Bro kwanza nikupongeze kwa kazi nzuri unayoifanya.mimi ni mkulima wa maharage ya kumwagilia,changamoto ni kuwa nikimwagilia maharage huwa yanaanza kunyauka huku yakionyesha dalili ya kuoza mizizi na shina kwa chini yaani karibu na mizizi,namba msaada wako
Kwakweli mnamafunzo ambayo yanatusaidia sana sisi wakulima. Ninaomba ushauri, mazingira niliyopo hakuna mbegu za maharage zilizothibitishwa. Nilikuwa ninaomba ushauri KATI YA MBEGU KUUKUU NA MPYA ZIPI NI BORA KWA KUPANDIA?
Unahitaji Kujua nini kwenye kilimo cha Nyanya masomo yapo kwenye Channel hii mengi tu mfano magonjwa ya nyanya n. K video ni Zipo apa th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0H7UnL1W2MsOqohuc0owITS.html
OK Zipo nyingi ndugu. Pia Kuna vipila au Raba pia Zipo Kaz ya hivi viraba vinakusanya vipepeo vya karibu na kuviua. Ushauri ndugu Chek Duka la pembe jeo lililokaribu ndugu🙏🏿🙏🏿
Je nikitunza vizuri mahage yangu kwa hekali moja naweza vuna kias gani
Debe 30 nakuendelea
Mm nahitaji mbegu mzuri ya maharage
Zipo dukani ndugu
Nidawa ipi au Gani hutibu na kuthibiti wadudu wanao tobowa majani ya maharage?
Tembelea duka LA kilimo utapata dawa, waliyo nayo ndugu
Msaada naomba kujuwa ni wadudu gn Wanao shambulia Jani la harage kwa kukata na kutoboa kama ulivyo onyesha kwenye video hpo
Jina La mdudu au
sijaelewa vizur kwenye myauko ni dawa gan nitumie
Apo HADI dukani ndugu WATAKUPA dawa waliyonayo
Bro kwanza nikupongeze kwa kazi nzuri unayoifanya.mimi ni mkulima wa maharage ya kumwagilia,changamoto ni kuwa nikimwagilia maharage huwa yanaanza kunyauka huku yakionyesha dalili ya kuoza mizizi na shina kwa chini yaani karibu na mizizi,namba msaada wako
Tupo pamoja ndugu.shida ipo kwenye shamba lilikua Lina wadudu.apo ni dawa upige
Udongo wa tope na mfinyazi maharage yanakubali?
Yes ni mzuri pia ila kumbuka kuweka mbolea
Mbolea ya kupndia au ya kukuzia?
Aina zote za mbolea
Shida kuongea sana
Sawa ndugu 🙏🏿 ✍️
Naomba Dawa hiyo jiana lake la dawa
Dawa ya UGONJWA Gani apo maana magonjwa ni MENGI tumetaja
Majani kutobolewa pamoja na maharage yanatobolewa yanapo Anza kutoa matunda nipigie Dawa gani?
Zipo NYINGI SANA ndugu Cha KUFANYA tembelea duka la pembe jeo watakupa waliyo na yo ndugu
Nitumie dawa gani kupalilia maharage
Zipo nyingi Sana ndugu apo tembelea duka LA Pembe jeo WATAKUPA waliyonayo
Maharage yangu mvua nyingi sana majani yanapiga njano
Piga mbolea ya maji
Nishapiga marambili buster
Ishu ipo kwenye udongo mbolea imepotea na Mvua. Ni zao gani kwanza
Udongo wa mfinyazi
Maharage
Eka ya maharage hutoa gunia ngapi
Zaidi ya gunia 10 utegemea na matunzo yako na ubora w shamba na Hali ya hewa pia
@@AGALUSTV vp kuhusu dawa nidawa gani ni ya mala kw mala
Dawa za ukungu, na wadudu kama Kuna barid
Kwakweli mnamafunzo ambayo yanatusaidia sana sisi wakulima. Ninaomba ushauri, mazingira niliyopo hakuna mbegu za maharage zilizothibitishwa.
Nilikuwa ninaomba ushauri KATI YA MBEGU KUUKUU NA MPYA ZIPI NI BORA KWA KUPANDIA?
Barikiwa Sana ndugu nahisi tumeshawasiliana
Vp kilimo Cha nyanya
Unahitaji Kujua nini kwenye kilimo cha Nyanya masomo yapo kwenye Channel hii mengi tu mfano magonjwa ya nyanya n. K video ni Zipo apa
th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0H7UnL1W2MsOqohuc0owITS.html
@@AGALUSTV sumu za kuua wadudu wanaoshambulia nyanya Kama vile vipepeo
OK Zipo nyingi ndugu. Pia Kuna vipila au Raba pia Zipo Kaz ya hivi viraba vinakusanya vipepeo vya karibu na kuviua. Ushauri ndugu Chek Duka la pembe jeo lililokaribu ndugu🙏🏿🙏🏿
Vp kuhusu mbegu zinazofanya vizuri za nyanya au tuseme Aina gan za mbegu zinazofanya vizuri?
Mbegu hutegemea na msimu,yaani mvua nyingi au kiangaz, pia eneo lako unalotaka kulima, ni vizur ukajua ivyo kwanza ndugu
Tutumieni namba za Whatsapp
Sawa ndugu 🙏🏿 ✍️ 🤝
@@AGALUSTV umetuacha tu
Wapi ndugu. Yaani shida ipo wapi ndugu 🙏🏿
Nitumie dawa Gani kutibu na kuthibiti wadudu wanao tobowa majani ya maharage namba mniambie jina ladawa