Habar mbn mm nmenunua tv ya hisense smart tv lkn sion picha angavu yan picha zake zinakua tofaut na vile inavyotakiwa mfano ukichek mpira watu wakipelekwa mbali huwez kuwaona kwa ubora mpk wasogezwe karibu
Kaka mm nnakioo cha kampun ya evvol ambacho ni 1080p mwsho was resolution yake lkn nna desctop ambayo ni Core i3 ambayo ina port ya VGA DVI pamoja na HDMI mashine Yang inauwezo was kuonesha 4k mpka kwny kioo ambacho sio cha 4k ili mradi tu kwmba MASHINE yenyew iwe na uwezo wa ku play 4k
@@modomfupi9972 utakua haukunielewa broh me kioo changu sio display ya 4k sjui unanipata lkn nina compyta yng inayosapot 4k kwaio niwe na kioo. Ambcho sio cha 4k ama cha 4k me naplay 4k yeyote kwng ni kutokna tu na uwezo wa msashine yang lkn me. Sjaleta complain. Hapo ni kwmb nmjrbu kuelzea tu kua me nna kioo sio disply ya 4k lkn nmeunga na desctop. Yng ambyo. Inauwezo wa kuplay vdeo za 4k. Na n.k
Asse uwe mwalimu tu .... Una ability kubwa ya kuelewesha kwa kutumia mifano related 🤗🤗
Habar mbn mm nmenunua tv ya hisense smart tv lkn sion picha angavu yan picha zake zinakua tofaut na vile inavyotakiwa mfano ukichek mpira watu wakipelekwa mbali huwez kuwaona kwa ubora mpk wasogezwe karibu
Umepigwa🤣🤣 au setting
Ubarikiwe #Snash
bro your the best
man uko makini sana
HAPO umenisanuaa Sana broo 🙌🙌🙌🙌🙌
Umetisha kinomanoma✌️
Naomba review ya Lamborghini urus
Utatisha kinomanoma
swafi kabisa
Keep it up brother
4K na mimi ndo nataka hiyo Aisee.!
Nimekuelewa sana bro.. ila sasa type ipi kali zaidi
Tena ya Hissense
Boss HISENSE A6 SERIES INCH 43 UHD 4K HDR bei gani??
Good boy
HELLBOUND kaka review yake
Je a4
Wow kdg nikuulize
Naomba review ya Lamborghini urus
@Snash..#techinswahili
Toa review ya Batman ishatoka trailer
Movies ya RED NOTICE
It's oky which type is the best screen in 4k
OLED ni noma
Na je kuna uwezo wa kuplay video ambayo sio 4k kwenye hyo tv
Okay nimekusoma Sana snash Ila Ninaomba ushauri kidogo
Mimi ni mpenzi wa movie na mpira ni kioo Gani kati ya hivo kinanifaa
Chukua OLED
@@tumlakimwaitumule shukran boss maana Kuna mtu alikuwa ananishauri nano cell
Ila 4k ni bei sana asee
So ipi nzuri kati ya izo qled, oled au nanocell?
Brother mimi naitaji tv ila sijui tv nzuri ya kununua nch 45
Unajua xaan snash
Ilo game gani braza
1
Oya snashi gta 5 inasuport kwenye cm
nime kuerewa san
bado inasumbua kaka
Qled na oled na nanocel ipi kali
Kaka mm nnakioo cha kampun ya evvol ambacho ni 1080p mwsho was resolution yake lkn nna desctop ambayo ni Core i3 ambayo ina port ya VGA DVI pamoja na HDMI mashine Yang inauwezo was kuonesha 4k mpka kwny kioo ambacho sio cha 4k ili mradi tu kwmba MASHINE yenyew iwe na uwezo wa ku play 4k
Si kweli ila katika tv 4k means quality ya Picha au kiooo
Unatumia tv tupu bila kuunganisha na compyta ama umeunganisha na desctop..??
4k sio mashine mzee 4k ni display elewa kwanza hvo
Inatakiwa kioo chako kiwe na uwezo waku cheza 4k ili kama ni vdeo/movie / ambayo ni 4k icheze kwenye hyo display