Haya mambo yalianza zamani kipindi cha yesu kusalitiwa na yuda Mtu Anaeh kujua vzr ndio anaweza kukuuwa nmeipenda story yako japo kava ra picha na vitendo ni tofauti
Story ya movie ni nzuri, ila makosa madogo madogo sana kwenye kudirected coz namna alivyokuwa akipata taarifa nyeti Aisha tulitegemea kuna njia nyingine zaidi ya Jeff, maana baadhi ya scene Jeff hakuwepo lakini taarifa Aisha anazipata. But hongereni sana kwa hapo mlipofikia
kuna waschana wavumilivu hatari
Kumamake , weeeee mshizooooo utawaua🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mama yangu umetukana
,wisho nimeielewa. Na. Jitahidini vijana wenzangu. Tutafika. Mbali. .
Mbuyu. Ulianza. Kama mchicha. Mtangulizeni Mungu na sio. Devo. Ana maajabu. Mwombeni. Mungu
Tatizo huyu mwanaume nae msimamo sifuri. Na huyu mwanamke nae Hana adabu Wala heshima. Hawezi kuingiza mikono ktk mifuko ya mwanaume na kumsachi.
Filam safi ila dah imechezwa na watu 9tu kwani tuna feli wapi ila ipo good sana
Mm wa kwanza ku comments
Siyo powa kaka ongeren sana maana malafik Kama awo wapo bloo
Vipindi vyenu ni vizuri lakini shughulikieni sauti Iko chini sana
Pambana milango IPO wazi Sana unajua
Film nzuri sn ina mafunzo mengi sn, we love it
Uyu jamaa hana akili ya kujiongeza
.n.n n !n,n n
uyu jamaa muongo sjawahi ona mm
Msichana Hana usitharabuu weweee
Haya mambo yalianza zamani kipindi cha yesu kusalitiwa na yuda
Mtu Anaeh kujua vzr ndio anaweza kukuuwa nmeipenda story yako japo kava ra picha na vitendo ni tofauti
Kweli kabisa kwan mie nilijua mgumi mawe kumbe usaliti2
Mko sawa , mbarikiwe
Bravooooooooo kaka
Tumepigwa Na kitu kizitooo
Tatizo sauti iko mbali sana au inaizikika kwa mbali
Profile ya movie nitofati na movie yenyewe ila nzuri👊
Bro kazi zuri sana nafatilia sana movie zako
Nikajua Kuna ngumi kumbe full story ni nzuri imekaa safi sana
Dah!! Imeinda sn kaz iy
iko pow sanaa
Kweli Hakuna Rafiki duniani
Wa ooooooo nipenda sanaaaaa
Nice
Apa fresh kbsa ❤😂🎉
Imetisha kaka
Upande Wang me xijaipnda Ila kwakuwa no movie ya kibongo bc lzm ningecomments 2
pamoja sanaa
😢kaka umeigiza wewe nimkal
Wewew sana mwanangu umetisha sana tupo pamoj mwana
Kwakwl tasnia ya muvi sasa ni motoooooo
Movie ikikosa uhalisia inakua ujinga tu..
Cover nzuri sana....ata mi nmedhani kuna kupigana ndani ya movie kumbe hamna lolote
Wametubeba ufala kinoma
Wew unawez toka hapa wew
Lete filamu ingine sasa part 2 ukiweka Amina Mimba 😅😅😅tia mimba kabisaaa Bwanaaa, Mali safi nyebamba kakangu
Sahihi wameendana sana
Ujumbe mzuri sana
Aisee dude kal linafundisha japokuwa umetuuzia cover lkn bado pw2
A friend is someone who can see the truth and pain in you even when you are fooling everyone else.
Bad boy 💪 fire 🔥
Framu nzur Sana nimeipenda
Story ya movie ni nzuri, ila makosa madogo madogo sana kwenye kudirected coz namna alivyokuwa akipata taarifa nyeti Aisha tulitegemea kuna njia nyingine zaidi ya Jeff, maana baadhi ya scene Jeff hakuwepo lakini taarifa Aisha anazipata.
But hongereni sana kwa hapo mlipofikia
du kweli mnafik nimtu mbaya kweli
Kumamake acha ushori dogoooooo
Kila kitu unampatia 😂😂😂😂😂
Safi sana,mwamke anaejifanya anajua kupeleleza hiyo ndio dawa yake
amepingwa nakitu kizito
Joka la kiji
Dah wametoa fundisho kubwa sana waendelee kuwa ivo
𝑲𝒂𝒛𝒊 𝒔𝒂𝒇𝒊
🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤🇧🇮
Iko poa
Broo jitahidi unaweza..Rafiki ni mkia wa fisi.end of the day nimependa sana maamuzi yko .
Ukwel kabsa
Umechelewa
🎉
Safi sana
Filamu Safi sana hongereni ❤❤❤❤❤❤❤❤
Nime ipenda sana kazen buti ❤❤❤❤❤❤❤
Safi sana kazi mzur,uasilia upo
❤❤❤
❤❤nice film
Nzur sana
Filamu mbovu sana umeweka cover nzli
Amakweli mtu unae msaidia usitarajie kukulipa mema