My sweet sister I am just dropping by to remind you that you cannot take your husband's last name. You are always your father's daughter. Fathers are forever. May Allah bless your marriage and give you righteous children.
Dadaa salha hio kujiweka kwenye Media haikubaliki katika uislam ....mwanamke ni stara jiangalie ulivo vaa una rangi ya mdomo ndani yake kuna music .....nakuomba rudi kwa mola wako ....na mumeo afahamu ya kwamba akiwa ataendelea kukupa ruhsa ya kuiweka hio basi amekosa wivu na mwanamme yyt aliyekosa wivo wivu hata harufu ya pepo hatoipata....so be careful and take Care.
Wow mashallah harusi njema kwelly mungu ameijaalia imefana kwa sana na nawatakia maisha marefu yenye furaha na upendo inshallah na kitu chengine bwana harusi uko smart na umepata jiko zuri kama Hilo inshallah usimlize nakuomba, ila tuu umenisahau mm kwenye halua hahaha inshallah minal faizin
mashaallah salha nimependa make up yk mumependz sn always true love never end na panya now panania namin ulifanya kaz kuyalinda mpz yk inshaallh mungu aidumishe ndoa yenu had kuzikana inshaallah😙😘😚😙😘😚
My dear brother and Sister may peace be upon you. I wish I could understand what you said but I could not. If you can please give the closed captions for English language it would be wonderful. Thank you . ...love from from India (Mumbai)
UNAWAZIMU WEWE NA BWANAHARUSI HIYO SI HARUSI NA NIBATILI HARUSI UKAFIRINTU MUMEWEKAMBELE NYOTE MKOUCHI NA WALIOUDHURIYA WAKOUCHI KWAHIYO UCHI UMENAWIFI WOTETE MASHETANI NYAGA NYAKA KAEO MZIFUWAKO NA MMEKABIZIYANA CHETI CHA ZINAA TU NA LANA ZENU ALAFU MUMEITIYA MATANDAONI 👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🔥👹🔥👹🔥👹🔥👹🔥👹🔥👹🔥👹🔥👹🔥👹🔥👹🔥👹🔥👹🔥👹🔥
Hukufanyiwa harusi kama hy ehh???turudie basi yako na kama hujaowa twite tukufanyie boss ali mungu haridhiki ata hicho unachofanya hakuna msafi ktk dunia boss mind your business choyo na roho mbaya
This among the best and beautiful swahili wedding have watched.The couples are also looking good Masha Allah mabruk
Mashaallah.Allah awaajalie maisha mazuri, amani, furaha katika maisha yenu hapa dunian na kesho Akhera
mpedeza mashallah mungu awape vizazi vhema in sha allah
My sweet sister I am just dropping by to remind you that you cannot take your husband's last name. You are always your father's daughter. Fathers are forever. May Allah bless your marriage and give you righteous children.
Dadaa salha hio kujiweka kwenye Media haikubaliki katika uislam ....mwanamke ni stara jiangalie ulivo vaa una rangi ya mdomo ndani yake kuna music .....nakuomba rudi kwa mola wako ....na mumeo afahamu ya kwamba akiwa ataendelea kukupa ruhsa ya kuiweka hio basi amekosa wivu na mwanamme yyt aliyekosa wivo wivu hata harufu ya pepo hatoipata....so be careful and take Care.
Shukri Muhammad i
Samahani...ila haja change jina bado anatumia salha bint ...but kasema yy ni mrs.abdul as in ni mke wa abdulrahim
Abdallah Mtoro umesema kweli
She said mrs abdul...not salha abdul which is owk
Mashalah my sister ❤️ I very beautiful mwenyezi
Mugu akupeni maisha
Mazuri ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Mashallah Harusi nzry Allah awazidishie mahaba Ameen yaarabb 🤲
Nimeipenda hii harusi Jamaniii....Mungu anijalie na mm nifike huku inshaallah
umeongea kitu kizuri sana kwenye maisha yako
Kama hujaolewa mimi nataka mke
Masha Allah . You are beautiful. From MAYOTTE
Mashalllah Allah awape kila hitaji La moyo wenu inshallah..Allah aijaalie na ya kwang ifike salama inshallah
احس فيهم عرق عماني ..أو اساسا عمانيين من الي عايشين فأفريقيا وتخالطوا معاهم وتزوجوا منهم .. كثير امور تقول عمانيين
البنت جميييلة وينحبون 😍😙❤
mashaallah nice weding Allah barik musikilizane na kukhitimishana..Ameen
Wow mashallah harusi njema kwelly mungu ameijaalia imefana kwa sana na nawatakia maisha marefu yenye furaha na upendo inshallah na kitu chengine bwana harusi uko smart na umepata jiko zuri kama Hilo inshallah usimlize nakuomba, ila tuu umenisahau mm kwenye halua hahaha inshallah minal faizin
Mwenyezi Mungu awazidishie kila la kheri katika maisha yake ya ndoa
you guys are so beautiful Masha Allah happy marriage mabruk from Ethiopia😍❤❤✌👌
Happy married life
Hi
mansha allah allah awalindie ndoa yenu na awape vizazi vyema yenye adabu yenye sini 🤲🤲🤵👰
Mashallah nice wedding wallah.....frm UK
Maa shaa Allah ikae ikiwa ya khery
Allah awape maisha marefu inshaallah mashaallah
Mashaallah kheri ya Baraka ya ndoa Mungu awaongoze 👏👏
Hi
Mashaallh may ALLAH bless your marriage
mashallah im so happy for them allah awajaalie ndoa ya kheri yenye furaha ameen ❤️❤️❤️
hawaa king wow mashallah napenda vyenye umeongea naomba tuwe marafiki kama hutojali .Hii hapa no yangu 0707500823, na mm naitwa ammar
hawaa king hy i liked u n i wanna marry u dis is ma no text me plz hawaa
Njoo nikuowe mimi kama hujaolewa
MashaAllah Allah awajaalie maskilizano na mapenz baina yenu Ameen
Mashallah Allah awajalie kila lenye kheri na nyinyi wana ndoa
Very nic baraka Allah lakuma wabaraka Alaiykuma wajamiyah baynakuma lilkheyriiiiii mashaa Allah im so proud like my broo and mysistr lov all
mashaAllah mumependeza Mwenyezi Mungu awajalie ndoa ya kheri na baraka insha'Allah 💞🙏🤲
Ukiwa na ndgu weny upendo na ushilikiano hakuna kinachoshindikan....allah nifanyie wepesi nami ifike
Maa shaa Allah Allah ailinde ndoa yenu,awape furaha itakayo dumu na azidi kuwajaalia kila la kheir na barka tele💖amin amin amin in shaa Allah ❣
HUMRAZ KHAN Mashaa Allah
U r cute mashaaAllah... Hukupambwa sana just simple...
maa Shaa Allah allah awabarik wadumu katika Maisha yao ameen
MASHA ALLAH. Mabrokiin, ALLAH akujaalieni maisha mema
MashaAllah Allah awazidishie mapenzi daima
Nimeipenda hii kaswida mwenye nayo naomba
Mashallah mungu awape maisha marefu inshalla mmependezana
Mabrooq Alf Mabrooq, Maa Shaa Allah.
Sifahamu kiswahili from Ghana, ila Bi harusi kachangamka sana,production ni nzuri kwakweli..Mue na maisha mema ya ndoa
Shyre boy mmmmnh umenifanya nicheke hujui kiswaili
Sabrina Mohammed 😁😁😁😁😁
Na kiswahili kigumu bx dah pole sanaa
mimi pia cjui kiswahili ila wacha niingie tu hahahaaa
Sasa umewezaje kuandika kama hujui kiswahili
Mungu awape kizazi kilichochema,@
Nawatakia maisha mema ameen,mniombee namimi
Aslam
Mashaallah ❤️ Allah awajaalie kizazi chema
ALLAH awasamehe kwa hili mulolifanya na kudhan kuwa hamuko makosani
maashallah. nimeipenda maashallah aisee yaaani nzuri
ahmed salim shukran
MashaAllah mabrooq Alfred mabrooq
She is so beautiful
Hi
Maa sha Allah. Mabrouk alfu mabrouk
Masha Allah bismillah masha Allah ndoa yao iwe ya khery Allahumma amiina
Mashalllah😍😙 Raha Wallahi
mmejuana zamani ..mmetulia roho zenu....mashallah
MAASHA ALLAH 😍😍ALLAH AWABARIKI
mashaaAllah great job alomfanyia salha make up cku ya harusi take.
very great make up
Samirah Munisy mashaAllah
Zingatieni taratibu za ndoa wadogo zetu acheni sifa
Heureuse ménage à vous, qu'Allah bénis l'union 🤲
Mashalah mashalah kakuchora Nani Dada?
mashaallah..dua njema nawatakia
mashaallah salha nimependa make up yk mumependz sn always true love never end na panya now panania namin ulifanya kaz kuyalinda mpz yk inshaallh mungu aidumishe ndoa yenu had kuzikana inshaallah😙😘😚😙😘😚
Ya raab tujalie na sisi waume wazur wenye kutupenda na kutujali
Allah awape furaha ktk ndoa yenu
MashaAllah wajina.. mmependeza sana
hongera ABDOUL & SALHA
mashaallah mungu awajalie masikilizano kwenye ndoa yenu
masha
mashallah
Hongereni ndoa ni jambo la Kheri ishaallah
MASSALLAH. BOTH OFF YOU.. LOVE FROM INDIA //..
I dont understand this language but SIO POWA KABISAAA ... Bonge la harus 😂 ma sha Allah
عليه افضل الصلاه والسسلام😘
Maashaaallah na iwe ya kher
mashallah...ushaonja utaamu wa ndoa
ManshallAh beautiful couple congratulations guys my AllAh bless your marriage ameen
Mashaallah Allah awazidishie mapenz
hongereniii..mmpendeza...mashallah
Mashaallha allha aw
ajaliye. Kila LA kher
Masha Allah nataman iwe na mie in sha Allah
Naomba unicheki kama hujaolewa nataka mke Niko serious wallahi
Sielewi kiswahili me naona mipishaa lakin nice.
daah mashaallah hiyo ndoa yenu yakuigwa wapenz koz mko happy had rahaaa
Allah awazidishie mawaddah, cameraman thumb up for you.. great job
ربنا يوفقكم ويصلح حالكم ويرزقكم الزريه الصالحه
My dear brother and Sister may peace be upon you. I wish I could understand what you said but I could not. If you can please give the closed captions for English language it would be wonderful. Thank you . ...love from from India (Mumbai)
Ma Shaa Allah
Abdul kimara Allah aibarik ndoa yenu
Masha Allah jazakallah mmependeza sana alf mabrouk
من اي دولة ذلا
ILIKE YOUR IPHONE idont undetstand swahili lakini hongereni wanandoa.2018.
there so happy..may Allah add for you furaha in your wedding. .maskizano.. mupelekane paka jannah
You are beautiful ❤️🇩🇿🇫🇷
Allah akupe ustahamulivu la si hivyo Dada
Ma shaa Allah
Mashaallah Allah awajalie kila la kheri inshaallah
Mashaallah tabaraka allaah
Machallah 😙😙💖💖💖💖
Mmh biharusi mashaallh mdomo unao kma mdi
Love it 🕎🕎
mashallah. ..cameraman good job
Elfu Mabrouk 😘😘
Hi
UNAWAZIMU WEWE NA BWANAHARUSI HIYO SI HARUSI NA NIBATILI HARUSI UKAFIRINTU MUMEWEKAMBELE NYOTE MKOUCHI NA WALIOUDHURIYA WAKOUCHI KWAHIYO UCHI UMENAWIFI WOTETE MASHETANI NYAGA NYAKA KAEO MZIFUWAKO NA MMEKABIZIYANA CHETI CHA ZINAA TU NA LANA ZENU ALAFU MUMEITIYA MATANDAONI 👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🔥👹🔥👹🔥👹🔥👹🔥👹🔥👹🔥👹🔥👹🔥👹🔥👹🔥👹🔥👹🔥👹🔥
Duh...Hasidi mpe kiti akae. Loh.
😂😂😂😂😂😂 dunia naomba nishuke🏃🏃🏃
Mashallah 🎉
Umejiskia furaha lakini Ni washamba kujianika mitandaoni ata mungu hariziki kufanya ivo mlivo fanya
Hukufanyiwa harusi kama hy ehh???turudie basi yako na kama hujaowa twite tukufanyie boss ali mungu haridhiki ata hicho unachofanya hakuna msafi ktk dunia boss mind your business choyo na roho mbaya
Salha mi nimependa hyo kaswida yko
@@designinganddecorating4899 wallahy wana choyo wanadamu. Loh.
Mashaaalllah
Hungera mpendwa wangu salha
Mashaallah
mashaallah eu gostei muito está casamento sao parabéns para vocês tudos
Musitwambie karibun twaambien mnapo kaa
Woooooow mwajina mashaallah
hongera umepata good ster
Salha nimeipenda hyo gauni lako uenda ukisoma comment naomba uniambie wapi uliponunua au km una namba zao za cm plz nipatie samahani lkn
Masha Allah Iam very happy