Ni tabibu Eden choir moravian arusha
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
- Ni tabibu ni wimbo ambao unazungumuzia swala la ukombozi wa wanadamu kupitia neno la Mungu.
Directed by TUZO ENCERN
Audio Produced by FRESTER'S RECORDS
Written by ALEXANDER MAGENDA
Prod House :ENCERN STUDIOS
Location : ARUSHA TO MOSHI BYPASS AND LENGIJAVE - เพลง
hakika Nitabibu wa kweli
Vitu vizuri kama hivi ni eden pekee tunavipata,inapendeza sana watumishi
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤❤❤❤❤
Kazi nzuri
Mbarikiwe wtu wa Mungu, 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mmenikumbusha mlivyopa4m huu wimbo pale rwanda moravian hakika mlifanya vema mbarikiwe sana
kazi nzuri mungu awabariki
Mungu azidi kuwainua zaidi katika huduma yake🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Blessings... kazi ya bwana izidi kusonga mbele
Glory to God
Mungu awabariki
Good work
Nawapenda Sana wapendwa
tuwekeen na zil nyimb za zaman
Kaz nzuri san mungu awabark san
God bless 🙏 hakika moyo wangu umetakasika Kwa kazi nzuri iliyobeba ujumbe uliyonipnya
Hakika ni tabibu wa kweli
AMENI
Hakika Mungu awainue zaidi
Ni tabibu wa kwel haswaa, mbarikiwe sanaaa
Great work Eden Choir 👏🏽👏🏽 Mungu Awabariki🙏🏽🙏🏽
Wow hongeren
Ameni nawapenda
Vitu vzr navijua sana....hii nayo kwa kweli ni nzuri tam kuskiliza, melody safi. Mmenikuna ninapowashaga siku zote. Hongera watumishi wenzangu shambani mwa Bwana......by Shigongo kutoka Mwanza
Mungu aendelee kuwapeleka viwango vingine kwa utukufu wa Mungu
Hongereni sana..
Utukufu kwa MUNGU
Hongereni sana, nmefurahi kukuona mwl wangu na mdogo wangu Atu, hakika kazi yenu ni njema.
Amen
Kazi nzurii sana
Mungu azidi kuwainua ❤️
Good job