Wimbo unaumiza sana huu dah 😢😢 Mungu amzidishie umri mama yangu mapenzi yangu kwake hayana mwisho polen sana wote mliotanguliza mama 😢 hakuna kama mama
Jamani nimelia sana kwa kuwa siku zote sikuelewa kwa nini Aslay kaimba wimbo huu. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Aslay mungu yuko na wewe katika safari yako maishani. Usijali kwani kufa lazima kaza moyo.
Since 2004 I'm still missing my Mama . I was 14 years old when my Mama died . Now from this show I have a pool of tears in my heart . I LOVE YOU MUMMY. R.I .P. Appreciate bro ! James form D.R.C
Niko hapa 2019 July, namuombea mungu amzidishie mama Umri nampenda sana . Nawale Walio achwa na mama zao naona mungu awe mama Yao awe aliwasaidia mahala wanakwama ama wanalemewa🙏
God is with you bro mungu akuzidishie miaka mingi tunakuombea pia kutoka Kenya eeeh!! Huu wimbo mwenye anauskiliza amheshimu mama take mzazi also in tears my friends our bro let your mummy rest in eternal peace. Amen
Just listened to this song n wished that I will live long to see my unborn child every step so that I can be there to support him/her, Aslays your the best artist 💖💖💖
I lost my mum this year i feel this pain life without a mother is nothing i miss my mum alot hii song inaniuzunisha nikikumbuka vile nateseka na wadogo wetu pumzika kwa amani mama💔💔💔💔💔💔😭😭😭😭
From Nairobi, Kenya, Aslay is my best TZ bongo artist👊. Mungu awape neema waliopoteza mama zao kwa njia yotote ile. Nikimkumbuka babangu, mungu amlaze pahali pema peponi❤
i can't hold my tears anymore, kupoteza mama ni uchungu sana,,I lost my mum while in class seven,,,wimbo huu umenikumbusha mamangu mpenzi...rest in peace mum till we meet again....Aslay may your mum rest in peace too
Wimbo huu unanikumbusha mbali sana kipindi mama yangu MARY MITAWA amelazwa hospital Ocean road kwa ugonjwa wa cancer kwa miaka mitatu. Nilibaki peke yangu na mama yangu, ndugu, jamaa hata mke walishindwa hata kwenda kumuangalia kwa kipindi chote cha miaka mitatu. Nililia sana siku nilipoona jeneza lake likiingia kaburini kijijini kwetu Chikunja Masasi.
dah sijawahi kulia kisa wimbo huu bt leo nimelia yaani huu wimbo nishausikiliza zaidi ya mala mia na sijalia nakupenda sana mama angu kipenzi mungu akuweke siku zote za uhai wangu
no matter what its an endless loop i cant move forward shes always in my mind always,,,,,,, i want her to be in every occasion i just want a mother😭😭🥺 18 yrs
There is no one special like a mother , i feel so painful remembering my lovely mom.........stay cool mom and may Allah bless you with jannatul firdhaus wherever you're inshaallah😭😭😭😭
I don't know what has brought me to watch this.. this is the month I remember my dear grandma. She was everything to me.. she sacrificed alot for me . May her soul rest in peace
Inauma kuondokewa na mzazi unaye mpenda zaidi.jamani Mimi nimelia sana babangu kipenzi alifariki wiki moja kabla ya harusi yangu ,moyo unaniuma sana ,naona nikama Leo jamaniwenzenu naomba dua zenu
I love you mama Ya Allah ya Rahman shine the grave of my Mother and forgive her sins and reunite us in Jannatul fardhous....lets keep this burning candles for all mother's in heaven may Allah protect them in the grave 😢😢😭😭
Kila niposikiliza wimbo huu.lazima nitoe majuzi.tuwapende sana mama zetu.nami namuombea mama yangu mbele alikotangulia ainue jicho lake anitazame mwanao
Wimbo unaumiza sana huu dah 😢😢 Mungu amzidishie umri mama yangu mapenzi yangu kwake hayana mwisho polen sana wote mliotanguliza mama 😢 hakuna kama mama
Mungu awaweke mama zetu. Na waliotangulia Allah awaangazie nuru kabuli zao..😥😥
6 months down the line maaaaam I miss u😭😭😭😭😭
Pole bro its 2020,and you've made me cry...Who is here 2020
Lucybeatrice Beatrice umeniliza sana mdogo wangu natamani kuwa na mama mama wa mwenzio sio wako nimelia sins mama at a sura simjui acha tu
nikweli akuna kama mama kaka pole sana kaka
So sad but dont cry bro
@@juliuscharles5443 jipe moyo kaka ndio maisha tunayoyapitia. Mama nimtu muhimu sana
@@juliuscharles5443 pole sana sana mungu awe nanyi🙏
Mungu Awajaalie Mama Wote Pepo Na Walokueko Duniani Awajaalie Umri Mrefu Na Hatma Njema🤲🏼💔♥️
Jamani nimelia sana kwa kuwa siku zote sikuelewa kwa nini Aslay kaimba wimbo huu. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Aslay mungu yuko na wewe katika safari yako maishani. Usijali kwani kufa lazima kaza moyo.
❤
This song just broke my heart 💔💔💔.. MAMANGU PUMZIKA KWA AMANI
Since 2004 I'm still missing my Mama . I was 14 years old when my Mama died . Now from this show I have a pool of tears in my heart . I LOVE YOU MUMMY. R.I .P.
Appreciate bro !
James form D.R.C
🥲😭😭😭😭😭😭😭😭😭
take heart
I wish my mum was alive; Thank you Aslay for the song ; It reminds me that every mother deserves love ,respect and a little praise.
Exactly bro every mother deserves respect second God
Poleni sana mom deserve much love😱😱
Nani anaskiza wimbo wake aslay mama 2020 apewe likes
Aslay unanimiza sana pole sana
Niko hapa 2019 July, namuombea mungu amzidishie mama Umri nampenda sana . Nawale Walio achwa na mama zao naona mungu awe mama Yao awe aliwasaidia mahala wanakwama ama wanalemewa🙏
This hits different when you dont hve a mom,and more so when you grew up without her💕..you feel the emptiness.
naumiaa saana machoz yanatoka nashidwa kujizua japo mama yupo ila nakuombea uishi miaka mingii maaamaa muombe tu dua allah mwingi wa reheema
Pore sanaa kaka asreii kwaundokewa namama munguampunguzie azabu yakaburi
Nakupenda sana mama angu polen wote mlioondokewa na mama hapo baba alitangulia mungu ailaze roho pema pepon
Nkwel mama anauma saana hakuna zaid yak mweny umuhmu km mama
Allah mlaze pema peponi maman yangu..Amiin
Nakupenda sana mama angu lala salama
Aslay umeniliza kipindi mzima..kama umeguzwa na wimbo huu pita na like
pole ndgu yangu mipango ya mungu haina makosa pole sana pole sana
Alkia
Jamani poleni nyote mliondokewa na wapendwa wenu mungu atusameh sisi tulio dunian na waliotangulia mbele za haki inshallah
Inaum san
Sijachelewa
this song is exremely emotional. i just cant imagine losing my mom. much love aslay. this is the definition of art
Aslay normally dig deep in my heart untill my tears run uncontrollably,,,💯💯,much love from Kenya
Kama huu wimbo umefanya ukutoe machozi gonga like yk hapa
Am here
Where are Aslay fan at it., Niko hapa 2024🎉🎉🎉
Tuko apa
I can't stop crying for my mother 😭😭😭😭 whenever I hear this song, jamani mapenzi ya mama haifikiwi
Unishindi mimi
Am sooo sorry man
Aslay umeniliza 😭😭😭😭😭😭innalilah wahin hillah rajiun Allah ampe kauli thabiti Mama
Pole sana mkuuu umeniwazisha mbali sana
Hii siku nilkuwepo nililia kama mtoto mdogo
Daah achen tuu
Kama uko namimi unaskiza Kwa hii soullifting song at the end of 2020 click like.
God is with you bro mungu akuzidishie miaka mingi tunakuombea pia kutoka Kenya eeeh!! Huu wimbo mwenye anauskiliza amheshimu mama take mzazi also in tears my friends our bro let your mummy rest in eternal peace. Amen
Early 2019,,,tuko wagapi kwenye wimbo huu??
Nampenda sana mamaangu ila Allah alimpenda zaid
nampenda sana mamangu hakuna mwingine duniani kama mama
Mmoja
Kwa kweli mama ndo kila kitu
Nampenda mama saidi ya chochote hapa dunia
Uwiii aslay Sim imejaaa machozi asiyejua thamani ya mama jamani Mungu amlaani
Pelagia Bagoka
Pelagia Bagoka
@@wemajonh6535 sema wem
Pelagia Bagoka nimeumia I wish angekuwepo my love mom aone hata mwanangu
awi ange kuona mama angu naijua thamani yako mama angu ulale mahali pema peponi
Just listened to this song n wished that I will live long to see my unborn child every step so that I can be there to support him/her, Aslays your the best artist 💖💖💖
The pain of loosing a mother is unbearable,everybody needs a mother in their lives how i miss my mom 24yrs now since she passed on😥😥
I lost my mum this year i feel this pain life without a mother is nothing i miss my mum alot hii song inaniuzunisha nikikumbuka vile nateseka na wadogo wetu pumzika kwa amani mama💔💔💔💔💔💔😭😭😭😭
From Nairobi, Kenya, Aslay is my best TZ bongo artist👊. Mungu awape neema waliopoteza mama zao kwa njia yotote ile. Nikimkumbuka babangu, mungu amlaze pahali pema peponi❤
i can't hold my tears anymore, kupoteza mama ni uchungu sana,,I lost my mum while in class seven,,,wimbo huu umenikumbusha mamangu mpenzi...rest in peace mum till we meet again....Aslay may your mum rest in peace too
Mola awalaze mama zetu pema palipo na wema.. Allah awaepushe na adhabu ya kaburi.Tusisahau kuwaombea waliotutangulia mbele za haki.😢😢
Amiiina pole sana asley
amen
May rest their souls in peace and may perpetual light always shine upon then in heaven
amenn..may she sleep well i miss my mama
Aamiin
Nani anaskiza hii nyimbo 21st oct.oooooh machozi 😭😭😭😭nani kama mama...imiss you Mummy 💞😭
22nd
22nd Oct 2020
The most emotional performance i have across in my life......likes zake Aslay apa 2020
Wimbo huu unanikumbusha mbali sana kipindi mama yangu MARY MITAWA amelazwa hospital Ocean road kwa ugonjwa wa cancer kwa miaka mitatu.
Nilibaki peke yangu na mama yangu, ndugu, jamaa hata mke walishindwa hata kwenda kumuangalia kwa kipindi chote cha miaka mitatu. Nililia sana siku nilipoona jeneza lake likiingia kaburini kijijini kwetu Chikunja Masasi.
Nakupenda mama ur my everything lov u lov u 😍😍may almighty hard u more years ❤
Namkumbuka Sana mama yangu pumzika kwa amani my mother
Kutoka Kenya pole zangu zikufikie kaka.. 😢 😢 feel this pain
Munyezi mungu awalaze mahali pema mama zetu
yaani bado NALIA tu so pain
Naliyaka wakathi naonaka byahivi
It's so heartbreaking nd encouraging song in lyf though nmelia once i remember enzi za nyuma Love u bro
I love this song,it means alot from our parents, huwa najikuta natokwa na machizi
Pole sana mpenz.Wallah Aslay waniliza kila nnapoiangalia hii performance najihofia nnalolifkiria Allah ampe mamangu umri mrefu
Its2021 april 26th,you've made me shed a lot of tears,may your mum's soul continue resting in eternal peace
Tears can't stop flowing my eyes even if l listen this song. Aslay let her R.I.P.
Nyimbo hii inaumiza ikiwa mama ametangulia mbele zahaki
😭😭😭😭😭😭 I love you my mum may our good lord continue to protect you mama..
Mama is first in this world ,,,,,,love you my mom,,,,,aslay kaka angu mungu akutangulie katika safari yako ya maisha
2024 woyeeee🎊nikona mama lakini najikuta nadondokwa na machozi😢
am just dropping tears any time i hear this song may my dad rest in peace
Daaaah 😭😭😭😭yaani mimi ni mgumu wa kulia ila kwa hii ugumu umeondoka nimepindua meza kibabe😭😭😭
R.I.P My Mumy Pumzika mahala pema peponi amina
Aslay isihaka umepotelea wapiiiiiii Aslay 😢😢😢 ulikua hatari kijana nini nimekupata Aslay
Ila Mipango ya Mungu tu
Kila wakati nikitazama hii video lazima chozi lidondoke...much love from 254 aslay...love mama so much
Yaani huu wimbo ukiusikiliza kwa umakini duuu mwili unasisimka sana😭😭😭😭🙆🙆🙆🙆
Imeniliza😢😢😢😢i feel him. Nani kama mama. Kupoteza mama ni uchungu usio na tiba. I lost mine too. Its painfull
Hakuna kama mama jamani
This song always give me a different feeling wherever am listening to it... Always remembering my mum....
Sorrr
Aslay huu wimbo uliimba with emotion..i always shade tears...mungu amlaze maama yako mahali pema...2020 still watching
Waaaah,,jamani nimeliaaaa😢😢..mungu nitunzie mamangu..Niko mbali(Qatar)...pole sana Bro Aslay
I personally wished I'd see my biological mum😌😌🥺🥺🥺this song touches my soul n everything...
dah sijawahi kulia kisa wimbo huu bt leo nimelia yaani huu wimbo nishausikiliza zaidi ya mala mia na sijalia nakupenda sana mama angu kipenzi mungu akuweke siku zote za uhai wangu
samiry mick dady
Ameen
samiry mick dady 😭😭😭😭😭mm nalia kila nikiuona mpaka najiisi nauchukia mana unanigusa pia nimepoteza mama haki maisha bila mama 😭😭😭magumu walah
samiry mick dady inaaikisha sana hadi nali
samiry mick dady duuh yaan inauma sana hakuna kama mama
Umenikumbusha mbali Aslay jamanii Mungu amuepushie adhabu ya kaburi Mamaangu mzazi Allah tupe wepesi kwakweli dunia bila mama nivigumu 😰
Aamen kwa sote Allah awape ifadhi mama zetu akika mama anauma wallah ....m nikimkumbuk nais machoz tu
Mboga Bahati
Mama ndio kila kitu
Pole sana jikaze. Kilakitu nasababu mercy kenya
+Benedicto Boniphace mungu ampunguzie adhabu ya huko
Since 2014, I miss my mum Marguerite nyembo. I wish ungekuwepo mama, Mungu akulaze ma ali pema.
Tears rolling down my cheeks enough to wash my face, pole Sana @Aslay Mungu yupo dear
Wote tulio fiwa na mama zetu tulike Hapa😭😭
😭😭😭😭😭😭😭🇰🇪
Poleni 😭
Tupoo😭😭😭😭
Nakupenda mama yang ila umeniachaaa
Tupo wengiiiii😭😭😭😭😭😭😭😭
Aslay - Uko juu tu sana bro .....No 1 like You
Xtiv Xtiv pole sana aslay kuna watu awajui thaman ya mama ila mm nawpa pole sana
Wacha ujinga wako
daaa aslay umeniliza, Nampenda sana mama angu jmn Mungu akupe miaka Ming mm Angu, natam nitangulie mm mama anzike
Happy Mbare dah!hongera sana kuwa na mama.R.I.P mama yangu
dont say dat momy
🙏
Happy Mbare : in uchungu sana mama akimzika mwanae .atatamani yeye azikwe na mwanake
aslay umenlza Sana kaka namuombea Sana mama yangu aish miaka ming na Mungu akutie nguvu kaka
Umenigusaa sanaaa nimeliyaa sanaa . kwa kwly akuna kma mama mungu awasamee mama zetu kaburini 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣😂🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣
Aslay is a hardworking man I like his work and passion in his music career👍
pola sana.
😭😭😭😭😭
Aslay ..the only guy who will always be unique in his ways 💯💯
hiii nyimbo kila nikiiskia huwa nalia sana, naimani aslay anawaliza wengi kwa hii nyimbo, pole sana
Mi usema kila siku nitabaki kulia milele.wallah kuondokewa na mama hakuna mfano,Mimi nalia milele mwenzenu
😭😭😭😭😭 Aslay haki unaliza sana kaka nahiyo song
Pole sana brother kwa kuondokewa na mama mapema. R.I.p
Iza bro usilie
this is now what we call art mkuu aslay pride of you bro mama ni zaidi ya yeyote
😭😭😭😭 nampenda mama jamn hakuna kama mama umenifanya nilie sana asley nazipenda nyimbo zako sana
Nani anasikiliza 2024
2024/25/11😭😭😭
Mwenyezi mungu azilaze roho zote za mama zetu peponi walio tangulia mbele ya haki awape kauli dhabi na awaondoshee adhabu za kaburini AMin😭😭😭😭😭😭🤲🙏
Sahara Sheekh
amein
😭😭😭😭akuna kama mama na kupenda sana mama yangu mungu akupe nguvu na ekima siku zote moyo wako ili uishi na hamani
True talent. Imagine anaimba kwa hisia na bado anabaki ndani ya key.
no matter what its an endless loop i cant move forward shes always in my mind always,,,,,,, i want her to be in every occasion i just want a mother😭😭🥺 18 yrs
Sans connaître mots cette chanson me touche énormément mes larmes ne font que couler 😭😭😭😭😭vivre asley
Mum continue dancing with the angels, I dearly misses you.. Ur forever in my heart..
Aslay ww nimdudu kirusi nakukubali san like hap kam tuko pamoja
Inauma sana aisee! Mungu akutie nguvu Asley na awapumzishe ndugu zetu wote waliotangulia mbele za haki
Dah nimeshindwa kuvumilia nimelia mama nimtamu jamanii Asley mungu yupo pamoja nawe na mama zetu pia japo hatupo nao kimwili kiroho tupo nao 😭😭😭🙏
I feel his pain 💔🥺 mungu awape maisha marefu wamama abao bado wapo duniani na kwa wale walio fiwa na mama zao mungu azilaze roho zao mahali pema 🙏🏾🍁
Pole sanaa,,, Allah anajua Mbona upitie huo uchungu usijali baba
rest in peace mum,it is 21 years since you left me at the age of 6
Sorry I fit for you
Sorry
😭😭😭😭POLE
God bless your are mumy
Me too😢😢
Nanikama mama mama ninmama nakumbaliya Na we nikweli mama Ni mungu wapi duniyani😢😢❤❤❤
Huku ndio wimbo ulifanya nipende nyimbo zako❤ wimbo mzuri sana ila wanitoa machozi kila ninapousikiliza😢😢
There is no one special like a mother , i feel so painful remembering my lovely mom.........stay cool mom and may Allah bless you with jannatul firdhaus wherever you're inshaallah😭😭😭😭
aslay mdogo wangu umenitoa machozi yani nimejikuta nalia tu jaman dah sisi tuliokuwa na mama zetu tuwapenden jaman hakuna kama mama dunian
Rahima Juma ni kweli
dah
Daah sio wewe peke yako aslay na mm nipo kwenye majonz ya mm yangu
Ni kweli ,tuwapende na kuwaheshimu tuwape furaha wazazi wetu
Umeniliza sana Aslay, hadi nakosa cha kuandika!!!
Jamal raja
jamai Gaia
Da safi sana ila choz limenitoka mama ndo kila kitu big up aslay
Grace Chris g nakuona
I don't know what has brought me to watch this.. this is the month I remember my dear grandma. She was everything to me.. she sacrificed alot for me . May her soul rest in peace
Watched this and I got so emotional manze! May God always comfort you all that have lost their moms! 😢
Inauma kuondokewa na mzazi unaye mpenda zaidi.jamani Mimi nimelia sana babangu kipenzi alifariki wiki moja kabla ya harusi yangu ,moyo unaniuma sana ,naona nikama Leo jamaniwenzenu naomba dua zenu
mung akusaidie asly umengusa pakubw xan
Pole sna broo nkazi ALLAH haina makosa
Pole sana asly
pole sana
R. I. p. mama.
I love you mama Ya Allah ya Rahman shine the grave of my Mother and forgive her sins and reunite us in Jannatul fardhous....lets keep this burning candles for all mother's in heaven may Allah protect them in the grave 😢😢😭😭
Ameen
Ameen Ameen Ameen
Ameen
Nipagunze machozi hii 2020 ooh my God😭😭😭
Ghai..imeniliza.. Mungu Linda Mamangu na umpe aslay tumaini Siku Moja atamwona mamake...
From Kenya we love you dogo
Kila niposikiliza wimbo huu.lazima nitoe majuzi.tuwapende sana mama zetu.nami namuombea mama yangu mbele alikotangulia ainue jicho lake anitazame mwanao
nimelia sana leo mpaka watu watanishangaa
jamani nampenda Sana mama yangu
pole aslay mungu akupe nguvu r.I.p mama angu pimzika kwa amani mama
Don Money aisee umeniliza aslay love u mom
Umenikumbusha nami pia Nimelia sio kidogo. Pole ndio maisha Hakuna namna
nampenda sana mama angu
Nimepata taaaabu mmm
The pain of loosing a mother.....I love u Aslay
Ney Moh squad nakupenda mama
dah pole san aslay
Can't hode my tears, pole sana, i feel your tears 😭😭😭😭😭, nimeshindwa kuskiza wimbo wote.
Who is crying with on 2024? Much love Asly from Kenya ❤..we love you
I LOVE My MUM SOOO MUCH.....Be strong Aslay we here to support you,it's really emotional n Heartbreaking.
From +254 Nairobi Kenya just emotional about this . #Rip Mama Aslay and all those who had lost their Mother s,this is for you guyz
Pole kaka
Aslay be my best artist
Aslay i love you
🏢🐩
Rest in peace my Mummy...It is hard to express the tears of loosing a mom.
Nipo hapa 2023, Pole Aslay Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu zaidi
Mama ni Kila kitu katika Dunia hiii tuwa ombee mama zetu waishi miaka mingii,🙏🙏🙏🙏