Kwa kweli mheshimiwa waziri mkuu umetumia busara kubwa Sana, Mungu akujalie, Mimi siyo mfanya biashara Ila kwa kinachofanyika na watu wa TRA siyo sahihi.
Wtz wenzangu, hii ni siasa ya funika kombe mwanaharamu apite, hakuna jipya. Amkeni amkeni kwa pamoja tuondoe kero hizi kwa kudai katiba, katiba, katiba mpya. Acha kupumbazwa na majibu ya papo kwa hapo, ili mridhike.
Kama ni kweli Waziri mkuu tutakushukuru sana kama hayo unayoyasema yafanikiwe katika ukweli dhulma zimekuwanyingi mnadhulumu sana. Tunakushukuru sana kwa nguvu zako na huruma juu ya wananchi wako Asante sana sana.
Dahaa hiii Tanzania yangu wafanyabiashara wakugoma haraka selekali yangu inawakimbili ila ila mdereva wakisubutu kusitisha huduma tutaambulia vilugu tenaa na kuitwa wahuni hongela mheshimiwa waziri pamoja jopolako 🙏
Ahsante sana Mhe. Waziri Mkuu. Ombi langu moja, naomba uweke namba za simu ambapo utapata taarifa za moja kwa moja. Kuna uonevu na maumivu mnayoweza kuyashughulikia kwa haraka tu.
Waziri Ubarikiwe kutumiwa kuwatia moyo na Abarikiwe Zaidi Raisi kuwasaidia waone mwelekeo Tunaombea Nchi yetu MUNGU Afanye njia pasipo na Njia ktk Jina la Yesu Kristo Aliyehai MUNGU Tusaidie turehemuu tusamehe Watanzania.
Serikali mnauwezo wa kulisimamia suala hili likakaa sawa Imani yetu ni kubwa sana kwenu lakini kwa hawa mnaowaajiri kutufanyia makadirio wallahi bado mnatuumiza kwa kias kikubwa inafikia muda mpaka tunazichukia biashara zetu kwann laikin
Asante Baba waziri wetu umetusaidia Sana Mungu azidi kukupa hekima zaidi umeweka sawa wafanyabiashara .Tumekuelewa Sana Mungu ibariki Tanzania bariki viongozi wetu wote wape hekima na maarifa zaidi Amina.
Yaani hata huku mabarabarani sisi Madereva wa Malori ni kukaguli njia nzima na hao TRA iwe mchana au usiku, Hata Polisi na wamekuwa TRa hii ni kelo Maheshiwa Waziri mkuuul.
Mheshimiwa waziri pole na majukumu kila mafanikio ktk nchi yahitaji uongozi bora umakini na kumwogopa Mungu. Kuna uwezekano wa kukusanya Kodi bila kuleta maumivu kwa wfanyabiashara na wageni wetu kutoka nchi za nje. Binafsi waziri mkuu nakuamini sana Mungu akupe hekima nyingi nchi yetu isimame imara. Na watu wa nchi za nje waje kujifunza hapa kwetu.
Hotuba nzuri sana Mheshimiwa waziri mkuu.. Wanatuharibia nchi hii Tanzania is a hub to all landlocked countries lakini sisi wenyewe ndo tunaleta uharibifu.. This is bad.. Rushwa Rushwa Rushwa
Jamani kweli imekua sio ile Tanzania tulie itazamia yani 1.mzigo unapoingia bandalini Kodi kibao 2.kodi ya mapato 3.leseni 4.sevice levi 5.fire extinguisher 6.usafi wa taka kajenjere na usafi wa jengo 7.kodi ya flem 8.choo 9.ulinzi 10.umeme 11.wafanyakazi 12.ulinzi st 13.kodi ya pango la st 14. Kuna died stck 15.kodi ya egesho la gari 16. kibari cha TBS 17 Hapo Unasomesha shule watoto ambazo sio za selikari Hebu TRA nao wafungue duka kariakoo walipe hizi zote tuone kama wataweza!!!! Bila kuwa na umoja hii itakula kwetu Bado Tozo ya simu. MUNGU AWABARIKI watumishi wawe na hekima
Asante Sana Waziri Mkuu, Umekuwa ukitatua matatizo ya Watoto wa MUNGU wetu, TRA ni Mbwa Mwitu, wa Mjini, Hawa Mbwa Wameuwa Kampuni, yangu ya Ulinzi, Kiponda Security Company Limited, kwa Kunfungia EFD Mashine, Nawalaani wafe Kama walivyoniuwa Kimapato, Mama Samia Hassan Suluhu Hoyee
Yaani Mimi naona hopo selikali ilihifazi yai Zima Ili lialibike, lifike muda muafaka walipasue makusudi halafu wapige deki. Dawa ya yote katiba mpya Tena ileeeee ya warioba.
safi sana.majaliwa kuna.vijamaa vikitoka kitambaa cheupe vinasumbua sana hv vidogo.vya tra na.wale jamaa wa tigo ffu asee wanasumbua.sana watu kutoka.nje ya tanzania wanakufukuzia.mpk vichochoroni
@@blasimassawe4379 ndguu siyo kero tuu zaidi yakero mtu anakukadiri mapato halafu unamuaambia mbona imekuwaa kubwa hivyoo anakuambia eti mbona mkipata faida hamtuambiaa halafu anakujibu hivyo hata biashara ilipo haijui ilipo.
Watanzania tumesha pumbazwa yaani siasa kidogo bila vitendo tayari anafaa kuwa raisi.... huyu bado sana hawezi kuwa raisi wa watanzania tunayemtaka maana hana alichokifanya hapo zaidi ya kuongea
Hongera sana Mh Waziri Mkuu. Pamoja na kwamba ni muhimu sana kulipa kodi na kwamba maelekezo hayo yanaweza yakawaponza wafanyabiashara kufikiri hawatakiwi kufuatiliwa kuhusu kulipa kodi. Elimu kwa walipa kodi ni muhimu ila ni muhimu zaidi kwa wanaokusanya kodi. Wanakua Miungu watu. Yaani akishakua ofisini anaamua kukuambia chochote ila mradi amepata kisingizio chochote cha kumbana mlipa kodi atakoma. Wafanyabiashara wanateseka sana nchi hii. Hata wale waliofanya kazi na Serikali pamoja na shida ya watu wa TRA serikali nayo hailipi madeni hasa yale ya zamani.
Nimekuwa unalalamika kila Siku, TRA wa Vingunguti, Wamenifungia EFD Mashine, na Kusababisha Wateja wangu Wote Kuacha Kampuni yangu, Kufa, Leo hii nateseka Mtaani, Watoto wangu Wanateseka, Mke wangu anatese, Wazazi wangu Wanateseka, Na TRA Mnatanua na Malaya Mabaa, na Kununua Magari ya Rushwa, MUNGU amewalaani na Mtakufa Kama Mbwa Koko.
Hasante waziri wetu kututia moyo mama pia ni mama Kuna kitu anakiona na mama ajawahi kushindwa kutatua chochote kinapoingia nyumbani kwake mama ni msikivu tu mama Samia hongeraaa tunakuelewa
Yaani ni RUSHWA tu, kila sehemu ni kukamua watu pesa....watumishi wengi wa serikali sio waadilifu, mpk siku zimwagike damu ndio mtaamka, ...mifumo ni mibovu sana , pesa za serikali watumishi wanatia mikono yao kirahisi sana, hii yote ni kwa sababu ya MIFUMO,...mbona nchi za wenzetu tunaona huku mifumo ipo stebo tu...hakuna huduma utaitaka halafu uombwe RUSHWA, hakuna...kila kitu kipo kwenye mifumo...! Kodi zinalipwa....parking zinalipwa , mtu akiwa mzembe mwenyewe atakutana na fine , bila bughudha wala purukushani mitaani..!..lkn kwetu ajabu , ni vurugu mitaani ....Kiukweli huu ni uzembe wa MIFUMO YA SERIKALI...! BANDARINI mtihani, huwezi kuleta mzigo ukafuta tu utaratibu ukachukua mzigo wako, yaani ni VIPENGELE kuzungushwa ili tu utoe RISHWA...!.. VIWANJA VYA NDEGE mtihani.....yaani unashuka Julius nyerere airport watumishi wanasimamisha watu wanapekua MABEGI bila sababu za msingi, MASHINE za ukaguzi zipo lkn ni RUSHWA tu, mbona viwanja vya ndege vya wenzetu havifanyi huo upekuzi bila sababu....yaani ni AIBU......Hebu rekebisheni MIFUMO YA KODI ...mtu alipe bila KUFUATILIWA MITAANI..!
Kamilishs TRA Kisha angalia tanesco maana sisi vijinini Bora wangebakiza ile 321000 za mjini kuliko ilivyo sasa kwani kama hujatoa zaidi ya million na kuendelea Hadi million 3 umeme utausikia kwa jirani hata wawakilishi wetu madiwani na wenyewe ni wa kwanza kuomba Rushwa
Yan I experienced this on my last landing..perfum 5 ananiambia haziruhusiwi natakiwa kulipia kodi..mtu unashuka pale umechoka hata uelewi..wanakusumbua yan unahesabiwa hadi viatu eti wanakagua kama ni vipya ..mambo ya ajabu mnoo
Mama alikosea mapema sana alivyoapishwa kua rais kitendo cha kusema yeye sio mkali kama aliepita alikosea kauli yake mbiu kazi iendelee ilikua nzuri. Bahati nzuri anaye waziri mkuu makini otherwise angepata wakati mgumu sana. Kuongoza nchi lazim uwe mkali ukicheka na nyani utavuna mabua
MIKODI USUMBUFU HUU UTARATIBU MUMEONA WAPI DUNIANI.... KUDAI RISITI MAJIANI..... MTIHANI MKUBWA NCHI ZA KIAFRIKA KWA NINI HATUTIZAMI WENGINE WALOENDELEA WANAFANYA VIPI KWENYE MIFUMO KAMA DUBAI.....😢😢
Strategic Solution ni kujenga masoko ya mipakani ili kulinda mapato ya serikali yanayokosekana kutokana na rushwa iliyokidhiri ya watendaji wetu. Masoko haya yatapunguza msongamano Kariakoo na kupeleka maendeleo sehemu mbalimbali za mikoa iliyopo mipakani.
Jamani kama inafikia unafanyika mgomo manaake kuna madudu hapo kwanini musiwachukulie hatua? Waziri mkuu kama mkuu kwann usifukuze kazi mt hapo ili wengine wakae kwa haki fukuzaaaa
Badhi ya mafisa tra wako kwennye magari ya landcruser nyeupe wakiwa na police wanakamata kila gari kukagua na kulazimisha kosa na kudairushwa ukikataa wanakupeleka lumumbaa wameiba sanaaa na kunyanyasa wafanyabiashara tumechokaa rushwa wamekua miungu macho kariakoo imekua kero kuganya biasharaa
Tunataka sheria na kanuni zinazoeleweka na kila mmoja afahamu wajibu wake. Ndio maana katiba mpya ni lazima. Nchi inayoendeshwa kwa matamko ni nchi ya ovyo isiyo na mwelekeo.
Kwa kweli mheshimiwa waziri mkuu umetumia busara kubwa Sana, Mungu akujalie, Mimi siyo mfanya biashara Ila kwa kinachofanyika na watu wa TRA siyo sahihi.
R.I.P MAGUFULI MUNGU AKULAZE MAHALI PEMA PEPONI TUNAKUKUMBUKA SANA
Ukiltaja hlo jina unatukumbusha machungu kwakweli yule aliiweza TZ japo hamna mkamilif
😭😭😭
Apumzike kwa amani bado tunamkumbuka sana😭
Hapa mimi sina neno hapa kaongea 👏👏👏👏
Waziri mkuu wetu mungu akutunze uwe na maisha marefu watanzania tunakupenda
Jaman tunamkumba sana rais wetu hayat mh magufuli mung uilaza mahali pema peponi
Kwanini usimkumbuke kikwete,au kipindi Cha awamu iliyopita hakukua Kwa kamata kamata?
naomba Mheshimiwa waziri mkuu 👑___2025___ugombee urais tutakupatiaa💯 na Mungu ukapatie maisha marefu baba🙏🙏
Kabisa mana hii Nchi kuongozwa na mwanamke ni shida tupu! Kukiwa akuna demokrasia
Hongera saaaaana Waziri wetu Mkuu, Mungu azidi kukubariki, Kongole kwa Serikali yetu❤❤
Wtz wenzangu, hii ni siasa ya funika kombe mwanaharamu apite, hakuna jipya. Amkeni amkeni kwa pamoja tuondoe kero hizi kwa kudai katiba, katiba, katiba mpya. Acha kupumbazwa na majibu ya papo kwa hapo, ili mridhike.
Kama ni kweli Waziri mkuu tutakushukuru sana kama hayo unayoyasema yafanikiwe katika ukweli dhulma zimekuwanyingi mnadhulumu sana. Tunakushukuru sana kwa nguvu zako na huruma juu ya wananchi wako Asante sana sana.
Hongera baba yetu waziri mkuu mpe salamu zetu mama yetu tunateseka saana
Salamu gani tena kwan yy haon?
@@zaharahassan-et7ui Hata mimi nashangaa!
Kwani mtaacha lini kujipendekeza?!!! Salamu hizo za nini?
Dahaa hiii Tanzania yangu wafanyabiashara wakugoma haraka selekali yangu inawakimbili ila ila mdereva wakisubutu kusitisha huduma tutaambulia vilugu tenaa na kuitwa wahuni hongela mheshimiwa waziri pamoja jopolako 🙏
PM u made my day.. hotuba imekaa vzriii... akili kubwaaa
Ahsante sana Mhe. Waziri Mkuu. Ombi langu moja, naomba uweke namba za simu ambapo utapata taarifa za moja kwa moja. Kuna uonevu na maumivu mnayoweza kuyashughulikia kwa haraka tu.
Waziri Ubarikiwe kutumiwa kuwatia moyo na Abarikiwe Zaidi Raisi kuwasaidia waone mwelekeo Tunaombea Nchi yetu MUNGU Afanye njia pasipo na Njia ktk Jina la Yesu Kristo Aliyehai MUNGU Tusaidie turehemuu tusamehe Watanzania.
Serikali mnauwezo wa kulisimamia suala hili likakaa sawa Imani yetu ni kubwa sana kwenu lakini kwa hawa mnaowaajiri kutufanyia makadirio wallahi bado mnatuumiza kwa kias kikubwa inafikia muda mpaka tunazichukia biashara zetu kwann laikin
Safi sana waziri wetu mkuu, hata huku Makete tumekupata na tumekuelewa, uishi milele: Mungu ibariki Tanzania Mungu wabariki wafanyabiashra
Huyu ndio rahisi wetu
Asante Baba waziri wetu umetusaidia Sana Mungu azidi kukupa hekima zaidi umeweka sawa wafanyabiashara .Tumekuelewa Sana Mungu ibariki Tanzania bariki viongozi wetu wote wape hekima na maarifa zaidi Amina.
Mmm!!!?
Hii nchi utafikilia haina rasimali wanawabana watoto wa maskini kwa kodi kubwa wakati nchi ni tajili sana
Mwamba angekuwepo tayari mkurugenzi wa mawasiliano ikulu angekuwa ametoa taarifa ya watu kadhaa kutenguliwa
Kufukuzwa kabisaaaa...
WAZIRI mkuu ni mtu makini sana,
Pia anaakili sana na anajua kuongoza nchi yetu,
Allah akupe umri mrefu uweze kutuongoza miaka mingi zaidi
Mungu akubariki waziri mkuu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 na ibariki Tanzania kwa ujumla wake
Amiin na ana sifa za kuwa rais wa Tanzania wengi tunataman ck awe rais
Huyu magufuri mtupu anajua jinsi ya kuongea na watu wake mama aachie ngazi majariwa apewe nchi
@@DavidMbwilo-qk1bzhuyu ni mzalendo na anaioenda Tanzania na anapenda watanzania kutoka moyoni…Wengine fake…
Mama akistafu,
WAZIRI mkuu unafaa kabsa kuwa RAIS wa nchi
Kwanini Asiwe lisdu wakati huyu na hao wizi ndio hao hao
Mzee Baba kaondoka na Makalaaa safiii sana Bado RPC na OCD na meneja wa TRA
huyu baba .namķubali sana anajielewa sana .💪💞
Mheshimiwa waziri mkuu, asante kwa ufafanuzi mzuuri juu ya changamoto kwa wafanya biashara wa kariakoo, Mungu IBariki Tanzania, Mungu Ibariki Africa.
Ubarikiwe waziri mkuu
@@KonaTarimo 1¹á ‐,
Safi sana Wazairi wetu kwa hotuba nzuri, hakika unakomboa Inchi yetu,
Mpaka leo ramadhani mtunzwe amekufa kabisa kibiashara na wewe waziri mkuu unalijua
Hata hospital kuna rushwa mbaya sana unaandikiwa malipo harafu ati malipo ya huduma zingine!!.
Hongera sana kiongozi kwa kutoa dira nzuri kwa wafanyabishara huo ndio uongozi mwenye hekima na hofu ya Mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Yaani hata huku mabarabarani sisi Madereva wa Malori ni kukaguli njia nzima na hao TRA iwe mchana au usiku, Hata Polisi na wamekuwa TRa hii ni kelo Maheshiwa Waziri mkuuul.
Mheshimiwa waziri pole na majukumu kila mafanikio ktk nchi yahitaji uongozi bora umakini na kumwogopa Mungu. Kuna uwezekano wa kukusanya Kodi bila kuleta maumivu kwa wfanyabiashara na wageni wetu kutoka nchi za nje. Binafsi waziri mkuu nakuamini sana Mungu akupe hekima nyingi nchi yetu isimame imara. Na watu wa nchi za nje waje kujifunza hapa kwetu.
Mungu akupe maisha marefu maana tunakutegemea mh waziri mkuu uje uwe mkuu wa nchi
God have a blessed mh Majariwa 🙏
Kiongozi pekee ninaye mwamini kwa sasa Tangu Magu aondoke..Mungu akutunze baba yetu ,waziri mkuu wetu,Unayeipenda nchi.🫡❤️🇹🇿🙏🏾
Hotuba nzuri sana Mheshimiwa waziri mkuu..
Wanatuharibia nchi hii
Tanzania is a hub to all landlocked countries lakini sisi wenyewe ndo tunaleta uharibifu..
This is bad..
Rushwa Rushwa Rushwa
Kariakoo hata ukipaki chombo cha moto ukiwa unanunua kitu faini tena sio ndogo bora lihame
Jamani kweli imekua sio ile Tanzania tulie itazamia yani
1.mzigo unapoingia bandalini Kodi kibao
2.kodi ya mapato
3.leseni
4.sevice levi
5.fire extinguisher
6.usafi wa taka kajenjere na usafi wa jengo
7.kodi ya flem
8.choo
9.ulinzi
10.umeme
11.wafanyakazi
12.ulinzi st
13.kodi ya pango la st
14. Kuna died stck
15.kodi ya egesho la gari
16. kibari cha TBS
17 Hapo Unasomesha shule watoto ambazo sio za selikari
Hebu TRA nao wafungue duka kariakoo walipe hizi zote tuone kama wataweza!!!! Bila kuwa na umoja hii itakula kwetu
Bado Tozo ya simu.
MUNGU AWABARIKI watumishi wawe na hekima
Asante Sana Waziri Mkuu, Umekuwa ukitatua matatizo ya Watoto wa MUNGU wetu, TRA ni Mbwa Mwitu, wa Mjini, Hawa Mbwa Wameuwa Kampuni, yangu ya Ulinzi, Kiponda Security Company Limited, kwa Kunfungia EFD Mashine, Nawalaani wafe Kama walivyoniuwa Kimapato, Mama Samia Hassan Suluhu Hoyee
Yaani Mimi naona hopo selikali ilihifazi yai Zima Ili lialibike, lifike muda muafaka walipasue makusudi halafu wapige deki. Dawa ya yote katiba mpya Tena ileeeee ya warioba.
Hili jembe mungu alipe ulinzi WA nguvu maana mafisad wazurumaji hawataki mazuri haya
Ukimsikiliza vizuriii majqliwa ni mtuu mwenye nia ya dhatii kutuvusha ilaa tqtizoo warambq asariii akijipindua tu nae qtakuwa kama tupac
😂😂😂
😅😅😅
safi sana.majaliwa kuna.vijamaa vikitoka kitambaa cheupe vinasumbua sana hv vidogo.vya tra na.wale jamaa wa tigo ffu asee wanasumbua.sana watu kutoka.nje ya tanzania wanakufukuzia.mpk vichochoroni
MUNGU Tusaidie turehemuu tusamehe Ongoza Maisha ya Watanzania na Utusamehe utuongoze utufundishe Ktk Jina la Yesu Kristo Aliyehai Barikiwa Tanzania
TRA KERO SANAAA NIMEFUNGA BIASHARA KWAJILI YAOO SINA HATA HAMUNAO HAOJAMAA HALAFU MAOFISINI UKIWAKUTA FULL DHARAU SANAAA..
Yaani ni kero
@@blasimassawe4379 ndguu siyo kero tuu zaidi yakero mtu anakukadiri mapato halafu unamuaambia mbona imekuwaa kubwa hivyoo anakuambia eti mbona mkipata faida hamtuambiaa halafu anakujibu hivyo hata biashara ilipo haijui ilipo.
Tutakukumbuka daima hayati JPM kama ungekuwepo yaaingetokea haya
Waliopo ivi sasa ni wapiga dili tu
Madam JPM ameenda kila janbo litatokea na bado
Huyu ndio Rais sasa anajua nini cha kufanya na wakati gani
Kafanya nini kikubwa kwani sikaongea tu
Watanzania tumesha pumbazwa yaani siasa kidogo bila vitendo tayari anafaa kuwa raisi.... huyu bado sana hawezi kuwa raisi wa watanzania tunayemtaka maana hana alichokifanya hapo zaidi ya kuongea
Yani katika mtu anaenibariki moyo wangu nimajaliwa pekee.
Mungu akubariki sana
Kweli Tanzania kuna Kodi kubwa sana sana, sidhani Kama kuna nchi Afrika mashariki kuna kodi nyingi kama Tanzania.
Maadili mabovu walaji wengi
Hongera sana Mh Waziri Mkuu. Pamoja na kwamba ni muhimu sana kulipa kodi na kwamba maelekezo hayo yanaweza yakawaponza wafanyabiashara kufikiri hawatakiwi kufuatiliwa kuhusu kulipa kodi. Elimu kwa walipa kodi ni muhimu ila ni muhimu zaidi kwa wanaokusanya kodi. Wanakua Miungu watu. Yaani akishakua ofisini anaamua kukuambia chochote ila mradi amepata kisingizio chochote cha kumbana mlipa kodi atakoma. Wafanyabiashara wanateseka sana nchi hii. Hata wale waliofanya kazi na Serikali pamoja na shida ya watu wa TRA serikali nayo hailipi madeni hasa yale ya zamani.
Yani umeongea mpaka
mheshimiwa wazr tunataka viongoz kama nyie.
hata huko mitaan kaduka hakana hata milion mbili wanakutaka ulipe kod.pango ya nyumba inasumbua umeme mpaka kuunga unga.kwel tuangalie upya
Jinsi hali yetu raia hyo 18% ya VAT ni wakati ishushwe zaid iwe chini ya 12%.na pia haya ya makadirio ni tatizo pia.
Na mkoa wa kagera tunanyanyasika na wafanyabishara wanatuambia kodi kodi kubwa
Mkuu hongerra sana hao watumishi wa wauma wanahitaji maamuzi magumu kama ya marehemu magufuli ndio watakuwa heshima kwa wakuu wa nchi
Nimekuwa unalalamika kila Siku, TRA wa Vingunguti, Wamenifungia EFD Mashine, na Kusababisha Wateja wangu Wote Kuacha Kampuni yangu, Kufa, Leo hii nateseka Mtaani, Watoto wangu Wanateseka, Mke wangu anatese, Wazazi wangu Wanateseka, Na TRA Mnatanua na Malaya Mabaa, na Kununua Magari ya Rushwa, MUNGU amewalaani na Mtakufa Kama Mbwa Koko.
Asante kiongozi kwa kujali kuja kuwasikiliza wananchi
anachembe chembe za anko magu eeeeeeeh baba kuna kopi yako uku😢
Imefikia mahali mfanya biashara ana ogopa tra kuliko kufa
😂😂
Kweli kabisaaa tunaogopa TRA kuliko kifu! Tunafanya biashara bila faida yoyote,
Hasante waziri wetu kututia moyo mama pia ni mama Kuna kitu anakiona na mama ajawahi kushindwa kutatua chochote kinapoingia nyumbani kwake mama ni msikivu tu mama Samia hongeraaa tunakuelewa
Tunakuamini sana wazir wetu mungu akusaidie sana mheshimiwa majaliwa
Mweshimiwa wazili mkuu respect nyayo za mzee
Yaani ni RUSHWA tu, kila sehemu ni kukamua watu pesa....watumishi wengi wa serikali sio waadilifu, mpk siku zimwagike damu ndio mtaamka, ...mifumo ni mibovu sana , pesa za serikali watumishi wanatia mikono yao kirahisi sana, hii yote ni kwa sababu ya MIFUMO,...mbona nchi za wenzetu tunaona huku mifumo ipo stebo tu...hakuna huduma utaitaka halafu uombwe RUSHWA, hakuna...kila kitu kipo kwenye mifumo...!
Kodi zinalipwa....parking zinalipwa , mtu akiwa mzembe mwenyewe atakutana na fine , bila bughudha wala purukushani mitaani..!..lkn kwetu ajabu , ni vurugu mitaani ....Kiukweli huu ni uzembe wa MIFUMO YA SERIKALI...!
BANDARINI mtihani, huwezi kuleta mzigo ukafuta tu utaratibu ukachukua mzigo wako, yaani ni VIPENGELE kuzungushwa ili tu utoe RISHWA...!..
VIWANJA VYA NDEGE mtihani.....yaani unashuka Julius nyerere airport watumishi wanasimamisha watu wanapekua MABEGI bila sababu za msingi, MASHINE za ukaguzi zipo lkn ni RUSHWA tu, mbona viwanja vya ndege vya wenzetu havifanyi huo upekuzi bila sababu....yaani ni AIBU......Hebu rekebisheni MIFUMO YA KODI ...mtu alipe bila KUFUATILIWA MITAANI..!
L
Kamilishs TRA Kisha angalia tanesco maana sisi vijinini Bora wangebakiza ile 321000 za mjini kuliko ilivyo sasa kwani kama hujatoa zaidi ya million na kuendelea Hadi million 3 umeme utausikia kwa jirani hata wawakilishi wetu madiwani na wenyewe ni wa kwanza kuomba Rushwa
Yan I experienced this on my last landing..perfum 5 ananiambia haziruhusiwi natakiwa kulipia kodi..mtu unashuka pale umechoka hata uelewi..wanakusumbua yan unahesabiwa hadi viatu eti wanakagua kama ni vipya ..mambo ya ajabu mnoo
Mama alikosea mapema sana alivyoapishwa kua rais kitendo cha kusema yeye sio mkali kama aliepita alikosea kauli yake mbiu kazi iendelee ilikua nzuri. Bahati nzuri anaye waziri mkuu makini otherwise angepata wakati mgumu sana. Kuongoza nchi lazim uwe mkali ukicheka na nyani utavuna mabua
"....kamatakamata inaua biashara. Inasababisha maduka kufungwa. Maduka yakifungwa kwa wakati ule pato la Serikali pia litapungua!"
Asante baba Mungu akupemaisha marefu
🎉😅
Huyu Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Mungu Amtunze sana
Hongera Sana Waziri Mkuu ,huo ndio Utetezi kwa Wanyonge,watu wanafanyakazi kwa mazoea;;!!
MIKODI USUMBUFU HUU UTARATIBU MUMEONA WAPI DUNIANI.... KUDAI RISITI MAJIANI..... MTIHANI MKUBWA NCHI ZA KIAFRIKA KWA NINI HATUTIZAMI WENGINE WALOENDELEA WANAFANYA VIPI KWENYE MIFUMO KAMA DUBAI.....😢😢
Nimingi sana mimi kwangu kuna mizigo toka 2021
❤wafanyabiashara tusikilize serikali tu ni sikivu viongozi wetu wko makini tyache propaganda za chuki tutafanikiwa tu tuwe watulivu tu mungu ni mwema
Asante,Waziri Mkuu, tusaidie baba
Kazi nzuri mh kasimu majaliwa
Hongera sana tungepata rais kama wazir hapa
Kp it up. Mheshimwa.
🤣🤣🤣🤣eti taarifa yenyewe unatoa wapi Mh Waziri mkuu umenivunja mbavu umenikumbusha mzee wetu JPM Mungu alaze salama huko alipo.
Usiwe nyuma waziri wetu wewe ni Mtu muhimu Sana kwa serekali hii wewe ndio kila kitu, niseme tuu usituangushe tupambanie
Tena rushwa ipo juu kuliko
Baba nakuamini safi sana
Strategic Solution ni kujenga masoko ya mipakani ili kulinda mapato ya serikali yanayokosekana kutokana na rushwa iliyokidhiri ya watendaji wetu. Masoko haya yatapunguza msongamano Kariakoo na kupeleka maendeleo sehemu mbalimbali za mikoa iliyopo mipakani.
Mashaallah viongozi wetu
Safisana wazilimuku naTakaujeuwe laisi nakuombea kilasiku kwamungu ilaiposikumoja tu utakuwa laisi
Huyu ndiye Waziri Mkuu Wetu wa Tanzania.
Wanadanganywa ili wafungue maduka hayo
Tatizo mama anapelekeshwa na walamba asali , ndiyo tatizo moja tuuuuuu
munguu muwekee uyuuu binadam ingekua kunaa sheria yaa kubadirishaa kipengeree chaa sheria uyuuu ndie awee raisi manaa machozi yananitokaa mimi uyuuu nimakufuri mtupuuu
Namuona Rais wa badae kwa mbaliiii
Jamani kama inafikia unafanyika mgomo manaake kuna madudu hapo kwanini musiwachukulie hatua?
Waziri mkuu kama mkuu kwann usifukuze kazi mt hapo ili wengine wakae kwa haki fukuzaaaa
Sema Banaaaaaa Semaaaaaaa Mungu aibariki Tanzania na Viongozi wake
Thanks very much our Prime minister
Sana sana Mbeya jmn😔
Nauona amos mkala ansinzia tu apo, chalamila aje tu dar
Badhi ya mafisa tra wako kwennye magari ya landcruser nyeupe wakiwa na police wanakamata kila gari kukagua na kulazimisha kosa na kudairushwa ukikataa wanakupeleka lumumbaa wameiba sanaaa na kunyanyasa wafanyabiashara tumechokaa rushwa wamekua miungu macho kariakoo imekua kero kuganya biasharaa
Hao TRA wauawe tu tatizo litakwisha
Is that the only solution
🤣🤣🤣🤣🤣
😆😆😆😆😆
Tunakuamini Mweheshimiwa Waziri Mkuu Kasim Majliwa Kasim. Ukoa Nchi pamoja na Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Tunataka sheria na kanuni zinazoeleweka na kila mmoja afahamu wajibu wake. Ndio maana katiba mpya ni lazima. Nchi inayoendeshwa kwa matamko ni nchi ya ovyo isiyo na mwelekeo.
Hongera sana baba kwa kuingilia kati
Rushwa imekidhiri Sana Hadi aibu mama kalegeza sana
Goooo baba ... Mpango ndo mpango mzima
Wazili siyo kalyakoo tu nchii nzima
Ngoja n'a Sisi tuanze mgomo Wa nafaka, hatukubali
Safi mkuuu ubalikiwe sana tanzania kwaza
Hakika bongo sihami nifollow kwa habari na vichekesho mbalimbali
Watanyamaza mwz 1 tu baada ya hapo yanarudi pale pale
Wew ni rais mtarajiw 😂😂😂😂
Hakika niyeye❤
Huwa nakubali kauli zako sema basi tu....hongera prime minister
Kauli hazisaidii bila vitendo ndo maana Magufuli Alipendwa maana hapo nachojua Wangetumbuliwa Watu
Ushauri kwa serikali, husisheni sekta bianfsi kuwapa mbinu mpaya za ukusanyaji wa kodi na pia kuwaonesha vyanzo vipya vya kodi.