Umetuahidi kwamba wawili watatu. Nyimbo za Kristo No:13 (Yesu uje kwetu)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Subscribe / @7t7ministryenglish24 ili upate kubarikiwa na nyimbo za ibada kwa lugha ya kiingereza
    Fungu 1
    Umetuahidi kwamba wawili Watatu, Kwa jina lako wakija,
    Utawabariki; kwa hivi leo magoti nyumbani pako.
    Yesu uje kwetu Utubariki;
    Yesu uje kwetu Uwe karibu.
    Fungu 2
    Umekuwa nasi siku nyingine Tunakuhitaji mpaka mwisho,
    Uje Mkombozi; tupe neema; Tisikie Yesu, utubariki.
    Yesu uje kwetu Utubariki;
    Yesu uje kwetu Uwe karibu.
    Fungu 2
    Umekuwa nasi siku nyingine Tunakuhitaji mpaka mwisho,
    Uje Mkombozi; tupe neema; Tisikie Yesu, utubariki.
    Yesu uje kwetu Utubariki;
    Yesu uje kwetu Uwe karibu.

ความคิดเห็น • 1