penye demokrasia ya ushindani hata USA vijembe ni lazima kwy demokrasia wagombea wanavyopambana. CCM hakuna demokrasia yeye hajajaza fomu wala kuomba nafasi hiyo Samia ametoa jina mfukoni na kuweka mezani wajumbe wamepitisha tu no questions no discussion ni aibu kwa chama chenye miaka 60 viongozi kuteuliwa na mto mmoja.
hyo sababu ya kutaka kushika dola haina mashiko Kwa sasa, na ndo maana ilitakiwa awe makamu mwenye upeo wa sasa. HV vijana watapataje ajira kama wtu wenye umri huo bado wanang'ang'ania madaraka?
Hivi ccm kuna siku itapata kiongozi kijana?hawa wazee wamekalia akili zetu kwa kutumia jina la Nyerere si mtume wala mungu .kushika dola mmeshika lakini kujenga na kuendeleza nchi hamuwezi ,amani bila haki ni sarakasi tuu
Nyerere alisoma sera za CHADEMA akasema "heri CHADEMA wana sera zinazoeleweka". Wassira usidanganye watu wakati historia ipo. CCM ndio inafanya majaribio kuteua badala ya kuchagua !! Wavivu wa kusoma historia ndio utawapata.
daahh!! mpaka nimeskia aibu kumtizama huyu mzee! Mungu nisaidie nisiandike zaidi, hizi sera na 2025 ni mbingu na ardhi,,mambo za Tanu na Sijui nn tena zinatamkwa leo ?
Chadema wajinga sijaona mifuasi isiyo jitambua kwa akilizao za kijinga Tundu hawezi kuwa mzalendo hana chembechembe za uzalendo zaidi ya siasa za uchonganinishi na ubaguzi anahuruka za fujo km alivyokuwa shule Tanga na mjinga mwingine Rema wote ovyooo na wajinga wengine ndani ya chama hicho ila Mbowe ni mwana siasa aliye komaa na ana hekma na c mzushi
@@sophiaommy8343 nafasi ya umakamu mwenyekiti inahitaji mtu aliemzee mana ndoto zake ni utumish tu,though uyu mzee bd yuko sawa sana jarib kukaa nae ata siku moja
Msijizime data ,no reform no uchaguzi
penye demokrasia ya ushindani hata USA vijembe ni lazima kwy demokrasia wagombea wanavyopambana. CCM hakuna demokrasia yeye hajajaza fomu wala kuomba nafasi hiyo Samia ametoa jina mfukoni na kuweka mezani wajumbe wamepitisha tu no questions no discussion ni aibu kwa chama chenye miaka 60 viongozi kuteuliwa na mto mmoja.
Mzee ana siasa za kizamani,ila sio mbaya old is Gold
Viongozi wenye busara ni Jaji Warioba na mzee Butiku tu, wengine bendera fuata upepo!
Hasaaaaa
Ni vigumu kwa mwenye akili na uelewa kuyasikiliza hayo. Kinyume ni makofiiiiii.poleni
Ila hata kama huyu mzee amechoka sana inahitaji aka pumzike sasa vinginevyo ata kiharibu chama maana kwamba eti atakuwa na mapenzi na chama
hyo sababu ya kutaka kushika dola haina mashiko Kwa sasa, na ndo maana ilitakiwa awe makamu mwenye upeo wa sasa. HV vijana watapataje ajira kama wtu wenye umri huo bado wanang'ang'ania madaraka?
Mungu alishakuona Mungu utamkuta huko
Nyerere akiwa Rais Wasira yupo, Mwinyi Rais Wasira yupo, Mkapa Rais Wasira yupo, hadi leo yupo😂😂😂
Kwa Mkapa ... yupoooo
Kwa Kikwete .. yupoooo
Kwa JPM... yupoòo
Kitukuu cha Tanganyika!!
Ni time apumzike
Kama filipo mpango ameomba kujiuzulu akiamini kuwa awezikuendelea mzee wetu wasila atawezaje mbna atuna uluma atakama ulafi wamadalaka jmn kweli 😭😭😭😭
Safi sna.Kwa sasa tunahitaji watu kama akina wasira.Hakuna muda wa kuwabembeleza chadema.
Du
Wewe ni kijana au mzee wasira ana miaka mingapi 😅😅
Hivi ccm kuna siku itapata kiongozi kijana?hawa wazee wamekalia akili zetu kwa kutumia jina la Nyerere si mtume wala mungu .kushika dola mmeshika lakini kujenga na kuendeleza nchi hamuwezi ,amani bila haki ni sarakasi tuu
Ccm inategemea wazee kwauwa dio tegemeo lao.kwakuwa hawana sera zinazoendana na kizaz hiki.watekaj kwa uoga wakukosa sera mpya.mtaua wangap
Anamaanisha mnyonge hana haki. Mnyonge ni wa kunyongwa milele na ndio maana yeye ana miaka 80+ anaendelea kuteuliwa tu mpaka kufa kwake. Pumbafu sana.
mwaka huu wazee mna kazi nzito yetu macho
Kiwete na mwenye miguu mashindano October 2025 hadi kieleweke.
Mzee wasira AKILI yako imechoka hata AKILI ya kufikiri. Huna uwezo huo. Piga porojo porojo ZAKO
Hata sim😢uelewi nini anaongea 😂😂😂 Yupooo
Ujielew mzee.mzima huna unachokiacha kwenye siasa.
Kapumzike mzee. Hiki kizazi kipya haikuelewi.
Wachezea sharubu na waendesha dola ngumi mkononi October 2025 mpaka kieleweke😂
Wasira hivi huoni aibu,tangu Nyerere upo,ng'atuka bwana huna jipya,achia vijana.Yaani Samia kafilisika kweli kweli mzee huyu atakusaidia nini,kama sio kudhalilisha tu CCM.
Hao waliompa uongozi nao mmmh
LIZEE LINAONGEA UPUMBAVUU
Hapo ccm tumekosea kumpa wasira sijaafiki tungempa nape
Dunia inamengi jamani ebu kuwa uyaone
Kapumzikee mzee
Vijana wa CCm bado mnaendelea kuongozwa na wazee waliooza
Mwaka gani hizo ahadi karne gani tokea 64 maji yamewashinda halafu mwatudanganya mtaleta maendeleo ni kichaa tu atakae wamini CCM
Ccm vijana hawapo Mzee kazeeka jaman
Had ndio waliotufikisha haha, kosa la kwanza chama cha siasa kujifanya sehemu ya Dola mwenyekiti wa chama ndiyo rais wa nchi hivi tumelogwa na nani
Heeer
Chuma chakavu ooooooi! Mzee mwisho wa ubaya ni aibu
Nyerere alisoma sera za CHADEMA akasema "heri CHADEMA wana sera zinazoeleweka". Wassira usidanganye watu wakati historia ipo. CCM ndio inafanya majaribio kuteua badala ya kuchagua !!
Wavivu wa kusoma historia ndio utawapata.
Mwaka 1992 mwl nyerere alisema sera za chadema ni safi it look fine!
Sema sera mnatutoaje haha tulipo
Kuna tofauti ya kugombana na kushindana kidemokrasia
Sio hoja hata ccm walikuwa wanagombana toka mwalimu nyere late hoja kwa watanzania watakuelewa tuu
Yan hapa ccm mmechemka
Utaondoka kwa Aibu kubwa sana. Ulipo kuwa mkuu wa MKOA Mara ulifanya nini. Bunda ulifanya nini?. Umechoka
Mpango anaumwa kwani wasira kawaambia anaumwa
daahh!! mpaka nimeskia aibu kumtizama huyu mzee! Mungu nisaidie nisiandike zaidi, hizi sera na 2025 ni mbingu na ardhi,,mambo za Tanu na Sijui nn tena zinatamkwa leo ?
Wewe mzee chadema haijachoka ila wewe ndiyo umechoka
Ktk wanachama million 12 walioko kwny daftari mmekosa mtu wa umri wa kukimbizana na wakati wa sasa mpaka mkimbilie Mzee wa miaka zaidi ya 80?
Huu mwaka wacha nisiseme kitu nasoma comments tu!
Kweli chama chetu kinawakati mgumu ivi kweli Wasira wakua makamu uchawa unasaidia
Mnajisifia kushinda uchaguz wakt wasimamiz wa huo uchaguz ni watu wenu,km mnajiamin weken uchaguz huru muone
Mbona nyie ndani ya chama hakuna democrasia na kama munaweza shindanisheni Kila mwanachama agombee siyo marina ya mifukoni
Mchambuzi wa siasa za ccm sijamwelewa ni wazama zipi
ivi kwan huyu mzee anaona ?! au mm ndo naona vibaya ?!
CCM ilisajiliwa mwaka gani
Cc emu bwana
Kutofautiana mawazo/mitazamo si kugombana!!
Tundulisu atawanyoosha
jaman hata hamuogopikumchagu huyumze
Aibu naona mimi
Kiwete ndo mlemavu wa miguu au??
HUYU SI YULE ALIEKUWA ANALALA BUNGENI?? ENAMAANA CCM WAMEISHIWA VIJANA KAMA ,????
Babu bado lipo roho la madaraka hili iiiiiiii halo bado hujashiba tuu wasiraaa
Mzee yupo😂
Toka mshike Dora l mbona kilimo ni kilekiile
Wewe mzee hachia vijana umekwisha kisiasa.mbona bunda haungii mchana
Hang'atuki mtu mpaka akafie ulingoni kama bondia.
Sasa kma adi wazee wetu tunao waamini wanakuwa machawa sasa sisi vijana itakuaje???
Aibu naonamie
Wameonyesha Demokrasia..Na nyie je?
Mzee achia na wengine!!
Huna lolote,watanznia wameichoka c.c.m .mngekuwa mnapendwa mngetumia polisi na mabomu
Wewe achia wajikuuu muda wako majukwani
Utakuja anguka jukwani wazee tunao wakubali wanapendwa na watanzania Mzee wa waryoba. Na Mzee butiku
Wewe umekari vijembe muda umekwisha wewe
Huyu Mzee wetu kachoka,
Anaongelea nini huyu??
Siku mtaanguka hamtaamini
Hivi vitambulisho vya kura vitatumika au tutafanya kama uchaguzi uliopita ..! CCM oyeeeee...
Chadema wajinga sijaona mifuasi isiyo jitambua kwa akilizao za kijinga Tundu hawezi kuwa mzalendo hana chembechembe za uzalendo zaidi ya siasa za uchonganinishi na ubaguzi anahuruka za fujo km alivyokuwa shule Tanga na mjinga mwingine Rema wote ovyooo na wajinga wengine ndani ya chama hicho ila Mbowe ni mwana siasa aliye komaa na ana hekma na c mzushi
CCM baada ya kuona Tundu Lisu kawa Mwenyekiti wa Chadema, hawana Amani.
Ccm imeishiwa watu kwani vijana wameisha
Hii nafasi ya umakamu umri is matter,sio nafasi ya vijana
@@AlfredHajilakini jamani huyu nasikia 86yrs kweli???? hamna uzima hapo
@@sophiaommy8343 nafasi ya umakamu mwenyekiti inahitaji mtu aliemzee mana ndoto zake ni utumish tu,though uyu mzee bd yuko sawa sana jarib kukaa nae ata siku moja
Mzee,,,huna sela,,,Acha vijana wafanye kazi,,,ushazeeka,,,wewe kaa pembeni,,,nchi sio yenu pekeenu