Kwanza mimi kabla ya kumsifu mtoto naomba niwasifu wasafi media, kiukwl mnachokifanya kuhakikisha mnawafikia watu wenye uhitaji Mungu awabariki sana sana sana, kiukwl nmewaza mengi juu ya interview ya mtoto huyo. Itoshe kusema Mungu awajalie afya jema mfanye zaidi Lkn pia namuombea mtoto huyo afya njema na Maisha marefu, hakika Mungu anafungua njia pasipowezekana Sina mengi ila Mungu awabariki sana nyote🙏
Huyu mtoto ni geneous sana. Ni jembe. Mungu asante kwa kumkutanisha na baraka zake. Asante mama mpenzi wa watanzania na mwenezi wetu. Mungu awatunze I wish to join your team kwa kweli. Mpo active to the maximum. Roho mkuu asiwapungukie
Safi sana Wasafi Mungu amewatumia familia ya huyu mtoto imepata nyumba, mtaji na kijana kusomeshwa. #HongeraSamia #HongeraMakonda #HongeraCCM #HongeraWasafi #MunguIbarikiTanzania
Imenitia huruma na nimecheka pia ndani yake na Allah amuongeze inshallah haya Katika matokeo yako ya Shule umepata mtu wa ngapi , mimi niseme tuu ukweli mm si nilikuwa sijaenda shule kwahiyo mimi nimepata mtuu wa mwisho 😂 mashallah dogo ni smart sanaa
Hongera sana wasafi media kwa kumkutanisha Mtoto Huyu na Makonda, Mwenyezi Mungu aendelee kuwabariki katika kazi zenu za kuhabarisha. Hongera kwako Mr.Makonda kwa kazi nzuri hakika tunaiona Furaha na Tabasamu la wanyonge kupitia kazi zako. Mwenyezi Mungu aendelee kukutunza
Masha'Allah, hongereni wasafi kumwezesha kijana KUKUTANA na mheshimiwa makonda,kupitia kadar ya Allah nyie mme kuwa sababu ya kumwezesha kufanikisha Azma yake🤲
Daaaah aiseee mungu yupo nimelia sana dogo anajua kujielezea anakwambha ana miaka kumi ila Kuna mtu ana miaka ishlini na amemaliza zake chuo anaishi kwao ila cheki dogo ana fight daaaah aiseeee skia kwanza anakwambha si kukopa nikumsaidia hataki mama ake akopwe aiseee mungu atujalie ndugu zangu atupe kizazi Bora chenye akili kama huyu mtoto
Nampongeza alipo kataa swala la kum kopesha mama yake bali wamssaidie hongera sana watoto wa uswahilini tuna pambana sana ila watoto wa kishua kaeni mbali
@@sairismapunda8300 yeye akili yake ni biashara na anajua mkopo una madhara ndio mana kaukataa na Imani yake pia ime mwongoza hvyo lakini kwanini watake mkopesha ikiwa uwezo wa KUMSAIDIA wanao nandio kilicho tokea
Dogo umenilaza sana nataman kuona watoto kama ww wanaoitaji kusoma siku moja utakuwa mtu mkubwa sana kwenye hii nchi mungu atakujalia utakuwa mfanyabiashara mkubwa sana.
Allah akitaka kukupa haangalii umesoma kitu kidogo tu unafanikiwa na imani ya huyu mtoto kwa mamaake basi Mungu angemneemesha hata asisome ila ni vizuri asome bado mdogo
Vijana na mabinti jifunzeni soma kutoka kwa hyu mtoto, unakuta binti anajiuza asema hana kazi, kijana naye anafanya mayokio ya ajabu wengine wakuwa mashonga, tuacheni uvivu tufanye kazi tusichanguwe kazi, ilimurandi iwe kazi halali
Aki ndio niliamua kuteseka nakusomesa watoto mungu amujalie huyu mama apone asaidie watoto wake single mothers wanakuaga nasida mingi aki lakini mungu yuko nasi😢😢😢😢😢
Kasha sema ukweli akili yake sii ya shule hajasaidiwa kabla kishule anaeleweka mueleweni jamani njo baba wa familiya huyo.kinywa cha magu bado kinazidi kuumba hapa kazi tu.dogo arudishwe shuleni itapendeza ila ni mpambanaji kweli kweli.big ug.❤
Thanks you zungu let me tell you what's goes around come around hiii itakuja kwenye kizazi chako nimeona mafanikio ulicho fanya mama amejibu asante mungu asante zungu mungu anatoa njia na sababu watching from Sweden 🇸🇪
Kumbe wasafi ndio mmefanya uyu mtoto akutane na makonda mungu mwema Asante mungu Asanteni wasafi Asante muandishi wa habari
Amen
Mim 😊mimi wamsaidie kwanza mama ❤alafu na mm ndio wanitafutie nafsi nsome
Mama kwnza 👌✊🏾proud
Ndugu hakuna kama mama hapa duniani wakina mama wote mungu awape maisha marefu yenye baraka zake Allah 🙏
Kwanza mimi kabla ya kumsifu mtoto naomba niwasifu wasafi media, kiukwl mnachokifanya kuhakikisha mnawafikia watu wenye uhitaji Mungu awabariki sana sana sana, kiukwl nmewaza mengi juu ya interview ya mtoto huyo. Itoshe kusema Mungu awajalie afya jema mfanye zaidi
Lkn pia namuombea mtoto huyo afya njema na Maisha marefu, hakika Mungu anafungua njia pasipowezekana
Sina mengi ila Mungu awabariki sana nyote🙏
hakika mungu ni mwema sana
Asante sana wasafi natumaini ninyi ndo sababu ya mtt huyu kumfikia Mh. Makonda❤❤barikiweni sana
WASAFI SAFI SANA, TUMEONA MAKONDA KAMSAIDIA , MUNGU NI MWEMA SANA , WASAFI BIG UP 👌👍👏👏👏
😂😭😭😭huyu mtoto kaniliza ndio nimetoka uku mungu awabariki wasafi na makonda pia 😢😢Allah atujalie
Huyu mtoto ni geneous sana. Ni jembe. Mungu asante kwa kumkutanisha na baraka zake.
Asante mama mpenzi wa watanzania na mwenezi wetu. Mungu awatunze
I wish to join your team kwa kweli. Mpo active to the maximum. Roho mkuu asiwapungukie
Mungu ibariki huyu mtto asome na raisi wetu dr samia mjali huyu mtto aweze kusoma😊
Safi sana Wasafi Mungu amewatumia familia ya huyu mtoto imepata nyumba, mtaji na kijana kusomeshwa.
#HongeraSamia
#HongeraMakonda
#HongeraCCM
#HongeraWasafi
#MunguIbarikiTanzania
Allah mfungulie mtoto huyu mkunjulie rizqi yake ya rabbi 🤲🤲🤲😭
Aamiin Inshaallah 🤲 😢
Ameen
Amin
Amiin
Amin
Dah! MUNGU amsaidie sana na Mungu ambariki sana huyu Mtoto🙏
Ndizi nne elfu moja na kenya ndizi nne ni shilingi ishirini wah😢 .....pole sana kijana am proud you❤❤
Elfu moja Tz Kenya Ni 50
So Ni 4 .....Ksh50
Nigali 😂
@@fatumahapesamohamedfatumah4633
Ujue 10ksh kule Tz ni shilingi mia moja
dogo amenzaa Ana mama ❤ 🎉
Uyu mtoto namuona mbali sana..MUNGU amtunze
Dogo yuko smart sana anamjali sana mama yake BIG UP sana dogo
Imeniumiza sana jamani maana kuna watu wakubwa wanashindwa na maisha lakini yy anatambana mungu amungoze jmn inaumiza sana
Imenitia huruma na nimecheka pia ndani yake na Allah amuongeze inshallah haya Katika matokeo yako ya Shule umepata mtu wa ngapi , mimi niseme tuu ukweli mm si nilikuwa sijaenda shule kwahiyo mimi nimepata mtuu wa mwisho 😂 mashallah dogo ni smart sanaa
Ningeenda shule Mungu angenisaidia ningeenda shule ningekuwa wakwanza
Kame
Walah hata mimi nimecheka hapo na nimekubali huyu mtoto. Ni mkweli na very smart sana. Mungu akutunze mtoto wangu
jamanii katoto kana hakilii had lahaa😊😊😊
Sio kumkopa wamsaidie the young man is very intelligent
Hongera sana wasafi media kwa kumkutanisha Mtoto Huyu na Makonda, Mwenyezi Mungu aendelee kuwabariki katika kazi zenu za kuhabarisha. Hongera kwako Mr.Makonda kwa kazi nzuri hakika tunaiona Furaha na Tabasamu la wanyonge kupitia kazi zako. Mwenyezi Mungu aendelee kukutunza
Masha'Allah, hongereni wasafi kumwezesha kijana KUKUTANA na mheshimiwa makonda,kupitia kadar ya Allah nyie mme kuwa sababu ya kumwezesha kufanikisha Azma yake🤲
Zungu nakupa big gap San pia wasafi mmefanya mpk alichokipanga mungu Sasa kimetimia.
Daaaah aiseee mungu yupo nimelia sana dogo anajua kujielezea anakwambha ana miaka kumi ila Kuna mtu ana miaka ishlini na amemaliza zake chuo anaishi kwao ila cheki dogo ana fight daaaah aiseeee skia kwanza anakwambha si kukopa nikumsaidia hataki mama ake akopwe aiseee mungu atujalie ndugu zangu atupe kizazi Bora chenye akili kama huyu mtoto
Amiin
Kiukweli nimejifunza kitu kikubwa mnoo kwa huyu mtoto mungu ambariki sana
Ninachoshukuru yupo na Mungu mda wote
Mtangazaji ubarikiwe sana hakika inaumiza sana
Nampongeza alipo kataa swala la kum kopesha mama yake bali wamssaidie hongera sana watoto wa uswahilini tuna pambana sana ila watoto wa kishua kaeni mbali
Mm piah nimependa kukataa mkopo
@@sairismapunda8300 yeye akili yake ni biashara na anajua mkopo una madhara ndio mana kaukataa na Imani yake pia ime mwongoza hvyo lakini kwanini watake mkopesha ikiwa uwezo wa KUMSAIDIA wanao nandio kilicho tokea
Dah! Huyu mtoto meniliza sana Ee Mwenyezi Mungu asante kwa mibaraka yako kwa wahitaji
Dogo umenilaza sana nataman kuona watoto kama ww wanaoitaji kusoma siku moja utakuwa mtu mkubwa sana kwenye hii nchi mungu atakujalia utakuwa mfanyabiashara mkubwa sana.
Inauma mno mno
Allah akitaka kukupa haangalii umesoma kitu kidogo tu unafanikiwa na imani ya huyu mtoto kwa mamaake basi Mungu angemneemesha hata asisome ila ni vizuri asome bado mdogo
Kumbe wasafi ndo mmefanya makonda amjue huyu hongereni sana Mungu awazidishie katika hili
Nani kama mama ?? Mtoto mdogo, kajuwa uchungu wa mama ila lu mtu lizima, linatukana hata kumwondolea uhai mama. Mungu, ampe maisha marefu mtoto.
Jaman tupate somo kupitia kwa mtoto huyu aneyelisha nzazi na ndugu.Wengi wetu tunashindwa kufanya hivi.Mtoto mungu atakufikisha mbali sana❤❤❤❤
Amin
Mungu Iko naww
Ndio. Wewe mwanaume wa kweli
Vijana na mabinti jifunzeni soma kutoka kwa hyu mtoto, unakuta binti anajiuza asema hana kazi, kijana naye anafanya mayokio ya ajabu wengine wakuwa mashonga, tuacheni uvivu tufanye kazi tusichanguwe kazi, ilimurandi iwe kazi halali
Yn kbs na suo mabint tu na wale wnao iba mijibaba mizima wjaiongezee yn uyu ana akiki mno
Kwa kweli
Yyyyyyyyyyyyyyyy
😢😢😢😢
Allah atamuezesha Insha'Allah inasikitisha Sana Zungu umefanya KAZI nzuri Sana big up
AKA BACHUCHU Mombasa 001
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Zungu bigup bro you are really reporter God bless u bro
Aisee hongera sana mtt kwa ushujaa wako
Mungu tunashukur kwa rehem Zak mpk sasa mtot yup sehem Salam kusaidiw na wananchi na mama yetu mwenyew uchung wa mtot
Daa mwacheni mungu aitwe mungu hongera kwanza wasafi alafu nu makonda na mama samia mungu awazidishie na awape maisha marefu
Wasafi D Platnumz hongera kwakuwa mtu makini nchini big up broooo
Aki ndio niliamua kuteseka nakusomesa watoto mungu amujalie huyu mama apone asaidie watoto wake single mothers wanakuaga nasida mingi aki lakini mungu yuko nasi😢😢😢😢😢
Kaka mzunguu ubarikiweee wewe umetumiwa na MUNGU kumtoa huyu dogo. Your such a kind man❤
Subuhanallah Emwenyezi Mungu mjalie huyu mtoto
alafu mchana nimeona mwingine kanaswa akiiba kweli akili nywele kila mtu anazake,motto mdogo Mungu akubariki kwa hukumu hilo zito
☺☺☺ Mungu ni mwenye rehema siku zote
Kasha sema ukweli akili yake sii ya shule hajasaidiwa kabla kishule anaeleweka mueleweni jamani njo baba wa familiya huyo.kinywa cha magu bado kinazidi kuumba hapa kazi tu.dogo arudishwe shuleni itapendeza ila ni mpambanaji kweli kweli.big ug.❤
Ee mungu muumba wa vyote inuwa watu wamsaidie huyu mtoto na familia yake
Amina
Mungu mkubwa, Mungu anatisha.
Aaamiin
Maashalah Al haji Allah atusimamie mwangu imeniumiza kwel ila nakuombea ufike mbali mwanangu uwe mkomboz wa familia🙏
Ameni mtt mungu akufikishie malengo yako na ndoto zako zitimie
Amin
Mansha mtoto mwenye ajili kubwa allaah amtunze vyema mtoto huu atafika mbali
Amin
Baba levo na mwijaku haya tena tuonane wanakigoma
Na ndugu yao Mondi lol
Mwanangu mungu akutunze sana
Amin
Big up wasafi kwa uoni wenu juu ya huyu mtoto❤
Kumbe Zungu ulianza kumuona kwanza dog kabla ya lile tukio nimependa
Zungu ametisha sana salute kwake amemfanya dogo afke panapo sitahiliii
Bigap zungu🎉🎉🎉🎉😢@@egonemmanuelkudaba4945
Mwenyezi Mungu akubariki mama Samia na Mhe. MAKONDA.
GOD WILL MAKE A WAY WHEN THERE IS SEEM TO BE NO WAY.
Mtoto yupo vizuri kujielezea hongera sanaaa mungu atasaidia ameeen
Mungu akusaidie mwanangu uje uisaidie nchi yetu
Tajir wa badae❤❤
Amin yarrab
Thanks you zungu let me tell you what's goes around come around hiii itakuja kwenye kizazi chako nimeona mafanikio ulicho fanya mama amejibu asante mungu asante zungu mungu anatoa njia na sababu watching from Sweden 🇸🇪
Mimi😂😂😂😂😂 yaani Mimi❤❤❤
Wasafi kazi nzuri mme fanya pongezi kwenu
😢😢vuta picha Tanzania nzima wapo wangapi?kama uyu Mtoto embu tuache siasa tuisaidie nchi banaa😢😢😢😮😮😮
Huyu mwandishi Yuko vizur mngu ambarik
Ahsanteni sana Wasafi media
Mungu akufanyie wepesi Inshaallah 🙏🙏🙏🙏
Mungu amfanyie wepesi ishallah
Allah mjaliye huyu mtoto ufunguliye rizki zake
Amin
Mungu wanguuuuu
Hongera sana mtangazaji kwa kumsaidia japo kwa kumhoji inauma sana
Huy mtoto anajua kujieleza kuliko mtoto wa mwigulu mchemb
Kbs alafu anaonekana hn tabia ya kusema uwongo ni mkwelu mno
MUNGU akubariki mwandishi wa habari 🙏
Mungu atampa mtoto hodari mashalllah
Amin
Mimi.....haha! Bless him...Mama first❤
😢😢
Pin namba ya simu ya mama wa huyo mtoto
JAMANI MJUKUU POLE MUNGU AKUTUNZAEE UWE MKUBWAA SAANA NAMPENDAA!! ❤❤❤😂😂😂🎉🎉🎉🎉
Unakuta Mzee mzima na ndevu zake hawezi kutunza familia,Wala hasta kufanya biashara
Nameshindwa mimi 😭😭😭😭😭
Subhanalllllah
Daaa kweli mtihan na mm nataka kuna siku nitowe historian yangu ya maisha kwa kweli tunapitia hali ngumu Sana za kimaisha SS masikini
Mungu akupiganie 💕💕
Sio kumukopa wamusaidie💕💕💕🙏🙏🙏🙏
Wa Tanzania Mungu awariki, Tanzania yote iwe inji yenye furaha milele na milele🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Mungu awabariki wenye moyo wakussaidia wasojiweza
Bravoo....💪
mama samiya mungu akubariki piya na makonda mungu awazidishiye miyaka piya naviwongozi piya na wasafi mungu yupo pamoja nanyi
Eti mi ndo mwanaume kupambana.. Daaa so matured.
Kweri
Mungu
Ni
Mwema
Wanawake
Tusitowe
Mambo. Jamani
Kila mwenye uwitaji wake wakati wa Mungu utafika tuseme Inshallah 🙏 tuwe na Subra tu kwa kila jambo
Mungu akubariki mtangazaji mungu alipitia kwako na kumtua mzigo maraika ubarikiwe sana baba ❤❤❤
WASAFI ….Keep up with good work
Mashallah
Hongera sana Mtoto.Mungu atakusaidia,Mungu ni mwema sanaa
Dogo mungu akubariki
Mungu amsmamie mdg wang insha allah😢
Ila dogo yuko vzur. Kanifrahisha kwenye Bei ndizi moja 200 ila ukichukua 4 sh 1000😂duu dogo lazima atoboe hawa ndio wawekezaji wa SIMBA SC
We zungu God bless you
Pole kijana mwana wewe mungu yuko pamoja na wewe
Afi unakuta mtu anatoa mimba lawama ina kula nchii hiki na nyinginezo
Wasafi nawapongeza na boss wenu wa masimba dangote