Vituko vilivyotokea wakati wa kupiga mnada makontena ya Makonda

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 77

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 4 หลายเดือนก่อน

    Mlimvunjia sana Heshima mh Makonda

  • @aliyahmedahmed3722
    @aliyahmedahmed3722 6 ปีที่แล้ว +2

    Muuzieni Dr. Shika msisumbue watu... Makontena yenyewe hamna kitu...

  • @shedrackboniphace7755
    @shedrackboniphace7755 6 ปีที่แล้ว

    ahahahahaaaaaa nacheka kinafiki kama petro baada ya kugundua joka kawika mara ya tatu

  • @karumekondo9476
    @karumekondo9476 6 ปีที่แล้ว +6

    Apo kuna mchezo wa ajabu makonda ameambiwa alipe bilioni moja nukta mbili kwa kontena 20 maana yake kila kontena moja milioni 60 na kwenye mnada kontena moja limefika milioni kumi na tano na akuna alienunua, ngoja tuone iyo minada miwili iliyobaki kama mambo yatakwenda kamamlivyopanga

    • @aminamussa5122
      @aminamussa5122 6 หลายเดือนก่อน

      Wewe unauhakika gani ni makontena ya Makonda

  • @mcrahaleo688
    @mcrahaleo688 6 ปีที่แล้ว +2

    "MAZINGAOMBWE" Bilioni 1.2÷ makontena 20= 60,000,000/= sasa hiyo Bilioni 1.2 itafika saa ngapi ikiwa Kontena moja lauzwa sh. Milioni 15?

  • @stevenjackson1582
    @stevenjackson1582 6 ปีที่แล้ว +2

    Loooooooooh ama kweli ukistaajabu ya mussa utayaona ya firauni sasa mnavyouza uza hiyo kodi si italudi kununua fanicha za walimu ktk office zao mpya zinazojengwa? Kwa nini hivyo vifaa visielekezwe moja kwa moja ktk hizo office za walimu zinazojengwa? Au KA ma hizo samani zikipelekwa moja kwa moja mashuleni makonda atapata sifa saaaaana eeewww.

  • @danielsamwel3628
    @danielsamwel3628 6 ปีที่แล้ว +18

    Kama waliweza kugawa samaki bule .je kwa nn na hivi wasingegawa kwenye mashule bule ili shule zinufaike .maana kama ofsi za walimu kweli tunashuhudia zinajengwa kwa hapa dar .si wangegawa bule hizo Mali kwenye mashule.

    • @chrispinjoseph1522
      @chrispinjoseph1522 6 ปีที่แล้ว

      Daniel Samwel bandari na tra zina sheria kanuni na taratibu zake

    • @rehemadani3600
      @rehemadani3600 6 ปีที่แล้ว

      Hapo sawa

    • @bwegelanyakhaido3088
      @bwegelanyakhaido3088 6 ปีที่แล้ว

      inawezakan iyo Ila samaki wale walikuwa ni mali ya selikali cz walivuliwa kwenye bahari yetu Ila Ayo makontena ni ya nwatu binafsi walio shindwa kulipia Kodi so yanauzwa kuchukua Kodi yao unayo Baki ni Kwa ajili ya wenywe

    • @mariammzee3186
      @mariammzee3186 6 ปีที่แล้ว

      Kweli daaaaah

  • @salehkhamis9978
    @salehkhamis9978 6 ปีที่แล้ว

    Dk shika Leo yuko WAP hapo

  • @getaromagaiwa7918
    @getaromagaiwa7918 6 ปีที่แล้ว +1

    Kama makonda amegoma kujiuzulu!? Kwa nini asitumbuliwe!?

  • @laurentdavid3696
    @laurentdavid3696 6 ปีที่แล้ว

    jamani haka kamchezo ka kuigiza ni katamm hahahaha

  • @mercyemmanuel8536
    @mercyemmanuel8536 6 ปีที่แล้ว +1

    nimekupenda madame unajibu vizuri na kisomi zaidi....

    • @mrkasebelekasebele2129
      @mrkasebelekasebele2129 6 ปีที่แล้ว

      Hivi na zile fenicha za shule zinauzwa pia? Kama hivyo ndivyo,Hii ni nchi itakuwa ya ajabu kwakweli, vifaa kwaa jli ya shule ili wanafunzi wapate elimu bora viuzwe!!!alafu be ya njugu tu!!! Du bado tutakuwa na safari ndefu sanaa katika Elimu, Yaani serikali ishindwe kuyasimamia makontena hayo na kuhakikisha yanagawiwa kwa walengwa kama muagizaji alivyotoa maelezo mahali yanapostahili kupelekwa!!? Siamini hili.

    • @eliasgunini367
      @eliasgunini367 6 ปีที่แล้ว

      Achen kutuzaga,,funika kombe mwanaharam apite,,,,,,,,,,hahahahahahahaaaaa,wap Dr.Shika????

  • @davidmtweve5306
    @davidmtweve5306 6 ปีที่แล้ว

    duu my country tz

  • @ggmmedia1757
    @ggmmedia1757 6 ปีที่แล้ว

    Uswailini kuna vituko😂😂😂😂🙏

  • @amanimwakyusa727
    @amanimwakyusa727 6 ปีที่แล้ว +2

    Nchi inaliwa hii kweupe mwenyezi mungu tunaomba kiongozi bora

    • @ziadaalute6836
      @ziadaalute6836 6 ปีที่แล้ว

      Amani Mwakyusa ,hayupo ktk Dunia hii

  • @zabulonneemamukambilwa684
    @zabulonneemamukambilwa684 6 ปีที่แล้ว

    Ndo kwamaana Dr shika ajatikea hapo coz anajua ni siasa tu

  • @sulaymanabdallah8063
    @sulaymanabdallah8063 6 ปีที่แล้ว

    duh!!! pole TANZANIA

  • @vivianlenard3618
    @vivianlenard3618 6 ปีที่แล้ว

    Hizo contena cyo ka zimekosa wateja. mi nieamini walahi makonda anaogopwa haaaaaa watu wameogopa pyu pyu cy mchzoooo nani ataki roho yake

  • @dabelmathew2322
    @dabelmathew2322 6 ปีที่แล้ว

    pole nchi yangu

  • @yohanamahago8134
    @yohanamahago8134 6 ปีที่แล้ว

    Dr hakuwepo?

  • @mwawichinoko295
    @mwawichinoko295 6 ปีที่แล้ว

    Dr shika Leo alikua wapi tajir wetu

  • @tumainimango8140
    @tumainimango8140 6 ปีที่แล้ว

    Makonda alitaka agawe kwa walimu wake.c mgawe kwa shule za Dar km alivyoahidi.kuliko kupiga mnada

  • @elizabethminja5006
    @elizabethminja5006 6 ปีที่แล้ว

    Dr shika simuoni hapo

  • @laurentdavid3696
    @laurentdavid3696 6 ปีที่แล้ว

    hii ishu ya kukamata makontena kwa wale wenye akili atajiongeza kama ni kweli au sio kweli

  • @vailethkilewo2480
    @vailethkilewo2480 6 ปีที่แล้ว

    mia 9 itapendeza Leo hayupo jaman

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe8111 6 ปีที่แล้ว +5

    MUNGU HAYO MAKONTENAR YASIPATE WATEJA. YARUDI KWA WANAFUNZI NA WALIMU.

  • @mnyalapekassimu3481
    @mnyalapekassimu3481 6 ปีที่แล้ว

    Ili nitela ingekuwa dada wa usa amekalia kibadachake vizuri pichakamili tungeenda kulipata huko kwenye kibanda

  • @larickmtui2852
    @larickmtui2852 6 ปีที่แล้ว

    Wap dr Shika?

  • @ziadaalute6836
    @ziadaalute6836 6 ปีที่แล้ว

    Malipo niduniani,siulijifanya Dar niyakwako nanimtoto wa Magu? Heeeedd

  • @mohdykihamia247
    @mohdykihamia247 6 ปีที่แล้ว

    mmmmmmmh yetu macho

  • @awadhikanyawana2526
    @awadhikanyawana2526 6 ปีที่แล้ว +7

    Kama kweli Raisi ni mtenda haki amtumbue na huyu sasa

    • @dachjunior4766
      @dachjunior4766 6 ปีที่แล้ว +2

      Amtumbue kwa kosa lipi ...

    • @awadhikanyawana2526
      @awadhikanyawana2526 6 ปีที่แล้ว

      Daniel Chijanja kwan ww hujui kwamba lengo lilikua kuibia uma kukwepa kodi ni kosa kubwa halina tofauti na ufisadi

    • @dachjunior4766
      @dachjunior4766 6 ปีที่แล้ว +1

      @@awadhikanyawana2526 mtasema mengi katika sakata hili mkijificha katika kichaka cha kodi kwa kuwa Mh. Rais kasema kumbe wengi wenu mna MIHEMKO ya KISIASA na CHUKI zenu BINAFSI kwa Mh. Makonda ...

    • @awadhikanyawana2526
      @awadhikanyawana2526 6 ปีที่แล้ว

      Daniel Chijanja hakuna mhemko apo mzee baba ashukuru tu yy ni msukuma angekua mwingne angetumbuliwa asubuhi tuu

    • @dachjunior4766
      @dachjunior4766 6 ปีที่แล้ว

      @@awadhikanyawana2526 umeshinda kiongozi ... simamia msimamo wako

  • @calvinkitaly9376
    @calvinkitaly9376 6 ปีที่แล้ว

    mmmmmmm Napita tu.

  • @jumabakari6451
    @jumabakari6451 6 ปีที่แล้ว

    Dokta shika furusa hiyo uko wp

  • @bibiejuma1035
    @bibiejuma1035 6 ปีที่แล้ว

    Samaki tulipewa bure na kwann ivyo vitu musihawe tena bure

  • @janethaloyce5088
    @janethaloyce5088 6 ปีที่แล้ว

    sasa nmeamin 2mepata mkomboz atakae 2fkisha nch ya ahad

  • @theuluq4885
    @theuluq4885 6 ปีที่แล้ว +1

    Wapi Dr. Shika?

  • @sudeinwahab906
    @sudeinwahab906 6 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ni siasa tu

  • @mugapablomasinde1608
    @mugapablomasinde1608 6 ปีที่แล้ว +11

    Ujingaaaaaaa !!Unapiga mnada vifaaa vya elimu afu elimu ni bure.Siasa uchwara .

    • @chrispinjoseph1522
      @chrispinjoseph1522 6 ปีที่แล้ว +1

      Mugapablo Masinde furniture za kwenye garden ni vifaa vya shule?? acha kukurupuka

    • @ziadaalute6836
      @ziadaalute6836 6 ปีที่แล้ว

      Mugapablo Masinde ,watajijua Na zambi zaozakula nyama zawatu,wamezurika

    • @adammwaki8753
      @adammwaki8753 6 ปีที่แล้ว +1

      Hata kama hujaenda shule. Matrekta Dar yanahusiano gani na walimu! Dar hatulimi hatuna mashamba.

    • @pascaltabitha3552
      @pascaltabitha3552 6 ปีที่แล้ว

      Adam Mwaki sijaona trekta hapo

  • @emanuelmoshama1747
    @emanuelmoshama1747 6 ปีที่แล้ว

    ivi vifaa vya kilimo vina kodi

  • @manyweletheboss6053
    @manyweletheboss6053 6 ปีที่แล้ว

    Wana wanywe bia

  • @sahidiallyi4915
    @sahidiallyi4915 6 ปีที่แล้ว

    MP pm

  • @christinetimothy5805
    @christinetimothy5805 6 ปีที่แล้ว

    Hapo 900 itapendeza

  • @saifalrajhi5001
    @saifalrajhi5001 6 ปีที่แล้ว

    yetu macho. TANU oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @shukurumligo5804
    @shukurumligo5804 6 ปีที่แล้ว +1

    tutaona mengi mweka kuu

    • @ziadaalute6836
      @ziadaalute6836 6 ปีที่แล้ว

      Shukuru Mligo580 ,Nabado yatawarudi tyuu

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 6 ปีที่แล้ว

    Mnatuzuga tu. Atayachukua mchana kweupee