MAWIFI WAMSAKAMA MKE WA ALIKIBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 421

  • @BB-bc8eo
    @BB-bc8eo 6 ปีที่แล้ว +1

    Hahaa jamani wa tz ni macho yake tuu mbona mnamtia unyonge mwanamke mwenzenu acheni roho zenu za korosho😠😠

  • @mwanalelee6
    @mwanalelee6 6 ปีที่แล้ว +25

    watz kila mukiambiwa wambeya mwaona sifa......ivi mtoto yupo mbele kumbe anataka aangalie chini???? punguzeni umbeya loool

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 6 ปีที่แล้ว

      mwanale lee,Yani hawa watanzania wananisinya!kuna ngoroko wengine waliseme amemfanyia dharau mumewe wakati akivishwa Pete,hao nao wamekuja na jipya,niukweli wanaharibu sifa ya Tanzania

    • @mariamkassimkiwope6170
      @mariamkassimkiwope6170 6 ปีที่แล้ว

      Wa Tanzania tuna nogwa sana 😏😏😏

    • @awadhirajabu3971
      @awadhirajabu3971 6 ปีที่แล้ว

      Jamani mwenye aki ya kumkagua mke mwenye mke na mwenye kumpenda ni yule mpendaji ambae ni ali kiba uyo ndio wa ubavu wake msimuukumu ametimiza amli za mungu kaeni mbali na kejeli juu ya amli za mungu anamvua nduo akiwa ndani ya ndoa

    • @shamomar629
      @shamomar629 6 ปีที่แล้ว

      Mimi ni mtanzania na umbea huo cna, mtoto amina katulia mashallah, na kajaaliwa jicho

  • @moneymoney7497
    @moneymoney7497 6 ปีที่แล้ว +5

    Sikuzote kizuri udhraulika na kuonekana kibaya...Na kibaya kuonekana kizuri..na sikuzote mti wenye matunda ndio upapatikiwa..mambo ni motoo iko love to kwasana 254 utajuwa ujui

    • @aishamsoka2005
      @aishamsoka2005 6 ปีที่แล้ว +1

      Abdarlahamn juma hongera sana kaka maneno yako ni sahihi kabisa Ilove my brother

  • @tdddfdt6226
    @tdddfdt6226 6 ปีที่แล้ว

    Mhhhhhh-watanzania-kwaumbea-hamjambooo-atatoboa-huyo-mkenya-mwenzangu-huko-kwa-wabongo-washaanza-visababu-vidogovidogo

  • @nitungasaidaty2398
    @nitungasaidaty2398 6 ปีที่แล้ว

    Kivyangumiminasema wanacukiyakuona alimpatakibampakakufikiyakumuowayeye mukenya

  • @phaniceadhiambo3774
    @phaniceadhiambo3774 6 ปีที่แล้ว

    Nyinyi matanzania mnapenda sana umbeya ..... ......waah mbona hivyo 🤔🤔

  • @sultanaswaleh8892
    @sultanaswaleh8892 6 ปีที่แล้ว +40

    Sisawa kumkaribisha na maneno ya dhanna..lkn.Mimi na muomba mkenya mwenzagu.atakalo ambiwa,lolote! awe na SUBRA ya hali ya juu! Na, MUNGU! Ata msaidia. Kwa sababu Kenya hatuna Tabia za kukosowana mitandaoni..kwake ata yaona mageni sana.bora avute SUBRA.Na anyamaze

    • @eunicemishel2562
      @eunicemishel2562 6 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa mimi pia nawashangaa hawa watanzania na mambo ya mtandaoni.Wamuache mrembo wetu wasimkwazwe

    • @dastonamichaels1854
      @dastonamichaels1854 6 ปีที่แล้ว +1

      Awa bongo wanavukiana mipaka in social media....waswahili sana limbukeni😂😁

    • @maatumkhatib1668
      @maatumkhatib1668 6 ปีที่แล้ว

      Eunice Mishel ni baadhi tu lkn so watanzania wote ni baadhi ya malimbukeni ndo wasojielewa mwenyew kazi yke awezi kuchunguza mtu ukiona ivo waliomtolea povu mdogo wenu wameathirika kiakili tu.

    • @rukiaosman8416
      @rukiaosman8416 6 ปีที่แล้ว

      sultana swaleh subhanallah wallahi wa tanzania nynyi muna chuki mbaya sana
      Wambeya ndipo allah amewalaani
      Mwajiuzatu uhasidi kiba amewakata nigereehilo hhhhhhh

    • @shinatamar1492
      @shinatamar1492 6 ปีที่แล้ว +1

      sultana swaleh kwanzo kabla yote kuna pic ile yamina akiwa mara yakwanza dar kufika baada kuolewa nadhani aliweka same pozz yajicho kama hivyo nahuyo mtoto hakuwa itakuwa kamuakea nani?wakosa kazi wabongo ...pili sio jukumu lake kulea wanaharamu wamume wake hamuhusu kwamwe kulea ni ihari yake nakutowa walea niwamuzi wake hakuna moja mamake yuko kwenye ndoa hapo so awape asiwape ndio time mamazao waje kuchukua vichaliza vyoa wampe amina time ya kujinafasi namume wake ndio mwanzo ndio mbichi waitia midomoni wabongo hamukosi ila zakwapa hata mukatiwa marashi litatowa jasho tu ...wakenya hatuwezi kubali ujinga Muko nao kabisa

  • @tdddfdt6226
    @tdddfdt6226 6 ปีที่แล้ว

    Amina-usijali-yatie-pamba-kwenye-sikio-ndio-mwanzo-utasikia-mengi-wamwona-zarina-amewachoka-hawa-wabongo-wamemfika-kooni-bado-kuwatapika-umbea-ndio-kazi-zao-nakuka-uchiiii

  • @nitungasaidaty2398
    @nitungasaidaty2398 6 ปีที่แล้ว

    Tunawazoweyawa Tanzania kazizao nikucunguzanaga awatakagiwatotowawenzawowapate

  • @tunjewehu9857
    @tunjewehu9857 6 ปีที่แล้ว

    +254 from+966fwatilieni hao Malaya wenu vunuka mboo huko mwacheni dadaetu Bado mapema haliwahusu💪👌

  • @tdddfdt6226
    @tdddfdt6226 6 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂-aiiiiiiiii-makubwa

  • @64aaa
    @64aaa 6 ปีที่แล้ว +14

    Hebu mpokeeni kwa mikono miwili na wacheni umbeya bado ni mapema sana.

    • @awadhirajabu3971
      @awadhirajabu3971 6 ปีที่แล้ว

      Eti mawifi wanasema ana jicho baya jamani mkasome dini inasema nini je uyu mtoto ali kiba alimzaa ndani ya ndoa hau nnje ya ndo kama nnje je mawifi na amli za mungu zipi zenye kufuatwa kwenye hii dunia chunga eshim amli za mungu uyu mtoto ayuko ndani ya ndoa mjue ilo

    • @kalitosantose947
      @kalitosantose947 5 ปีที่แล้ว

      Yes it is true

  • @hadassahjohnty6816
    @hadassahjohnty6816 6 ปีที่แล้ว

    umbea utawamaliza walahi.😂😂😂lakini mwanifurahisha sana.

  • @khalidbalala7753
    @khalidbalala7753 6 ปีที่แล้ว

    wabongo madem na waume wote n wambeaaa2 punguzeni mtto Amina kachaguliwa yye....

  • @azizaally6573
    @azizaally6573 6 ปีที่แล้ว

    Acheni unafki Ndomaana hata shilawadu hmkupewa kadi

  • @tunjewehu9857
    @tunjewehu9857 6 ปีที่แล้ว

    Aaah mumezidi nyoooni mumemfungua roho yake mkamjua alivyo!?👌 mbona mwapenda kuamsha waliolala nyinyi

  • @mamad1175
    @mamad1175 6 ปีที่แล้ว

    Watanzania punguzeni midomo ht mwenyeez mungu hapendi choyo tu

  • @masungazabron6748
    @masungazabron6748 6 ปีที่แล้ว

    Mombasa imetoka vizul imefika kwa wajuaj shidaaaaa,muachen bhana shemej yetu

  • @najmaabubakari9360
    @najmaabubakari9360 6 ปีที่แล้ว

    Hamkosi jipya wanafiki nyie..ni mkenya msimfananishe na watanzania wenzenu...Alaaaaa

  • @donathanovath2959
    @donathanovath2959 6 ปีที่แล้ว

    Wabongo tuachage uchonganishi na uchokonozi wa maisha ya wenzetu

  • @hamidaabeid2265
    @hamidaabeid2265 6 ปีที่แล้ว

    kweli binadamu ni wanafiki kwahiyo hastahili kumuangalia huyo mtoto

  • @aminamkamba4244
    @aminamkamba4244 6 ปีที่แล้ว

    mawifii nishiidaa hawanagajema hatauwabebe vip

  • @maryamalharth7493
    @maryamalharth7493 6 ปีที่แล้ว

    acheni ujinga mnao post vit vyakijinga ndo kwanza dada wawatu mgeni halaf mpole

  • @amidazinga3668
    @amidazinga3668 6 ปีที่แล้ว +2

    Ety ameangalia mtoto na jicho baya!!!!! dah!!! wabongo mbn mnamambo ivyo

  • @dohacity2057
    @dohacity2057 6 ปีที่แล้ว

    Waliosema ubinadamu kazi hawajakosea

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 6 ปีที่แล้ว +1

    Hapo amina aliona duu eee Mungu eee. Huyu ni muweza kweli? Mbona kajuaji hivi kiasi kwamba sitaweza ku katesa

  • @nuruhamisi5355
    @nuruhamisi5355 6 ปีที่แล้ว

    Nimapema Sana kumtia dowa wambea jamani hebu waacheni vazialolivaa halinashida wambea jamani nahilojina halimanishi chochote punguzeni umbea

  • @neemaally1125
    @neemaally1125 6 ปีที่แล้ว

    Sahihi kabisa amemuangalia mtoto kwa jicho baya

  • @aminamunga1847
    @aminamunga1847 5 ปีที่แล้ว

    Astaghafirullah.dhana dhambi

  • @omaryally1629
    @omaryally1629 6 ปีที่แล้ว

    Kikubwa ally kashampenda mkewe Sasa wanafk kaz kwenuu

  • @ilhanahmed9082
    @ilhanahmed9082 6 ปีที่แล้ว

    Insha Allah,,,, Itakuwa kheri.

  • @mariobalotelilucciano8905
    @mariobalotelilucciano8905 6 ปีที่แล้ว

    We lofa sana bro auna kazi weye

  • @vonostus
    @vonostus 6 ปีที่แล้ว

    Ndiyo maana mnatakiwa mkajisajiri mnaandika upuuzi tu

  • @khadijaabeid8012
    @khadijaabeid8012 6 ปีที่แล้ว

    Acheni fitna zenu tabia mbaya tuu mlizonazoo

  • @crunkersdd4578
    @crunkersdd4578 6 ปีที่แล้ว

    Wabongo mnapenda sana tantarira acheni midomo

  • @lilianmyenda6331
    @lilianmyenda6331 6 ปีที่แล้ว

    Rubbish
    Na umbea wenu ndio maana hamjaalikwa

  • @aminarajab5809
    @aminarajab5809 6 ปีที่แล้ว

    uchonganish tu yana wahusu harusi c yake bro tafuta story za maendeleo discussion insta

  • @evematinya6027
    @evematinya6027 6 ปีที่แล้ว

    Karibu wifi yetu,wabongo ndo tulivyo mwaya tuna midomo balaaa

  • @alvismumkaranja3360
    @alvismumkaranja3360 6 ปีที่แล้ว

    Wabongo wanakagua sana wanawivu wataka kumtibua kama zari ...

  • @waziriomary6651
    @waziriomary6651 6 ปีที่แล้ว

    Hata atizame na macho yakushoto amewakuta atulie tuliiiii

  • @halimahamis5866
    @halimahamis5866 6 ปีที่แล้ว

    wambea wakubwa! amina hata usiyafuatishe maneno

  • @klystry1234
    @klystry1234 6 ปีที่แล้ว

    Mbn kawaida jamn c pozi la kuangalia mxeeeeeeeeeeeeew wabongo

  • @lailasalim8269
    @lailasalim8269 6 ปีที่แล้ว

    Jamani wacheni ushamba mlitaka aweke uwa matakoni

  • @christinelihavi7923
    @christinelihavi7923 6 ปีที่แล้ว

    Wivu bana... Ndio kapendwa ma Ali nyie wengine ni kelele tu

  • @khadijaabeid8012
    @khadijaabeid8012 6 ปีที่แล้ว

    Mtu kama.hamujui tabia yakee achaneni nae kabisaaa

  • @moshibora1537
    @moshibora1537 6 ปีที่แล้ว

    acheni kufatilia maisha ya watu wajinga nyinyi

  • @annewanjiru4542
    @annewanjiru4542 5 ปีที่แล้ว

    Watu hawakosi LA kusema,,,hata hajaingia kwa nyumba mshaa anza?? Haaaah

  • @salumkisoma7761
    @salumkisoma7761 6 ปีที่แล้ว

    jaman acheni wivu na majungu yasio na msingi

  • @shekhahamed7625
    @shekhahamed7625 6 ปีที่แล้ว

    ALLI. , AMINA CHNGENI NDA YENU AMINA ACHANANAO WAJINGA HASOWIVU UNAWASUMBUA

  • @sammaisak7503
    @sammaisak7503 6 ปีที่แล้ว

    Kwaivo mna judge character ya mtu kwa picha moja, taken from one angle tu hahahahha wa tz mwachekesha

  • @nurubilali8025
    @nurubilali8025 6 ปีที่แล้ว

    Achani kusakama ndoa ya watu wambea wakubwa yenu yanawashinda

  • @ummtuma8137
    @ummtuma8137 6 ปีที่แล้ว

    Mnatatizo wabongo kwa umbea

  • @princeesssalma9622
    @princeesssalma9622 6 ปีที่แล้ว

    Mmmh muna wivu wa tz vile huyo sio tz wenzenu poleni sanaaa mwenye wivu ajinyonge vumilia amina

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 6 ปีที่แล้ว

    Wewe ni ndugu wa shilawadu kwa upande wa nani 😂😂😂

  • @KingaziJr
    @KingaziJr 6 ปีที่แล้ว

    Mambo mengine ni upuuzi tu hamna kazi zakufanya

  • @youngmillax3936
    @youngmillax3936 6 ปีที่แล้ว

    team jirani ndo wenye hiyo kazi ya kukosoa

  • @mamamdogo9458
    @mamamdogo9458 6 ปีที่แล้ว

    Acha roho mbaya ,Amina shikilia usiwasikilize penda sana kiba na wanae

  • @zahbenmohamed1089
    @zahbenmohamed1089 6 ปีที่แล้ว

    Muna shida mtoto wa wenyewe musimfanyie husda muombeeni mungu na mumshukuru mungu angekua kakayenu leo kao malaya na kupata magonjwa ingekuaje? na mkumbukeni Allah nyie wakamikifu? Mulikua mwataka afumbe macho?

  • @oddskillz1985
    @oddskillz1985 6 ปีที่แล้ว

    anaonekana mchoyo sana huyu demu

  • @francislukindo8872
    @francislukindo8872 6 ปีที่แล้ว

    Hao mawifi wanakuhusu nini wewe

  • @maureencade511
    @maureencade511 6 ปีที่แล้ว

    wacheni wivu kalibu sana wifi

  • @salamamsheh7985
    @salamamsheh7985 6 ปีที่แล้ว

    Mawifi au ndugu was mume nikawaida Kafka sehemu yyte lkn alikiba ana Dada mmoja tu ambaye hashuuliki wala side binti wa mtandaoni Bali hao niwale wanaolipwa pesa kuharibu ndoa za watu ,So WiFi yangu kua mvumilivu Amina

  • @zuhurahemed6277
    @zuhurahemed6277 6 ปีที่แล้ว

    MTU mmoja azungumze kitu then kla mtu watz watz, nan alyekua anamuhtaj cjui Ali nan, hao wenye watt wake wa4 ndo wakuona wivu sio sie hatuhusu achen kufanya kazi mtafute pesa endeleeni kudiscuss watu wasio na faida na nyie.

  • @hidayayusufu4639
    @hidayayusufu4639 6 ปีที่แล้ว

    yani binadam siwawezi.pole Mrs kiba mama wa kambo hawanaga sudi hadi wanaingi kaburini.😢

  • @ahmadfarid1676
    @ahmadfarid1676 6 ปีที่แล้ว

    mwapenda sema sana salala hamuwezi furahikia jambo la furaha mpaka mutie midomo yenu michafu kama choo cha mnyika

  • @sellaobinya5090
    @sellaobinya5090 6 ปีที่แล้ว

    Ndiyo maana wanawawacha na kuoa nje ya nchi,umbeya tuu ndiyo kazi hamna kazi nyie,sisi wakenya tutaendelea kuolewa nyie bakini na umbeya wenu,i hope unawasaidia huo umbeya.kama chungu mezeni vijembe,ndio kashaolewa huyo tena officially,Amina usitatizike mamaa waaache wachambe ndiyo kazi yao hao.

  • @zumeyaismael9106
    @zumeyaismael9106 6 ปีที่แล้ว

    Maskini ni no make up na hiyo kitu ameweka kwa macho nimesahau jina...but shez fine

  • @emanuelngusa8161
    @emanuelngusa8161 6 ปีที่แล้ว

    acheni kutia DOA ndoa za watu bwana

  • @vumbiboy3233
    @vumbiboy3233 6 ปีที่แล้ว

    Macho. Ayatafsiri roho. Ya. Mtu. Nackuzote mawifi awakosagi yakuongea cha msingi mwenyewe Ali kiba awe. Na msimamo wakujua familia yake nasio wao

  • @zaituniyusuphjuma415
    @zaituniyusuphjuma415 6 ปีที่แล้ว

    Siyo sahihiiiiiiiiiiiiii acheni wivu

  • @khadijaoman3234
    @khadijaoman3234 6 ปีที่แล้ว +9

    Kwa kweli mmepasi kwa umbea si harusi si msiba lazima umbea utatokea yani umbea ni kama maji kwenu ukikosekana watu wataathirika.tumewachoka🙆Hamna kazi laleni kuliko kuzuazua yasonamaana.

    • @maatumkhatib1668
      @maatumkhatib1668 6 ปีที่แล้ว +1

      Khadija Oman 😂😂😂😂Yaani ni aibu wallah yote ni Choyo tu kinawasumbua

    • @railamypresidentrailamypre629
      @railamypresidentrailamypre629 6 ปีที่แล้ว +1

      Khadija Oman
      swadakta yani TZ kuna vchanel vya umbea mpaka bac hata news kwa TV hazi vumi kama umbea wao fyuuuuuu

    • @khadijaoman3234
      @khadijaoman3234 6 ปีที่แล้ว

      Raila my president Raila my president HAHAHA

    • @nandykivuruge7616
      @nandykivuruge7616 6 ปีที่แล้ว +1

      tamia. uwowote wivu wa bongo tumezidi mke wa kiba yuko poa alikuwa akimuangalia akishangaa mtoto manen alio ongea achen ngebe angekuwa simba mngesem? kiba mlee mkeo pia na watoto manen haya kuhusu kabis ukiyafat watakuesabia wanawak uwe kam mond

    • @FarhatYummy
      @FarhatYummy 6 ปีที่แล้ว +1

      Khadija Oman 😂😂😂😂😂😂👍🏾👍🏾👍🏾

  • @shirawadusalamally2374
    @shirawadusalamally2374 6 ปีที่แล้ว

    shiRawadu

  • @khamiskhamis5323
    @khamiskhamis5323 6 ปีที่แล้ว

    Hiii Dunia imamambo kweli,,,mambo ya kijinga kabisa kumfatilia mtu ambae hana time na nyinyi,,,,yana wahusuje mambo ya watu ni uchoyo uwo na ubaya wa nafsi,,,ndo mana maaendeleo Hakuna Tanzania kwa sababu umnajulikana mnacho kipenda,,nikufatilia watu tuu

  • @alexcharles2742
    @alexcharles2742 6 ปีที่แล้ว

    Kwa hyo aangalie chini nyie vp oeni na nyie Alikiba cyo mbeya kama nyie nyambaf

  • @elizsbethrobert7161
    @elizsbethrobert7161 6 ปีที่แล้ว

    aliyataka mwenyewe so angeoa mtanzania mwenzake alie zaa nae mtoto akamsilimisha

  • @Fatma-qw1tx
    @Fatma-qw1tx 6 ปีที่แล้ว

    sio sahihi kumkosoa hayawahusu muachie yeye baba anajua nn afanye huwa mnasababisha ndoa za watu ziharibike kwa ushakunaku mawifi mwenyewe unakuta hapo Wa Amina jicho lake mwanamke jicho Ndugu nyooo chefuuu

  • @crunkersdd4578
    @crunkersdd4578 6 ปีที่แล้ว

    Nyie wambea tu kazi kufata life za watu angalieni yenu

  • @priccdan2598
    @priccdan2598 6 ปีที่แล้ว

    Watanzania mbona ivo lakini? Aki sipendi tabia zenu ata harusi ya Kenya Amina alikua serious kama ivo ni upole wake tu huo mwamuona haongei kitu ndo mwamchokonoa bado poleni Kwa mana hatawajibu kitu kama alikiba mwenyewe vile yuko... vumilia Amina usiwajibu kabisa waache weseme mchana usiku watalala

  • @salmaismail9425
    @salmaismail9425 6 ปีที่แล้ว

    mmh!mawif muache kumdhania mdada wa wt mucmtie ila bree👌👌👌

  • @queenyahaya3147
    @queenyahaya3147 6 ปีที่แล้ว

    Yani mtandao waliletewa wa tz jamani

  • @aishahamis6348
    @aishahamis6348 5 ปีที่แล้ว

    Huo unaitwa unafki na uchokonoaji wa maisha yawatu,dhana sinjema jamani eee

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 6 ปีที่แล้ว

    Upuuzi mtupu youtube imekua ajira lkn naona wa tz hawajui vya kuitimia nimeisikiliza hadi mwisho aliekua hajasikiliza usipoteze muda na mb zako ukhanithi mtupu wallahi

  • @suroman5840
    @suroman5840 6 ปีที่แล้ว

    Hayaweeee yameanza mijineno

  • @noorsalim4612
    @noorsalim4612 6 ปีที่แล้ว

    Kazi kwenu wambea watu kwa raha zao usiyo yafurahiya wewe maharusi yawahusu

  • @Queen-be1uf
    @Queen-be1uf 6 ปีที่แล้ว

    Kaupenda mti atapenda na matunda yake. Kajua kama ana watoto na karidhia. Angeshughulishwa sana na watoto kama pochi la kiba lingekua kavu. Lakini pochi nene linatosha kote ashughulishwe na nini. Hamuoni mpaka gavana kasema Ali kaanza na wengine mfuate kakusudia wenye mapochi manene sio tu nyote. Maana hakuanza Ali kuoa kenya mbona tushaoana sana tuu. Lakini wakenya wamechanganyikiwa wanaropokwa tu utafikiri Ali kaoa kenya nzima. Chezea noti weweee

  • @maryamalharth7493
    @maryamalharth7493 6 ปีที่แล้ว

    hivi mnajua ni bei gani hilo gauni au mnaongea tu......yan wa bongo bwana sijui kwann hambadiliki kila sku mko ivoivo

  • @جزجزشكطا
    @جزجزشكطا 6 ปีที่แล้ว

    pol dada do kufika tuu habar do hiyo jipange jisi gan utaoshi nao ten akil ya ziada utumie pol kipez

  • @MaryamMaryam-ij3uw
    @MaryamMaryam-ij3uw 6 ปีที่แล้ว

    Ali kiba hana mtoto mpaka saiv uyo MTT ni wanje ya ndoa

  • @everlinama9532
    @everlinama9532 6 ปีที่แล้ว

    Alikiba ndiye anajua uzuri wake ndio maana akawacha wengine akamuoa yeye ndiye ataishi naye sio wambea wa mitandao

  • @rinachonabga860
    @rinachonabga860 6 ปีที่แล้ว

    Sisaii kwani ndoa watu wawili

  • @shadiajumaa182
    @shadiajumaa182 6 ปีที่แล้ว

    Jamani tanzania mtaamka lini kufata yasowahusu jamani masikini amina Pole mwaya watu washakuandama mapemaa

  • @halimaamiri7925
    @halimaamiri7925 6 ปีที่แล้ว

    Jamani sio vzr hata kidogo kwani yy kiba ndio kachagua Na hapo kaona yy ndio kafika kwani Tanzania akuwaona. Jmn ndoa ht mwezi bado kasoro zimeshatolewa. Mimi nawaombea dua mungu awajalie na awape kizazi chema ktk ndoa yao.jamani tusipende kuanza kuweka fitna na kasoro kwani kl mmoja ana kasoro zk unaposema za mwenzako Jua na zk zinasemwa.

  • @hustlerdunga9098
    @hustlerdunga9098 6 ปีที่แล้ว

    Inawezekana we ndo WiFi

  • @gamarhugo3419
    @gamarhugo3419 6 ปีที่แล้ว

    Si sahihi hiyo ni maisha yao wenyewe,tuangalieni yetu jamani.

  • @hajiramadhan8722
    @hajiramadhan8722 6 ปีที่แล้ว

    Apo harusini sio msibani

  • @fashiryjumanne3568
    @fashiryjumanne3568 6 ปีที่แล้ว

    haikosi sababu jamani du

  • @wacmber2131
    @wacmber2131 6 ปีที่แล้ว

    Kawaida hasidi wa mwanamke ni mwanamke mwenzie acheni unafiki kwani kawaolea nyie mmmmmxxxxuuu!!!!

  • @moanasaboud4399
    @moanasaboud4399 6 ปีที่แล้ว

    Jamani muacheni amebarikiwa na Mungu
    Macho mapoz

  • @ratifashaibu5871
    @ratifashaibu5871 6 ปีที่แล้ว

    mmmmng si wabongo tuna matatzo tena sana mi sion ubaya kwa jinsi alivymtazama kila mtu na uwangaliaj wakenakuangalia si kigezo cha roho mbaya

  • @mkenyahalisi1047
    @mkenyahalisi1047 6 ปีที่แล้ว

    Wabongo mnaudaku sana