RUWASA KAMATI YA SIASA ( W) KASULU YAIPONGEZA RUWASA. PART 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ต.ค. 2024
  • SERIKALI IMEFANYA KAZI KUBWA SANA KUTATUA CHANGAMOTO YA UPATIKANAJI WA MAJI SAFI NA SALAMA WILAYA YA KASULU
    Utelelezaji wa Miradi mikubwa ya Maji na yenye tija kwa Wananchi wa Wilaya ya Kasulu, imeshuhudiwa na Wajumbe wa kamati ya siasa ya Wilaya ya Kasulu wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kasulu Ndugu MBELWA ABDALLAH CHIDEBWE Katika ziara iliyo fanyika Wilayani kasulu.
    Serikali kupitia wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini (RUWASA) inasimamia utekelezaji wa Miradi ya maji yenye thamani ya zaidi ya Bilioni 57 katika kata za Namnyusi, Tusesa,Kurugongo, Titye na SHUNGULIBA kwa lengo la kumaliza kabisa changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wa wilaya ya kasulu.
    #kaziiendelee #tanzania #trending #trendingshorts #ccm #kaziiendelee

ความคิดเห็น •