Mimi ni mkristu sheik nikiwa Saudi nilitumiwa hii video na rafiki yangu muislamu ,lakini Toka siku hio mpaka leo husikiliza Quran kwa radio ama niwatch tv makka watu wakizunguka ingawa sielewi kiarabu lakini navutiwa.mpaka leo Mimi hukusikiza .Allah akubariki na azidi kunena nawe ili utufundishe sisi tumfahamu mungu zaidi
Subuahallah Allah kisa kimeniliza nimeshindwa kujizuia nalia kimbe pia sheikh analia nimeanza kulia pale alikwa masjid ndio kisa kimeningie Allah atujalie uma Muhammad s.a.w rehema na amani zimushukie twe na mwisho mwema Ameen.
Mungu akupe usalama na utulivu wa akili sheikh. Wallahi jina langu ni ahmed na kisa hiki kimenipa lesson maishani mwangu. Mungu atupe kama ya kijana huyu. AllahuAkbar
Asalam alaikum warahmatullahi wabarakatu Sheikh Shukran kwa mawaidha ALLAH akujaze kila la kheri naomba sheikh mimi huwa nafwatilia sana mawaidha yako ila ningelikuomba nitowe rai sheikh ili yuweze kufaidika zaidi sauti zingine zisisike kwenye fatwa nitaomba msamaa kama nimekosa
MahaAllah sheikh Allah akuzidishie elimu na akujaalie jaanatul firdaus na watu wote kwa ujumla lakini uo mziki wa nasheed uondolewe ili tusikilize kwa ufasaha
Maisha haya yapo sana na wala hamna anaefikilia zinaa haswa kwa wanaume vijana wa sasa hila watoto wa kike wanapitia changamoto nyingi sana na vishawishi vya wanaume wasichana wanajua wakifanya zinaa ndo watapata ndoa mwisho kumbe sivo wanaume wanataka kuwaona tu tupu zao basi inasikitisha sana
Asalam aleykum usitadhi asante kwa mawaidha yako lakini usitadhi mawaidha yako huwa unateta wengine huigopa sauti kuitoa kubwa hivo nikisema vibaya unisamehi ila tuidhie to pole pole tutasikia
Masha Allah tabbarak Allah Allah akupe afya njema na akujaalie pepo firdaus nuzula na Allah atujaalie mwisho mwema
# hikii kisaaa...kinaaendeleaaa kubadilishaaa...maishaa...kinazidiii kunipaa atharii ya kufikiaaa ndotoo zanguu..immoralities is debtors..( zinaa ni deni ).. Sheikh abdii shukrani kwa mafundishoo.
Mimi ni mkristu sheik nikiwa Saudi nilitumiwa hii video na rafiki yangu muislamu ,lakini Toka siku hio mpaka leo husikiliza Quran kwa radio ama niwatch tv makka watu wakizunguka ingawa sielewi kiarabu lakini navutiwa.mpaka leo Mimi hukusikiza .Allah akubariki na azidi kunena nawe ili utufundishe sisi tumfahamu mungu zaidi
Maa shaa Allah... Karibu kwenye Uislamu... Submit your soul to the Creator
Jazakallahu kheyr sheikh yussuf Abdi kwa hiyo kisa.Mwenyezi mungu amuweke Ahmad janatul firdows
Alhamdulillah nimejifunz vitu vingi kupitia kisa hiki, Allah akujaze kheri Shekhe Wetu. Upondo kwko kutoka Zanzibar
Hakika shekh tuzidi kutenda mema na mungu akufanye mwenye kufauru na Mimi na waislamu wenzangu Duniani sote mola atuwezeshe kuingia pepeni
Subuahallah Allah kisa kimeniliza nimeshindwa kujizuia nalia kimbe pia sheikh analia nimeanza kulia pale alikwa masjid ndio kisa kimeningie Allah atujalie uma Muhammad s.a.w rehema na amani zimushukie twe na mwisho mwema Ameen.
Ameen yarab
Allhamdullaah mungu atuepushie namtihan shukran shekhe mungu akulipe kher nyingi
Allah ni msamehevu kuliko wenye kusamehe twakuomba yaa Allah turejee kwako kikamilifu Amiin shukran kwa kiswaa.
Ameen
Kisa kizuri mno ila zitolewe sauti za nyimbo, kisa Masha'allah kizuri sana kinaibra kubwa mno.
Sheikh Ahmad Kizury, naamini hawajakusudia nyimbo bali ni anasheed. Ingawa anasheed maulamaa wanatofautiana kuhusu hizo anasheed
Kisa kizuri kina Ibra ndani yake Allah akulipe kila la kheri na atujaalie mwisho mwema tufe miongoni mwa waliofaulu Amyn Yaarabi
Ya Ummaty Muhammad tuzidishe ibada zetu na hakika Mola wetu Atakubali thoubah zetu.
Masha alha sheikh mungu akuongoz ktk njia iliyonyooka na akupe afya njema na umri mrefu ili utujuze yenye kheri
Kisa kiziur mashaaAllah kinasikitisha yaa rabb atulinde na atujaalie mwisho mwema pmj na wazaz wetu na familia kwa ujumla
Aamiina yaa rabby
Allah akulipe yalo ya kheri shekhe Wang mpendwa
Ameen
Doooh shekh unajua
The best way to give da'wa is this way masha Allah with examples barakallahu fiquum wafi ahliqum ya sheikh
Kisa kizuri sana kina mafundisho makubwa na mazito sub haanallah bas c wezi kujizuia kwa machozi shukran shkh Al habibi yousuf Abdi
Mashaallah mashaallah mashaallah, kijana Ahmed kajaliwa kutamka maneno ya mwisho wake mazuri alhamdu lillaah
Masha Allah....In sha Allah Mola atuepushe na zinaa na atujaaliye miongoni mwa watu wema. Ameen Rabbil Alameen😤😭😧
Wallah nimelia sana ya Rabi tujaalie Toba yakutorejea katika maasi mungu akupe umri mrefu akulinde na Shari zote
Sheikh yusuph abdi nakuomba radhi juu ya kushindwaa kukuhifadhi kinywa changu juu yakoo kuna siku niliteleza kwa ulim juu yakoo..nisamehe sheikh wangu
Mungu akupe usalama na utulivu wa akili sheikh.
Wallahi jina langu ni ahmed na kisa hiki kimenipa lesson maishani mwangu.
Mungu atupe kama ya kijana huyu.
AllahuAkbar
MashaaallAha yaarabuka tusamehe SS hatujui tulitendalo
You are my favourite sheikh Allah akujaalie pepo firdaus
Amiin
Shehe abdu mungu atakutia madhambi yako
Katika nema ambazo mwenyezi amejarie waja wake ambazo amewajaria mtu wakwanza anemia dini wapiri amempa mari
@@malwaboke8558 mbona haujaeleweka jieleze ueleweke
Asalam alaikum warahmatullahi wabarakatu Sheikh Shukran kwa mawaidha ALLAH akujaze kila la kheri naomba sheikh mimi huwa nafwatilia sana mawaidha yako ila ningelikuomba nitowe rai sheikh ili yuweze kufaidika zaidi sauti zingine zisisike kwenye fatwa nitaomba msamaa kama nimekosa
Allah akujaalie husnul khaatima
Inaumaa Sana nashindwa kuzuia machoz yangu.
mashallah kisa kizur sana inshallah mungu atuzidishie iman katika din yetu
Mungu atupe mwisho mwema
Dua muhimu kwetu sote
Ameen yarab Allah atatujaalia mwisho mwema
Allah akuzidishie kwa kutukumbusha
Ameen
Subhanallah! Sheikh hichi kisa kimegusa moyo wangu nataman kukiskiliza kila wakati! 😭😭 ni kinasikitisha
Kabisa kila mda hata mimi pia natamani iwe hivyo
Sikiliza jamaa yangu kinazidisha imani
mashaAllah tabarakallah...wallahi hiki kisa kila ninapokiskiza....nashindwa kuzuia machozi....Allah akulinde in shaa Allah
Masha Allah
Mashaallah
Yarabi tujalie mwisho wetu uwe mzur na tusamehe madhambi yetu
ya rabi twaomba utupe mwisho mema
ya Allah tujaalie mwisho mwema pamoja na wazazi wetu ,
Amiin
Amiiin
Sheikh Yusuf Abdi
waheeda aman AMEEN rablaalameen AlahamdulilHi...
Amiin amiin yarab
Ya Rabbi tujalie mwisho mwema InshaAllah
😭😢😢😢😢😢😢
Yarabi..atuope mwisho mwema...inshallwah
Yaa allah tusamehe kwa uchafu tunayo ufanya subhanaaa allah shukran sheikh yusuf
Amiin
ya rabi tujalie khatimu njema insha allah
Subhanallah subhanallah subhanallah الهم غفر ذنوبنا يا الله يا كريم
Amiin. Allahuma ghfirly maqadamtu, wamaakhartu
Allah akuweke Sheikh Yusuf Abdi huwa nikiskiza mawaidha yako hunifanya niwe mpya zaidi
Mashallah
Innalillah wainnailaihi rajiun mola amsameh kaka yangu ahmed yaa arhama rrahimin mrehem kiumbe wako alitubia kafa na swaum yake maskin
allah akulinde na mabaya uendelee na kutufundisha
Amiin
MahaAllah sheikh Allah akuzidishie elimu na akujaalie jaanatul firdaus na watu wote kwa ujumla lakini uo mziki wa nasheed uondolewe ili tusikilize kwa ufasaha
je...wewee unaweza kulalaaa...ammah anaaa...hakika mimii siwezii kulaaa...
sheikh yussuf napenda u navyo ongelea visa masha allah ,
masha Allah ,
maa shaa Allah Allah akulipe kheli Aamiin
Mwenyezi atulinde na sheitani
Mashallah bro Allah akupe umri uelemishe ummah
Amiin
+Sheikh Yusuf Abdi Allah akujalie Janatul firdaus Ameen Ameen
JazakaAllah
Really touching story😥
Maashallah tuombe mwisho mwema
Barakallahu kheir..Allah atujaalie mwisho mwema
Allahahumah Amiiiiiin inshaaallah
Bint
Salim
subhana llah yarabi naomba uniepushe na zinaa
Mash Allah Baaraka Allah Ya Sheikh
Natamani nengekua mm Ahmed
masha Allah, hiki kisa nikisikiliza machozi huwa yananitoka, Allah akujalie moyo huo huo uzidi kutuelimisha in sha Allah
Hajra Iddy
shukran sheikh kwa ukumbusho
Dua muhimu kwetu sote
Subhannallah sote tumcheni Allah jalajalal
Ya rabi tujalie mwsho mwema ss na wzazi wetu
مشاء اللة قصة جميلة جدا لها الخبرة شكرا شيخ عبدو بن يوسف
subhanallaha tabarakallaha
صص٦فغ٦ @@salmaiddi1770
Subhannallah 😓. MAA Sha Allah. Shukran jazzakkah Allahu khery. Allahu Akbar Allah Akram; Allah Khafururahim .
Husnul Khattimah Yaa Rabby 🙏🕋🙏
Allah atujalie kwa yote tunayo fanya ishallah
SubhannallAh...Allah atujaaliye mwisho mwema yaRabblameen
Masha Allah.tuifazi mola wetu
masha anllah anllah akuzidishie neema Ahella na Dunia
Subhanallah Allah atujaalie mwisho mwema
Granaz Hashim
Amiin.
Mash Allah
It made me cry
Masha Allah shekhe
asalam Waleikum warhmatulla wabarakat ramadhan mubarak
Mashaaallah. Husnul hathima yaa RABB
Mashallah Allah akulipe kheri
Allahuma jaal husnul hatimah
مشاءالله تبراك الله .
وجزاكم الله خيزا يا شيخ
Maisha haya yapo sana na wala hamna anaefikilia zinaa haswa kwa wanaume vijana wa sasa hila watoto wa kike wanapitia changamoto nyingi sana na vishawishi vya wanaume wasichana wanajua wakifanya zinaa ndo watapata ndoa mwisho kumbe sivo wanaume wanataka kuwaona tu tupu zao basi inasikitisha sana
Asalam aleykum usitadhi asante kwa mawaidha yako lakini usitadhi mawaidha yako huwa unateta wengine huigopa sauti kuitoa kubwa hivo nikisema vibaya unisamehi ila tuidhie to pole pole tutasikia
Huo ukali ndo inatutia khof y kumuogp mung
Yaallah tupe mwisho mwema
MashaAllah
Jazzakallah kher
ya Allah tujaalie mwisho mwema
Tumche Allah tabarak watahala
inshaallah Allah akujaze kheri
Nakupenda kwa ajili ya Allah
may God bless you inshaalah
ALLAH ATUJAALIE TUFANYE TUWE NA MIOYO YA KUTUBU
Yarabi tujalie waja wako katika waja wema
Subhannallah kisa kimeniliza tumuogopeni Allah
ma shaa allah allah akulipe pepo
Shehe yusufu kwa elimu uliopewa nibora
Mashalla alla akuzidishie
Inshaallah tuwe pamoja na ahmad fil jannah Ameeeen
Yaa rabbi tupe mwisho mwema
MashaAllah Allah atusamehe na sisi
habibaz swalha sawa my
Shekhe allha akufanyie wepes kwakila jambo la kheri ishaallha
Mashaa Allah kisa kizur na chenye mazingatio
Jazaakallaah khayrah wabaarakallahu fika
Kisa kizuri sana mashallah
Allah tusamehe makosa yetu
mashaallah jazakallahu hair kisa kzur sana
Mashaa Allah
Mashallah jazaka allahu
Zulfa suleiman yalabi tupewisho mwema
Kisa kinanifunza na nikizuri sana
Wallahi machozi yamenitoka..leo tunafanya zinaa bila wcwc ah
Subhaanallah.kisa kina ibra kubwa
Shukuran shekh ila samahan km nitakosea naomba namba zako
ksa ktam sana daah knamazngatio
😭😭😭😭wallah it made me cry
Yalabi nisamehe mimi
jazak Allah akhii