭

  • @siphaeldavid206
    @siphaeldavid206 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu dd nimempenda buree na story yake pia imeniumiza sn.

    • @lucyhusein4043
      @lucyhusein4043 3 ปีที่แล้ว

      Huyu dada anasema ukwel kabisa angalieni kwajicho latatu serekal?

    • @lucyhusein4043
      @lucyhusein4043 3 ปีที่แล้ว

      Chunga waije kukufatilia wakakuua maana unatoa sir zao waarabu

  • @zeinabumu.hamza.1234
    @zeinabumu.hamza.1234 2 ปีที่แล้ว

    Ni.ukeli wa.rabu.ni.wa.baya

  • @amarliashamhope6792
    @amarliashamhope6792 3 ปีที่แล้ว +1

    Yani huyu dada anaongea ukweli kabisa..warabu n Sawa tu n wanyama

    • @mamialsawafi8020
      @mamialsawafi8020 3 ปีที่แล้ว

      Hahaha mtawaona wanyama kama wanashida na mbwa mwitu sasa mtajiuliza imekuwaje mpaka mnafungiwa kuingia Oman

  • @salimsaid7200
    @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว +1

    UNA MGENI CHIZI HAPO STUDIO HUYO NI CHIZI ANAHITAJI MSAADA APONE HAYUKO SAWA.

    • @hazasalimhazasalim2914
      @hazasalimhazasalim2914 3 ปีที่แล้ว

      sasa ww mzima unafanya nini hapa machizi wenzie kunaelewana

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      @@hazasalimhazasalim2914 HAPO KWAKO NIMEKUJA KUIBA PIGA KELELE WATU WASIKIE.

  • @salhaali9284
    @salhaali9284 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli mdogo wangu mm alienda mtt mbona nlienda kumfata ukikutana na wenye hofu ya mungu utastarehe lkn ukikutana na roho za kinyama utajuta

  • @Myright888
    @Myright888 3 ปีที่แล้ว

    Yaani wewe dada mtangazaji jamani mtu anaongea kwa uchungu hadi alitaka kuli hata kumfariji huwezi! Lol! Umetokea nchi gani wewe hata pole jamani huwezi, mmmh!

  • @fatmaalhabs6939
    @fatmaalhabs6939 3 ปีที่แล้ว +1

    tatizo mnawasema warabu wabaya ila kila siku mnakuja oman nani kawalazimisha nendeni nchi zingine sio lazima nchi za kiarabu pia huko bongo yapo hayo matezo

    • @mzalendomzalendo2567
      @mzalendomzalendo2567 3 ปีที่แล้ว

      @fatma alhabis...Huo ndio ukweli dunia nzima inawajua mnavyo watesa shagala haswa nyie mnao ongea kiswahili , na waume zenu ham watoshelezi wanabaka mashagala, mnapata dhambi usiku na mchana.

    • @jafarinahonyo7349
      @jafarinahonyo7349 3 ปีที่แล้ว

      @@mzalendomzalendo2567 🤣🤣🤣🤣🤣 et amuwatoshelezii hawana hofu na allah waraabu wa siku hizii

  • @fatmaalaufi9073
    @fatmaalaufi9073 3 ปีที่แล้ว +1

    Mie nataka kuwauliza tanzania hamna kazi mpaka mnakwenda kwa waarabu simjae kwenu mnakuja uku kwa tamaa za wanaume uku hakuna wazinifu ukizini utarudi kwente sanduku

  • @mbarakamtele5467
    @mbarakamtele5467 2 ปีที่แล้ว

    Huyu dada ni mrundi au mtanzania

  • @umranim5854
    @umranim5854 3 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe lirundi livivu msihangaike kulisikiliza liongo sana limepasi

    • @richardkaiza74
      @richardkaiza74 3 ปีที่แล้ว +1

      Husitumie lugha chafu na ya ubaguzi, kwani Murundi siyo mtu. Matatizo yapo ya unyanyasi yapo. Unyanyasaji na ubakaji vipo.

    • @richardkaiza74
      @richardkaiza74 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwa serikali zinazosimamia raia wake hawapati shida sana .Waphilipino serikali yao inawasaidia sana.

  • @ninabizimana6869
    @ninabizimana6869 ปีที่แล้ว

    Twambia abari ya ma kayboy

  • @angelalyimo2862
    @angelalyimo2862 2 ปีที่แล้ว

    Tableti au kapeti

  • @jokhaaadawi5972
    @jokhaaadawi5972 3 ปีที่แล้ว +1

    Naona unaongea uwongo mana hakuna watu wazuri kama wa oman ukiwasema kwa ubaya ujue na wewe pia unakasoro

    • @taustaus2737
      @taustaus2737 3 ปีที่แล้ว

      Nawewe muongo hayo yapo kweli

    • @المهلهلالحراصي
      @المهلهلالحراصي 3 ปีที่แล้ว +1

      Si anajisemea aliyo yakuta yeye kwani ulitaka maboss wafanane Sawa na hao wako kwani wamekuwa Madera ndo yana fanana

  • @halimamohd4298
    @halimamohd4298 3 ปีที่แล้ว +1

    Yani nyiye mnao mwambiya huyo dada muongo hamjielewi na ombeni yasi wakute tu ila mungu ndiye anae tulinda

  • @mizzainallahwainailalhiraj8576
    @mizzainallahwainailalhiraj8576 3 ปีที่แล้ว +1

    Jmn ao wanaosema uongo hawajafika Oman kila kitu true wanawake wa Oman hawana imani wanaroho ngumu wanatuona km mashine na sio binaadamu 😣

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 3 ปีที่แล้ว +1

    Hawa wanaosema huyu dada ni mwogo serikali ingewafuatilia Ndio hao wanaupeleka watu huko kuteseka hao ndio ma agent magaidi wauaji,mbwa nyie mna amani gani kuuza kiutumwa binadamu wenzenu

    • @TeamKRX
      @TeamKRX 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa inaniuma yatawakuta tuu mbwa

  • @zahraahmed1624
    @zahraahmed1624 3 ปีที่แล้ว +2

    Ya nini mnakuja Oman kaeni kwenu mlilazimishwa?msije kabisa hatutaki

  • @hidayajuma3068
    @hidayajuma3068 3 ปีที่แล้ว +1

    Nawanaangaliy namtu mwenyewe. Wanazalau sana. Hata mimi niko omani. Mimi niliwaambiya loho yangu nindogo sana sipendi kunyanyaswa. Kwahiyo wananiogopa. Wanajuwa. Ntaacha kaxi. Namshukulu mungu. Naishi vixuli. Ninamiak sita sasa ila nimechoka sasa kazi basi

  • @makosirojo5657
    @makosirojo5657 2 ปีที่แล้ว

    Akuna jumamosi wara jumapiri siku zote nikazi tunaomba swara hiri rifike serikari I ukifika uku ni utumwa tu wapo turio vijijini atujurikani kabisa

  • @giftkadzo1339
    @giftkadzo1339 3 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli Saudi wako maboss wa baya pia Oman siuongo

  • @mwanaherhussani7425
    @mwanaherhussani7425 2 ปีที่แล้ว

    Tunapika wote na tunakula wote tunaka kama famliy

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 ปีที่แล้ว

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏Njia ya muongo nifupi lidia kuku kujipalia makaa Mwenyewe sasa huku wa Omani wanaokoa pesa wewe ndio mnajitia Masikini jeuri mmepaka mavi Saudi Arabia sasa Upake mavi Omani laana tullah

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 ปีที่แล้ว

    Jamani someni historia ya Tanzania 🇹🇿 pia waarabu na utumwa.A short history of Tanganyika.Mtu mweusi kwa mwarabu NI mtumwa na takataka tu.Nenda ukafe

  • @aishajuma18
    @aishajuma18 3 ปีที่แล้ว +3

    Wew Sema ulikuja na gundu umepata nyumba mbaya wengine tu nashukuru tumebadilisha maisha yetu tuna nyumba zetu tumejenga

  • @wanaupendotv7183
    @wanaupendotv7183 3 ปีที่แล้ว +3

    Jamani sio ote wa baya wengine tumebadilisha maisha yetu ju ya wa arabu ukiwa na niya ya kazi unabadilishiwa nyumba ata 5 ukiwa na nia ya kazi utafaanikiwa ni subira tu

    • @juxjemc5768
      @juxjemc5768 3 ปีที่แล้ว

      Huyu dada mpumbavu sna kama ni malaya ni yeye

    • @taustaus2737
      @taustaus2737 3 ปีที่แล้ว +2

      @@juxjemc5768 sio mpumbafu anajielewa huyo na yamemkuta wewe ndio hujielewi

    • @juxjemc5768
      @juxjemc5768 3 ปีที่แล้ว

      @@taustaus2737 unataka kutu aminisha na wewe kuwa waliopo oman wote ni malaya??
      Halaf kipengele changu hujanifaham mpaka nikamuita mpumbavu
      Halaf dada mitihan ipo popote pale katika maisha ila yanayokusibu wewe usidhani kuwa na mwenzako anafanywa kama hvyoo dada
      Hata wewe nikikuomba uchi hutonipa hata kama umekubuhu vp kufanya mapenz ila sio kila mtu utampa

    • @juxjemc5768
      @juxjemc5768 3 ปีที่แล้ว

      @@taustaus2737 na chengne kuna maboss wengne wametulia wao mpaka watt wao wanawaheshim sna madada wa kaz

    • @abdijecha6932
      @abdijecha6932 3 ปีที่แล้ว

      Huyu simfanyaji kazi kwakeli.anaonekana Ni muongo sannnna

  • @salimsaid7200
    @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว +1

    SEMA MADAMU WAKO ANA ROHO MBAYA USISEME WARABU WANA ROHO MBAYA KWA SABABU YA MADAMU WAKO HALAFU HIZO CHAPATI 40 ANAKULA HUYO MADAM NA HAO WATO WAKE 4 KILA SIKU NYOOSHA MANENO UFAHAMIKE.

  • @joharikitundu
    @joharikitundu 3 ปีที่แล้ว

    wewe ni mrundi 🤣🤣🤣.Unajua njia za paka mutu. bint bingi. wewe rial 800 omani zaidi ya mil 5 za tz

  • @gilbertmathias7594
    @gilbertmathias7594 3 ปีที่แล้ว

    Hata wanaume wakienda Kule saudia kuwa madereva hunyanganywa paspot waulize walofika

  • @younggabriel9685
    @younggabriel9685 3 ปีที่แล้ว +1

    Daaaaaaaaaaaahhh polen sana yaaaaan uko so kwa kwenda kabisa yaaan

  • @rosewilliam5705
    @rosewilliam5705 2 ปีที่แล้ว

    Ukiumwa upelekwi hospitali ni vita kubwa ulimwambia unaumwa unapewa tuu madawa kama yeye uyo mwarabu ni tabibu sasa isipokua mjanja utameza dawa ni bora panadol

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 ปีที่แล้ว

    Muongo muongo muongo muongo muongo muongo muongo muongo unalalamika sana kulala na wanaume wewe inaonekana ulikuja kufanya kazi ya kulala na wanaume mimi muomani

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 3 ปีที่แล้ว +1

    Serikali ifungue macho

  • @fatmasaid9242
    @fatmasaid9242 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimependa kusema ukweli

  • @aminasultan7287
    @aminasultan7287 ปีที่แล้ว

    Pole dada miminienda huko lakini nikipata sehem nzuri tu namshukuru Mungu na sasa niko Dubai niko vizuri pia lakini nilishawai hi kwenda abudhabi nilishindwa nilikutana na mambo kama hayo niliwaazishia kasheshe nikarudi shwa ndio hivyo

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 ปีที่แล้ว

    Leo nimekupenda bi dada wangu usilie Lidiyah ....
    Unachoongea kinawezekana, maana wanaosafiri kufanya hizo kazi wapo wanaokupapoti na wapo wanaokataa... ILA NAFIKIRI INATEGEMEA NA BOSS YUKOJE.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 ปีที่แล้ว

    Agents NI waroho,hawana utu. NI wabaya kuliko waarabu wenyewe.

  • @mundelemuzuri9623
    @mundelemuzuri9623 3 ปีที่แล้ว

    ndoivyo mwarabu siomtu kabisaa ata akiwa apa africa tu vituko kibao jeukiwa uko kwao sianakufinyia mbali yaani mh

  • @zuhurakarabashinze1854
    @zuhurakarabashinze1854 3 ปีที่แล้ว

    Shagala🙄ilaumezidisha siote kwa sasa ninawagina wakifika ukuwana taka star mwarabu niwakwanza kwa roho mbie Tena niwakwa nzawaro nzura ila dada unatakua wakupesa akutumikia mwarabu achatu

  • @fatmakhamis580
    @fatmakhamis580 3 ปีที่แล้ว

    Kiukweli kunatakiwa uwekwe utaratibu mzuri wa kisheria ili mtu akienda kule atambulike kisheria na akipata tatizo lolote atambulike na hatua za kisheria zifuatwe

  • @SamsungJprime-by7od
    @SamsungJprime-by7od 3 ปีที่แล้ว

    Nina miaka 12 sasa nipo oman yani natamani siku ningepata nafasi huyo ridya na mtangazaji wake wangeshangaa mambo mengi kaongea huyo kakurupuka hajui chochote eti dick hakuna au kaja kipindi cha corona

  • @hidayajuma3068
    @hidayajuma3068 3 ปีที่แล้ว +3

    Wengine wanahofu ya mungu

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 3 ปีที่แล้ว +2

    Hayo yapo ila ww mwenyewe kama hauna msimamo na sehemu unayo ishi mm nashukulu mwenyezimungu naishi vizuli na wenyeji wangu alhamdulila wapo watu wanapata changamoto sana kwahiyo ukipata sehemu mzuli nikumshukulu mungu 🙏

    • @marcynhumbi3534
      @marcynhumbi3534 3 ปีที่แล้ว

      Shukuru Mungu na uendelee kumuomba sana Mungu wasikubadilikie

    • @marcynhumbi3534
      @marcynhumbi3534 3 ปีที่แล้ว

      Shukuru Mungu na uendelee kumuomba sana Mungu wasikubadilikie

    • @dottohamisi9844
      @dottohamisi9844 3 ปีที่แล้ว

      @@marcynhumbi3534 inshallah dada 🙏

    • @collingrant6693
      @collingrant6693 3 ปีที่แล้ว

      Liar...

    • @mamilamahmad7250
      @mamilamahmad7250 3 ปีที่แล้ว

      Naitaj kuja huko

  • @twalebleboss9687
    @twalebleboss9687 3 ปีที่แล้ว

    HONGERA SANA DADA KWA KUWEKA WAZI ZAIDI YANAYOWAKUTA UARABUNI.....ILA INSHANGAZA KUONA KWAMBA IMEPITA MIAKA KADHAA TANGU MAMBO HAYA YAMEIBUKA NA KILA KITU KIPO WAZI KWAMBA ..SIO SALAMA KUSAFIRI KWA NAMNA HIYO....KINACHOSHANGAZA ZAIDI NI KWAMBA ...WASICHANA AMA WANAWAKE WENGI WENYEWE NDIO WANAZIDI KUENDELEA KWENDA UARABUNI....__- KWA KISINGIZIO KWAMBA SIO MABOSI WOTE WABAYA.... SWALI LANGU NI HILI ...KWANI NI LAZIMA MWENDE UARABUNI...

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah karim Allah hakim

  • @khadijazayumba8473
    @khadijazayumba8473 3 ปีที่แล้ว

    Jamani huyo dada anacho kizungumza hapo ni kweli kabisa ,wangekua wanaenda kwa mkataba wasinge nyanyasika hivo, ni wengi wanalala mika kuhusu kutesaka huko nimesikia watu wengi japo sijawahi fika, watu wanasumbuka sana huko, tena nasikia hupuunziki kabisa muda wote unatakiwa uwe bize na mikazi ,ukikaa hawataki kuna dada ametoka huko nae alisema hayo

  • @nooor1120
    @nooor1120 3 ปีที่แล้ว

    Global tv watafuteni na hao wafanyiwa kazi oman muwahoji ili haki itendeke .sisemi sio kweli huyo ila tutapata kujua mengi zaidi.

  • @superwomankulwa620
    @superwomankulwa620 3 ปีที่แล้ว

    Uyu dada kaongea kweli kabisa jamani waarabu wengi wao wanaroho mbaya japo kua kuna wengine wanaroho mzuri ila usiombe kukutana na mwenye roho mbaya utaomba pohooo na kuusu kuumwa kupelekwa hospitali adi akuone uwezi kufanya kazi ndo utapelekwa hospitali

  • @halimaabduli562
    @halimaabduli562 3 ปีที่แล้ว

    Ni kweli waarabu roho mbaya anachoongea uyo dada ni kweli kupelekwa hospital ni mtihan wapewa panadol mm niko uarabun boss wng sio mnyanyasaji na miaka saba dubai

  • @gilbertmathias7594
    @gilbertmathias7594 3 ปีที่แล้ว

    Lydia pole sana . Lkn unajielewa sana wanaokubeza hawana utu

  • @sikudhanimoshi6967
    @sikudhanimoshi6967 2 ปีที่แล้ว

    Selekali pesa ipo sana kwa maajent angalieni ilo pesa ipo kwa maajent

  • @nasserkhoduri4087
    @nasserkhoduri4087 3 ปีที่แล้ว

    unafanya kz hospitali Panadol ndio hospital pua zinatoka Damuu ukikoa damuuu warabuuuu mbwa sanaaaaa

  • @ummyshedafa2125
    @ummyshedafa2125 3 ปีที่แล้ว

    Sio kila mtu anachukuliwa Airport na boss sisi tulienda kwenye office na boss anakuja kukuchukua ofisini na kubadilisha nyumba ni office ndio inahusika

  • @captioncapition2574
    @captioncapition2574 2 ปีที่แล้ว

    Muongo hata wao wanamatatizo Tena mengi bc maneno yanini nawao hawawataki

  • @khadijazayumba8473
    @khadijazayumba8473 3 ปีที่แล้ว

    Jamani huyo dada anacho kizungumza hapo ni kweli kabisa ,wangekua wanaenda kwa mkataba wasinge nyanyasika hivo, ni wengi wanalala mika kuhusu kutesaka huko nimesikia watu wengi japo sijawahi fika, watu wanasumbuka sana huko, tena nasikia hupuunziki kabisa muda wote unatakiwa uwe bize na mikazi ,ukikaa hawataki kuna dada ametoka huko nae alisema hayo

  • @jamilasaid1764
    @jamilasaid1764 3 ปีที่แล้ว

    Jamani mabengi yakizidi unalipia tu
    Alikuonea wivu warabu siwanawivu

  • @rosewilliam5705
    @rosewilliam5705 2 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli ulifanikisha kupata mtaji usirudi nami nakuunga mkono