"MZIGO"Movie sehem Ya2 / Starling : Tinwhite / Ringo / Masantula

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 155

  • @kamalissabig4631
    @kamalissabig4631 2 ปีที่แล้ว +14

    Tin white yupo vizur Sana kwenye Utunzi wa Story

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 ปีที่แล้ว +5

    Jamani msiachane tena kuigiza pamoja Ringo na Tiny maana huwaga mnanifurahisha sana Mungu awabariki ndugu zangu

  • @saidbaya9227
    @saidbaya9227 2 ปีที่แล้ว +3

    Tin white hongera kwa filamu zako za kuelimisha

  • @derrickniyongabo8981
    @derrickniyongabo8981 2 ปีที่แล้ว +8

    Goooooood saaaan👌👌👌🥰🥰🥰

  • @zainamiraji3727
    @zainamiraji3727 2 ปีที่แล้ว +2

    Ahsantee Sana tin white tunaomba sehem ya 3 jamniii

  • @wakusinitv
    @wakusinitv 2 ปีที่แล้ว +7

    HUYU DADA AMEANZA KUJICHUBUA 😁😁😁😁

  • @lukasmichael2813
    @lukasmichael2813 2 ปีที่แล้ว +6

    Nice story I appreciate 🤩

  • @austinemandela339
    @austinemandela339 2 ปีที่แล้ว +7

    Mapema...Big up tin white

  • @albetostafody7743
    @albetostafody7743 2 ปีที่แล้ว +2

    Good 👏👏 usitucheleweshe basi bro

  • @sharifaelinest2661
    @sharifaelinest2661 2 ปีที่แล้ว +1

    masantula bhana ety amelala walii manuuu😂😂😂😂😂🙏

  • @fredysanga3205
    @fredysanga3205 2 ปีที่แล้ว

    tin unajuh sana kuandika story nakubali sana

  • @jaheytz645
    @jaheytz645 2 ปีที่แล้ว +3

    Namtauletaa tuu😂😂😂,gonga like

  • @enockbelladimoso1644
    @enockbelladimoso1644 2 ปีที่แล้ว +2

    Daaaa bonge ya story Yan

  • @danielwaritu9029
    @danielwaritu9029 2 ปีที่แล้ว

    Amini kwamba Number D mpka saiz nawafatilia vyemaà

  • @kelvinfromencio2507
    @kelvinfromencio2507 2 ปีที่แล้ว +4

    Story tamu Sana,achieni sehemu ya 3

  • @asmatabdallah1368
    @asmatabdallah1368 2 ปีที่แล้ว +2

    Ponoo chaliiii manu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Na tusi maple twako 👌hapo ume lala huji elewiii 😂😂😂😂Nyie masatala🙌🙌

  • @JohnsonMnkondya-g9t
    @JohnsonMnkondya-g9t 11 หลายเดือนก่อน

    Daah uo mzigi hatar sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤

  • @alexandrebucumi7376
    @alexandrebucumi7376 2 ปีที่แล้ว

    Masantula noma kabisa hayo macho yako yananichekesha sana.

  • @ashaabdalla924
    @ashaabdalla924 2 ปีที่แล้ว

    Yaani masantula mbona unatutesa kwa mzigo wako😄😄😄😄

  • @husseinmohamed9583
    @husseinmohamed9583 2 ปีที่แล้ว +2

    Thanks Tin white nakupenda sana

  • @agnesmakoa7872
    @agnesmakoa7872 2 ปีที่แล้ว +2

    😀😀😀😘tin is my first choice I like it

  • @isaarfares211
    @isaarfares211 2 ปีที่แล้ว +1

    Kume kucha sasa ringo huyo apo 👉😁😁

  • @dieudonnekabwe3290
    @dieudonnekabwe3290 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi huo mwana mke aliye cheza kama mke wa Tin white ndo ana niuwaka kbs nampenda huo mdada sana it’s u boy from 🇺🇸

  • @rashidjuma9774
    @rashidjuma9774 2 ปีที่แล้ว +10

    Bonge la series Wallahi, leteni vitu tu enjoy big up tin white and all group in general

  • @maryammwinyi932
    @maryammwinyi932 2 ปีที่แล้ว +6

    Nyie masantula n macho yke mmemuona🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @maasaimkisii9089
    @maasaimkisii9089 2 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂 *KALI SANA* 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @saimonmatanga7303
    @saimonmatanga7303 2 ปีที่แล้ว +1

    Ila tatizo mke wa mkinga ayupo sirious kwenye kuigiza sijui ndo anajifunza anavyoigiza anaonekana kama kweli anaigiza ayupo kwenye uharisia

  • @salmamohd8202
    @salmamohd8202 2 ปีที่แล้ว +1

    Ila tini mm nakukumbush mapacha hukutumalizia aloo dah ulituacha pabaya sana

  • @mabwetebrown5432
    @mabwetebrown5432 2 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂eti si wenyewe ambulance

  • @scholahmwelange1406
    @scholahmwelange1406 2 ปีที่แล้ว +1

    Gari ya nn wakati Sisi ndiyo ambulance 🤣🤣🤣

  • @nananandy8030
    @nananandy8030 2 ปีที่แล้ว +2

    Tuwekee aladin😥😥😥😥😥

  • @sulaymanwaziri4455
    @sulaymanwaziri4455 2 ปีที่แล้ว +2

    Dume la pwani Dah!!! Sauti yako iko wapi ile ya Aladin

  • @TalkhubPodcast
    @TalkhubPodcast 2 ปีที่แล้ว +1

    Eti JOB HUNDRED 😂😂😂😂❤️🔥🔥

  • @holylostborn
    @holylostborn 2 ปีที่แล้ว +5

    Jobo 💯 😂😅❤️❤️

  • @hadijasuleiman3856
    @hadijasuleiman3856 2 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣🤣mwizi wngu uyooo amelalaaaaa

  • @patrickvove
    @patrickvove 2 ปีที่แล้ว +1

    “Muzigo wangu huyo 😆😆”

  • @moodymuzungu5158
    @moodymuzungu5158 2 ปีที่แล้ว +5

    Mkubwa Tin hujawah kufail Kaka big up na timu yako

  • @happiedeprincess5147
    @happiedeprincess5147 2 ปีที่แล้ว +2

    Mmmmmh mzigo wangu huo na mtauleta tuuu🤣🤣🤣

    • @jamesfanuel4595
      @jamesfanuel4595 2 ปีที่แล้ว

      Hahahahaha nimecheka Sana yaani eti mzigo wangu huo yaani kijiji chote wenye Tamaa watazimia mpaka wakome

  • @esnarshans8877
    @esnarshans8877 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂adi raha wallah

  • @jumamnambangule1957
    @jumamnambangule1957 2 ปีที่แล้ว

    Duuh,jmn eti mdogo wake hamza na vilemba hiv...hii nch ngum san😀😀😀

  • @saidbaya9227
    @saidbaya9227 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa wenye tabia za mkoba tiba kumbe tiba ni dozi

  • @jastenlyimo9176
    @jastenlyimo9176 2 ปีที่แล้ว

    Dagobet ongea style yko ya dume la pwan ndo nzur

  • @keneddystephano4242
    @keneddystephano4242 2 ปีที่แล้ว +1

    hii tiny umeua mwanangu🤛👊

  • @falmaliciousfoods4638
    @falmaliciousfoods4638 2 ปีที่แล้ว +7

    Thanks again 🥰🥳❣️we are just waiting for next episode 😘 ❣️ 😀

  • @sedeckiasiratuzi9757
    @sedeckiasiratuzi9757 2 ปีที่แล้ว

    Mzigo umeleta shida😂😂

  • @asmatabdallah1368
    @asmatabdallah1368 2 ปีที่แล้ว

    Nyie tinwat ety majani ya mkulupuka tu mkulupuwe😂😂😂🙌

  • @stefanosanga3827
    @stefanosanga3827 2 ปีที่แล้ว

    Tin white bhna wew nibaraha xana🤣🤣🤣

  • @sixbetussebastian7990
    @sixbetussebastian7990 2 ปีที่แล้ว

    Aisee nibonge la funzo kwetu vijana aisee

  • @yusuphmohmedy9534
    @yusuphmohmedy9534 2 ปีที่แล้ว +1

    kazi nzuriiiiiiiiii

  • @jumakandy2075
    @jumakandy2075 2 ปีที่แล้ว

    Good tinwhte Ringo masantula safi sana

  • @allymwinyi8588
    @allymwinyi8588 2 ปีที่แล้ว

    Mkinga napenda ukiigiza sauti ya kitanga nakukubali zaid inanoga

  • @ajgsjduwjsuh2978
    @ajgsjduwjsuh2978 2 ปีที่แล้ว

    Mutapata taabu sana na huo mzingo

  • @mulababaz7122
    @mulababaz7122 2 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana mjomba

  • @AbuuRupia-bl4me
    @AbuuRupia-bl4me ปีที่แล้ว

    Nzuri ihiii safi

  • @omarysaleheommy9182
    @omarysaleheommy9182 2 ปีที่แล้ว

    Iko vzur sanaaaaaaaa

  • @hadijasuleiman3856
    @hadijasuleiman3856 2 ปีที่แล้ว +1

    Nkbl San tin what penda Sana story zako

  • @ibraimomaulana3087
    @ibraimomaulana3087 2 ปีที่แล้ว +2

    Mzigo mzigo kweli 😹😹

  • @ashadaudynjokii3636
    @ashadaudynjokii3636 2 ปีที่แล้ว

    Duuh mambo ya mzigo uwo watu wanakwenda namaji 🤣🤣🤣🤣

  • @davidmaige2563
    @davidmaige2563 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi 100 😀😀😀😀🤣🤣

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 2 ปีที่แล้ว +4

    🔥❤️🔥

  • @ericnimpojeje9432
    @ericnimpojeje9432 2 ปีที่แล้ว

    Ninawapenda sana

  • @shafydauda7460
    @shafydauda7460 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa wakikutana rigo na martn pananoga

  • @heneryofficial638
    @heneryofficial638 2 ปีที่แล้ว

    😁😆😆🤣nchi ngumu ihiii
    Mwenyekit utaniua k

  • @rehemarachide4085
    @rehemarachide4085 2 ปีที่แล้ว +3

    Wa kwanza leo woooyoo🇲🇿♥️

    • @loganpoul
      @loganpoul 2 ปีที่แล้ว

      Utakuja kufata mshahara mwisho WA mwezi

    • @rehemarachide4085
      @rehemarachide4085 2 ปีที่แล้ว

      @@loganpoul 🤙🏻🤙🏻🤣

    • @loganpoul
      @loganpoul 2 ปีที่แล้ว

      @@rehemarachide4085 iko Saudia vipi

    • @rehemarachide4085
      @rehemarachide4085 2 ปีที่แล้ว

      @@loganpoul nice

    • @loganpoul
      @loganpoul 2 ปีที่แล้ว

      @@rehemarachide4085 nimekuuliza ww uko Saudia

  • @loganpoul
    @loganpoul 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamani sauti mbona kwangu haitoki

    • @hemedwalid6570
      @hemedwalid6570 2 ปีที่แล้ว

      sm yangu mbovu wew😂😂😂😂

    • @hemedwalid6570
      @hemedwalid6570 2 ปีที่แล้ว

      sm yako mbovu wew😂😂😂😂

  • @bettyojiambo8660
    @bettyojiambo8660 2 ปีที่แล้ว

    Kijiji kizima kitazimea sababu ya Tama vijana waache taama mwenye kiti ingekesha watu wako bure mtaumea sababu ya mzigo

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 ปีที่แล้ว +1

    Mastantula umeuw duh

  • @m404msigara7
    @m404msigara7 2 ปีที่แล้ว +1

    Mdg wake hamza 😄au cio

  • @Tanzee301
    @Tanzee301 2 ปีที่แล้ว +1

    Ume tisha sana brow

  • @ibraimomaulana3087
    @ibraimomaulana3087 2 ปีที่แล้ว +2

    Kazi 100 😹😹😹🤣🤣🤣

  • @jordanjoshua3881
    @jordanjoshua3881 2 ปีที่แล้ว +1

    Mkinga sauti yako ya kwenye aladini ilikupendeza kwel

  • @ballylion6726
    @ballylion6726 2 ปีที่แล้ว +1

    Olanda kasha jichubuwa kbsa

  • @aminadzengo572
    @aminadzengo572 2 ปีที่แล้ว

    Olanda unejiaribu na mkorogo

  • @annamlyuka6284
    @annamlyuka6284 2 ปีที่แล้ว +2

    Very niceee

  • @maikombuba1572
    @maikombuba1572 ปีที่แล้ว

    Kudadek mzigo balaaa

  • @alphamwasakyen7696
    @alphamwasakyen7696 2 ปีที่แล้ว +3

    First mimi hapa😍

  • @zuudeshy4591
    @zuudeshy4591 2 ปีที่แล้ว

    JOB HUNDRED 😂😂😂😂😂

  • @husseingabo5497
    @husseingabo5497 2 ปีที่แล้ว

    Mko vizuri nawakubali

  • @wakusinitv
    @wakusinitv 2 ปีที่แล้ว +1

    Jobuhandredi😂😂😂😂

  • @elishagilbert3458
    @elishagilbert3458 ปีที่แล้ว

    😂😂😂 tin bwaana

  • @docteurjames4858
    @docteurjames4858 2 ปีที่แล้ว

    big up saaana team white

  • @alfeomkoba7424
    @alfeomkoba7424 2 ปีที่แล้ว

    Mke wangu unachemba sana

  • @davidmaige2563
    @davidmaige2563 2 ปีที่แล้ว

    Ila tin unajua kutuchezesha akili zetu haya bwana safar inaendelea

  • @mukebiidiramazani3102
    @mukebiidiramazani3102 2 ปีที่แล้ว

    Yani kazi 100 yeye niwakuokotana namizoga ?🤣🤣🤣🤣🤣🤣✌️🇨🇩

  • @officialsdominikecomedy664
    @officialsdominikecomedy664 2 ปีที่แล้ว

    Hhhh yani hii movies inanipa raha sana

  • @barakakusa7606
    @barakakusa7606 2 ปีที่แล้ว +1

    Job100

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 2 ปีที่แล้ว

    good movie

  • @sherryeverest2522
    @sherryeverest2522 2 ปีที่แล้ว

    Mkurupuka 😃😃😃

  • @ismailmneka2967
    @ismailmneka2967 2 ปีที่แล้ว

    Tin master

  • @mcdanta6919
    @mcdanta6919 2 ปีที่แล้ว

    Whti Fundi sana

  • @kizaanthony9162
    @kizaanthony9162 2 ปีที่แล้ว

    Anasimama Kama mdogo wake Hamza

  • @saidikhalipha9710
    @saidikhalipha9710 2 ปีที่แล้ว

    Nilikuja tu kuangalia kama imetoka alafu ndo bdae nirudi japo sijachelewa sna

  • @ashirawaziri3195
    @ashirawaziri3195 2 ปีที่แล้ว

    Jamani mzigo haaaaa

  • @waameshowaphe532
    @waameshowaphe532 2 ปีที่แล้ว

    Ahsanteni Sana team white

  • @mtaalamwamambo2099
    @mtaalamwamambo2099 2 ปีที่แล้ว

    Masantulaa😂😂😂

  • @aliabdallah8908
    @aliabdallah8908 2 ปีที่แล้ว

    Mzigoooo🤣🤣

  • @purityneema218
    @purityneema218 2 ปีที่แล้ว +1

    Asanteni sana kwa muendelezo nawapenda 🇰🇪

  • @issaamirishenkarwa3391
    @issaamirishenkarwa3391 2 ปีที่แล้ว

    Mzigo umeleta mambo

  • @japhethelijah4252
    @japhethelijah4252 2 ปีที่แล้ว

    Abrogochoooo🤣🤣🤣🤣

  • @ibbu-tz
    @ibbu-tz 2 ปีที่แล้ว

    Ringo ukiwa na hii sauti ni poa sana. Kuliko ile nyengine ya katuni