AMINA. Wakristo Mwenyezi Mungu Anapenda Kanisa na ndio maana Anaongelesha Yohane kuhusu makanisa. Hakuna kitu ambacho Mungu Hajui kutuhusu ama kuhusu maisha yetu. Anajua matendo yetu yote. Anajua Kanisa La JWM na washirika wa JWM, sio tu majina yetu Anajua bali hata na imani, mioyo na matendo yetu. Anaelewa vile tunambeba kwa roho na vile tunatembea Naye. Ametusoma, Ametufahamu na Anatuelewa vyema. Anajua bidii na zaburi tuko nayo kuja kanisani, kukuja katika hii imani na katika hali ya kufanya Kazi Yake. Anajua uvumilivu ule tuko nao kwa ajili Yake. Watu wametutusi na wametudhihaki kwa ajili Yake lakini sisi tumevumilia.
AMINA. Wakristo bidii na uvumilivu wetu JWM unajulikana Mbinguni. Tumekaa mahali ambapo pamefaa. Watu walituambia tuondoke lakini tukavumilia tukimngoja Bwana. Leo Mungu Anashuhudia Imani yetu, ile imani iliwekwa ndani yetu kumpitia Mtumishi Wake kuwa ilibaki imara na haijatingika hata kidogo. Mungu Anatujua ndani na nje, Mwenye sisi na Aliyetuongoza kwa Madhabahu Ya Mungu Ya JWM Anatujua. Tumepitia taabu nyingi kwa sababu ya Jina Lake. Lakini Ana jambo moja juu yetu kuwa tumepungukiwa na ule upendo wa kwanza, "First Love" Kwake. Ndio maana tuko hapa, Hajatutimizia wala Kututendea.
AMINA. Wakristo tumependa vitu na baraka za Mungu kuliko Mungu Mwenye Hupeana vitu na baraka. Ni Mwenyezi Mungu Aliyetufikisha hapa na Atakujalia Neema lakini tumependa Neema kuliko Mwenye Neema. Vile tulithamini Mungu mara ya kwanza hiyo "value" Yake tumerudisha chini. Ndio maana Mungu Ambaye Hupeana baraka, Akashikilia baraka kwa maana Anajua mioyo na nia zetu. Tukumbuke pahali tulianguka, tumrudie Mungu, tutubu na tufanye matendo ya kwanza na Atatuinua tena.Tusipotubu Ataondoa kile Kibali Ametupatia. Tukumbuke wakati hatukuwa na kitu chochote na ilikuwa ni sisi na Yeye. Wakati tulikuwa tunaelekea katika shimo la kifo na Yeye Akasimama nasi.
Mungu nrejeshee upendo wa kwanza
Mungu atusaindie turundie upendo wa kwanza maana tumeweka Mambo yetu mbele kuliko ya mungu
Amen Glory Be to GOD.
Powerful man of God
The sermon of yesterday was awesome l will go to the fast love
AMINA. Wakristo Mwenyezi Mungu Anapenda Kanisa na ndio maana Anaongelesha Yohane kuhusu makanisa. Hakuna kitu ambacho Mungu Hajui kutuhusu ama kuhusu maisha yetu. Anajua matendo yetu yote. Anajua Kanisa La JWM na washirika wa JWM, sio tu majina yetu Anajua bali hata na imani, mioyo na matendo yetu. Anaelewa vile tunambeba kwa roho na vile tunatembea Naye. Ametusoma, Ametufahamu na Anatuelewa vyema. Anajua bidii na zaburi tuko nayo kuja kanisani, kukuja katika hii imani na katika hali ya kufanya Kazi Yake. Anajua uvumilivu ule tuko nao kwa ajili Yake. Watu wametutusi na wametudhihaki kwa ajili Yake lakini sisi tumevumilia.
Nitarudia upendo wa kwanza .Ooh Lord forgive me, accept me again. Rev.Elvis you really bless my soul 🙏
AMINA. Wakristo bidii na uvumilivu wetu JWM unajulikana Mbinguni. Tumekaa mahali ambapo pamefaa. Watu walituambia tuondoke lakini tukavumilia tukimngoja Bwana. Leo Mungu Anashuhudia Imani yetu, ile imani iliwekwa ndani yetu kumpitia Mtumishi Wake kuwa ilibaki imara na haijatingika hata kidogo. Mungu Anatujua ndani na nje, Mwenye sisi na Aliyetuongoza kwa Madhabahu Ya Mungu Ya JWM Anatujua. Tumepitia taabu nyingi kwa sababu ya Jina Lake. Lakini Ana jambo moja juu yetu kuwa tumepungukiwa na ule upendo wa kwanza, "First Love" Kwake. Ndio maana tuko hapa, Hajatutimizia wala Kututendea.
AMINA. Wakristo tumependa vitu na baraka za Mungu kuliko Mungu Mwenye Hupeana vitu na baraka. Ni Mwenyezi Mungu Aliyetufikisha hapa na Atakujalia Neema lakini tumependa Neema kuliko Mwenye Neema. Vile tulithamini Mungu mara ya kwanza hiyo "value" Yake tumerudisha chini. Ndio maana Mungu Ambaye Hupeana baraka, Akashikilia baraka kwa maana Anajua mioyo na nia zetu. Tukumbuke pahali tulianguka, tumrudie Mungu, tutubu na tufanye matendo ya kwanza na Atatuinua tena.Tusipotubu Ataondoa kile Kibali Ametupatia. Tukumbuke wakati hatukuwa na kitu chochote na ilikuwa ni sisi na Yeye. Wakati tulikuwa tunaelekea katika shimo la kifo na Yeye Akasimama nasi.
Pia mimi nikumbuke niko Bahrain baraka ya mungu
Great love from bahrain
Help me God
Amen
Upendo wa kwanza,God help me
God help me..
Amen!
Amen
Amen 🙏 🙏 🙏