DAH! BONGO FLEVA YA UKWELIC"SIMU YA INA FULL DOLLAR" watoto wa siku si rahisi wafahamu maana ya hii msemo enzi hizo hii ngoma ikichezwa kwenye kipindi moja ya redio KBC RADIO TAIFA (KETAU EXPRESS) na MUNYI KAZUNGU tulikuwa tukihepa darasani kusikiliza hii nyimbo Nostalgia
Mtoto anataka apajue kwangu akaone mambo yangu sikutaka kumficha moyo unaasita niliomtajia kwangu vyote atavikuta nitagonga ukuta kachaaaaa nitaumbuka😂😂😂2022 BONGEE LA GOMAAAAAAA LIKE HAPA FROM TANZANIA KISWAHILI NI LUGHA YANGU 2022
Unaitwa Jean BIGIRIMANA na mimi naitwa Jean HITIMANA pamoja na hilo la Berchimas au KIULAINI kwahiyo we tuku kwenye mstari mmoja hata mimi kweli Mheshimiwa Temba is my best rapper of Bongo Flava. Anatuchemsha sana sisi vijana na kutufundisha mema mpaka bibi yangu mwenye umri wa myaka 124 ambaye tuko pamoja nimemkuta hapa VIRGINIA akiskia singo ya TEMBA au ya TMK ya TEMBA anaamka akatoka usingizini. Kwahiyo washikaji tumpe vyeo Mh.Temba kwa kazi zake nzuri kurap na kukamua au kufunika na kufunua
umeme si ukakatika !! utasema tanesko wlijua kama mi leo ntaua.,,, umekuja kuwaka tumechoka nyaka nyaka,,,kkkk i love dis song ,,,mheshmiwa temba kwa mazari!! noma
Bongo flava ya hakika, ambia wasafi wameharibu flava yetu pendwa from KENYA
Maana WCB ni uharibifu ulioletwa na chibu ili tusahau vipajo vya kale ndugu jamani
Nimekumbuka mbali Leo dah old is ever gold Wangapi tulikua tunapagawa tukiskia hili pini? nyoosha kid ole juu.
Leyla Hassan hello dah
Real
Acha 2 ndg yng hii pin limenikumbusha mbal sn
Mimi pia moja wapo Leyla ila nilikuwa naimba tuu akat sjui nn maana ya mpz ahahha
Hicho juu kama wakati wa kanu
Someone to kiss my comment so that I'll be back to watch this song again and again
Hakuna story teller mkali Bongo Kama Tembah. Huyu jamaa noma sana
2023 and this track is still a banger 🔥
I'm from Nigeria and I really enjoy bongo flava songs
Safi sana nakumbuka apa niko Uganda napigika kishenzi from CONGO drc NA mavita ya maumbwa ya Rwanda
😅😅😅😅
I don't know what came over me today i just remembered my best songs, nampenda yy sana tu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤❤
Izi swagg manze hii ndo ilikuanga bongo flava achana na hizi za sikuizi za kutusiana much love from busia kenya
.... Ile nayo ni yetu na Seki ni mfanyakazi wetu kwenye ile TV Yetu....Rest in Peace Real Bongo Flavour
Mr misifa hadi leo nakupenda
hizi ndo ngoma za wakati wetu ule daahh
Nakumbika kitambo nipo shule wenzangu wananita temba ila nataman nirud kwetu Tanzania from jamaica
Karibu ila siku hizi wahuni wengi kweli
@@joshuamwanaharakari9849 siku hizi wauni wengi
Yaani mziki umeshaharibika kabisa
Duh kuna watanzania jamaica 😳
Utasema walijuw kama Leo mi ntauwa 😅😂😂
Hii kali.Tunazoskia siku hizi doooh kelele tupu.mungu atusamehe.ati sijui diamond sijui silver.upuzi mtupu
Im in love with old bongo music.daima ntazikumbuka
Safi brother's, kazi nzuri paka leo.
bongo beats.killer beats.Majaniiiiiiiiiiiiiiiii.....damn
Yoo bro❤
Awa jamaa noma sana nyimbo haichuji kila nikiisikiliza yaan kama imetoka jana
Temba is one humble guy i know
Big up
254 kwa sana
Area nairobae
Hii ngoma temba aliuwa.mistari kali kali.
Sikujui hunijui lakini ujue me nakupenda, mungu akipenda tutaishi kama wapendwa 🔥 🔥
Kitu mwake mwake mwake babake!!Temba anatema mistari balaa❤❤
DAH! BONGO FLEVA YA UKWELIC"SIMU YA INA FULL DOLLAR" watoto wa siku si rahisi wafahamu maana ya hii msemo enzi hizo hii ngoma ikichezwa kwenye kipindi moja ya redio KBC RADIO TAIFA (KETAU EXPRESS) na MUNYI KAZUNGU tulikuwa tukihepa darasani kusikiliza hii nyimbo Nostalgia
hizi ndio zilikuwa nyimbo, Tanzania muliharibu muziki. from Kenya
Duh.....Dully.....Mie si mTZ lakini hizi ndizo ngoma tuliskiza tuliwa chuoni.....zama zile
Mtoto anataka apajue kwangu akaone mambo yangu sikutaka kumficha moyo unaasita niliomtajia kwangu vyote atavikuta nitagonga ukuta kachaaaaa nitaumbuka😂😂😂2022 BONGEE LA GOMAAAAAAA LIKE HAPA FROM TANZANIA KISWAHILI NI LUGHA YANGU 2022
Африканский рэп это круто! талантливые исполнители мне очень нравится слушать большое спасибо за удовольствие. Американский рэп зажрался...
love how tanzanians phrase swahili, anasema simu yake ina full dollar................,nimpeleke kwangu akajue mambo yangu,
duhuu nomaaa
Afu kwa bahati mbaya umeme ukakatika 😂😂
@@mumbayeashata993 😹😹😹😹😹legend
Channel 5 dem days.
P funk yo the Best of the best broo....this beat takes my Breath a way..
Legend kwa mbali sana
Am with you on this bro. No one can match P Funk. He deserves a statue in his honour.
yanikumbusha mbali sana radio FREE AFRICA "SHORT TIME '' MCHANA ilikuwa ikishka kushika
Show time
Mistari from Mh temba🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ahahahaaa hatar sanaa temba et akinywaa soda anaionaa ilee kwenyee koo inapitaaa
This is wat we call classic material...big up muheshimiwa temba....
Ila temba alikua muongo sana 😂😂😂😂
Old is Gold nimekumbuka mbali sana...enzi hizo muziki ukiwa muziki si sasa hvi sijui team...naku
nimeangalia hii video zaidi ya mara 3 Leo 29/10/2024
Unaitwa Jean BIGIRIMANA na mimi naitwa
Jean HITIMANA pamoja na hilo la Berchimas au KIULAINI
kwahiyo we tuku kwenye mstari mmoja hata mimi kweli
Mheshimiwa Temba is my best rapper of Bongo Flava.
Anatuchemsha sana sisi vijana na kutufundisha mema
mpaka bibi yangu mwenye umri wa myaka 124 ambaye
tuko pamoja nimemkuta hapa VIRGINIA akiskia singo ya TEMBA au ya TMK ya TEMBA anaamka akatoka usingizini.
Kwahiyo washikaji tumpe vyeo Mh.Temba kwa kazi zake nzuri kurap na kukamua au kufunika na kufunua
Hata Huku Kenya bado tunaitambua
Nani yupo hapa 2024
Utasema watu wa kenya power walijuwa kma mm leo ntauwa😂😂😂 hatari sanaaa
Vyakale dhahabu
hapo sasa.. we are still expecting another album..fro you...big up Mheshimiwa na Dully Sykes.
Chuchu ziwa konzi 2019
hahahaaa 10 nov2017 kama tanesco walijua leoooo ?;;;;;;~
Mm pia nazikubali
my nime is ceelgaras boy and come somalia this song is nice tmk and dully
Fartuun beauty damondo
Nilikuwa darasa la sita TV. Nyumbani kwetu mtaa mzima daaaaaah 2019 now
nampenda Sana temba wote wako Poa sanaaaaaaa nawakubali Sana hawa jamaaa
Majanee
I like this music!! It has a tight beat. I dont know what they are saying but it's coooool for real though!!
16 years😢😢😢 are you alive
This track is still a vibe big time homie.
I will never forget these songs
Huuu mziki daaa sijui kama utaludi tena😢
Oohhhhh Tmk were good before,Am feels good when I hearing this song
Sim yake ina full dollar 2023 we dea dede
Mambo ya full dollar 😂😂😂😂😂 kitambo sana
Sikujui bwanaa 😀😁😀😁 Naijuaaa
Temba Mimi Bado nimekuishimu hadi uko juu yao wananajijua.
da namkumbuka mwanangu siraji snaaaaa
I'm still watching this in 2019
Are you too?
2023piga like
Nov🎉🎉🎉
Hahhaa Zamaani nilikuaga najua Mr Blue na Dully Ni Wanawake hahhha aiseee Binadamu tunakua
duuu temba come again brother classic song men
excellent story telling.top class
Simu full dolar duh kweli tumetoka mbali sana
umeme si ukakatika !! utasema tanesko wlijua kama mi leo ntaua.,,, umekuja kuwaka tumechoka nyaka nyaka,,,kkkk i love dis song ,,,mheshmiwa temba kwa mazari!! noma
it still rocks 2022🤣😂🤣😂
Real
noma sana akinywa soda kwenye koo hiyo 2017 like hapa
Steven John Dem days and they are still strong
Steven John nampenda yeye
Nampenda yeye ye ndo yeye penda hii song hunikumbusha mengi sana
Steven John 😂😂😂
😀😀😀😀😀
mpaka leo sijaona hip hop ya kibongo poa zaidi ya kwanza unity..
Dah 2019 gonga like
Wakati hii ngoma inatoka nilikuwa na miaka 13,Je wewe unaeangalia hapa 2024 ulikuwa na miaka mingapi?
2023💕💕💕
Hii nayo bado ni kali 2025
Dully was the man those days with his voice 2021 I still love ❤️🇰🇪🇬🇧🌅🍗💝
Nimekumbuka mbali sanaaa
2023 much love from Kenya 🇰🇪
ddaaaah zamani sana aisee ngoma kaliiiiiiiii
P Funk Mbaya sana Mamae Daah
Beat tu inaongea
Mh temba na dully wanatisha sidhani kana atatokea msanii kama hivi vichwa
nalikubali bonge la dude
Temba aliweza sana.Wasafi Bure kabisa
2021 Nani anaangalia hapa like zenu
Haya wa 2023 hoyeee
Temba anadam yangu akitoa kitu ya Lovebite napata mzigo Sikuhiyohiyo daa sijuj akitoa ya kilio ndio itakuwa sikuyangu
ahahaahah funny trackk!!EEh bwana temba rudi kwene game bwana
A.D MLAY STUDIOS lol hehe old is gold
Nan anasikiliza hii ngoma April 2020
Daaa uyo jamaa atali kwa mistali iliyo nyoka
P funk majani 🙌🙌🙌
Huko kenya bado tunacheza huu muziki
Majaniiii
Hatari sana hii kitu
Wasanii wa sasa wajifunze kwa wakubwa
😂Majani😊😊😊
I like this song...
RIP to this beautiful chick in this video
What happened to her?
Kumamke dully hazeeki linyamwezi
Chege na kundi lako sijawahi kujutia kuangalia song zako mnaua
bado nampenda cheers to dully and tmk....wape vibes man...ceelgaras hollla at at a somalian dude....otherwise this song got me thru the nite
dah p funk ni nomaa
nampenda dury .yani nampenda domo lake la kulewesha
2021 is naendelea kupata burudani safi