"SITAKUBALI KUSKIA MTU AMEAMBIWA GLOVES HAZIPO"MTAKA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- KAULI YA RC CHALAMILA YAMUIBUA RC MTAKA "ZITAKUBALI KUSKIA MTU AMEAMBIWA GLOVES HAZIPO"
News
Njombe
Mkuu wa mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amepiga marufuku wataalamu wa afya mkoani humo kutoza fedha wala vifaa tiba kwa mama mjamzito kwa kuwa huduma ya mama na mtoto ni bure na kuwataka kufuata muongozo wa sera ya afya kwa usahihi.
Mkuu wa mkoa chalamila umeisikia hiyo?
Mungu akubariki huo ndio ubinadamu
Huyu ndio kiongozi sasa 😊
Ila kwenye bure ni uongo, labda huko mlipo ni bure. Huku operation 150000 kawaida 50000 hadi 70000, mbaya zaidi na kinachokera mgonjwa anaandikiwa dawa nyingi za kununua halafu anatoka hospital na rundo la dawa. Sasa nauliza madaktari kwa nn wanatanguliza pesa mbele? Kama wanajua mgonjwa si lazima kutumia dawa kwanini wanatusababishia gharama zisizozalazima?
Kwaiyo aliko Chalamila na naaliko Mtaka ni Tanzania tofauti? Iyo imeenda.
Mtaka ww ni RC,ulipaswa kuwa Waziri ila basi tu
Huyu RC Mtaka ana akili sana kwa kuwa anakemea mambo ya kijinga kujitokeza mkoani mwake, tofauti sana na Dar es salaam, HONGERA SANA KWA MTAKA, barikiwa sana mpaka ushangae