DARSA ZA KITABU CHA LUGHA: SOMO LA 59 (Je unawajua watu wa labranda? Tizama upate faida kwa kiarabu)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • NJOO NIKUPE SIRI ZA KUWEZA KUONGEA KIARABU HARAKA.
    Najua umepoteza fursa nyingi sana eti kisa ujui kuongea kiarabu.
    Hakuna kitu kinaumiza kama kutaka kuzungumza lugha ya Kiarabu alafu usijue maneno ya kutumia. Yaani unapenda sana kuongea Kiarabu lakini tatizo ni maneno ya kutumia. Unatamani sana kuongea kiarabu na rafiki yako (Pengine Mwarabu) kwenye simu lakini unashindwa. HAKIKA INAUMIZA SANA.!
    Labda unapigiwa simu na Mwarabu au mtu yoyote yule anayezungumza kiarabu, alafu unashindwa kumuelewa anamaanisha nini anapokuwa akitumia maneno rasmi kwaajili ya mazungumzo kwenye simu. HAKIKA NAAMI UTAKUWA UMEPATA TABU SANA.
    HILE TABU ULIYOKUWA UKIPATA YA KUTAKA KUJUA KUONGEA KIARABU FASAHA IMEKWISHA.
    #kiarabu #nifursa #jifunze

ความคิดเห็น •