Kijana auawa baada ya kumjeruhi afisa wa polisi
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
- Kijana wa miaka 22 ameuwawa na maafisa wa polisi katika eneo la Navakholo kaunti ya Kakamega baada ya kumjeruhi afisa mkuu wa polisi wa eneo hilo. Ian Wanjala aliyekuwa ameripotiwa kwa kutishia kumuua mama yake alizua vurugu na kuwalazimu maafisa wa polisi kufika nyumbani kwao ambapo anasemekana kumkata na kumjeruhi afisa mkuu kabla ya kufyatuliwa risasi na kuuawa.
Mtoto mbaya na wako na mzuri pia niwako sasa tufanyeni subra na tuwa obeeni ❤❤
Yote tisa,la kumi tulee watoto wetu vizuri tusiwadekeze sana
Kazi safi officer
Bro huwezi jeruhi Askari akiwa na bunduki......bundiki sio ya ngombe ...mwili ni nyama ya risasi rip
Hapo sasa my dr
He cannot RIP!!!.. infact he died in SIN 😒😒
@@bellaki4392 it's in peace because he cannot fight anymore
Umeokolewa na tena unalalamika.
Huyo angeuwa watu wengi sana heee safari njema
haya pia wewe utazaa kizazi chako nakihurumia, so sad on your views. May you find peace.
Mm niki na kijana same age..alianza kuvuta bhangi...akiwa mdogo nimejaribu kila juhudi but hai ku work ..then akashikwa 2022 Dec juu ya kuiba kuku na vita..mlalamishi alikuja kotini siku katha...then akawacha..sasa alitoka ako nje...nikithani amechange woie alikuja anataka kunipiga na akaiba simu mbili n pesa...hizi madawa sijui ziko na majini
Waaaaaaah,pole sana mzazi mwenzangu,Mungu awaongoze watoto wetu
Pole mummy go down to your knees he will change😢😢
Am sorry
Tafuta njia umpreke rehab .there he will change
Mwitie polisi pia😂
Mother's love never fades.. That's why she can't help it but cry for her departed child😢 pole mamaa soo bad he turned to be such ruthless kid
Respect your mother
Dear youths, drugs shall never take you far than early grave, lesson to others of same calibers
Saa mbona unawekelea drugs..Kuna wenye wanatumia and they are successful and cause no drama👊🏾
@@b.i.d19cwaambie ukweli watu wanazaliwa na akili zao mbaya wanaekelea drugs
I hope wanakusikiza vizuri
Not right at all. Wewe ni nani unamua wazimu aende do thing you are normal. Kila msee ni chizi but ni different levels. Alafu munatuingiza box. aaayyyyi pia nyinyi Citizen mbona munanyamaza what is the truth.?
😢 CHILDREN HONOR YOUR PARENTS PERIOD.
Wajinga kama hawa ndo hufanya bangi isikue legal Kenya. Watu wako na mental problems but juu aliamua kutumia bangi, you blame the drug instead of the real underlying issue. Kenya tu ni ushamba every corner
Kila mahali ni wajinga wamejaa hii country bro 😂
Anempiga risasi ya mguu,wamshike ndio maana police akili yao ni empty brains in uniform
Wangelegalize Iano angekuwa alive sai
😂😂
Asie skia la mkuu..... kijana alikosa kujua Mama ndie Roho ya wanawe.go well
Sasa angeendelea kumuumiza askari kweli ndio aende ndani afugwe maisha wacha yeye atahulie hio ilimtakia
OCS Haundi zoezi kwani?
imagine
Ukichelea mwana kulia utalia mwenyewe how does even the proverb go
Kabisa
Ninyi mlawekeleanga tu pangi,,shida yenu mkishika mtu kaa huyo mkiachilia atoke kufa ninmara moja heri jela kuna ulinzi
could have given the little boy 1 more chance,,ungeshoot tu mahali hatakufa
very true, that's what I thought too.
Yeah, but confronting police officer it's like playing with a lion ,hiyo bunduki si mwigo wa kukoroga ugali ,heshimu kirauni
Na angeua mamake ama ocs
HIYO NDIYO SOLUTION ACHE USHENZI
Mbwa muoga akifika kwa kona anakusosi anapita nawewe.
wacheni ujunga citizen give us the truth. was it right choice was their a better way thing s could have turned out. Things are always in a loop.
Mbona hamkumpiga mguu
Our men in blue don't know how disarm someone
Uliza nyanyako
@@josephojwang5445most of the times it's easier to use the vocabs as disarm, such situations on needs quick response. We remember the officer whose finger was cut was already falling and jambo guy was on motion close to him.
Amekata Asikari vidole na wewe unaongea upuzi
Enda utuonyeshe kupiga mguu.
Great work Afande
😂😂😂😂
We ni mjinga tu😂😂😂😅
Mimi hata siwezi kuliya ningemzika kama ubwa
Hio ni bangi gani inakuonyesha ukimbize OCS na jembe
Gotha😂😂😂😂📌
So training ya police Ni ya nini
everything shoot, waoga, msee hana bunduki lakini una_shoot, aje. Uoga tupu.
Bangi ambaye😂
Rip bangi coz u are a live.
So stupid of our police hakuna place ingine ungegonga risasi ni kifua tu , how does that help that family .
Wewe pie n next
True
Waah,,the mom was just luck,he could have killed her pia,,
Wacha aondokee akavutie bangi mbele ...
Do know what you've written
Sounds like ma family dispute over land
tunakusetiseti😅 unadiblo
akufe tuu kama watu hawana amani kwa boma
Sasa huyo ndoo angekua nguzo ya mamaake kesho hamjui
true.
Hivi ndivyo kufunzwa na ulimwengu huwezi fanyia mzazi kinyume na kiungu ukose kupatana na mauti
Kabisa
The youngster was severely ill, he was fighting demons within his self and was failed by his loved ones. Mental illness is plaguing our teens and as parents, it's our responsibility to ensure that we're able to determine the early detection and seek prompt treatment for our future generations.
on that Am with you.
Huyo alikua tu akufe
And the mother is still crying for a criminal 🤔🤔🤔
Mama pole , niuchungu bt umeokolewa juu sai ungekuwa maiti ,, acha kijana yako alale kwa salama
True
Kabisa sz
Huyu Ata anastahili kuwa alikufa kitambo
Ata huyo mama inafaa awe amefurahi😅sioni kitu analia
What's wrong with kakamega, juzi moi aliuawa na fahari
Moi alikufa juzi Kakamega?! 😱😂
Yeah yule wa khalware@@itsTheTruthTeller
@@fredrickkevogo khalware?!
@@itsTheTruthTeller yeah
Wazi champe 😂👍🏾
Alipata chenye alitaka
Hapo hakuna kesi.kazi ya fire arm ni kuua mhalifu.huwezi kata askari ubakishwe.self defence.alikuwa aue huyo askari
Good job police
Haki wooiyie Kenya yetu, Watoto wetu jameni (Mihandarati
Pole afande
The wages of sin is death.
Is hell
that bible you are reading is the problem, justifying killing, Jerusalem killings by god which yesu alitabiri in the bible is justified. That's why your mind is such. We are still colonized in they mind. So sad. Hope you find peace.
Nikweli damu nimzito kuliko maji yani alikwa akijaribu kuwa mamake nasai ameuliwa na bado mamake anamlia
angeuwa watu kijiji waishe, including herself. Lia tu lakini afadhali aende kuliko kuuwa watu wengine
Waaah 😢
Poleni ven though it was your fault
Police ya kenya sio ya Nigeria my friend hawatishi ni kukufieka mara moja😅😅😅naonanga police ya Nigeria wanashindwa kuarrest hata mwanamke, anyway asie funzwa na mama ufunzwa na ulimwengu, RIP easier kijana
2:53
Mama tulia acha auliwe hakuna mtu anaetishia mzazi akapona hata biblia imesema
Congratulations to the police officer
We dont want such people in the community
Bona ajeruhi police na ni mamake airport akufe setani
Biblia inasema yeyote mwenye atakaye piga mamake ama kumtusi afe
Watoto wachapwe viboko!
Kishash kile kunatukuzwa na youths
@22 yrs unatisha mpaka polisi na mama mzazi surely?????
Mbona bangi ni ya vita na kuuwana tu?😂😂😂 swali tu.
Stop changing statements whn young Man trying to Express his Imotional damage but parents of the boy take advantage of Weed why why Weed always Excuses to Home matters Parents give vijana mali yao to me the Boy Died like a Hero
Emotional*.... Hakuna "I" hapo mwanzo
😭😭😭😭😭 hii ndio iko Kwa boma letu Mungu nisaidie nitoe shosho Kwa boma
Watu wa kakamega bangi ni mingi
😂😂😂
Kibet ulijitakia aky ok rest in peace
Mama walia nini na ww ndie umewaleta na ulikuwa ushaonywa
mama analia police walimpiga mtoro risasi na ni yeye angekuwa marehemu mjarijiwa 🤔🤔🤔
Huyo askari na kiluhya wee ata mamake analia tena 😂😂😂
ni lazima muekelee bangi?🤣
Surely juuh bangi iezi jitetea😹😹😹😹
aki🤣🤣@@TwizzyNesta
Eti boma yake? Huyo alikuwa na wazimu.
A full police officer can't explain himself properly in Kiswahili or English?
Is his job to speak Kiswahili or English properly?
Kama ningekua huyo mama singelia😂
Kwanini unalia?😮
A mother will always cry..even if the son is a thief
Uezi elewa
Kuna Sheria kenya
Asiye funzwa na mzazi ana funzwa na dunia
Mimi hata siwezi lia
we should not mourn such people who are a nuisance to the society
We will mourn however we want. Even you are a bad person in other people's stories, same as me, same as everyone else
@@itsTheTruthTeller those are your opinions & doesn't involve me in any way whatsoever
@@kenyanboy7627 it's not an opinion actually it's a fact Ama you're one of those people who think you're the hero in every story? 😂 Bro I guarantee you wewe ni villain kwa story za wasee wawili watatu huku nje 😂
Malipo ni papa hapa duniani
Bro anefurahi zaidi😂
Alistahili hivyo tu
Watu wa Kakamega mtaniambia kama mtaacha bangi ama niwaletee maziwa kwa wingi....eti mara jamaa amelala na kuku mara mbuzi huo ni bangi tupu style up Guys!!
Hio sio bangi endelea kujidanganya 😂
Just imagine eti panga na jembe and you having a gun soooo so stupid thinking of killings instead of attesting kwani ungepiga risasi mguu ama mkono nini ingekufanyikia ????? Killing is it a solution who trained these guys ???
Wacha aende jongomeo, huko kwamfaa
@@mosesnjenga2767 aaaaiiii apana wangeweka either kwa mkono au mguu,hangerudia tena hiki kisanga,huyo police hakufanya poa.
Kazi safi police
Job well done to police
Ngondee ngondee
Huyo anafaa hivo
Ni kifo ilikuwa inamtafuta... safiri salama kijana
wacha chuki na mautt.
@@ThInGs-CrAzY-iy6dj tulia
22 yrs 😭😭😭😭😭😭
And this is what some Kenyans were voting for in the last general Elections.
They were voting for this guy? 😱Kwani ye ni mp ama mca?
Bhagi ni kitu mbaya sana I suspect he was using it not normal for a man to threaten his mother
Bhagi ni nini?
Laana iyo
Mbona mangoe bangi yake
Good job
Akufe
Bado mtaendelea kusema bangi si mbaya?
Eeeh sio mbaya considering that mimi nikona degree mbili, niko semi retired in my 40s after working in my career for 20yrs, nikona keja silipii rent, nikona time ya kuwa kwa life ya watoto wangu vipoa, nikona pesa naweza ishi vipoa bila stress mingi etc... Na nimekuwa nikivuta tangu nikue 14 years old... Sioni ni mbaya.
Don't judge bro, there's lots of us doing great out here and we've been smoking since primary
Rip😢😢😢😢
Good job police
Bangi ni mbaya
Bangi ni mzuri
Angekua mama muache afe ibilisi huyo😢
Why kil though
Coz their life was in danger
Kazi safi ..wacha aende jongomeo tu
Karma. shall follow you, you support such act and yet you don't know the whole story. Media inatuweka uoga, things are not what they seem to be. So sad.
@@ThInGs-CrAzY-iy6dj 💀it's okay