Ushauri wangu kwa Rais Samia: Kuwa kama Mandela, usigombe 2025

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • Badala ya kugombea madaraka na wenzake, Samia ajikite katika kuwaunganisha. Awajengee utaratibu wa kudumu wa kuongoza nchi. Asimamie mchakato wa katiba mpya ili kuweka misingi thabiti ya uongozi kwa miaka 100 ijayo. Aige mfano wa Nelson Mandela abaye alitawala kipindi kimoja, akajenga misingi, akastaafu.

ความคิดเห็น • 24

  • @saulmwalubunju1076
    @saulmwalubunju1076 ปีที่แล้ว +1

    hongera ngurumo Sasa nimewaeleweni sana mwenda zake aliwahi kuongea kabla ya kuwa waziri kwamba akipata uraisi watu watalima kwa kutumia meno du!!

  • @mertus.nestory.bishirangon4624
    @mertus.nestory.bishirangon4624 14 วันที่ผ่านมา

    Mungu.akubaliki.sana.manenoyenye hekima..amina.amina.

  • @felixmsale9244
    @felixmsale9244 2 ปีที่แล้ว +5

    Big up Ndg Ngurumo,uko vizuri na sahihi mno .busara tupu.

  • @lucasbalthazary6773
    @lucasbalthazary6773 ปีที่แล้ว

    Unachokoza fikra za watawala na watawaliwa.

  • @chrisdot9914
    @chrisdot9914 3 ปีที่แล้ว +2

    Afrika Kusini umefika wapi wewe?
    Makaburu wametajirika, weusi wanazidi kuwa maskini. Mandela kawauza watu weusi kwao.

    • @josephmakutano7067
      @josephmakutano7067 2 ปีที่แล้ว

      Wafrika tatizo letu niuvivu pamoja na uchoyo fitinaubinafusi ndiyosuma yamaendeleo yetu ss wafrika!!!!

    • @leahmgunda4154
      @leahmgunda4154 ปีที่แล้ว

      @@josephmakutano7067 Afadhali uvivu kuliko woga

  • @christophertz
    @christophertz 2 ปีที่แล้ว

    ✌🏿💯

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian 3 หลายเดือนก่อน

    Ukitaka kujua watanzania wenzetu katika coment utagundua wengine ni misukule au watu walio kufa na kubakiza miilitu lakini sio binadamu labda kwa ufupi niwaite ccm mizimu kwani Azimo akili timamu anae hongea ni mtu wa kujitambua na nimsomi kinaibuka kikologosi kinapinga mawazo kwa matusi

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 2 ปีที่แล้ว +1

    TAHADHARI:Kwa waelewa tu.Kama huelewi usiandike comment yako hapa🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @georgebongi4844
      @georgebongi4844 2 ปีที่แล้ว

      Hizi ni mada nzito kwa wenye akili kiduchu
      kama huelewi tulia tu kuliko kukoment upumbabu na ujuba.

  • @zeinabaliali11
    @zeinabaliali11 2 ปีที่แล้ว

    Kwanini asigombee unataka wewe urais?kwa uwezo wa m.mungu atagombea na m.mungu atamsaidia atapatakura za kishindo kikubwa

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  2 ปีที่แล้ว +1

      Sawa. Ukikua utaelewa.

    • @epimackjohn6354
      @epimackjohn6354 ปีที่แล้ว

      NI vigumu MUNGU kumsaidia MTU ambaye watu Wanamshauri Kwa Nia njema atambue uzito WA kuongoza. Sioni ubaya wake Ila lawama zimekuwa nyingi mno

  • @mugema9813
    @mugema9813 2 ปีที่แล้ว

    Wewe kaa huko uolewe vizuri kama umeshapata mme.

  • @petromachanga5538
    @petromachanga5538 2 ปีที่แล้ว

    nimekugundua unaunafiki moyoni

  • @sagoaking2904
    @sagoaking2904 2 ปีที่แล้ว

    Wewe ni CHAWA

  • @joaneskailembo4485
    @joaneskailembo4485 3 ปีที่แล้ว +4

    Hapa ni shule ya WANAOELEWA wasioelewa UTAWAONA kwenye comment

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 3 ปีที่แล้ว +3

    Mi ningemshauri ashupalie ghafla katiba bora na tume huru ya uchaguzi,hivyo vitamumfanya awe malkia wa nchi

  • @issahajjiira5411
    @issahajjiira5411 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona huyu baba yupo sawa

  • @petertemu308
    @petertemu308 3 ปีที่แล้ว +1

    Absoluty true

  • @stuwardkyomo8937
    @stuwardkyomo8937 3 ปีที่แล้ว +2

    Acha ccm iendelee kutawala, Chadema mtatusumbua, wabunge wenu waasi wametudhihirishia kuwa wanachokipigania wanasiasa wengi ni matumbo yao tu. Hakuna mkweli kati wapinzani na watawala, wote mtazamo wenu ni moja mnatofautiana lugha tu.

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 2 ปีที่แล้ว

      Samahani jitambue kuwa wewe IQ yako ni 0%

    • @neemalwakatare6354
      @neemalwakatare6354 ปีที่แล้ว

      kuna machawa wa kiafrika kumbe ni chawa wa wazungu