BLACK_PASSCOMEDY:Gubu la Kiziwi chizi SO1EP.21

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 282

  • @josephatobadia4517
    @josephatobadia4517 6 ปีที่แล้ว

    Da ww jamaha noma victot mungu akupe uzima tu

  • @mwanaishaalfan3145
    @mwanaishaalfan3145 2 ปีที่แล้ว

    Mkaza mwana sie🤣🤣🤣🤣🤣🤣uyo mume mwenyewe pia ndipo yuwajuta kumleta apo kwao😂😂😂😂

  • @tahiyaamour3785
    @tahiyaamour3785 4 ปีที่แล้ว +2

    Me ndomaan sipendi kuolewa nawanaume wenye wazaz udanisema ww mama😂😂😂

  • @saimonmdoe1902
    @saimonmdoe1902 6 ปีที่แล้ว

    Hahahahah,huyo mwamba mweusi hapo huwa ananikosha sana

  • @paulmathias3168
    @paulmathias3168 6 ปีที่แล้ว

    vizuri sana dada yang kipaj hik hatar sana😆😆😆😆😆😆😆😗😆😆😗😗😗😗😗😗😗😗

  • @lilianwilliam5153
    @lilianwilliam5153 6 ปีที่แล้ว

    Jamani khaa!!et mweusi kama pua ya mbwa

  • @rehemshehoz8704
    @rehemshehoz8704 6 ปีที่แล้ว

    😆😂😃😂😂😂😂nivunjen.tuu mbav mungu anawaona

  • @paulmathias3168
    @paulmathias3168 6 ปีที่แล้ว

    🤗🤗🤗🤗🤗🤗hhhaaaaaa wweew dada ni hatar san

  • @salmagogo1038
    @salmagogo1038 6 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jamani mm ndiyo ananivunja mbavu hatareee

  • @zainabrashid8344
    @zainabrashid8344 6 ปีที่แล้ว

    Sio kweli muda wote kiziwi hasikii tuonyesha japo kidogo unasikia alafu sio lazima ueti husikii

  • @kidengatv4466
    @kidengatv4466 6 ปีที่แล้ว +30

    Yani mnaniondoa sana stres haswa ww jamaa uliefunga kitambaa kichwan duh noma sana unajua

  • @mosatawi393
    @mosatawi393 2 ปีที่แล้ว

    🤣 🤣 🤣 🤣 Yaninimecheka saaaaan, 😁😁😁😁

  • @evelyneirakoze661
    @evelyneirakoze661 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣jamen mim nawapend san

  • @rukybaribari6883
    @rukybaribari6883 6 ปีที่แล้ว +1

    Uwiiiiii ha ha ha best comedy ever.....😂😂😂😂

  • @cestjolie5574
    @cestjolie5574 6 ปีที่แล้ว +2

    Daah....sio kwa vituk ivo jamn. Had ma mkwe hutukanwa namn iyo🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️?

  • @haslame2386
    @haslame2386 6 ปีที่แล้ว +1

    Wallahi nimeipenda sana

  • @MariamMchomvu-q3s
    @MariamMchomvu-q3s 9 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂mwesi kama pua ya mbwa

  • @mejumaaathman4485
    @mejumaaathman4485 6 ปีที่แล้ว +3

    😁😁😁😁hakuna mkaza mwana apo😂😂

  • @atepamashavu6122
    @atepamashavu6122 2 ปีที่แล้ว

    aaaahaaaa, yani nazidi kufurahi zaidi

  • @happinessmataluma1948
    @happinessmataluma1948 6 ปีที่แล้ว

    njoo kwetu akuoe kakangu wrwe

  • @shamilamct5442
    @shamilamct5442 6 ปีที่แล้ว +1

    😁😀😁😁😁😂😂eti ndio mana napenda kuolewa na mwanaume yatima! 😁😁😁😁😂.

    • @Superman--un9xz
      @Superman--un9xz 6 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @roseafrael6584
    @roseafrael6584 6 ปีที่แล้ว +2

    😁😁😁😁😁sitakagi wanaume wenye wazazi

  • @hassanitosri7911
    @hassanitosri7911 6 ปีที่แล้ว +6

    hahahahahahaaa utakujaga kuniua kwa kucheka ww duh ila huyu mshikaji alie kaa chini huwa ananivunja mbavu big up

  • @elvisngailo4450
    @elvisngailo4450 4 ปีที่แล้ว

    Uyo kaka wakitambaa kichwan nima

  • @clarakava3437
    @clarakava3437 6 ปีที่แล้ว +3

    Hahaha good enough for me to laugh

  • @mwasitiomtima1896
    @mwasitiomtima1896 6 ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂ety napenda mayatima ,anatetewa lkn anamponda khaaa

  • @lucymashaka1628
    @lucymashaka1628 6 ปีที่แล้ว

    Jamani jamani napenda kuolewa na watu wasio na wazazi hahahahaha

  • @happynescharles1511
    @happynescharles1511 6 ปีที่แล้ว

    Uyooo mwny tambala hapunguze matusi

  • @costaburundiano6290
    @costaburundiano6290 3 ปีที่แล้ว

    Wew jit unacekesh kwl

  • @tumaintarimo9969
    @tumaintarimo9969 6 ปีที่แล้ว

    😂😂sukari ya kwa mnyaman au uwanja wa fisi et jaman😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @adichougraceburundaise7256
    @adichougraceburundaise7256 6 ปีที่แล้ว +2

    Pacy Nakupenda Bure😁😁😀Naomba Number Zak Kabisaa 😂😁😁😁

  • @stevenpallangyo3160
    @stevenpallangyo3160 6 ปีที่แล้ว

    Duh.....huyo mama mke alikua na moyo sana

  • @emmykiwia9964
    @emmykiwia9964 6 ปีที่แล้ว

    Hahahahahaaaaaa!jamani mbavu zangu,...kwani amesemaje?

  • @princestedomir7718
    @princestedomir7718 6 ปีที่แล้ว

    napenda yatma mm😀😀😀😀😀

  • @janeflorida4261
    @janeflorida4261 ปีที่แล้ว

    So good sinema

  • @hurumakidaga9076
    @hurumakidaga9076 5 ปีที่แล้ว

    jamn huyu mama mvumilivu maan heeee mungu wangu jamn

  • @fredypastoryutd4864
    @fredypastoryutd4864 6 ปีที่แล้ว

    hahahaaa hii ni kubwa kuliko sasa... yani bora hata ya chizi mvuta bangi dah...😂😂😂

  • @nishanguno4106
    @nishanguno4106 6 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana mmetishaa

  • @johndaudi7970
    @johndaudi7970 5 ปีที่แล้ว

    Duuuu mnanivunj mbavu cbaaa

  • @فيصلفرج-ر2ه
    @فيصلفرج-ر2ه 6 ปีที่แล้ว

    Hahaha ww noma hatki mbwana mwenye wazazi

  • @furahanabaruma6239
    @furahanabaruma6239 6 ปีที่แล้ว

    Jamani nawapenda sana

  • @hadijashabani2686
    @hadijashabani2686 6 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂jaman mm bhana khaaaa mfyuuuu ma mkwe muamkie mkweoo😂😂😂😂

  • @aluyally4574
    @aluyally4574 6 ปีที่แล้ว

    daa hii nizaidi ya too much .duh aaayaaa

  • @subilasultan5992
    @subilasultan5992 6 ปีที่แล้ว

    Mhmh dada atali sana nakupenda tuu

  • @babuu4098
    @babuu4098 6 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂kazi nzuri dada ila unatufurahisha😂😂

  • @khantv6949
    @khantv6949 6 ปีที่แล้ว

    😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅☺😅😅😅😅😅😅 we PASS ni kiboko aiseee

  • @beatriceshadrack9995
    @beatriceshadrack9995 6 ปีที่แล้ว

    victor nakukubali sana na swagger yako ya "mbwa huyu"😂😂😂😂

  • @linusrohomoja8856
    @linusrohomoja8856 6 ปีที่แล้ว

    AISEE MNAWEZA NAMKUBALI SANA HUYO MKAKA MWEUSI ETI AYAAAAAAAAA?

  • @catherinethomasngowi3341
    @catherinethomasngowi3341 6 ปีที่แล้ว +3

    aiiyaaaaa inanipa wazimi apo mwisho daaa

  • @scarcembawala1076
    @scarcembawala1076 6 ปีที่แล้ว +1

    Dhaa! Mnatisha asee 🔥🔥

  • @mittemainc
    @mittemainc 6 ปีที่แล้ว +2

    Mko vizuri sanaaaa

  • @sarahsamwel3019
    @sarahsamwel3019 6 ปีที่แล้ว

    Mshenzi mkubwa weeee😁😁😁😁

  • @aishaelias986
    @aishaelias986 6 ปีที่แล้ว

    mnanisengenya hahahhabababa😂😂😂😂😂

  • @Millidady
    @Millidady 6 ปีที่แล้ว

    uyo victor namkubal sana comdy yake

  • @rashelemmbumba3586
    @rashelemmbumba3586 6 ปีที่แล้ว

    Napenda San watch movies zako

  • @lunyabamapesa5575
    @lunyabamapesa5575 5 ปีที่แล้ว

    napenda unapomalizia Ayaaaa

  • @teamwcb7728
    @teamwcb7728 4 ปีที่แล้ว

    Mke hyo kwio 😂

  • @bidalahamadi5615
    @bidalahamadi5615 6 ปีที่แล้ว +2

    I really lyk your comedies that's y i subscribed your channel......
    Mungu akuongezee zaidi ya hapo

  • @jifunzeteknolojia9304
    @jifunzeteknolojia9304 6 ปีที่แล้ว

    Nafaa nikuoe wew dadaa

  • @catherinjose6175
    @catherinjose6175 6 ปีที่แล้ว +1

    inaonekana anautani ehee malahaba ujambo binti hahahahahaha!!

  • @estheronyoro1452
    @estheronyoro1452 6 ปีที่แล้ว

    Uyo ndio angefungwa kamba 😁😁😁😁

  • @samsonkaboko5137
    @samsonkaboko5137 6 ปีที่แล้ว

    Huyo kichaa sasa mpaka kapona

  • @ibrahimmasinga4990
    @ibrahimmasinga4990 6 ปีที่แล้ว

    daaa hamniachagi salama van victor Msenge ww

  • @jensennashon6147
    @jensennashon6147 6 ปีที่แล้ว +1

    Kama oua yammbwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @faridasaid3818
    @faridasaid3818 6 ปีที่แล้ว +1

    nawapenda Sana😂😂😂

  • @kakafranc8913
    @kakafranc8913 6 ปีที่แล้ว

    Nyinyi hataliii ila mnakawia sana kutoa

  • @reginacharles6689
    @reginacharles6689 6 ปีที่แล้ว +1

    hahahaaa uwiii mbavu zangu mama mkwe eti binti

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 6 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa hapo mwishoo,ati kwani amesemajeee

  • @bintibinti9620
    @bintibinti9620 6 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂mbavu zangu mie😂😂😂😂😂😂😂

  • @tausiselemani5412
    @tausiselemani5412 5 ปีที่แล้ว

    Ahahaaaaaaa I luv u mmmmmwwwaaaaaaaah pacy

  • @sajidabakari9809
    @sajidabakari9809 6 ปีที่แล้ว +12

    hahahahahah
    4:00 "muone alivyo mweusi kama pua ya mbwa"
    4:23 "ntakupiga makofi mpaka kilimi kiruke nje"
    mnajua kutuvunja mbavu kwakweli

    • @lovelynnadia7238
      @lovelynnadia7238 6 ปีที่แล้ว +1

      bae geedat 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hapo sasa ndo pamenifanya nacheka mpaka basi nakwambia daaah hatari .

    • @sajidabakari9809
      @sajidabakari9809 6 ปีที่แล้ว

      saaana @Florence

    • @rehemaradhid5716
      @rehemaradhid5716 5 ปีที่แล้ว

      😃😃😃

    • @mzimachubwa2850
      @mzimachubwa2850 5 ปีที่แล้ว

      bae geedat uuuw 😂😂😂utaniua mm

  • @francischiko3752
    @francischiko3752 6 ปีที่แล้ว +4

    😃😃😃😃uyu kiziwi jau sana

  • @kassiankomba4261
    @kassiankomba4261 6 ปีที่แล้ว

    Uyu kiziwi ni majanga

  • @rashelemmbumba3586
    @rashelemmbumba3586 6 ปีที่แล้ว

    Yani ww atariiii kweli

  • @ashminaabdullah5626
    @ashminaabdullah5626 6 ปีที่แล้ว

    Mmmh shida kweli sukari iyo a mnyamani au uwanja wa fisi mmmmh

  • @sinyoritaqueen7435
    @sinyoritaqueen7435 6 ปีที่แล้ว

    Hhhhh so funny kweli duuu

  • @ndimiamon7425
    @ndimiamon7425 6 ปีที่แล้ว

    Mtakuja kuniua si kwakucheka huku😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mashekomussa2420
    @mashekomussa2420 5 ปีที่แล้ว

    Duh ni shida

  • @sabriaalzadjali9328
    @sabriaalzadjali9328 6 ปีที่แล้ว +8

    M napnda hpo kwenye mshenzi mbwa wee 😂😂😂🙌

  • @happykalangali1169
    @happykalangali1169 6 ปีที่แล้ว

    Hahaaaaaa noma mbwa weweeeeee

  • @mozamansour7912
    @mozamansour7912 6 ปีที่แล้ว

    Jamani huyu dada atatumiza mbavu😂😂😂

  • @yonnermatutu1373
    @yonnermatutu1373 6 ปีที่แล้ว

    duh kiziwi kwel chiz

  • @mbozder2748
    @mbozder2748 6 ปีที่แล้ว

    huyu victor na tusi lake😂😂😂😂😂😂😂mbwa mshenzi mkubwa ntakutia kichwa ulimi utoke uo😃😃😃😃😃😃kkkkkkk

  • @fadhilimwasoni1426
    @fadhilimwasoni1426 6 ปีที่แล้ว +1

    HAHahahahahaha ety unapendaga mayatima...

  • @jahkeyrenson4400
    @jahkeyrenson4400 6 ปีที่แล้ว +12

    Second comment and im laughing out loud like crazy😂😂😂😂 hujambo mambo😂😂😂 marahaba victor u gonna kill me i swear .....

  • @queenmariana5887
    @queenmariana5887 6 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂sina mbavu😅😅😅😅

  • @annakahisi6305
    @annakahisi6305 6 ปีที่แล้ว

    marhaba hujambo bint

  • @metrodemo7746
    @metrodemo7746 5 ปีที่แล้ว

    Nimekubali unamshinda Ebitoke

  • @goldengilbertmunge4456
    @goldengilbertmunge4456 6 ปีที่แล้ว

    Kwani mmeona nini....😁😁😁

  • @nassralmaawali9163
    @nassralmaawali9163 6 ปีที่แล้ว

    Du haya baaana mmetisha

  • @OmMct
    @OmMct 6 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂yani nyie khaa

  • @asmahusni1905
    @asmahusni1905 6 ปีที่แล้ว

    😄😄😄😄😄😄😄😄aiyaaaa

  • @tanzaniaoomi6946
    @tanzaniaoomi6946 6 ปีที่แล้ว +1

    Navunja mtu😃😂😂😂😂

  • @rukiaally4688
    @rukiaally4688 6 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂victor hua ananichekesha jmn

  • @MamMam-wt4yw
    @MamMam-wt4yw 6 ปีที่แล้ว

    hahahah..mbavu zangu mniachie

  • @saudatumaini1485
    @saudatumaini1485 6 ปีที่แล้ว +1

    duuuh nacheka hadi tumbo linauma jamani victor

  • @ريناء-ك5و
    @ريناء-ك5و 6 ปีที่แล้ว +1

    Nice😀😀😀😀

  • @fatumahamisi1970
    @fatumahamisi1970 6 ปีที่แล้ว +4

    Mmmmmh noma sana nimecheka mpaka nimejikuta mkojo unatoka

    • @kuluthumu4125
      @kuluthumu4125 6 ปีที่แล้ว

      😁😁😁😁anapenda mayatima

  • @annabernadi8381
    @annabernadi8381 6 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂mbavu zangu jamni

  • @rizikisebe9917
    @rizikisebe9917 6 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂kazi hipoooo