MANDOJO NA DOMOKAYA - P. FUNK Alitufukuza Studio Yake Tukaenda kwa MIKA MWAMBA - Part 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Mandojo na Domokaya wanaendelea kutupa simulizi yao ya maisha na muziki katika meza ya Bongo Project. Leo wametupa visa na mikasa mingi sana, ikiwamo kutapeliwa, kuibiwa na juu ya historia ya kweli ya baadhi ya nyimbo zao. Wameimba sana humu! Usikose.
    #mandojo #domokaya #bongoproject #bongofleva #wamandavaku
    Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
    --------------------
    WEBSITE
    --------------------
    bongoproject.org/
    --------------------
    SOCIAL MEDIA
    --------------------
    Instagram: / bongo_project
    Facebook: / bongo-project-10256641...
    TikTok: / bongoproject
    --------------------
    CONTACT
    --------------------
    Email: info@bongoproject.org

ความคิดเห็น • 3

  • @tgeofrey
    @tgeofrey 3 หลายเดือนก่อน +1

    Aminia

  • @salummsile5348
    @salummsile5348 2 หลายเดือนก่อน +1

    😭😭RIP Mandojo bro Allah amkusaheme madhambi yako