Narudia tena hawa wanyilamba 2 kitilia mkumbo na mwiguru hawakufai mama samia fukuza hao wapo watu wapya wasomi wakubwa sio hao wako kwa wizi tu hawakufai tafadhari tafadhari mama samia wanakuchonganisha na wananchi hao
Tanzania kujikomboa kifikra bado sana eti wanamtaka mama samia kwan mama samia hajui kinachoe delea? Shida ni Uongozi mzima wa nchi ya Tanzania kuanzia chini mbaka kwa Rais Wabongo mkiacha uonga viongozi wenu watawaheshimu. Yan unamtetea Samia af unamtukana mtu wa TRA kwan Unazan TRA atakufata bila kufata katiba ambayo imesaimiwa na Rais apo
Hili swala la migomo litaleta hasara kubwa katika hii Nchi yetu,Mheshimiwa Rais Mama Samia nakuomba uwasikilize Wananchi vizuri huyo Waziri Mwiguru ni kama vile hawajazaliwa na wazazi masikini,Wekeni kodi zenye urafiki na wananchi alafu hizo kauli za Mwiguru huwa sio rafiki kwetu!
@@BabaZuu-fq8zj Mimi sio mbwa kama unavyofikiria mimi ninaheshimu mamraka zilizoko Nchini mwangu kwa mujibu wa sheria na imani yangu;Tumeimizwa kutii Mamraka zinazotuongoza:-QURAN4:59Soma uelewe sio unatukana tu bila akili,sio kila haki inadaiwa kwa fujo!
Nimegundua kuanzia ngazi za juu mpka chini wanafiki sana, kama mama anaongea na makonda akiwa kwenye kikao inakuwaje anashindwa kuongea na chalamila live mbele ya wafanyabiashara. Lao moja hakuna cha mama wala nani Mission ni moja tu
Point sanaaaa ndio Life lakibingo lushwa imetawala nibora mlivyo elimika ukitoa rushwa unakua umejilisha hasara ww na familia yako bola utoe hera ifike selekalini italeta maendereo yako nakizazi kijacho🙏🙏💪💪🔥🔥🔥🔥🔥
Kusema ukweli kabisa mimi mwigulu sijawahi muelewa ni msomi ambaye hsangalii uhalisia wa Manisha ya watanzania .kwahiyo kama ataendelea kuwa waziri wa fedha tutarajie matatizo makubwa zaidi ya haya kwa wafanya biashara
Haya yote ni madhara ya matumizi mabaya ya kodi za umma. Mtu huna ajira lakini hata ukijiari wanachukua kile kidgo ulichopata, huu mgomo ni ishara tosha ya ukombozi. Ukiona mwenzio ananyolewa, Zako Tia maji #GodIsGood
Kuhusu wachina ni tatizo kubwa sana ,tena wakikoma himekula kwenu sio watu kabisa ulizeni afrika kusini pambaneni mapema sio wazuri watawashindeni kibiashara
Mwigulu jina lake ni waziri au waziri ni cheo chake yeye anaitwa Mwigulu, kwasababu mi naona kila raisi anaeingia ye ni waziri tu anazunguka kwenye wizara tu,hivi kweli nchi hii tunauhaba wa wasomi kiasi hichi kweli au kuna namna jmn
It pain ukisikiliza, sijajua nini shida kwa nchi hii, kweli watu wananenepa na kula hela za watu kiholela na kila wakilalamika mifumo ipo pale pale haibadilishwi, ni huzuni, kaka kashauri vizuri sana wakijua idadi ya maduka mtu akakadiriwa vizuri malipo yake usumbufu usingekuwepo, machinga kariakoo kweli ni kero mbona kuna machinga complex lakini hao machinga hawaendi kufanya biashara huko kumedoda kimya
Wafanya biashara hawamtaki kumskia nani wala cha nani, point yao kubwa wanataka kumuona mama tuuu......... Lolote atakalosema nafsi zao zimelidhika........
Kweli k/koo akuna mpangilio mzur wamachinga wange pangiwa upande wao mm ukinipeleka nikanunuwa kitu nikigeuka tu atuwa 5 ukiniambia rudi ulipo nunuwa sipakumbuki
Kwani wafanyabiashara hamjui makadirio yenu kwa mwaka? Kwanini msubirie mpaka operation ifanyike? Mngekuwa mnalipa Kodi Kwa wakati kamatakamata isingekuwepo
Kama mambo yenyewe ndio hivi du ndio mana wafanya biashara wengi wanaangukia kwenye ushilikina kuloga, kuua au chuma ulete ili wasipotee na hii inatutisha wengine tunataka kufanya biashara sasa huo upole wa wananchi siku wakichoka na huu ugumu wa maisha wote wantaingia mtaan kama kenya hakuna atakae wazuia. Wafanyakaz wanalia mishahara, wastafu kikokotooo, wafanya biashara kodi, unadhani wakianza kulala njaa watakua na ustarabu tena lazima watakua vichaa tu njaa mbaya shauli yenu serikali😮😮😮
Faini inabidi iilingane na thamani ya mauzo Mfano 10000-100000 30000/= 100000-1000000. 100000 Nk kama wanawaamini maafisa TRA Wafanyabishara tushitikiane na TRA na kutoa risiti sahihi Kama TRA wako makini mimi naona kama mfanyabishara hajatoa risiti ni asimamimiwe hapohapo na atoe risiti sahihi ya thamani mara 5 ya mauzo vilevile
Tatizo nchi haina waadilifu mama alifeli mapema kumweka mwigulu kitengo ndiko alipo feli mama tafuta mtu sahihi kwenye izo nafasi utaondoka madarakani ukiwa na dowa kubwa sn lisilo zuri ondoka na dowa kovu la mema mama yetu please kipenzi chetu tunakuomba badilisha wasimamizi wako wanakufelisha nchi aiendeshwi kwa mabavu toa mwigulu weka hata makonda au waziri silaha wapiga kazi hao na wasikivu kwa raia
Umezungumzia mambo ya msingi kabisa kwa kweli inatia huzuni na uchungu kwanza wachina wangefukuzwa wataruhusiwaje washindana na wananchi wa kawaida wao si wawekezaji?
Serekali inabidi Tanzania nzima mtoe machinga kwenye njia za kutembelea kwa miguu nje ya maduka. Watafutieni sehemu special za kuwaweka ili wafanye biashara zao hapo .
Kwasasa Samia amekalia mbaliiij halafu wananchi KWAVILE hawajui Sheria wanaanza kutuhumu TRA wanatuhumu mawaziri badala yake wanamuacha Samia wanasema mama unaupiga mwingi Kila mtu mama mama mama utafikiri wote hapa hamna mama zenu Kumbuka huyo mama YENU Sheria zinasema maswala yoyote yanayohusu Kodi na Tozo nimaswala yanayomuhusu rais kwasababu anapeleka bungeni bunge lenyewe ni ndio Bunge likipitisha mama YENU anasaini Sasa inakua Sheria rasmi ndiomnaanza kusakamwa na TRA na harmashauri Mpingeni huyu mama YENU ipingeni ccm
Huyu mwenyekiti wa wafanya biashara sijui amekuaje mbona ameongea kawaida Tu au wamepewa soda sio Sawa huyu mwenyekiti wa wafanya biashara mmh kuna namna
Aliyekuwa mkombozi wa wanyonge Hayati magufuli hakupenda nyonge aumie hata kidogo. Baba tutakukumbuka daima. Uongozi unahitaji ubadilike na hawa viongozi wataipooza hii suala kisa tumekaribia uchaguzi mkuu. Shida tunamafisadi wengi Mhe. Rais naomba uwe unawasikiliza wananchi wako kuliko hawa chawa viongozi wanaojali matumbo zao
Uhuru wa kujieleza ulete tija na mabadiliko ya kisera na kisheria kwa maendeleo ya taifa letu ❤
Narudia tena hawa wanyilamba 2 kitilia mkumbo na mwiguru hawakufai mama samia fukuza hao wapo watu wapya wasomi wakubwa sio hao wako kwa wizi tu hawakufai tafadhari tafadhari mama samia wanakuchonganisha na wananchi hao
SWALA NI MOJA NCHI HAINA WAADILIFU TU...😢
Tanzania kujikomboa kifikra bado sana eti wanamtaka mama samia kwan mama samia hajui kinachoe delea? Shida ni Uongozi mzima wa nchi ya Tanzania kuanzia chini mbaka kwa Rais Wabongo mkiacha uonga viongozi wenu watawaheshimu. Yan unamtetea Samia af unamtukana mtu wa TRA kwan Unazan TRA atakufata bila kufata katiba ambayo imesaimiwa na Rais apo
Kwel kabisa
Huyu ndio kaelezea vizuri kwa uchungu
Dah wasaidieni wafanyabiashara jaman inatia huruma sana Wanahoja za Msingi
Mama Samia please jitokeza upige spana hawa watu wanao watesa wananchi.
Hili swala la migomo litaleta hasara kubwa katika hii Nchi yetu,Mheshimiwa Rais Mama Samia nakuomba uwasikilize Wananchi vizuri huyo Waziri Mwiguru ni kama vile hawajazaliwa na wazazi masikini,Wekeni kodi zenye urafiki na wananchi alafu hizo kauli za Mwiguru huwa sio rafiki kwetu!
Rais haombwi wewe mbwa anaagizwa afanye acha uwoga watanzania au ujapiga kura ww
@@BabaZuu-fq8zj Mimi sio mbwa kama unavyofikiria mimi ninaheshimu mamraka zilizoko Nchini mwangu kwa mujibu wa sheria na imani yangu;Tumeimizwa kutii Mamraka zinazotuongoza:-QURAN4:59Soma uelewe sio unatukana tu bila akili,sio kila haki inadaiwa kwa fujo!
Nimegundua kuanzia ngazi za juu mpka chini wanafiki sana, kama mama anaongea na makonda akiwa kwenye kikao inakuwaje anashindwa kuongea na chalamila live mbele ya wafanyabiashara. Lao moja hakuna cha mama wala nani Mission ni moja tu
Mko sahihi, Gomeni
Uchungu mkubwa mnoo😢😢Mama samia ingilia kati
Point sanaaaa ndio Life lakibingo lushwa imetawala nibora mlivyo elimika ukitoa rushwa unakua umejilisha hasara ww na familia yako bola utoe hera ifike selekalini italeta maendereo yako nakizazi kijacho🙏🙏💪💪🔥🔥🔥🔥🔥
Ni kweli toka zamani mfumo wa malipo si mzuri na hao wafanyakazi wa serikali hawautaki mfumo mzuri sababu watakosa kula
Ni kweli kabisa wafanyakazi wa serikari tra wananufaika na rushwa
Kwani hawalipwi mishahara.?tatizo hawaridhi na mishahara yao mwisho inawagharimu na wengine
@@RenatusMatungwa TRA wafanyakazi wengi mno...mishahara mikubwa wanafilisi nchi
Jifunzeni kwa majirani zenu Kenya
Samia mwenyewe yuko busy kuuza rasilimali zetu
afuu mpigie kura chama kimoja cha ccm yan
Toka mama aingie madarakan sijawah ona ziara ata moja akiwasikiliza wananchi, mungu ibarik tz
Aiseee mtanzania genius anajua kujieleza
Kusema ukweli kabisa mimi mwigulu sijawahi muelewa ni msomi ambaye hsangalii uhalisia wa Manisha ya watanzania .kwahiyo kama ataendelea kuwa waziri wa fedha tutarajie matatizo makubwa zaidi ya haya kwa wafanya biashara
Ni uwizi wa asubhuhi na sio usiku serekali inapoteza matrilioni kwa.sekunde
SAMIA YUKO BUSY KUTAFUTA WAWEKEZAJI ANDISHINDWA KUJUWA NCHI ITAJENGWA NA WANANCH WENYEWE
HAKUNA NIDHAMU YA KAZI SASA ANAONGOZA NINI
Lipeni kodi acheni janja janja ,tukilipa kodi kama Amerika tutanyooka kama rula , kwa sasa hivi walipa kodi halali ni wafanyakazi tuu.
Point mzee baba
Lipeni Kodi acha maneno mbona mimi nnalipa nasijawahi walaumu
Wewe ni mhujumu uchumi
Kazi iendelee wazee na vijana , let's work continue kumbukeni kwa mjenga nchi ni mwananchi. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Baadhi ya viongozi wanamwaribia mheshiniwa rais mama waangalie sana
Haya yote ni madhara ya matumizi mabaya ya kodi za umma.
Mtu huna ajira lakini hata ukijiari wanachukua kile kidgo ulichopata, huu mgomo ni ishara tosha ya ukombozi.
Ukiona mwenzio ananyolewa, Zako Tia maji
#GodIsGood
Kweli
Kweli kariakoo amna ustarabu bara2 kero mm sijui km na miji mingine Pako hivi tafutia wamachinga pa kuuzia tutawafata
Kuna machinga wana mitaji hata wenye maduka hawafiki … ni kweli kabisa
Wanachukua meza ili wakwepe kodi
Kuhusu wachina ni tatizo kubwa sana ,tena wakikoma himekula kwenu sio watu kabisa ulizeni afrika kusini pambaneni mapema sio wazuri watawashindeni kibiashara
Ilo kweli
na sisi tunahama,maana mwigulu alishasema tuhame basi tunahama wajiongoze wenyewe.MAGUFULI UTAKUMBUKWA SANA..
Kweli kaka lazima nchi imlinde mzawa, hapo Kweli mchina hafai😅😅
Hapo safi sana. Mungu hawa linde.
Hii sio Tanzania tena hili ni gulilo
Ongea wasikie mzeee🙌🙌🙌
Uyu ana jaziba kunamengi hayajui
Apo kwa wachina umetishaa maana watatuua kwenye biashara
Mwigulu jina lake ni waziri au waziri ni cheo chake yeye anaitwa Mwigulu, kwasababu mi naona kila raisi anaeingia ye ni waziri tu anazunguka kwenye wizara tu,hivi kweli nchi hii tunauhaba wa wasomi kiasi hichi kweli au kuna namna jmn
Jamaa kuongea point tu
Kero ni nyingi sana
Jamani kwa aoni malalamiko ya watu wake akaingilie kati
TRA Iondolewe serikali iweke mfumo ambao mlipa kodi atalipa na hela itaingia moja kwa moja hazina na sio kupitia kwenye mikono ya vishoka TRA
Point 🤔👏👏👏
Yameanza kama masiara, ila yatazaa matunda tu.
Mwananchi ndio muamuzi wa mwisho wa nchi yoyote.
Wafanye kazi na wao wasitegemee mishahala waone kama ni rahis
Wa Kenya hoyee
Mimi binafsi naon wamachinga waondolewe kabisa tuwe tunanunua dukani kama posta, maana kwanza wanaongeza msongamano na wizi
Aya mwenzako yukonbize anawalipa wasanii wamtungie nyimbo za promo mitano mbele..🎉 rip JPM
CCM oyeeeee twende kazi na uchaguzi unakuja
It pain ukisikiliza, sijajua nini shida kwa nchi hii, kweli watu wananenepa na kula hela za watu kiholela na kila wakilalamika mifumo ipo pale pale haibadilishwi, ni huzuni, kaka kashauri vizuri sana wakijua idadi ya maduka mtu akakadiriwa vizuri malipo yake usumbufu usingekuwepo, machinga kariakoo kweli ni kero mbona kuna machinga complex lakini hao machinga hawaendi kufanya biashara huko kumedoda kimya
Wafanya biashara hawamtaki kumskia nani wala cha nani, point yao kubwa wanataka kumuona mama tuuu......... Lolote atakalosema nafsi zao zimelidhika........
Komaeni hivyohivyo hao viongozi wenu washapewa pesa wapumbavu ....tuamkeni watanzania tunakoelekea tunarudi ktk ukoloni wa watu weupe
IVI MAMA HAONI AU,,AMEENDA,,KOREA KUSINI,,,😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺
Daaah😢😢😢hiiii serikalii hiiii😢😢😢
👏👏 samia jitokeze we ndo msemaji wa mwisho
Yuko huko South Africa 😅😅
Yaani endeleeni Kugoma mpaka kieleweke
Machinga waende machinga complex tu. Hasiwepo mtu wa kupanga nje (50%) ya kinachonunuliwa kariakoo havikatiwi kodi
Sirikali sirikali sirikali 😢😢😢😢😢😢😢, hivi vitu vitawatafuna mpaka kwenye malalo yenu
Samia ndo kateua msiseme ni mzuri
Kweli k/koo akuna mpangilio mzur wamachinga wange pangiwa upande wao mm ukinipeleka nikanunuwa kitu nikigeuka tu atuwa 5 ukiniambia rudi ulipo nunuwa sipakumbuki
Kodi kubwa ni za Fremu na hamsemi ilo ,kodi za frem zingekua Rafiki kodi za serikali ni rahisi kulipa,
Wasomi wengi tanzania wanafanyiakazi kile amabacho hawahakisomea hata hao TRA hawajsomea?Mambo ya TRA
Safi..sanaa😂😂
nikweli kabisa biashara za kariakoo wateuliwa wa serkani sio waadilifu
Kwani wafanyabiashara hamjui makadirio yenu kwa mwaka?
Kwanini msubirie mpaka operation ifanyike?
Mngekuwa mnalipa Kodi Kwa wakati kamatakamata isingekuwepo
Hujaelewa, kwanza usipolipa kodi kwa wakati inapiga penalty hakuna ambae anafanya makusudi kutolipa kwa wakati ikitokea labda ni bahati mbaya.
Kama mambo yenyewe ndio hivi du ndio mana wafanya biashara wengi wanaangukia kwenye ushilikina kuloga, kuua au chuma ulete ili wasipotee na hii inatutisha wengine tunataka kufanya biashara sasa huo upole wa wananchi siku wakichoka na huu ugumu wa maisha wote wantaingia mtaan kama kenya hakuna atakae wazuia. Wafanyakaz wanalia mishahara, wastafu kikokotooo, wafanya biashara kodi, unadhani wakianza kulala njaa watakua na ustarabu tena lazima watakua vichaa tu njaa mbaya shauli yenu serikali😮😮😮
ila palipofikia kwann rais anaendelea kukaa kimya ivi mpaka asikie nini ndio atazungumzia ili
Huyo alisemaga yeye anaziba masikio..🤯
Faini inabidi iilingane na thamani ya mauzo
Mfano 10000-100000 30000/=
100000-1000000. 100000
Nk kama wanawaamini maafisa TRA
Wafanyabishara tushitikiane na TRA na kutoa risiti sahihi
Kama TRA wako makini mimi naona kama mfanyabishara hajatoa risiti ni asimamimiwe hapohapo na atoe risiti sahihi ya thamani mara 5 ya mauzo vilevile
Sasa kero zote hizo, harafu kenge Moja tu inaanza kutishia tishia
Yule sio Mkuu wa Mkoa bali mchekeshaji#
Yule ni kenge kama nikenge wenginee
Tatizo nchi haina waadilifu mama alifeli mapema kumweka mwigulu kitengo ndiko alipo feli mama tafuta mtu sahihi kwenye izo nafasi utaondoka madarakani ukiwa na dowa kubwa sn lisilo zuri ondoka na dowa kovu la mema mama yetu please kipenzi chetu tunakuomba badilisha wasimamizi wako wanakufelisha nchi aiendeshwi kwa mabavu toa mwigulu weka hata makonda au waziri silaha wapiga kazi hao na wasikivu kwa raia
Kwa kwel inchi gan hii😊
WATAWAKIMBIZA WAGENI KWA KWELI... HII NCHI FOOOLISH KWELI 😢😢😢😢😢
Umezungumzia mambo ya msingi kabisa kwa kweli inatia huzuni na uchungu kwanza wachina wangefukuzwa wataruhusiwaje washindana na wananchi wa kawaida wao si wawekezaji?
Inashangaza na kulindwa juu na jeuri juu
Bongo ujinga sana eti mgeni nae anafanya biashara kama mzawa inaskitisha sana😢
TRA wasumbufu sana na mfumo wa ukusanyaji Kodi ni mbovu.Machinga wana mitaji mikubwa kuliko wenye maduka.
Dadaangu anauza kachori kibalazani kwa mtu apate kuisha watoto wake Lakini wanakuja watendaji kudai kodi duuh mama Samia hapana kwakweli 😢
Shida mlio wachagua ni woga Sana
Serekali inabidi Tanzania nzima mtoe machinga kwenye njia za kutembelea kwa miguu nje ya maduka. Watafutieni sehemu special za kuwaweka ili wafanye biashara zao hapo .
Tanzania bado 🤔🤔
Viongozi wamewasaliti Yesu rohoni pesa mfukoi
Ni kweli wachina wanauza hadi maua ya buku
Hapo kwa wa China umesema kweli kaka
Tunisia’s kitu kutoka kenya jamani..!
1. Machinga,
2. Wageni kupotea Mitaa
3. Bidhaa pasipo risiti
Nikweli
Hao viongoz piga chini washabadilishwa akili na wakuu ndo mana wanalindwa cjui katiba yenu ikoje ila kama inaruhusu piga chini wote
Mama piga chini viongozi wanakuangusha
Ndio maama wanalalamika kuna uhaba wa dola kumbe tatizo linatokana mambo kama haya, sasa wanaoleta dola katika mazngira kama haya inakujaje?
Serekali yetu siasa nyingi
Wasenge sana hao tta
Nabado hamjasema mpaka mseme mkitetewa namange midomo juu mnamuona mbaya
Hata kwenye magali ivo ivo
Hiyo ilikuwa aridhi watu wanatajirika kwa rushwa ni dili
Kwasasa Samia amekalia mbaliiij halafu wananchi KWAVILE hawajui Sheria wanaanza kutuhumu TRA wanatuhumu mawaziri badala yake wanamuacha Samia wanasema mama unaupiga mwingi Kila mtu mama mama mama utafikiri wote hapa hamna mama zenu
Kumbuka huyo mama YENU Sheria zinasema maswala yoyote yanayohusu Kodi na Tozo nimaswala yanayomuhusu rais kwasababu anapeleka bungeni bunge lenyewe ni ndio
Bunge likipitisha mama YENU anasaini Sasa inakua Sheria rasmi ndiomnaanza kusakamwa na TRA na harmashauri
Mpingeni huyu mama YENU ipingeni ccm
Mzee ana hoja asikilizwe
TANZANIA KIKUBWA UZIMA HATUNA WANAINCHI,,,HATUNA,,,VIONGOZI,,,
Kwani huyo Mama hayajui hayo
4:51
Kwel hapo TRA inatakiwa ifikilie kwenye kod