RAIS SAMIA AWATENGUA WAKURUGENZI WANNE "MNATABIA YA KUWAFICHIA FICHIA, NASUBIRI RIPOTI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 51

  • @andreap.assenga8480
    @andreap.assenga8480 3 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana Mh, Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuliona hilo tatizo.

  • @barakachelango1695
    @barakachelango1695 3 ปีที่แล้ว

    Chapa kazi mheshimiwa Raisi usiwaonee haya mafisadi wote nchini walio wabathirifu. Hongera Sana kwakuwatengua hao

  • @josephgnzunda5631
    @josephgnzunda5631 3 ปีที่แล้ว +2

    Hapo kweli kazi itaendelea kwavitendo

  • @eddiechacha9273
    @eddiechacha9273 3 ปีที่แล้ว +7

    Asante mama.Napenda unavyong'ata...😄 taratiiiiiibu huku kazi inaendelea...upige mama yetu baba JPM huko aliko anapiga ...HIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 ปีที่แล้ว

      Kuna dalili kuwa Waziri huyu ameshindwa kazi! Hata ripoti zake za uchunguzi zimechelewa! Rais kasema " Mna kawaida ya kuwafichiafichia, lakini nina ripoti kabla ya kwenu"!

    • @abi-onlinetv4181
      @abi-onlinetv4181 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣👍👍🤣

  • @markgeorge2929
    @markgeorge2929 3 ปีที่แล้ว

    I Love you my President, hivi ndo inatakiwa. Wabongo ukiwalegezea wanacheza nawe.

  • @bihogorakaroli9691
    @bihogorakaroli9691 3 ปีที่แล้ว

    Mama yetu Samia Mungu akutie nguvu na afya utufikishe salama tunakotegemea. Tuna imani nawe mama na Rais wetu mpendwa.

  • @jumasaid8892
    @jumasaid8892 3 ปีที่แล้ว +6

    Sio tu kuwafukuza inatakiwa washtakiwe mahakaman wapigwe Pingu ili wengine waanze kukuogopa Mhe Rais! Uwe Kama JPM

  • @shafikakrabi8490
    @shafikakrabi8490 3 ปีที่แล้ว +1

    Mama mungu akulinde na kazi iendelee

  • @mariammohammed2324
    @mariammohammed2324 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali bashnguwa uko busy na job yake

  • @noelnoel4916
    @noelnoel4916 3 ปีที่แล้ว +1

    Kinaanza kuumama

  • @claratemba44
    @claratemba44 3 ปีที่แล้ว

    Yes

  • @jordanfromyt2861
    @jordanfromyt2861 3 ปีที่แล้ว +2

    Aisee, mama asipokuwa mkali basi wataendeleza zoezi hili hadibasi....

  • @anthonywilliam6510
    @anthonywilliam6510 3 ปีที่แล้ว

    Mama safi sana Mimi naomba kazi tu ata ya usafi tu maisha mangumu

  • @alluminiumexperttz.12mview13
    @alluminiumexperttz.12mview13 3 ปีที่แล้ว +9

    Muda wote alikuwa wapi? Sisi ndo tunataka hivi. Hatutaki uonee ila anaposhindwa mtu kazi piga chini

  • @salimsalim8421
    @salimsalim8421 3 ปีที่แล้ว

    Jamani hawa watu wata acha lini hii tabia

  • @kimweritz6364
    @kimweritz6364 3 ปีที่แล้ว +2

    Mama yupo kazini

  • @matalo0551
    @matalo0551 3 ปีที่แล้ว +2

    Tumbua mama , hao wakurugenzi siku wanajikuta miungu wayu

  • @djtwinstar254
    @djtwinstar254 3 ปีที่แล้ว

    Niko Kenya 🇰🇪

  • @hadijamandanje6189
    @hadijamandanje6189 3 ปีที่แล้ว

    Tunakusubiri kusini huku rais

  • @pascmedia1713
    @pascmedia1713 3 ปีที่แล้ว +1

    Sio kutengua tu nahatua zakisheria zichukuliwe na waludishe hzo fedha za uma

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 3 ปีที่แล้ว +3

    Anayeiba hela ya umma dawa ni kurudisha hiyo hela na kifungo pia ili liwe fundisho

  • @bensonkajogoo7327
    @bensonkajogoo7327 3 ปีที่แล้ว +2

    Jitaidi mama ndivyo tunataka hivyo tumbua wasichezee fedha zetu

  • @robinilomo2887
    @robinilomo2887 3 ปีที่แล้ว +3

    Maigizo bhanaaa,bongo movie#KatibaMpya#

  • @siajarimlengela4116
    @siajarimlengela4116 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndio data nyayo za baba tumbua mama

  • @amasichefwalo3787
    @amasichefwalo3787 3 ปีที่แล้ว +1

    Endelea hivo ndo tunataka

  • @lovely-mq4rg
    @lovely-mq4rg 3 ปีที่แล้ว

    Raisi wetu mpendwa bado kuna sehemu baba kafanyakazi ameriter amebakisha watoto NHC, wananyanyasa wapangaji zaidi y nyumba binafsi,tuma timu mikoani wahojiwe wapangaji.Kazi ieendelee

  • @godlovemrosso5973
    @godlovemrosso5973 3 ปีที่แล้ว +1

    Tengua mama ila na mahakamani wafikishwe pia

  • @ndyeshoborahabib199
    @ndyeshoborahabib199 3 ปีที่แล้ว +1

    Hela za shule_ Ya sekondari ( Pamba Resort), Kata ya Makangarawe, Hela ilitolewa lakini hakuna kinachoendelea ,ni muda mrefu ,Mkurugenzi , Diwani wana tuhuma za kujibu. Katibu wa RC Makala ana taarifa,pamoja na mbunge wa Temeke, INGILIA kati MAMA , wanahujumu Juhudi zako!!!

  • @stn4873
    @stn4873 3 ปีที่แล้ว

    Natamani kuwa kwenye team ya Mama. Sio lazima niwe kwenye 1st eleven hata sub tu.

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni mfumo mbaya, kila kiongozi anakula , nothing new. Uchunguzi wote ni waste of time.

  • @gracecharles7511
    @gracecharles7511 3 ปีที่แล้ว

    Watumbuwe mama

  • @saidmatran2395
    @saidmatran2395 3 ปีที่แล้ว

    M....

  • @Mr-fx4dz
    @Mr-fx4dz 3 ปีที่แล้ว +1

    Mh uko Mwanza Kwanini taarifa kama hizo zisihisu mkoa was Mwanza?

  • @bwagizoselemani8434
    @bwagizoselemani8434 3 ปีที่แล้ว

    Kwiukwel sisi watanzania hatutaweza kuendelea maana mtu anapewa nafasi ili nnchi ailetee maendeleo Sisi tunaiba nnch unazid kudumaa asa kunafaida gani ya kusoma kwa sisi watanzania km unasoma alafu unakua muizi unauwa nnch kwa kujaza tumbo lako daah watu weusi sio wakuamini kabisa

  • @daudilfrans996
    @daudilfrans996 3 ปีที่แล้ว

    Piga kazi mama tunakukubali wenye chuki wajinyonge

  • @yusuphkassimu227
    @yusuphkassimu227 3 ปีที่แล้ว +2

    Mama fukuza hao wanachukulia poa ukimiya wako

  • @ShomariMoses
    @ShomariMoses 3 ปีที่แล้ว

    KAMA WAPENDA SEASON ZENYE NGUMI ZA KUFA MTU KAANZE NAYO HII NI MOTOOO GUSA HAPA th-cam.com/video/8iAF4H9uv-M/w-d-xo.html

  • @moshinyashebo7981
    @moshinyashebo7981 2 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa na sisi tunalslsmika manispaa ya kinpndoni kupora eneonletu na kulipima kimabavu pamoja na kuvunja nyumba zetu na sense huduma ni salehe hija wa idara ya kilimo tagadhari tudaidie keto hii pamoja na mkuu wakoa kusimamia dials la

    • @moshinyashebo7981
      @moshinyashebo7981 2 ปีที่แล้ว

      Mkuu wa mkos katoa maagizo name kea wananchi juu ya kuondoa migogoro ya ardhi lakini hawa watumishi wa imma ndio chanzo cha kututesa na kupora eneo letu kabavu tunaomba msaada wako zaidi hass kea sarehe hija wa idara ya kilimo manispaa ya kinpndoni ndie alivinja nyumba zetu kea sululu na mondo meals 2015 na tumefuatilia sam's sam's ndio huyo hats sasa amefanya njams ya kupora eneo letu kea mgongo wa manispaa ya kinondoni

  • @iddmbiha1240
    @iddmbiha1240 3 ปีที่แล้ว +1

    Wasetiana haoo mbeya inakujaje wakati mpo mwanza

  • @saidipeace3294
    @saidipeace3294 3 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo sio utendaji kazi sheria mlipitisha wenyewe ubadhilifu wa fedha nikosa kisheria lakini wanaishia kutengua nakesi hakuna hata mimi napiga najuwa hamna kesi zaidi ya kunyan'ganywa kacheo kao msituone wajinga tunatambua unafiki wenu,

  • @benedictkayombo4780
    @benedictkayombo4780 3 ปีที่แล้ว

    Acha kuongea wewe

  • @ShomariMoses
    @ShomariMoses 3 ปีที่แล้ว

    KAMA WAPENDA SEASON ZENYE NGUMI ZA KUFA MTU KAANZE NAYO HII NI MOTOOO GUSA HAPA th-cam.com/video/8iAF4H9uv-M/w-d-xo.html