Waliomjua Sheikh Abdallah Saleh Al-Farisy (Rahimahullaah) - Sehemu ya Nne

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 3

  • @saeedslum1163
    @saeedslum1163 10 หลายเดือนก่อน +1

    تغمده الله بواسع رحمته وأسكنه فسيح جناته مع الصديقين والشهداء والصالحين وحسن أولئك رفيقا
    MashaAllah sheikh Alfarsi nashindwa kumsifu mpaka hivi sasa hajatokea sheikh mfano wake... Mwenyezimungu Amrehemu na amweke pema

  • @hashimseif1194
    @hashimseif1194 ปีที่แล้ว +3

    Watu wa Mombsa wana udugu mkubwa wa uislam,mashaallah.
    Hapa Unguja ukimuelezea mtu kuwa
    Mombasa wameipa moja ya njia kubwa nayo ni muhimu jina la Sheikh Abdallah Saleh Alfarsy hawaamini,
    Nayo ni Sheikh Abdallah Saleh Road,mbali na maskuli na nyenginezo.A mma hapa kwao Unguja sijasikia hayo.

  • @hamoudtimami1346
    @hamoudtimami1346 2 หลายเดือนก่อน

    naweza kupata makala yoyote yaliyoandikwa kuhusu sheikh abdallah?