Waislam Allah (Azza wa jallah) atujai wepesi uku tujae kwa wingi na kuskiza tusiendekeze ya dunia ya walio tuzunguka wenye kutuangamiza mchana..Amin Rabaal Amin
Dah katika mawaiza Hakuna mtu ambae alokoment ila ingelikua nyimbo ya diamond apo watu kibao washakoment ila tujijue tu km tunakufa acheni kupenda dunia
Hili swala la talaka 3 ni kweli mimi limenitokea mume wangu kaniacha Kwa hasira. Hila hadi leo hujutia nafsi yake .usema hasubiri niolewe tena niachike nami nilivujika moyo
Allah bless you and all Muslim❤
Ma Sha Allah ya sheik Othman Maalim Allah akulinde na Hasidi
Alhmdullah allah atujaliye Ndoa zenye kudumu ndaniyake azitie bariqa nazipe subura yenye kudumu allahuma ameen 🤲
Al-hamdulillah yan nampenda huyu MUNGU ampe maisha marefu yenye afya njema hapa dunian na kesho akhera
Aamiin
Tunamuomba Allah (s.w) atujaze kheri ndani ya mioyo yetu apa duniani na kesho akhera inshallah
Allah akuweke Sheikh Othman
Tuna Mungu sheikh . Pia nimemsameh kwa kunipotezea umri wangu wote 🙏🏽
Kweli kbs ustadh Othman maalim
Waislam Allah (Azza wa jallah) atujai wepesi uku tujae kwa wingi na kuskiza tusiendekeze ya dunia ya walio tuzunguka wenye kutuangamiza mchana..Amin Rabaal Amin
Amin YA Rabby
Allah atujalieni wake watakao kuwa wema kwetu In Shaa Allah🙏🏽
Walkmsalam warhamatullah wabarkat Mungu akupe khery Sheikh Othman maalim
Yaraab wajaalie wanetu wake walio wema wenye mazingatiyo ya dini yakumuogopa Mola wetu mlezi Aamiin
Mashaallah Shukranii sheikh wetu othuman maalim Allah akujaze kherii yakhera na dunia thumma amani
Mashaallah maalim all akuhifadhi na mahasidi
Shukran shekhe Othman
Mashaallah Allah atuhifadh na moto
Maashaa Allaah,,, jazaaka Allaahu khayr...
MASHALLAH SHUKRAN JAZIRAH
Subhanallah
Inshallah Allah atujaalie ndoa njema na zenye subra ndani yake na zenye kufata mema yake Allah
Jazzakallah kheir
shekhe othumani maalim mngu akuzidishie amri mkubwa kwakututoa gizani alwaa akubariki
Allah akuongoze daima
Allah aturidhie tukawe ni wenye kufuzu katka maisha yetu ndani ya rizk na familia zetu..
Jazakallah Kheir Shekhe Othman Maalim
Shukran wajazaka llahu heri inshallah
Allah akupe umri
mungu akuweke sheikh letu amiin
SubhanaAllah
Allahu akbar
Jazzakallah Allah akuzidishie umuli
Allah atupe subra ktk ndoa zetu
Maashaallah
Allah atufanyie ndoa zetu ziwe zenye furaha na utulivu.
Allah atusalimu salama ameen
Allah akulipe kheri
Dah katika mawaiza Hakuna mtu ambae alokoment ila ingelikua nyimbo ya diamond apo watu kibao washakoment ila tujijue tu km tunakufa acheni kupenda dunia
Brother wakumbushe walio karibu yako na familia yako
Ivo kuangalia hayaangaliwi ayo mawaidha watacomet nini dini hatuitakii
INA Lillah waina ilaihi rajiun
Tena wengi wetu ni sisi waislam ina skitisha ..Allah (Azza wa jallah)atu nusuru....
Shekh huku diamond usimtaje kwann yey hayamuhusu yanayo tuhusu ni mm na wew na waislam wanaojitambua
Mashaallah
Mola atuhifadhie ndoa zetu
🙏🙏🙏
Mashallah mashallah
Mola atusamehe madhambi yetu
Jazallahu khaira usife moyo kuambiwa umeaoma wapi
La ila haila Allah
Hili swala la talaka 3 ni kweli mimi limenitokea mume wangu kaniacha Kwa hasira. Hila hadi leo hujutia nafsi yake .usema hasubiri niolewe tena niachike nami nilivujika moyo
Mawaidha mazuri
Mola Atupe sakeena nyumba zetu
Kwanini dini yamawahabi wachuki nawenzao