SIJAJA KUFANYA SIASA KWENYE ARDHI,KWASABABU ARDHI NIMAISHA NDIO MAISHA YA WATU(MBELWA)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ต.ค. 2024
  • Mwenyekiti wa chama cha mapizi (Ccm)
    wilaya ya kasulu Ndugu Mbelwa Abdallah Chidebwe Amewapatia majibu ya maswali yote walio uliza wananchi wa kijiji cha zeze juu ya mgogoro wa Ardhi unao endelea kijijini humo kati ya Kijiji na TFS pamoja na majibu ya kero za maendeleo ya kijijini humo, Mapema Tarehe 7.10.2024 Mwenyekiti amefanya mkutano wa hadhara ambao ulikua umelenga kusikiliza kero na changamoto za wananchi ili zipatiwe utatuzi. #kaziiendelee #ccm #tanzania #ccmzanzibar #trending #film #trendingshorts #africa #villa #automobile

ความคิดเห็น • 1

  • @Kthenation
    @Kthenation 2 วันที่ผ่านมา

    Kazi iendelee