Stewart Mwakasege - NITAFANIKIWA (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 133

  • @christermademla5802
    @christermademla5802 ปีที่แล้ว +2

    😢😢😢 nmelia adi.... Mana ndo ninachopitia.... Naamini Nitafanikiwa🥰 Asante Kwa kututia moyo brother

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  ปีที่แล้ว

      NAKUTAMKIA BARAKA KUPITIA WIMBO HUU MUNGU ATATENDA KWAKO.

  • @ministerkelvin_222
    @ministerkelvin_222 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuongeze viwango utumike zaidi kwake mzee

  • @fredybenard4665
    @fredybenard4665 ปีที่แล้ว +9

    Stewart Stewart Stewart nimekuita mara tatu kwa Heshima sanaa.... naona umeamua kuimba kuhusu mimi kabisa

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  ปีที่แล้ว +1

      UTAFANIKIWA ZAIDI YA HAPO ULIPO
      MUNGU ANA MPANGO MKUBWA SANA
      Ni Kusudi La Mungu Kuleta wimbo huu Uwahudumie watu..UTUKUFU KWA MUNGU

    • @djpandaskillz3047
      @djpandaskillz3047 ปีที่แล้ว

      Uzidi kubarikiwa brother kazi nzuri

  • @ellymkakawaviatu2124
    @ellymkakawaviatu2124 ปีที่แล้ว +1

    Good sana mwanangu

  • @Meil_77
    @Meil_77 ปีที่แล้ว +1

    Kweliiii nabarikiwaaaa

  • @riveroflife015
    @riveroflife015 ปีที่แล้ว +1

    Isaya 55:11 Yasema ta kwamba mawazo to ya MUNGU sio mawazo ya Mwanadamu,,wimbo ulio na ujumbe kabambe

  • @riveroflife015
    @riveroflife015 ปีที่แล้ว +1

    Kabisa Kakangu Stewart ,Kazi Safi

  • @samwelandrew6336
    @samwelandrew6336 ปีที่แล้ว +1

    Kubwa nyingine ya Mtumishi wa MUNGU, #Nitafanikiwa ni zaidi ya maisha🔥🔥🔥
    Jehovah azidi kukutumia kw huduma yake✊✊✊

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  ปีที่แล้ว

      Kaka Samwel Andrew Nashukuru sana
      Kwa Kuwa Namba Moja Kupiga wimbo wangu Redioni kipindi nyanza kuimba Wewe Na Ndugu Jenbert Kashaija...
      Kaka Barikiwa sana sanaa

  • @abuuabuu9170
    @abuuabuu9170 ปีที่แล้ว +1

    Hongera saana mkuu

  • @puttenyanthony9284
    @puttenyanthony9284 ปีที่แล้ว +1

    Kaka Mungu amekupa kitu kikubwa zidi kunyenyekea una kitu kikubwa sana

  • @ladoproperty2730
    @ladoproperty2730 ปีที่แล้ว +1

    Hongera saana Bro Stewart ....hakika utume wa kuinjilisha unautendea haki. Ubarikiwe mnoo .

  • @vitusadam9964
    @vitusadam9964 ปีที่แล้ว +1

    Mungu Anakutumia Sana mtumishi wamingu Barikiwa sanaa

  • @GloryMathay
    @GloryMathay ปีที่แล้ว +1

    😢😢😢😢😢Hakika mambo yatabadilika Uwiiii Naisubr hyo siku Hongera tena Hongera sanasana

  • @alexmwakikambako4743
    @alexmwakikambako4743 ปีที่แล้ว +1

    Lazma nifanikiwe kwa jina la yesu nice to song god bless

  • @GloryMathay
    @GloryMathay ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Bro

  • @joshuajustustz
    @joshuajustustz ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa Kwa kutendewa muujiza. Haleluya

  • @frantinefinias5271
    @frantinefinias5271 ปีที่แล้ว +1

    Kaka nakuona mbali,, uzidi kubarikiwa

  • @emanuelhancy619
    @emanuelhancy619 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi uinuliwe zaid na zaid tunabarikiwa mnoo kazi ni njema sana

  • @asteriajohn4755
    @asteriajohn4755 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kwa kazi nzuriii.. YESU azidi kukutumia kwa viwango vya juu...

  • @Wisdom-HQ
    @Wisdom-HQ ปีที่แล้ว +1

    Hii nyimbo ni bora sana! Pamoja na uinjilishaji pia ni tiba ya kisaikolojia. Pale kipaji kinapokutqna na maarifa

  • @oscarzeze6452
    @oscarzeze6452 ปีที่แล้ว +1

    Mtu mkubwa hongela sana

  • @irenebeddah6524
    @irenebeddah6524 3 หลายเดือนก่อน

    Dah. Umenigusa nimeona hii arise and shine. Nimeingia kutafuta u tube. Barikiwa sana sana

  • @LizerCurtain
    @LizerCurtain 6 หลายเดือนก่อน

    Amen Mtumishi wa Mungu,Huu ni wakati wangu NITAFANIKIWA 🙏

  • @nusurasaid5656
    @nusurasaid5656 ปีที่แล้ว +2

    Good job ..... be blessed...💪🙏

  • @djpandaskillz3047
    @djpandaskillz3047 ปีที่แล้ว +1

    🎻 good

  • @Othnie-1j
    @Othnie-1j ปีที่แล้ว +1

    Hongera Kaka,BARIKIWA sana

  • @SHUJAAWAIMANIHYLINEBAKE
    @SHUJAAWAIMANIHYLINEBAKE ปีที่แล้ว +2

    Hallelujah hallelujah hallelujah 🙌🙌💃💃💃💃🤲🤲👏👏🙇👌❤️❤️❤️ nice one 🥰🥰

  • @evancenchimbinapokea8839
    @evancenchimbinapokea8839 ปีที่แล้ว +1

    We makukubela umetisha kwenye hii Ngoma huu wakati wetu lazima tutoboe tuu😅😅😅

  • @19hourz
    @19hourz ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri mno

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  ปีที่แล้ว

      PRODUCER Wangu Wa kwanza Kipindi nyanza kuimba Nashukuru sana Kwa Support Yako Kaka

  • @RehemaDickson
    @RehemaDickson ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @thom_sechuma
    @thom_sechuma ปีที่แล้ว +1

    Kazi njemaaaa sanaa

  • @MINISTERGLORY-Tanzania
    @MINISTERGLORY-Tanzania ปีที่แล้ว +1

    Mtu mkuu wa Mungu wimbo huu umenipa tabasamu la moyoni mwangu Uinuliwe zaidi na zaidi Mungu akutumia kwa namna ya pekee

  • @okitalanta5665
    @okitalanta5665 ปีที่แล้ว +1

    Hii imeenda,🔥🔥🔥🔥big up ur self mtumishi wa Mungu

  • @edwardkisusuofficial
    @edwardkisusuofficial ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana mchungaji kazi kubwa sana na nzuri

  • @isayamalima2726
    @isayamalima2726 ปีที่แล้ว +1

    Mungu yupo na wewe Chombo, Songa mbele.

  • @starrecordshancej1083
    @starrecordshancej1083 ปีที่แล้ว +1

    Hongera

  • @doyenrae
    @doyenrae ปีที่แล้ว +1

    Muda wa Mungu💪🏾🥂🔥🔥

  • @mwanawamfalmetz
    @mwanawamfalmetz ปีที่แล้ว +1

    Huu niujumbe mkubwa sana kaka Mungu azidi kukuinua katika huduma❤

  • @Arnoldjonas255
    @Arnoldjonas255 ปีที่แล้ว +1

    Nibarikiwa sana mtumishi wa Mungu sana

  • @dkdinno
    @dkdinno ปีที่แล้ว +3

    We Are Born To Shine blood no matter what 🔥🔥🔥🔥🔥💪

  • @HEKIMAPSCHANNEL
    @HEKIMAPSCHANNEL ปีที่แล้ว +1

    Kaka Stewart, Mungu aendelee kukutia nguvu, jumbe zako huwa zimebeba faraja, matumaini na hamasa katika maisha, ubarikiwe sana kaka katika huduma yako

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  ปีที่แล้ว

      AMEEN SANA Mtumishi Ni MAOMBI YANGU Kwa Mungu AKUTENDEE

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  ปีที่แล้ว

      AMEEN SANA MTUMISHI
      BARIKIWA SANA

  • @lydiarichard1283
    @lydiarichard1283 ปีที่แล้ว +1

    Nakuona mbali ndugu yangu

  • @elishageorge492
    @elishageorge492 ปีที่แล้ว +1

    Jamaniii Hii Kazi Kubwa sanaa Jamanii kaka 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
    Nakuona Mbali sana na Nakupenda Na Naheshimu Sana Kile MUngu ameweka kwakoo 🙌

    • @stewartmwakasege
      @stewartmwakasege  ปีที่แล้ว

      Mtumishi Barikiwa Sana Sana
      Mungu Akutunze Sana
      Tunamrudishia Yeye Sifa Na UTUKUFU

  • @paulinamacheyeki8381
    @paulinamacheyeki8381 ปีที่แล้ว +1

    Pongezi sana mwanangu.

  • @elizabethasenga9883
    @elizabethasenga9883 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations My Friend Stewart Kuimba ni kusali mara Mbili🙏.Mungu akaseme na haja za moyo wako❤️

  • @wagalyrics
    @wagalyrics ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri💥

  • @richardmziray7364
    @richardmziray7364 ปีที่แล้ว +1

    Big up bro. Be blessed always.

  • @bellatvonline
    @bellatvonline ปีที่แล้ว

    Kazi Nzuri Sana Sana Sana Hongera Sana Mtumishi

  • @mashakataratibu9969
    @mashakataratibu9969 ปีที่แล้ว +1

    #respect.....ujumbe mzito sana 🔥🔥

  • @andrewkihweloofficial6589
    @andrewkihweloofficial6589 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana

  • @MBUBACOUNSELINGUNIT
    @MBUBACOUNSELINGUNIT ปีที่แล้ว +1

    MASTERPIECE ❤

  • @barakakisasi8154
    @barakakisasi8154 ปีที่แล้ว +1

    A very powerful song vujuvenga 🙏🏿

  • @JaneTumaini
    @JaneTumaini ปีที่แล้ว +1

    Yupo Mungu mkuu

  • @gracegasper8833
    @gracegasper8833 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed broo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @fredrickpeter8388
    @fredrickpeter8388 ปีที่แล้ว +2

    Brother Stewart, this is more than a message which carries the greatest vision and spirit within it, for sure it is like an alert to all challenges which no matter what success will be the answer of any of it.. your blessed bro, May God bless you more thanks for this beautiful gift❤❤😊... rewind and rewind is my first priority on this song big bro😊❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @HannahNurdin-x9m
    @HannahNurdin-x9m ปีที่แล้ว +1

    Nice Kaka

  • @praygodseth5600
    @praygodseth5600 ปีที่แล้ว +1

    Blessings man

  • @MINISTERPOLU
    @MINISTERPOLU ปีที่แล้ว +1

    Haleluya

  • @rahmamponela6263
    @rahmamponela6263 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥

  • @wilsonmgeni6370
    @wilsonmgeni6370 ปีที่แล้ว +1

    Great song and strong message. Barikiwa sana brother... !!

  • @danielnyaisare6578
    @danielnyaisare6578 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🤣🤣

  • @mwanawamfalmetz
    @mwanawamfalmetz ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/ya_vwpfc4Fs/w-d-xo.htmlsi=HZbutjxgLJMGenr0
    Nikweli @mwanawa Mfalme tz

  • @mwanawamfalmetz
    @mwanawamfalmetz ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/ya_vwpfc4Fs/w-d-xo.htmlsi=HZbutjxgLJMGenr0
    th-cam.com/video/ya_vwpfc4Fs/w-d-xo.htmlsi=HZbutjxgLJMGenr0
    Nikweli @mwana wa Mfalme tz