Ubarikiwee sana pr Mmbaga.. Masomo yako yamenibadilisha sana. Nashukuru roho mtakatifu anaendlea kunifundisha kupitia ww.. Nmekuwa Na mtazamo tofauti kabsa na zamani..nlikuwa mwangelikana lakn nmegundua ukweli Na kuufata kwa njia ya ubatizo. Nmebatizwa.nko huru. Nina amani tele.. Barikiwa sana pastor..
Amina. Hata mm nikuwa mbaguz hata kusikiliza mahubiri ya kisabato naona hawa wanakosea lakin Mungu ni mwema niko humu kubadilishwa ndani. Hakuna cha mahubiri yalikua ni ya zamani mm huwa naona mapya tu
daniel macharia karibuni katika new account kumbk kusubscrib like comment and share kuna Mubarak mingi inatusubirth-cam.com/channels/Cmf0QAYStBwKblsjFTxGPw.html
***Wengi tunaweza kuwa tunaangalia tyu bila kushare kwa wengne kusubscribe ni jambo la MUHIMU Na nyingne hii pia***th-cam.com/channels/Cmf0QAYStBwKblsjFTxGPw.html
My GOD bless you
Ubarikiwe,pewa nguvu hatunacakujigamba isipo kuwa yesu tu ndiyo nguvu zetu
Ubarikiwee sana pr Mmbaga.. Masomo yako yamenibadilisha sana. Nashukuru roho mtakatifu anaendlea kunifundisha kupitia ww.. Nmekuwa Na mtazamo tofauti kabsa na zamani..nlikuwa mwangelikana lakn nmegundua ukweli Na kuufata kwa njia ya ubatizo. Nmebatizwa.nko huru. Nina amani tele.. Barikiwa sana pastor..
Diana Malaba Amen!! Mungu akubariki
Mungu akubariki sna Diana umechagua fungu lililo jema .
Barikiwa Diana
🙏🙏🙏🙏🙏may God bless you pastor David am blessed keeped up
Hee!mungu okoa rohoo zetu tusiwe namipaka pastor barikiwa sana Amina
Amina. Hata mm nikuwa mbaguz hata kusikiliza mahubiri ya kisabato naona hawa wanakosea lakin Mungu ni mwema niko humu kubadilishwa ndani. Hakuna cha mahubiri yalikua ni ya zamani mm huwa naona mapya tu
Somo limenibariki,Bairikiwa Pastor Mmbaga
Malima Christopher karibuni th-cam.com/channels/Cmf0QAYStBwKblsjFTxGPwkumbk.html kusubscrib share comment like
Amen
Asante Sana kwa somo Pr. Ninabarikiwa sana kwakweli. Mungu azidi kukutumia
Barikiwa mtumishi
Amen barikiwa pastor
Amen
Barikiwa sanaa Pr
Barikiwa Mtumishi Wa Baba
Ukiweza ya edit na masomo mengine yote, ili mtu yasikike kwa sauti nzuri na yakuvutia
Esther Magashi kwakweli karibu kwenye Chanel nyingne hii utabarikiwa pia
michael gilasi nice
***subscribe Mahubiri Tv Pamoja na Tony Tv Baraka nyingi zitakufata***
@@tonnsimbasportsclub7168 ,,,,ok
Amen nimebarikiwa
Barikiwa sana man of God ,unanibariki mno ,Mwenyezi Mungu azidi kukutumia siku zote za uhai wako😇😇😇😇😘😘😘😘
Umenibariki Sana cz niuhalisia wa wasabato wa leo but tusife kipumbavu
Mbarikiwe jamani sijutii kuwa msabato
Nikweli Mimi Nina hyo tabia
Walter Bhoke Amna karibu kwenye anathor Chanel Subscrub hapo th-cam.com/channels/Cmf0QAYStBwKblsjFTxGPw.html
Alaf wapendwa naomb mwnye nalo group la whatsapp la wasabato aniunge 0758112558
Umeeleweka Pr
Nimeparikiwa ma mafundisho yako sana naomba no yako
Yan ni fire injiri 🔥🔥💥
Ubarikiwe sana mucungaji
Ameeen.kubwa
Hujambo Mchungaji.Mahubiri yako sawa kabisa.Pia sauti imerekodiwa shwari kabisa.
daniel macharia karibuni katika new account kumbk kusubscrib like comment and share kuna Mubarak mingi inatusubirth-cam.com/channels/Cmf0QAYStBwKblsjFTxGPw.html
Amina!Barikiwa mchungaji.
Amina ubarikiwe mchungaji
JE BABA MTUMISHI WA MUNGU ANAWEZA TUFUNDISHA ZAIDI KUHUSU KUCHEZA (DANCE)?
Pastor kudance Kuna tatizo gani Kwan
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
Asante mchungaji.. Masomo yananibariki sana hua nakufatilia sana japo natamani nipate namba yako
Amina
Barikiwa pr nayapenda Sana mahubiri mungu azidi kukutumia na yananibariki na kunibadirisha Maisha yangu
Ubarikiwe Mchungaji ni nakupenda sana
Amina
Amina 🙏 ila nmecheka hapo pa find the value of x maana kwa upande mwingine x inatafna ndoa kwa wasio jielewa
Pr unamaanisha nn kwenye msemo wako wa naongea na watu au binadamu?
***Wengi tunaweza kuwa tunaangalia tyu bila kushare kwa wengne kusubscribe ni jambo la MUHIMU Na nyingne hii pia***th-cam.com/channels/Cmf0QAYStBwKblsjFTxGPw.html
Mungu atusaidie tuweze kushinda
Ubarikiwe PR
pastor inaelekea hilo tukio la mlevi lilikukwaza sana. Unaliongelea mara nyingi mpaka wenyewe watajisikia vibaya. Ni ushauri tu
Mtumishi anatoa mfano tu tatzo una mnukuu vibay
Mchungaji Asante lakini sielewi kucheza no halali au sio alali?tafadhali naomba kufahamu.
Mchungaji Mmbaga chonde chonde naomba unipigie nashida imejitokeza baada ya kusikiliza soma hili usife kipumbavu 0682130051
Amen
Amen nimebarikiwa
Amina