Nakupenda mtumishi Neema, wimbo wako wa mapito naurudiaga sichoki kumsikiliza. Nyimbo zako Zina neema ya tofauti. Wema wa Mungu udumu kuwa juu yako Uzidi kutuzwa na kuhifadhiwa na Mungu Jehovah
Hallelujah 🙌🙌🙌. Ishara na miujizi zitafuatana na wale waliaminio jina la Yesu milele amina. The anointing in this song! Glory to God. Thank you mum for blessing our souls. Penda wewe sana. More God's grace and favor.
Ndio maana sichoki na kusikiliza nyimbo zako kweli unawakiliza injili kiroho kabisa,salimia pastor Ezra mnapo ongoza katika huduma ya kipenzi Wetu Yesu amina.good role model kwangu na jamii nzima.
Powerful song❤❤
Amen
Alleluia, bonne cantique qui edifie.
Amen
Amen, Amen 🙏👏👏👏👏🙏👏🙏👏👏
Amen
Hallelujah 🙏🙏
Amen
ubarikiwe.mama.mutumishi
Amina
Barikiwa Mjakazi wa Yesu
Amina
Tunashukuru kwa ujumbe huu sister
Amina
Amen amen 🙏🏼🙏🏼🙏🏼♥️
Amen
Amen Amen accomplit cette Parole dans ma vie seigneur
Amen
Ubarikiwe vilivyo mtumishi. Iwe na kwako pia.
Amina
Nakupenda mtumishi Neema, wimbo wako wa mapito naurudiaga sichoki kumsikiliza. Nyimbo zako Zina neema ya tofauti. Wema wa Mungu udumu kuwa juu yako Uzidi kutuzwa na kuhifadhiwa na Mungu Jehovah
Umekuwa wa kwanza kutuandikia nakutakia Baraka za Mungu ziwe juu yako
Amina
Hallelujah 🙌🙌🙌. Ishara na miujizi zitafuatana na wale waliaminio jina la Yesu milele amina. The anointing in this song! Glory to God. Thank you mum for blessing our souls. Penda wewe sana. More God's grace and favor.
Amen
Bado sichoki kusikiliza wimbo huu kiukweli mama ndani yako Mungu ameweka kitu kikubwa sana Naomba Mungu akuinue juu zaidi na Zaid
Amina ubarikiwe
Mungu akuongezee tena sana maman 🎉❤ umenibariki tena sana
Amina
Ameeen
Amen
Mungu akubaliki mama kwaujumbe muzuli ubalikiwe sana
Amina
Glory to glory hallelujah ❤❤
Amen
Nice music
Amen
Powerful song
I love it
Nakupenda mtumishi wa mungu nakumbuka tukikutana nawe Garissa kenya
Ulinibariki Sana
Amina
Neema you I love you so much the way you serve the LORD ALMIGHTY. UNAIMBA kwa uwepo sana. Usibadilike
Amina sifa kwa Mungu
Ndio maana sichoki na kusikiliza nyimbo zako kweli unawakiliza injili kiroho kabisa,salimia pastor Ezra mnapo ongoza katika huduma ya kipenzi Wetu Yesu amina.good role model kwangu na jamii nzima.
Amina ubarikiwe
Aminaaaa🙏
Amen
Ongera sana dada yangu,hii nyimbo imetuumbiya tena imani👌
Amina sifa kwa Mungu
Wow big up to you my super star ⭐️⭐️, Mungu azidi kuku ongezeya mafuta maradufu in Jesus name 🙏🙌🧎♀️🧎♀️🥰🥰🥰🥰
Amen Amen
Asifiwe YESU.asante mama napenda kila unapomuimbia bwana barikiwa kenya 🇰🇪.
Amina ubarikiwe
Huwa nakupenda sana dadangu yani mavazi yako niÿa heshima nyimbo zazo piya zanibariki sana zanifungua
Amina sifa kwa Mungu
Amen keep going neema
Nyimbo zako zanibariki dadangu Mungu akulinde na uendelee kumtumikia Mungu
Amina
Amen amen mtumishi wa Mungu,, Wimbo huu umebariki moyo wangu,,🎉
Amina ubarikiwe saana
Alléluia Ishara zako zini fwate Siku zote za maisha yangu bwana 🙏🙏😭🔥
Amina
Amen amen
Amen
Nabarikiwa sana na huduma ya dada Neema, wimbo huu ni tiba ya imani. Watching nikiwa Kigoma Tz❤❤🎉🎉
Ubarikiwe saana
Napenda nyimbo zako dada neema nabarikiwa sana
Amen
🎉🎉🎉nime barikiwa sana
Amina
Amina
Amina dada
Amen
MUNGU aku bariki sana maman wangu tuna barikiwa sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Amina
Oooh nyimbo mzuri sana
Sifa kwa Mungu
Avance mamy
Amen
Nakupenda Sana mtumishi wa Mungu unavoimba pia ninabalikiwa Sana
Amina
Alléluia🙌🙌🙌
Mungu wa mbinguni aku zidishe zaidi na zaidi🎉🎉🎉🎉
Amina Asante
Waoooooo balikiwa sana mtoto wa mungu yesu akuinue utukufu had utukufu
Amina
Nabarikiwa sana sana
Mungu azidi kukuinua viwango vya juu zaidi
karbu sana iringa maddam
🙏🇹🇿🙏
Amina Asante
My role model, mamy Neema cizungu.🙌🙌🙌, God speaks through your mouth
Amen
Mungu aku inuwe zaidi
Amina 🙏 🙏 🙏
Amen
Asante sana Kwa wimbo huu mzuri maman neema
Amina
Amen 🙏 merci seigneur pour l'accomplissement de tes œuvres dans ma vie
Amen amen
Nyimbo zako zote zinanifariji sana mungu akubari
Baba aweza ananguvu zaidi yanguvu.namupenda sana❤
Amina
Bonsoir maman courage sana MUNGU akuinuwe zaidi
Amen
Nyimbo nzuri. Ubarikiwe mtumishi
Amina
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉God bless you my sister ❤
Amen
Love your ministry sister
Amen
Ameeeeen
Amen
Amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen
Ameen
Amen
🎉🎉🎉amen Kubwa mamayangu
Amina
Sjawai sikiliza nyimbo yako isinibaliki haijawai tokea
Amina sifa kwa Mungu
Mungu akubariki sana dada 🎉🎉
Amina Asante
My favorite singer
Thankx
Amen amen mtumishi
Amen
@@neemacizungu4164 MAMA NABARIKIWA SANA NA HUDUMA YAKO ASANTE SANA MUNGU AENDELEE KUKUTUMIA ZAIDI
Mungu akutiye ngufu dada yetu
Amina
barikiwa dada, leo nimesubscribe!
Ubarikiwe saana
Najivuniaka weye sana dada ta voix mon combat
Ubarikiwe
Kazi nzur sana
Asante
Nakupenda bure haki🇰🇪🔥
Ubarikiwe saana
Amen amen
Ubarikiwe dada.
Amina
Barikiwe kwa utele🔥
Amina
Amen
Amen
Amen 🙏🙌
Ubarikiwe mujakazi wa Bwana
Amina amina
Safi sana ujumbe wakutosha
Amina
Courage maman chérie
Amen amen
Amen
🎉🎉