Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Hongera sana mdogo wangu ,nakutakia kila kheri Mwenyeai Mungu akutie nguvu na kukupa Afya katika kipindi hiki ulicho huko, Tunakuombea ukawashauri Amani ikatawale nchi zote.
FInally Urusi is going to liberate the entire continent from Europeas imperialists, kama ulienda kwa Putin naamin ni mwanzo na mwelekeo mzuri kwa nchi yetu.
We fala amenda kama Raisi wa mabunge duniani sikiliza kwa makini si kuruka tu kinafik huyu siyo levo yenu kabisa na huyo Sugu wenu ajipange huyu siyo levo yake
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
hongera kwa hilo ,umekuwa kiongoz wa mfano , mungu akuongoze katka majukumu yako ya kila siku
Congratulate dr Tulia Ackson for being transparent talking with president putin.
Suburi Marekani ikutilie vikwazo
Kheri sana Doctor Trulia Rais wa Mabunge Duniani. Wasuluhishe,AMANI N I ya Msingi sana.
Hongera sana mdogo wangu ,nakutakia kila kheri Mwenyeai Mungu akutie nguvu na kukupa Afya katika kipindi hiki ulicho huko, Tunakuombea ukawashauri Amani ikatawale nchi zote.
Hongera Sana. Mungu akuwezeshe Kwa hayo yote
Mama Dr Tulia wewe ni mwanamuke shuja...je Vous aime beacoup❤❤❤
upo vizuri
Kyala akutulege Mwanangu, Bombaga ijo Mbobo ja KYALA
HOTUBA MUAFAKA Imesheheni Hekima na Busara.Tuombe Mungu Awafanyie wepesi mpate Suluhisho zuri.
😮😮😮
FInally Urusi is going to liberate the entire continent from Europeas imperialists, kama ulienda kwa Putin naamin ni mwanzo na mwelekeo mzuri kwa nchi yetu.
Sjapenda😂😂😂😂 ukalibu na GAIDI😂😂😂😂😂😂
Umeenda kama nani au munataka kuuza nchi sijaelewa supika kutoka kwenda kuonana na Raisi wakati bunge halijamtuma sisi watanzania sio wajinga
We fala amenda kama Raisi wa mabunge duniani sikiliza kwa makini si kuruka tu kinafik huyu siyo levo yenu kabisa na huyo Sugu wenu ajipange huyu siyo levo yake
Tumpongeze tuu jamani
Tusipende kuzodoa kila kitu
Labda Putin anaweza kubadili mtazamo wake wa kupiga wenzake na nuclear zake