Wow hongereni sana sana nami niliimba Kwa muda mfupi nakumbuka wimbo wa "tuseme Nini basi ndg kuhusu haya maisha yetu" na wimbo wa Eliya na wimbo wa shambani Gethsemane shamba la wasiwasi" jamani mmenikumbusha mbali sana mbarikiwe mno🙏🙏
Historian nzuri. Nakumbuka moja ya nyimbo za Krismas ya mwaka 1989 uliitwa " Kumbukumbu ya Yesu kuzaliwa kwake" uliotungwa na Mwl. Kinuno. Kwa kweli Sosi brother umeupiga mwingi❤
Wow hongereni sana sana nami niliimba Kwa muda mfupi nakumbuka wimbo wa "tuseme Nini basi ndg kuhusu haya maisha yetu" na wimbo wa Eliya na wimbo wa shambani Gethsemane shamba la wasiwasi" jamani mmenikumbusha mbali sana mbarikiwe mno🙏🙏
Historian nzuri.
Nakumbuka moja ya nyimbo za Krismas ya mwaka 1989 uliitwa " Kumbukumbu ya Yesu kuzaliwa kwake" uliotungwa na Mwl. Kinuno.
Kwa kweli Sosi brother umeupiga mwingi❤
Mungu ni mwema
Safi jamani mmenikumbusha mbali mno. Mwl Sospeter Buseleke na mama mbarikiwe sn. Uongozi wa ATC mbarikiwe sn kwa wazo hili. Hakika Mungu ni mwema sn.
Story imekuwa fupi sana. Leteni part 2,3,4 na kuendelea