JINSI YA KUFUNGA NA KUOMBA KWA UONGOZI WA MUNGU | 26/02/2017
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2022
- Ibada Hii Ilifanyika Kanisa La Vuka Yordani Kisongo Waya - Jijini Arusha Tanzania na kuongozwa na @Bishop Elibariki Sumbe Mwangalizi na Askofu Mkuu Wa Makanisa Ya Grace Evangelical Church Tanzania (G.E.C.T)
Follow Our Social Media Pages :
/ bishopelibarikisumbe
/ bishopelibariksumbe
tiktok.com/BishopElibarikiSumbe
/ bishopsumbe
Website
Vukayordani.Org
LIKE | COMMENT | SHARE.
UBARIKIWE.
#VukaYordaniChurch #KisongoWaya #ArushaTanzania
Amina,,Mungu nipe neema ya kusamehe na kuachilia yote yalio moyoni mwangu
Mungu anisamehe kweli 🙏 Niko mukosefu mbele yake 🙏 naomba mungu anipe ile roho ya kusamehe wengine 😭😭😭
Amina mpendwa wng, Anae jishusha nae atapandishwa anae jipandisha nae atashushwaa, Mm pia nimwenye dhambi 😥😥
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu. Nimejifunza jinsi ya kufunga na kuomba kwa uongozi wa Mungu. Mungu nisaidie
Ninakushukuru MUNGU wa BWANA YESU KRISTO. Maana jambohili nisingekaa nilijue kamwe. Ila Leo hii umenijuz nakunielimisha Asante BABA. Umbariki nakumzidishia maradufu sikuzake zote kuhani huyu ulie mcaguwa .
Amen asante MTUMISHI wa MUNGU kwa haya mafundisho nimebarikiwa
Amen and amen baba God bless you so much
BWANA YESU nisadie niende kama upendavyo katika kufunga kwangu niongozwe na ww 🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🧎♀️🧎♀️🧎♀️🧎♀️🧎♀️🧎♀️🧎♀️
Amen and amen in the might name of Jesus christ
Mutumishi wa mungu naomba uniombee unishike kichwa yangu ñivunguliwena kimaisha natamani San nikuone namini mungu atanivany nkuone but nimependa San maubir uko imenigusa Ama 🙏🙏🙏
Amina… na kweli Mungu anisamehe Asante baba kwa mafundisho haya… kumbe ndio nina fungu na kuomba natoka bore maombi hayajibiwi na shangaa ni kwa nini😭😭😭😭 Yesu wangu eeee
Oooh hallelujah yesu
Nashukuru kwa uongozi ya maombi kufunga ...naMungu kunisaidia nijue kuomba
Nawasemehe wote ambao walio nikosea na kuumiza moyo wangu
Amene amene amene amene 🙏🙏🙏😘👌❤️😘👌❤️😘🙏 amene amene
Naomba mungu anielekeze na mim kwa kufunga na kuomba kwa maelekezo yake amina
Amen and amen baba
Amen and amen
Amen
Amen 🙏🙏🙏🙏
Nina amini ya kwamba kisha ihi maombi namiye nita shuhudiya 🙏
Amene amene 🙏
Mungu anisamehe sana,kwa kuchindwa.mtumichi Mungu akubariki ni saidie kwa maombi.
AMEN AMEN 🙏🙏
Amen baba kuturisha neno ra Mungu wetu wambinguni Amen🙏🙏
Amen 🙏 kubwa
Amen 🙏 Amen
Amene 🙏
Amen amen
🙏❤️
🙏🙏
Ameeeen
👌🙏🙏🙏
👌
Roho mtakatifu unisaidie
Ndiyo
Siku nyingi hatujapata ujumbe kwa njia ya Redio
Mungu enisamee kwayote Niko mgosefu
Amen and amen
Amen
Amen
Amen