MASHEKH ACHENI KUMTISHA HARMONIZE NA DUA ZENU ZA KICHAWI YUPO SAHIHI. NI KWELI MUNGU NI MWANAMKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 เม.ย. 2024

ความคิดเห็น • 180

  • @LuisFaustinoLuis
    @LuisFaustinoLuis 29 วันที่ผ่านมา

    Nakukubali sana, nabii elia mimi nico Moçambique

  • @ibrahimomar6021
    @ibrahimomar6021 2 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu jamaa hana analolijua wala haja eleza chochote ni upumbavu tu pamoja nahuyo harmonize wake wote sawa... Washenzi wakuu.....

  • @user-pe1qv1sn5p
    @user-pe1qv1sn5p 2 หลายเดือนก่อน +2

    ungesema mtawala wa dunia ni mwanamke ungeeleweka lakini sio kusema mungu ni mwanamke

  • @user-fu6fx8if6w
    @user-fu6fx8if6w 2 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu atusamehe sana,matusi yanamkaribisha shetani katika njia zetu,unapomtusi mtu,unajilaani mwenyewe.acha Mwenyezi Mungu atusamehe zaidi.🙏

    • @wadimtwana7286
      @wadimtwana7286 2 หลายเดือนก่อน

      Ww mfuwasi wa Aliya anajifanya muislam nyuma ya pazia.

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ndio harmonize akiwa na maana mungu wake shatani lakini tunaingilia bila kujua alichokisema yeye anajua anachokijua yupo sahihi yani ndio maana mungu kasema watu wangu wanaangamia kukosa maarifa.

    • @francetrading8594
      @francetrading8594 2 หลายเดือนก่อน

      Nimekufutilia xana Leo ndio naona hicho kipara hakina kitu

  • @faridmnyamike556
    @faridmnyamike556 2 หลายเดือนก่อน

    Utawatosha wasiojua, umepigwa mhuri wa moto wa Jahanamu. Allah ndiye anajua hatima yako sijui ni ghadhabu kiasi gani alizonazo juu yako.

  • @williumgeofrey9587
    @williumgeofrey9587 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nabii nakukubali sana sana sana sana sana. Majuha wengi hawakuelewi, wanatumia mihemko ya kishenzi kukutukana, ila upo vizuri sana.

  • @faithe4063
    @faithe4063 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ni ukweli Mungu ya waislamu ni mwanamke ila Yetu sisi wakristo ni Mungu mume ndio maana tunamwita Bwana wa majeshi,unakuta wanawake wanajipondoa kama mama yao jezebel so mukubali tu Mungu wenu ni mwanamke jinzi ilivyo anaitwa Mungu jua

  • @urariymwasahala2516
    @urariymwasahala2516 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe ushakufuru ndugu yetu Allah akuongoze
    Aya zenyewe unavuruga vuruga tuu

  • @user-pi4jv2wq8c
    @user-pi4jv2wq8c 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbe mashee huwa mnaskilizaga nyimbo za harmonize baada yakuwa bize namambo ya mungu caswida zimewashinda harmonize sikitoto2 hicho mnakiita bwanamdogo hapa niihivi aw mnatafuta kk

  • @abdallaabdalla4416
    @abdallaabdalla4416 2 หลายเดือนก่อน

    Nabii inaelekea hujui tofauti ya mtawala na Mungu Uislamu hautakufapo na hayo ya wanawake kuongoza dunia yanajulikana zamani ndio ukaambiwa ni dalili ya kiama Binadamu hana Akili ya KUJUA sifa zote za
    Mungu namajina yake Hakuumba dunia tu kaumba ulimwengu(universe) dunia zote sayari zote na tusivyovijuwa

  • @nassoromussa4440
    @nassoromussa4440 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo nakuelewa hapa kuna watu wametegwa na Hawa mashehe kama Mwanamke hafai kuongoza lakn Leo hii tunatawaliwa na wanawake

  • @SHULE_YA_KRISTO
    @SHULE_YA_KRISTO 2 หลายเดือนก่อน +1

    Si comment chochote hapa....
    Mungu asimame na watakatifu wake kipindi hiki tunapoukaribia mwisho

  • @mwajubasuleiman6354
    @mwajubasuleiman6354 2 หลายเดือนก่อน

    kwa hiyo unamaanisha Mungu ni mwanamke Sisi waislamu hatujui kwamba Mungu ni mwanamke au mwanaume

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 หลายเดือนก่อน +2

    End of time is almost near.🙏

  • @tinertv1382
    @tinertv1382 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waache kumtisha wao wapo sawa mbele za Mungu

  • @Werema3760
    @Werema3760 2 หลายเดือนก่อน +2

    Fact.

  • @user-iu2cm5um6e
    @user-iu2cm5um6e 2 หลายเดือนก่อน

    Ww ninani katika Dunia hii mpaka mseme ivyo kwa mwanenu, ,muogopeni mungu jamani,, kwanini na nyinyi munamukhufuru mungu kwa maneno yenu kiivyo,.. Mohammed alikufa kwa sababu ya kosefu ili wamjuwe mungu,sasa mbona munawatishia imani waumini wake, siyo vizuri jamani tumuogopeni mungu,,..

  • @_chynnah
    @_chynnah 2 หลายเดือนก่อน +1

    nazidi kuumia nikiona waislam 2napote yaa allah 2xamehe xixi waja wako

  • @faridmnyamike556
    @faridmnyamike556 2 หลายเดือนก่อน

    Laana tullahi Alyhi

  • @user-cx2cw3ni4d
    @user-cx2cw3ni4d 2 หลายเดือนก่อน

    Allah Akbar kumbe na wew mpumbafu mwenyezimungu yeye ndie atawahukumu

  • @johnwoshi3459
    @johnwoshi3459 2 หลายเดือนก่อน

    Kiboko ya Dr Dr Sulle kimya na mbwembwe zake za kichwi

  • @binqr7527
    @binqr7527 2 หลายเดือนก่อน

    KUMA LA MAMA YAKOOO

  • @wesakawesaka3516
    @wesakawesaka3516 2 หลายเดือนก่อน

    Jamaa anaongea ukweli yupo sahihi mno ni genius sana

  • @alimagido5366
    @alimagido5366 2 หลายเดือนก่อน

    Kubalitu kuwa wewe ni shetani wa kibinadamu huna lolote mungu siyo mwanamke wala mwanaume na dunia hiii mwenye kontrol ni yeye mungu nimekufwatilia sana nimekuona ni mbuzitu kasoro mkia baki nahuyo yessu wako

  • @Werema3760
    @Werema3760 2 หลายเดือนก่อน +3

    Facts

    • @awadhkannah6587
      @awadhkannah6587 2 หลายเดือนก่อน

      Fact ipi?, Hivi hiyo hoja ya Mungu ni mwanamke na hiyo Aya ya 24, sura ya 79 (AN-NAZIAT) , zinaendana, au kwa sababu anaongea saaana basi ndio unaona fact

    • @Werema3760
      @Werema3760 2 หลายเดือนก่อน

      @@awadhkannah6587 kama wew ni kipofu spiritually hutamwelewa kamwe.

    • @simonlukiko2850
      @simonlukiko2850 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@Werema3760USIBISHANE NAE BWANA MENGINE YANA COMMENT HATA AYASIKILIZI

  • @faridmnyamike556
    @faridmnyamike556 2 หลายเดือนก่อน

    Laana Tullahi Alayhi

  • @idrissamustafabukenya6110
    @idrissamustafabukenya6110 2 หลายเดือนก่อน

    0:05 Allah akuwongoze.kama hakukujaliya kuwongoka basi usife bila kubona chamoto

  • @johnwoshi3459
    @johnwoshi3459 2 หลายเดือนก่อน

    Umempiga Dr. Sulle msumali wa 6"

  • @MUMBIWAGOVENOR
    @MUMBIWAGOVENOR 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kweri kabisa AMEN

    • @zengojohn6628
      @zengojohn6628 2 หลายเดือนก่อน

      Wachache sana wenyekuelewe hiki unachokisema boss wengi walishsfungwa upeo kweli imefichwa mavhoni pao wamejawa na upofu wa kiroho

  • @ramadhanihudhaifani4376
    @ramadhanihudhaifani4376 2 หลายเดือนก่อน +2

    Alafu eti wajiita NABII! Pumba kabsa.

    • @fahadzubeir9346
      @fahadzubeir9346 2 หลายเดือนก่อน

      Ww ambae Co Nabii kwann unaongozwa na mwanamke?

    • @georgekimasaofficial1629
      @georgekimasaofficial1629 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂​@@fahadzubeir9346

  • @ibinmgeta2406
    @ibinmgeta2406 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hili huwa ni chizi. Linajiita nabii.
    Hayo ni maneno ya mpumbavu

  • @taturamadhan5940
    @taturamadhan5940 2 หลายเดือนก่อน

    Allah akuongoe

    • @bernardjohn8788
      @bernardjohn8788 2 หลายเดือนก่อน

      Ana mjua kuliko wewe. Huna Cha kumfundisha Wala kumuongoza. Wewe umekaririshwa kwa viboko ila yeye ameelewa na anamtumia ubongo wake kufanya reasoning

  • @nassorhamed3761
    @nassorhamed3761 2 หลายเดือนก่อน

    Ww mwenyewe ni fir- aun wa umma huu Allah akulaan

  • @richardmally2040
    @richardmally2040 2 หลายเดือนก่อน

    Uko sahihi kabisa Wala wasikusumbue na matusi yao aibu yao milele

  • @imranjuma1197
    @imranjuma1197 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤ ukweli mchungu

  • @user-ow2jv4vn8b
    @user-ow2jv4vn8b 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wanao msapoti huyu wote ni vichaaa😅😅😅

  • @faridmnyamike556
    @faridmnyamike556 2 หลายเดือนก่อน

    Laaaanakum

  • @johnwoshi3459
    @johnwoshi3459 2 หลายเดือนก่อน

    Kiboko ya Dr Sulle kimya na mbwembwe zake za kichawi

  • @faithe4063
    @faithe4063 2 หลายเดือนก่อน

    Ata Yesu wetu alisema mkuu wa ulimwengu huu anakuja na hana lolote kwangu,sasa mbona munabisha 😂huyu mtumishi wa Mungu amewambia ukweli yaani amefafanua ya kutosha,mulimkataa Yesu kristo kuwa mwokozi wa ulimwengu sasa pokeeni tarifa kamili sasa

  • @user-pe1qv1sn5p
    @user-pe1qv1sn5p 2 หลายเดือนก่อน

    Astaghafirullah Astaghafirullah Astaghafirullah yaarab tuongoze sisi waja wako ktk kheri zako na kila mmoja aishike imani yake kwasababu hatujui tuyatendayo zama za mwisho hizi

  • @saidsuleiman9018
    @saidsuleiman9018 2 หลายเดือนก่อน

    Point shekhe kuinyosha tafsiri ya maneno ya Allah ila maneno ya hamonize yabakie uko kwakwe

  • @aziziatumanially424
    @aziziatumanially424 2 หลายเดือนก่อน

    Fact

  • @user-xi7wh3dr4o
    @user-xi7wh3dr4o 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe Uislamu umekushinda ndo maana unamuunga huyo jama Aya ipi Mungu ni mwanamke

  • @salimsibabu9027
    @salimsibabu9027 2 หลายเดือนก่อน

    Ww ni bwege tu .Tena unajiita nabii. Allah akuangushe.

    • @aziziatumanially424
      @aziziatumanially424 2 หลายเดือนก่อน

      Alla uyo wa kusikiliza kila laana had mzinzi mmoja wewe unatoa laana duu

    • @salimsibabu9027
      @salimsibabu9027 2 หลายเดือนก่อน

      @@aziziatumanially424 Do you support his imbecile idea?

  • @BakariMussa-qn4oy
    @BakariMussa-qn4oy 2 หลายเดือนก่อน

    Ucnimalizie bando yangu😂😂😂😂

  • @sudiustathi-ku8rg
    @sudiustathi-ku8rg 2 หลายเดือนก่อน

    Waambie kabisa mashehd wanafiki kazi ya kuhukumu watu unazania wao wameweka sahihi na mungu ya kuwa wao wakifa wanaenda peponi, Dr sule kwanza.mganga anajificha ndani ya dini.lakini.mganga amekujaja

  • @Worldunite
    @Worldunite 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu sii shekh, kachapia tu

  • @wadimtwana7286
    @wadimtwana7286 2 หลายเดือนก่อน

    We aliya fisadi kasome qur-an 112 ,1-4 halafu tupe uhalali wa nyimbo.

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa uko sahihi shekhe ❤

    • @awadhkannah6587
      @awadhkannah6587 2 หลายเดือนก่อน

      Usahihi wake upo wapi?

  • @OMIYMOHD-hc5qm
    @OMIYMOHD-hc5qm 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona hatukuelewi mwamba au amekuli kua mungu ana fanana na kitu duyuthi mkubwa we

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 2 หลายเดือนก่อน

    Aliposema kuwa kuimagine Mungu ni lizee fulani limekaa somewhere ni ukoloni ndio utajua kwamba hakuwa na maana na tafsiri unayoileta wewe ye alimaanisha huyu huyu Mungu muumba huenda ni mwanamke sio habari ya utawala unayoisema

  • @Abubakar-cb1er
    @Abubakar-cb1er 2 หลายเดือนก่อน

    mpuuzi mmoja

  • @faridaltamimi7454
    @faridaltamimi7454 2 หลายเดือนก่อน

    we jamaa

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi sikujua kama ni za kichawi

    • @awadhkannah6587
      @awadhkannah6587 2 หลายเดือนก่อน

      Huyo mwenyewe anajiita nabii na hajui anachokiongea kwa sababu na wewe huna elimu juu ya dini basi uliza update majibu

    • @kiddyalite
      @kiddyalite 2 หลายเดือนก่อน

      Yes uchaw

  • @AziziMachweo
    @AziziMachweo 2 หลายเดือนก่อน

    Akili huna,,na usiumie maneno ya mungu Kwa ushenzi wako

    • @aziziatumanially424
      @aziziatumanially424 2 หลายเดือนก่อน

      Ukiacha fikra za udini iruhusu na akili yako ikusaidie.. mungu wa harmonic ni mwanamke ambaye anamruhusu kuvaa eleni,kuimba muziki kupost uchi na mengine mengi sasa ninyi watu wa mihemko mnamjia juu kwa hili ilihal yeye ni muimbamuzik sasa mbon mnakua amuelewek au mengine yale mnayakubari

  • @Brain-Music-Studio371
    @Brain-Music-Studio371 2 หลายเดือนก่อน

    Can't be played 😂😂🎉

  • @ibrahimomar6021
    @ibrahimomar6021 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona asitumie direct kuma mwanamke ndiye anayetawala ulimwengu?

  • @mwalagokache375
    @mwalagokache375 2 หลายเดือนก่อน

    Dhairi ya Harmonize Kwa kauli zake sio mara moja wala marambili dunia imemsikia akifafanua kwanini amemfananisha Mungu na mwanamke
    Nukuu "kwanini tunadhana ya kuwa Mungu anasifa ya kiume maana akipewa ktk vitabu vya dini "he" na kwanini asiwe na wasifu WA "she" yeye kajitokeza kama mwanaharakati WA kuwapigania wanawake nao wajione wenye THAMANI ndio maana akasema maneno Yale . Sasa huyu anakuja na kujenga hoja ya kuwa dunia umetawaliwa na mwanamke
    Hii ni nadharia na mada nyengine alitakiwa aje na mada na ijadiliwe sio kumsafrisha harmonize Kwa kosa alilofanya

  • @methodemmanuel4658
    @methodemmanuel4658 2 หลายเดือนก่อน

    Hapo kwenye uchawi Sasa.

  • @user-jy5rx5ek9f
    @user-jy5rx5ek9f 2 หลายเดือนก่อน

    Pourquoi tu ne parle pas De Diamond

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 2 หลายเดือนก่อน

    Audhubillah

  • @KadumaIssa
    @KadumaIssa 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe nifalah sana

  • @paulojohn5504
    @paulojohn5504 2 หลายเดือนก่อน

    makavu laivu DAWA IMEWAINGIA MUNGU wanamfanyanga kama mjomba wao

  • @ibrahimnaftar9037
    @ibrahimnaftar9037 2 หลายเดือนก่อน

    Umeadimika nabii

  • @AhmadMtemi
    @AhmadMtemi 2 หลายเดือนก่อน

    Kusoma kwako sana ww.sasa kumekutia uninga pumbavu

  • @andreampemba1465
    @andreampemba1465 2 หลายเดือนก่อน

    Wannyooshe mkuu ipo siku watakuelewa tu

  • @user-hr5gx1zr1m
    @user-hr5gx1zr1m 2 หลายเดือนก่อน

    Sema bwana Hamza ukweli unauma mtumishi wanawake wanatawala waume

  • @martinmkoba361
    @martinmkoba361 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbe wachawi kweli dah nikimkuta muislamu peponi sikubali

  • @aminitu3766
    @aminitu3766 2 หลายเดือนก่อน

    Heeee !! tunatawaliwa na wanawake Mimi apo sipo utajua mwnyewe sheikh Sisi Christian tunaamini, ktk Christo hakuna mwanamke wala mwanamke ni Christo anatawala

  • @user-kr1lt6dy7c
    @user-kr1lt6dy7c 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu naye ni mpumbavu

  • @petermutuku1289
    @petermutuku1289 2 หลายเดือนก่อน

    Iyo ni kali

  • @Worldunite
    @Worldunite 2 หลายเดือนก่อน

    Laiti ungejua unavyopotosha wssioelewa

  • @richardmally2040
    @richardmally2040 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani nakuelewa kuliko unavyo fikiri mwamba

  • @saidalhabsi6485
    @saidalhabsi6485 2 หลายเดือนก่อน

    Halafu kwa tanzania haitatokea misikiti kuslisha mwanamke labda ajenge msikitiwake

    • @awadhkannah6587
      @awadhkannah6587 2 หลายเดือนก่อน

      Kwa Mujibu wa katiba hata ukiwa wake, haitatokea

  • @user-pf6yw7vh1p
    @user-pf6yw7vh1p 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe itakua akili yako haipo sawa 0:47

  • @ibrahimomar6021
    @ibrahimomar6021 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa nn atumie neno MUNGU?

  • @moseshaule586
    @moseshaule586 2 หลายเดือนก่อน

    Watu hawana elimu ya uungu. Miungu iko mingi

  • @user-in2ey5iw2n
    @user-in2ey5iw2n 2 หลายเดือนก่อน

    HILI MISKULE SIJUWI LINAVUTIAGA BANGI CHOONI

  • @saalimlubeya4236
    @saalimlubeya4236 2 หลายเดือนก่อน

    Nawe ni kichaa pia kama huyo HARMONIZE

  • @MohamedSalim-fy8ic
    @MohamedSalim-fy8ic 2 หลายเดือนก่อน

    Sema mungu ni mwanamke nyinyi watanzania rais wenu amekua mungu 😅😅

  • @berry4726
    @berry4726 2 หลายเดือนก่อน

    HUYU JAMAA NJIA YA MOTONI AMEIKOMBATIA KWELI KWELI.

  • @nabahanishela7447
    @nabahanishela7447 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe Ni Shoga Kama Mashoga Wengine Huna tofauti yeyote na Mke Wake Hamonaise

    • @fahadzubeir9346
      @fahadzubeir9346 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe ambae siyo shoga kwann unaongozwa na mwanamke?

  • @andreampemba1465
    @andreampemba1465 2 หลายเดือนก่อน

    Piga gazi mwamba

  • @HukerRama
    @HukerRama 2 หลายเดือนก่อน

    Mbwa ww

  • @Bahero1997
    @Bahero1997 2 หลายเดือนก่อน +1

    WEWE KWANZA NI DINI GANI...

    • @wadimtwana7286
      @wadimtwana7286 2 หลายเดือนก่อน

      Ndugu hapo hana jibu na hajibu milele yaani haeleweki nadhani ndiko anakopatia unga wake

  • @user-pe1qv1sn5p
    @user-pe1qv1sn5p 2 หลายเดือนก่อน

    yeye hakusema mtawala lakini kasema mungu alafu wewe shehena utakua umehogwa na huyo mwanamke mwenzio kama wewe kweli umeisoma kuruani kweli mungu hafananishwi na kitu chochote mungu atawahukumu eti mungu ni mwanamke Astaghafirullah Astaghafirullah Astaghafirullah Astaghafirullah Astaghafirullah raadhimu

  • @ShekhMufyd-mn9zn
    @ShekhMufyd-mn9zn หลายเดือนก่อน

    We hata haueleweki ushashiba kipoporo unaropoka tu

  • @user-ij1es4ub5z
    @user-ij1es4ub5z 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mimi nimekuelewa kwa maelezo yako uko sahihi

    • @awadhkannah6587
      @awadhkannah6587 2 หลายเดือนก่อน

      Umemuelewa nini?, Kwa hoja gani?,

    • @user-ij1es4ub5z
      @user-ij1es4ub5z 2 หลายเดือนก่อน

      @@awadhkannah6587 muelewe maneno yake kwanza mwishoni kazungumzia maswala ya Imani na ndo mana akatamka Imani yake amonize kwanza na Tena ukiangalia ulimwengu wa Sasa ametawala sana shetani na ndo mana hata wanawake wanasimama madhabauni wakati vitabu vya Imani hata mahandiko ayapo kuwa mwanamke afanyee ivo.

  • @HajiJuma-xw7vh
    @HajiJuma-xw7vh 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbe ww ni msenge huna akili

  • @jakuabdull34
    @jakuabdull34 2 หลายเดือนก่อน

    Kiufupi hunamvuto na unadharauriwa na kila mtu duniani na akhera

  • @ElihurumaElimwokozi-tx8mh
    @ElihurumaElimwokozi-tx8mh 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie mnao mpinga Nabii Elia iko siku mtamwelewatuu maana kwa mujibu wa maandiko huyo ndio Nabii wa kweli kwa kipindi hichi cha nyakati za mwisho ndg zetu waislam nabii Elia yuko sahihi jaribuni kufuatilia darasa zake utube utajifunza kuwa yeye ni mpatanishi wa haki kati ya waislam na wakristo kwa maana sisi ni watoto wa Ibrahim nyie mnaomtukana jueni mnapotea

  • @kristofuraha3369
    @kristofuraha3369 2 หลายเดือนก่อน

    Dua za kichawi tu hizo!
    Wala asingedhurika hata kidogo!

    • @kiddyalite
      @kiddyalite 2 หลายเดือนก่อน

      Yeah Allah humuangamz amtakae na humuach apotee amtakae

  • @Worldunite
    @Worldunite 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu sio mwanamke,acheni kufuru wewe, harmonize pmj watu wenye akili MBOVU KAMA NYIE

  • @Worldunite
    @Worldunite 2 หลายเดือนก่อน

    Yuko sahijo kivipi?? Hakuna dua za kichawi, labda za kwako ndo unazijua mwenyewe

  • @muhamedihamis2571
    @muhamedihamis2571 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe hata ukiitwa shoga sawa tuu

  • @sudiustathi-ku8rg
    @sudiustathi-ku8rg 2 หลายเดือนก่อน

    Dr sule mwenyewe mganga, amekuja Kenya hapa anazunguka kwenye mamidia akitapeli watu na mafuta yake ya bandia

  • @BarakababaRama
    @BarakababaRama 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe ni shetani kama mashetani wengine tu

  • @user-mf2ll7nz5g
    @user-mf2ll7nz5g 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani kusoma kwake tu ,unagundua hamna kitu

    • @fahadzubeir9346
      @fahadzubeir9346 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe unaejua kusoma kwann unaongozwa na mwanamke?

  • @MadinaHassan-rt1oc
    @MadinaHassan-rt1oc 2 หลายเดือนก่อน

    Hauna akili ww mjinga