Si mimi Kristo. Nyimbo za Kristo No:17

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Subscribe / @7t7ministryenglish24 ili upate kubarikiwa na nyimbo za ibada kwa lugha ya kiingereza
    1.Si mimi, Kristo astahile sifa;
    Si mimi, Kristo ajulikane;
    Si mimi, Kristo katika maneno
    Si mimi, Kristo kwa kila tendo.
    2.Si mimi, Kristo kuponya huzuni;
    Kristo pekee, kufuta machozi;
    Si mimi, Kristo, kubeba mzigo
    Si mimi, Kristo, kupunga hofu.
    3.Kristo pekee, pasipo kujisifi;
    Kristo pekee, na nisizungumze
    Kristo pekee, na hakuna kiburi;
    Kristo pekee, sifa yangu ife.
    4.Kristo pekee, amhitaji atoe
    Si mimi, kristo, kisima changu;
    Kristo pekee, kwa nwile na kwa moyo.
    Simimi, kristo, hata milele.

ความคิดเห็น • 2

  • @marymauti4105
    @marymauti4105 8 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙌🙌

  • @JeanBaptiste-yv9xq
    @JeanBaptiste-yv9xq 10 หลายเดือนก่อน

    Dieu merci pour cette belle mélodie