Members wa TMK WANAUME FAMILY Mh Temba(Dracula mmea),chege(mtoto wa mama Saida), the late YP(Chronic finger)KR Mulla( Jibaba), Y-DASH,Zozo,Omy kichwa,Sticko,Triple Na Askar Like kama sijakosea. 2019🔝🔝🔝💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪
East African hip hop peaked here. This guys were so talented and relatable. They represented the average guy in the street that's why tuliwakubali. This days all they do is show off bling bling, cars and money.
Kila nikikaribia mwishoooni kabisa mwa kila mwaka wowote huwa napata feeling ya kuzirudia hizi ngoma...😩 Leo tena 24/11/2024 nipo hapa.💥🥵🔥 Wahenga tujuane✋🏻😂
Zilikuwa zikifurahisha na kuelimisha pia but sasa aaaaa uchafu mtupu utaskia eti jibebe mara utaskia mvumo wa radi nyimbo hazielimishi chochote zaidi ya kupotosha jamii
Nimekua sina baba mzazi na kwa mawaidha mazuri amabayo yamenikuza ni kutoka kwa Quran na mawaidha ya TMK na Fid Q. I am forever grateful kwa malezi mazuri
mandugu digital i still cant believe kenya tulikua tumeweza ivi alafu leo bado tunajikokota sana na chuki nyingi kwenye mziki isiyo saidia...hii nyimbo ina elimu bab kubwa aisee
Hivi kwa nini wasani huwa wanatowa ushauri ambao ni tofauti na maisha yao? Hiyi nyimbo mie kila nikisikia hua napata nguvu Ya kwenda kazini. Ujumbe mzuri kweli.
Hata mwaka huu tungali tunawapenda tmk mkono juu💪💪💪💪🤝💓💓💓💓 2024 hata 2025 nitarudi kwenye coment😀
Kiukweli hii nyimbo imebeba ujumbe wa maisha halisi ya watu ktk swala zima la maendeleo na mafanikio kama unakubaliana na hilo..nipe like yako 2020
Hujakosea,yaani inaujumbe mwingi sana
Hujakosea mzazi
True kbsa
Nyimbo za zaman zinaujumbe nzuri
Ya ukwer mzee maendeleo 🎉🎉🎉🎉😂
2023 ,ndo Naona kama hii Ngoma waliniimbia mm ,31 but still have nothing to show to my family but am still fighting for better living
Continue fighting hard,your effort will not go unpaid siku iko bro utamake it wewe pia...mungu tu
Me too 35 and ain't shit
@@TheHamisithe same to Me
😂😂😂😂kimekuramba
Same 😢
Wakati m3iki ilikua na thamana,hawa mabwana walikua tishio afrika mashariki 🙌🙌🙌🙌🙌miondoko ilikua tishio 👊👊👊
2023 this shit still bangs my head!
Umri na majukumu mwanangu!! 🇰🇪
Hi
umri haumsubiri mtu ha ha ha
October 2023 niko hapa pia. Malindi Kenya
Members wa TMK WANAUME FAMILY Mh Temba(Dracula mmea),chege(mtoto wa mama Saida), the late YP(Chronic finger)KR Mulla( Jibaba), Y-DASH,Zozo,Omy kichwa,Sticko,Triple Na Askar Like kama sijakosea. 2019🔝🔝🔝💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Brian Onyango waahh kudos bro we ni fan kweli 👏🏾
Shabby theezaddy TMK4LIFE
tishaaaaa
Umetishaaass
umepatia bt kuna vichwa muhimu kiuvitaja hata km walikuwa wametengana
Big up TMK, still listening 2022, Good Content to youth
Ninyimbo yenye ujumbe si kama Amaboko..🇰🇪
Mwaka ina isha na sija fanya kitu ya maana na umri una kwenda
Haitajirudia na haitatokea tena,vipaji kama vyote.
Nikikumbuka myaka hi I hua machozi yanatiririka kwa kuwa ilikuwa ni furaha nyingi sana. TMK ilikuwa juu sana. Iyi ngoma nikiskiza nakumbuka mengi sana
2023, Ndio nawaelewa vizuri. Big up TMK family.
🎶🎶🎤Ukitegemea sana wazazi utajutia watakapo kufa🎶🎶 💀
Nachunga heshima yangu zaidi ya mboni ya jicho
Kweli Watanzania Mungu aliwapa kibali cha kufanya mziki....kwenu mziki si kubahatisha ama kulazimisha..
shindana na matatizo..sio starehe....kali wanaume asantaa sana kwa mawaidtha..mimi ni fan wenu namba moja
Old is gold. Watching from Nairobi. 19th September 2019
Is this September of 20119?
Kam unaangalia 2019 niachie like zang hap
Nakubali ngoma hii
Io>>
Temba's verse is pure gems, relevant to date 2023
Temba's verse is just great 👍 I mastered all of it
East African hip hop peaked here. This guys were so talented and relatable. They represented the average guy in the street that's why tuliwakubali. This days all they do is show off bling bling, cars and money.
Hawaimbi tena?
Hapa ndo walikua vizuli,tukiwaona wanafanana na sisi mjini!
It's 12/02/2022 and still got much respect for TMK
One of my favorite.i love old schoo music ..achana na hizi aty nyege nyegee.upuziii mtupu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii Ngoma ni nzur sana inatupa masimamo juu ya kuyapambania maisha yetu watoto wa kimaskini
Temba’s verses 👏🏽🔥
Daaa😂😂😂 tumezakiwa nasisi tuzae 🙌🙌🙌🙌
True hip hop,chakula cha ubongo,kenyan hip hop ni kujisifu in the whole song,long live tmk the best hip hop group
Ni ksma hukuskiza kaa la moto, kala mashaka na ukoo flani
Ngoma kali, vina viko juu, hakuna matusi.
Jack missing this era
Mda uleta dhiki maskini usichezee wakati 🥰🥰zama izo
Watching from Dubai.. Old is gold 2024
I miss home Temeke🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Still watching from Beirut Lebanon....old is gold good job TMK
niaje mbeba mabox?
Nimetazama huu wimbo leo Feb 16/2023 wimbo bado wa moto
Moja kati ya nyimbo inayo nipa nguvu za kupambana na SI kukata tamaa💪💪💪
Hizi ndio ngoma za maana✊✊🙏🙏🙏🤷
Kila nikikaribia mwishoooni kabisa mwa kila mwaka wowote huwa napata feeling ya kuzirudia hizi ngoma...😩
Leo tena 24/11/2024 nipo hapa.💥🥵🔥
Wahenga tujuane✋🏻😂
timeless hit song 💯...2024 bado inahit
Umri motivates me everyday..2023 here we go 🔥🔥
same here
iko na ujumbe wa kutosha. mwenye masikiuo na asikie/.
kwel
Incomparable team.
Na penda sana wa tanzania
2023 much love from Kenya 🇰🇪
Zilikuwa zikifurahisha na kuelimisha pia but sasa aaaaa uchafu mtupu utaskia eti jibebe mara utaskia mvumo wa radi nyimbo hazielimishi chochote zaidi ya kupotosha jamii
nakubaki xana masela
Eti kamatia chini 🙊🙊
Kombo Omar kweli kabisaaa
Hahahah nimecheka sana het mvumo wa radi
fact broo
Informative song love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 vijana muache ku procrastinating
Ule wakati nikiwa mashambani sikuuelewa.. Baada ya miaka kadhaa kupita nahisi wananiimbia mimi😂😂😂. Utunzi wa hali ya juu, salute tmk🎉🎉🎉🎉
hii ngoma huni hit sana 😂😂😂
majukumu everyday na age inaenda
Ustoe macho kwa mwenzio, ka hustle akapata. Napenda hapo
nakumbuka 2008 nikiwa inchugu secondary
Panch line ya mh Temba n 🔥🔥🔥🔥
Still listening & watching n 2022!!.
2021 and that voice by chege always gets me watching this
Nakula my friend
Nilikua mtera iringa wakati ule mnatoa hizi ngoma niliiba Kanda kwa boss wangu....japo sikua na radio😢nivile nilioenda nyimbo zenu
Mamb mazri ya miaka 2000 ,enz za mabraza zetu, no internet, no Facebook,no insta, no tweeter, ila ilkuwa raha sanaaa
AJAB 2SANA 💪🔥🔥🔥💯👍🥁
Wanaume kazini salute kwenu 👊
Hawa ndo walikuwaka Wana muziki na Wana fasihi waliotukuka ,,,sio wanamuziki wa sikuizi kila nyimbo wao ni kuimba mapenzi tu
2020 8th September ....ngoma bado ya remain kuwa classic na timeless
Wasanii wa kizazi kipya mnaskia
Usione wanajirusha walijituma kiuwakika leo wapo AFRICA kesho wapo ASIAAAAA... sept 2019 old iz Gold
nzuri Hadi Leo 💯👊🏿💪🏿
Big up TMK . Still one of my favourite tune in 2019
umri unakwenda ukizubaa hujui unapokwenda 2018 🔥🔥
Saivi ndio naielewa hii nyimbo zamani nilikua nazani wanaimba tu saivi ndio nimejua walimaanisha nini mwaka huu2024 umri umeenda🥺
Watching frm emali makueni countie.
Tmk wanaume...temba ndio kaua kwa mistari yake...hahaha.
We really miss these kind of songs
K R kanipa ujumbe mzito
Wimbo Mkali Sana Huu
Hasa kwa Sisi Wenye Majukumu
08 Oktober, 2023... Ngoma bado kali hatari
Nimekua sina baba mzazi na kwa mawaidha mazuri amabayo yamenikuza ni kutoka kwa Quran na mawaidha ya TMK na Fid Q. I am forever grateful kwa malezi mazuri
Omg. ..What a complete song! Educative from the very first verse to the last one
Hiyigoma kari sana inanikumbusha kigoma nasoma latano
Yp bora angeenda solo tu...most talented in the group..R.i.p
Verse ya KR imejaa hekima na mafunzo sana, ni verse bora kwenye huu wimbo.
mandugu digital i still cant believe kenya tulikua tumeweza ivi alafu leo bado tunajikokota sana na chuki nyingi kwenye mziki isiyo saidia...hii nyimbo ina elimu bab kubwa aisee
Hivi kwa nini wasani huwa wanatowa ushauri ambao ni tofauti na maisha yao?
Hiyi nyimbo mie kila nikisikia hua napata nguvu Ya kwenda kazini. Ujumbe mzuri kweli.
mziki mzuri wenye ujumbe mzito na ukweli ndani yake. siza anselim msemo from north korea.
Duh hii Ngoma Ngoma nangwa kinoma watu walituliza mafuvu
oyaa jamaa umri unakwendaa 🔥🔥
Ngoma noma sana na nusu . inabeba ujumbe mzito
Ngoma za zamani kali sana, naangalia nikiwa 2020 and naenjoy
KR mullah jibaba verse imeweza iyo big up
Old is gold watching from down town NY June 2021
Jamani wasanii Hawa wapewe heshima kwa nyimbo Bora sana
huu ndio mziki wetu
Umri daaaah hatariiiii 2019 nw nimezama youtube
Legendary ❤️❤️2070
This stays fresh even in 2023, I love TMK mpaka Leo🔥🔥🔥
Kwa hakika unachokipanda ndicho unavuna. Kujituma lazima umri hausbiri, tujijenge.
Straight 4rm sweden 2018 but cant sleep without listening to this one.
Mheshimiwa Temba, Kiboko yao🎉
I feel like this to drop tomorrow... Ever and forever flavour.... Yp may your soul rest in peace
pampana kijana.... where are these legends
mwananga hingoma simchezo ninoma yan inaujumbe wakutoxh duu ninoma nimeikubali mbayaaa
Unaomuhusu huu wimbo kama unavyonihusu naomba gonga like yako hapo kisha sema tutashinda kwa pamoja 2020.
R.i.p. y_p ngoma inanikumbusha 2008 wakati nipo jiteute napiga kitabu
Kaungwa Omari dah mwanangu achaaaa
"tumezeheka nasisi tuzae😢" umri unasonga
Umri unakwenda nipo hapa 2023 bado najitafuta
Weka like ya 2020
Nilichojifunza zaidi mbali na mashairi mazuri kingine ni umoja ni nguvu.
This takes me down to my primary school days 🤣 we used to sing it in front of the class back in Kenya 🇰🇪🇰🇪
Hii ngoma ni kubwa 🔥 hadi kesho kutwa 🔥🔥. Umri 2021
one love from kenyaaa,tbt wazimuu
KR nakuelewa sana kwa mistari
2024 marsabit inasikiza . priceless track ,big up TMk family
That was really amazing education song I ever had had on my phone ❤❤❤
2020 wote tuna like hapa Kila unachokipanda ndicho utakacho vuna