Amina Sana ninawatazama kutoka Nairobi Kenya Jina Ni Lily Amemo Nauliza maombi ya familiya yangu tulipata Ajali December lakini Mungu akatujalia naomba munikumbuke
Amina mchungaji! lakini kuna msemo kwamba wema hawadum,ndio maana unakuta watu wakatili ndo wanaishi sana na wale wema ambao wanategemewa sana ndio wanakufa haraka,hii imekaaje?
Hawa wanaume wajifunze kutotelekeza watoto. Mama zao wanateseka sana kuwalea halafu wanasubir baadae waje kuomba msamaha wakirely kweny hio sheria namba 5. Inaumiza sana wamama wanateseka sana wakat wao wana maisha yao wanasubir uzeeni waje kuomba msamaha😢
Amina Mungu atusaidie kuish kwa wema
Amina Sana ninawatazama kutoka Nairobi Kenya Jina Ni Lily Amemo
Nauliza maombi ya familiya yangu tulipata Ajali December lakini Mungu akatujalia naomba munikumbuke
Nimebarikiwa sana na hili somo🙏
Mchungaji unatubariki sana naomb umuombee mdogo wangu ameiacha imani naomb mkumbuken ktk maomb mungu aweze mumrudisha
Kiukwel pastr mbaga mungu akutie nguvu nyingi ili uendelee kutufundisha masomo mzur yenye mibalaka tele
Mungu awe nasi katika sku hizi 10 za maombi tuamini kile tunachoomba tutapokea
Amina
Amina
Amina
Amina mchungaji! lakini kuna msemo kwamba wema hawadum,ndio maana unakuta watu wakatili ndo wanaishi sana na wale wema ambao wanategemewa sana ndio wanakufa haraka,hii imekaaje?
🙏🏼🙏🏼
NIKANORI BARIKIWA....SJUI KAMA ULISHAOA
Mungu atubariki katika siku 10 za maombi, Mimi naomba mnikumbe kwenye maombi nimerudi nyuma kiroho. Am watching you from Zambia 🇿🇲 amen 🙏
Nawapata mubashara nikiwa Zambia nabarikiwa na Neno la MUNGU
Sawa ila kumbuka pia kujiombea mwenyewe rafiki Baba yetu ni mwenye upendo atakusaidia
Hakika nimeuona mkono wa Bwana hapo magomeni SDA church kwenye Yale maombi matatu..
Asante mutishi wa mungu kwa huduma
Amina
May He answer us
Hawa wanaume wajifunze kutotelekeza watoto. Mama zao wanateseka sana kuwalea halafu wanasubir baadae waje kuomba msamaha wakirely kweny hio sheria namba 5. Inaumiza sana wamama wanateseka sana wakat wao wana maisha yao wanasubir uzeeni waje kuomba msamaha😢
Kazi ya kulea watoto ni ya akina mama. Soma historia ya yesu,ya Musa na wengineo