Harmonize - Sandakalawe (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 10K

  • @BaronBattles
    @BaronBattles 3 ปีที่แล้ว +36

    Daah hebu gonga liki kama umetazama zaidi ya mara moja🇰🇪🇰🇪✔️

  • @memoryplus8046
    @memoryplus8046 3 ปีที่แล้ว +114

    High School musical ! all the way from Boston Massachusetts 🇺🇸 namkubali uyu jama kinoma yani , he is super genius kwenye good melody and lyrics. Nipeni like ata 10 wanao kubali .

    • @malikzafarani172
      @malikzafarani172 3 ปีที่แล้ว +3

      Kizazi sn br konde gang 4 lf 🇶🇦

    • @sergepromise1773
      @sergepromise1773 3 ปีที่แล้ว +3

      Just near by. Burlington MA

    • @memoryplus8046
      @memoryplus8046 3 ปีที่แล้ว +1

      @@sergepromise1773 I'm in Northampton MA. bro👌🏽

    • @memoryplus8046
      @memoryplus8046 3 ปีที่แล้ว +2

      @@malikzafarani172 mwakahuu watanyooka tu hadi waombe poo! Sio siri mwanzoni nilikua spenzi mziki wa Bongo. Ila wakati wakati nilianza kufatilia nyimbo za huyu jamaa , nikagundua kua anaujuwa mziki kiukweli, mashairi sio yaujanja kama ya bwana mkubwa kule 😂. Tatizo watu wamebakia kulishwa ma tango pori kule na kubaki na chuki tu yakummaliza uyu Mmakonde ila mbino zao zote zisha feli , sasa wameanza kulalama mitandaoni eti ananunuwa views, wanaona aibu kugalagazwa na kijana mdogo 😂

    • @manchesterunitednews1037
      @manchesterunitednews1037 3 ปีที่แล้ว +1

      Niko China goma iiiiii ni goma kueli.konde boy big up

  • @aishamohamed2419
    @aishamohamed2419 3 ปีที่แล้ว +47

    Hii ngoma ni kali sana yafaa kufika 20 million hata zaidi

    • @ericsabato2506
      @ericsabato2506 3 ปีที่แล้ว

      Kaiba views

    • @Fatha_g
      @Fatha_g 3 ปีที่แล้ว

      Wewe Aisha leo nakutoa kwenu uje kwangu

    • @aishamohamed2419
      @aishamohamed2419 3 ปีที่แล้ว

      @@Fatha_g hahaha ww

    • @NillahDyao
      @NillahDyao 3 ปีที่แล้ว

      We Aisha Leo Nina hamuu ya kukuto....

    • @Fatha_g
      @Fatha_g 3 ปีที่แล้ว

      @@aishamohamed2419 mimi tu mwenyewe 😁 njoo kitengela Kenya

  • @WingoAsake
    @WingoAsake 17 วันที่ผ่านมา +1

    Túlio kuja kuona nyimbo 2024 niachie moja apo❤❤❤

  • @zarikassim7738
    @zarikassim7738 3 ปีที่แล้ว +75

    Mimi sio shabiki wa hamoniz lkn wallah kama mtaamini nishasikirizaaa saiv hii mala ya 7 me hapo kwenye sandakarawe tu🐘🐘🐘🐘🐘jeshi kweli jeshiimy foveret song🥰🥰🥰😍😍😍🇹🇿🇲🇬🇲🇬🇲🇬

  • @jr_wes_beeofficialbadkiday4961
    @jr_wes_beeofficialbadkiday4961 3 ปีที่แล้ว +64

    From congo i confirm this banger 🍻🍻🍻🍻🍻🍻 Kinshasa

  • @mesatagirassane4853
    @mesatagirassane4853 3 ปีที่แล้ว +15

    Big hit in Tanzania right now,paka uku Mozambique tunasikia iih Sadakalawe.

  • @emflashtv6211
    @emflashtv6211 3 ปีที่แล้ว +10

    Hii nyimbo kaliii jamn achenii masiala heb iskizee harf ukae masaa mawiliii urudiiii usikie ilivyo na mzuka Amapiano mabyo haijawatokea hapa tz ni kondeboy jeshiiiii pekee

    • @bahatisunga1642
      @bahatisunga1642 3 ปีที่แล้ว

      Wala si mchezo iko vizuri 🎶🎶🎶🎶🎶🎻📻💃💃

    • @badifundi6089
      @badifundi6089 7 หลายเดือนก่อน

      Alafu upige na jbl😂😂

  • @abedkarume9088
    @abedkarume9088 3 ปีที่แล้ว +21

    Tembo /jesh/comandooi Konde gang 4high school music with sweet melody....hakuna wakulipinga hilo

  • @christianasimwe7187
    @christianasimwe7187 3 ปีที่แล้ว +137

    Nice song harmonize wimbo wako wumepigiwa Sana inchini Congo am Christian from Congo I like it

    • @filbertmasanganya3176
      @filbertmasanganya3176 3 ปีที่แล้ว

      Maroboti je

    • @aysharahman3080
      @aysharahman3080 3 ปีที่แล้ว +1

      🔥🔥🔥

    • @alexmwashibili3616
      @alexmwashibili3616 3 ปีที่แล้ว

      Song nzuri ila amenunua views 🤣🤣🤣🤣

    • @christianasimwe7187
      @christianasimwe7187 3 ปีที่แล้ว +1

      Kabla sijakujibu niheri usikilize wimbo wa ibrah haikuhusu

    • @alexmwashibili3616
      @alexmwashibili3616 3 ปีที่แล้ว

      Anunue na like basi nyimbo gani imezipita nyimbo mbili views lakin haiko tending number moja
      Toka jana m4. 5 mpka now kesho utasikia m 5

  • @mwanzachikophe703
    @mwanzachikophe703 3 ปีที่แล้ว +18

    Waaah enyewe ni tembo ,,,gas ikishinda tumia makaa ##kenya hapa

  • @princeallup.m.p2454
    @princeallup.m.p2454 3 ปีที่แล้ว +35

    Namibia 🇳🇦 love KONDE gang 🎙️ ✌️

  • @Listen2zaire
    @Listen2zaire 3 ปีที่แล้ว +55

    Video si lazima iwe trending atakama inaviews wengi...😉😉😊😊😊💯leo tutawatotooo

  • @hasnamussa1020
    @hasnamussa1020 3 ปีที่แล้ว +14

    Ngoma kal xan hiyo mwaka huu wataelewa kidogodogo,xalut kwa jexh👍👍👍👍👍

  • @hermanmwachuya8327
    @hermanmwachuya8327 3 ปีที่แล้ว +16

    Hi ngoma naicheki daily .wanaodai mambo ya views ndo wanatupa hype vizuri.254

  • @annasamwel1463
    @annasamwel1463 3 ปีที่แล้ว +37

    Amapiano has reached TANZANIA. Konde kills it, and he kills it well. Big up dogo langu.

  • @Realebeatz.254
    @Realebeatz.254 3 ปีที่แล้ว +106

    Woooo🙌🙌🙌 Huyu dogo kauwaa walae.
    Shabiki sugu from Kenya 🇰🇪
    #lealtreavo

  • @annugimburablal6928
    @annugimburablal6928 3 ปีที่แล้ว +14

    Yan mpaka sasa sielewi kwa nn uko nba 7 akat uyu Jamaaaa ndo kawazidi wote kwa wafas

    • @aysharahman3080
      @aysharahman3080 3 ปีที่แล้ว

      Mwenyewe sielewi Yani

    • @inspiringmediarecords4391
      @inspiringmediarecords4391 3 ปีที่แล้ว

      Bro chanukeni akili video ilikua 300k views ikapanda ghafla mpka 1.3M alafu ghafla hadi 3.8M alafu likes na trending hazipandi. Hakuna msanii ambaye anafanyiwa hivi ni harmonize na anjella tu😂 audio iko pale pale haisongi

    • @ramlamasika9664
      @ramlamasika9664 3 ปีที่แล้ว

      Siyo lazima awe trending ya juu na views zake zinatoka different countries 🙏🙏🙏🙏

  • @irengabriel3246
    @irengabriel3246 3 ปีที่แล้ว +22

    Hili goma uwiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️in love with that song

  • @burnaboygk2337
    @burnaboygk2337 3 ปีที่แล้ว +40

    Amina akose harmnaize it the best song in tanzania

    • @mohameddek1437
      @mohameddek1437 2 ปีที่แล้ว

      I love Konde boy🥰🤗🔥🧡

  • @ellykemboi1517
    @ellykemboi1517 3 ปีที่แล้ว +40

    Kumbe Konde is also good in Amapiano😍💯💯👊👊💥

  • @NFS-q6w
    @NFS-q6w 3 ปีที่แล้ว +88

    Wakenya mko huku ama bado hamjafika 😅🇰🇪🇰🇪🇰🇪✅✅
    Hormonize all the way 😂❤️❤️❤️

    • @jemymisati3685
      @jemymisati3685 3 ปีที่แล้ว +2

      Tuko kwa wingi

    • @NFS-q6w
      @NFS-q6w 3 ปีที่แล้ว +1

      @@jemymisati3685 ❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥

    • @IBRAHIMELSUBHY
      @IBRAHIMELSUBHY 3 ปีที่แล้ว +1

      th-cam.com/video/d_DoEMJHO7c/w-d-xo.html

    • @kentrixmaganji3993
      @kentrixmaganji3993 3 ปีที่แล้ว +1

      Unatuwakilisha vipoa😂

    • @alikarisa9606
      @alikarisa9606 3 ปีที่แล้ว +1

      Tupo✋

  • @nasilelembeha7624
    @nasilelembeha7624 3 ปีที่แล้ว +38

    big up man more views for you dogo we are following from namibia this good song wapi like zangu jamani

  • @hellenhartley4316
    @hellenhartley4316 3 ปีที่แล้ว +2

    Konde boy ujawahi niangusha good sana

  • @mckevohofficial9919
    @mckevohofficial9919 3 ปีที่แล้ว +94

    Jaman watoto wamtwara mnafujo
    Konde Gang for Everybody 🔥🔥🔥
    Kama unaikubal lebor ya konde music gonga like yako Apo chin 🐘🐘🔥 Noma we

  • @christianasimwe7187
    @christianasimwe7187 3 ปีที่แล้ว +76

    Wafundishe jinsi ya kuimba am Christia from Congo now I am uganda I need it bro

    • @12nyx
      @12nyx 3 ปีที่แล้ว +1

      Sasa yatuhusu vp hapo

    • @mymunamymuna4807
      @mymunamymuna4807 3 ปีที่แล้ว

      Jeshi🔥🔥🔥🔥

  • @ratabanamangana6927
    @ratabanamangana6927 3 ปีที่แล้ว +156

    ALL THE WAY FROM SOUTH AFRICA....THE SONG IS ABOUT TO GO MASSIVE....AMAPIANO TO THE WORLD..

    • @mymunamymuna4807
      @mymunamymuna4807 3 ปีที่แล้ว +2

      Boom

    • @bellaharrietakinyiofficial
      @bellaharrietakinyiofficial 3 ปีที่แล้ว +1

      They should know its not national but international..... In Kenya we blast it full force❤️❤️✨✨✨🇰🇪

    • @veronicanzali4775
      @veronicanzali4775 3 ปีที่แล้ว

      @@bellaharrietakinyiofficial a

    • @florestc3961
      @florestc3961 3 ปีที่แล้ว

      muongo mbongo huyy

    • @marychunga2944
      @marychunga2944 3 ปีที่แล้ว

      @@bellaharrietakinyiofficial madege

  • @henrystanley4077
    @henrystanley4077 3 ปีที่แล้ว +253

    How can a Tanzanian artist make the best amapiano in Africa than the south Africans😘😘😘😘😘love from Nigeria,,,the world of music has changed 🧐

    • @kenneykobola8390
      @kenneykobola8390 3 ปีที่แล้ว +11

      Than south African what are you trying to say, Nigerian please leave south African alone, just enjoy music and stop comparing 🙄🙄🙄🙄

    • @abcminime
      @abcminime 2 ปีที่แล้ว +2

      South Africans are the inventors of amapiano, no one can be better than them. Because we are all copying them if we make amapiano. Copy can never outdo original no matter how good the copy looks. Lets just enjoy the music

    • @marknduatiaunitedfan4686
      @marknduatiaunitedfan4686 2 ปีที่แล้ว +1

      Stop please displaying your ignorance

    • @abcminime
      @abcminime 2 ปีที่แล้ว +2

      @@marknduatiaunitedfan4686 but he is right. Thats a valid question

    • @marknduatiaunitedfan4686
      @marknduatiaunitedfan4686 2 ปีที่แล้ว

      I am sure he doesn't even know more than 5 amapiano artists to even compare.... The levels that south african doesn't even deserve such a question

  • @fadhilisafari6289
    @fadhilisafari6289 3 ปีที่แล้ว +44

    Harmonise ndio usemi apa 254
    All bodabodas song wanacheza ni sandakalawe,, bug up sana bro harmo
    #🇰🇪

    • @kelvintajiri8982
      @kelvintajiri8982 3 ปีที่แล้ว

      👌👌👌💪💪💪 Fanya restart simu ninkutumia 1k 🏄🥳

    • @lavishboy3672
      @lavishboy3672 3 ปีที่แล้ว

      Usemi kwako si kwetu... La sivyo we si mkenya

  • @metnews42
    @metnews42 3 ปีที่แล้ว +29

    Song is fire, amapiano bit is 🔥🔥🔥🔥

  • @phelixonyango6067
    @phelixonyango6067 3 ปีที่แล้ว +189

    Lots of people around the world listen to harmonize including East Africa and they value harmonize......us guys from east Africa have bad blood

    • @impactoelectrical5814
      @impactoelectrical5814 3 ปีที่แล้ว +3

      Sure.....

    • @nancymoraa4374
      @nancymoraa4374 3 ปีที่แล้ว +3

      @@impactoelectrical5814 How can you move from 2.5 to 3.6m in 45 minutes be real accept the fact he bought views

    • @mahmoudmwamba8014
      @mahmoudmwamba8014 3 ปีที่แล้ว +8

      @@nancymoraa4374 decipacito reached 5M in 45minutes....so nothing impossible

    • @impactoelectrical5814
      @impactoelectrical5814 3 ปีที่แล้ว +5

      @@nancymoraa4374 kwani Harmonize ako na fan base ya subscribers wangapi.....iko uwezekano 1.1million subscribers waliangalia Kwa pamoja....

    • @henrystanley4077
      @henrystanley4077 3 ปีที่แล้ว +3

      Not lots of because lots of means few number of but i thought that you could have meant that alot of ...ila you are right by the way...tulisongeshe kwa mwanetu konde kama anajua anajua tu ndio mfalme wa East Africa kwa sasa

  • @oscarowinga1589
    @oscarowinga1589 3 ปีที่แล้ว +40

    Harmonize his is quality music ❤ Diamond platnumz is a business man in the music industry periodddddttttttttt

  • @ntirenganyapascal1836
    @ntirenganyapascal1836 3 ปีที่แล้ว +24

    Jeshii for life 🇨🇩🇺🇬🇳🇴❤️❤️🔥🔥🔥

    • @Directortomwillz
      @Directortomwillz 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/i7K382iylqY/w-d-xo.html

  • @slimcliff_4571
    @slimcliff_4571 3 ปีที่แล้ว +26

    🔥🔥🔥 Imagine a South African On This.🚀

  • @hajimrattorn348
    @hajimrattorn348 3 ปีที่แล้ว +15

    Tujuane tunaofuatria tupo namba ngapi

  • @blackhart9191
    @blackhart9191 3 ปีที่แล้ว +1

    king of harmony.....jeshiiii

  • @fimbo_moto
    @fimbo_moto 3 ปีที่แล้ว +42

    Apparently this is the best song among many trending..

  • @overdoze2542
    @overdoze2542 3 ปีที่แล้ว +106

    Mnachuki kweli ,,na mjiheshimu wengine waache kutumia akili vibaya ,,,respect kondeboy ,,,mtuache sisi maroboti

  • @FIREBWIZE
    @FIREBWIZE 3 ปีที่แล้ว +27

    Leo tufikshe 5m...jeshi forever

  • @stanrockenterprise5108
    @stanrockenterprise5108 3 ปีที่แล้ว +29

    Greatest Amapiano song of 2021 and all time. Keep it up Tembo

  • @realvideos3801
    @realvideos3801 3 ปีที่แล้ว +38

    Love from Uganda🇺🇬🇺🇬

    • @djafro3416
      @djafro3416 3 ปีที่แล้ว

      🤭🤭🤭

  • @topformandy8106
    @topformandy8106 3 ปีที่แล้ว +16

    Soon tutah link up jeshi... Am a dancehall artist from kenya

  • @renathawilbard2593
    @renathawilbard2593 3 ปีที่แล้ว +19

    Huku yanga Mambo hot 🔥🔥🔥🔥, huku 2.1 million, du Asante MUNGU WANGU.

  • @paulojafet7700
    @paulojafet7700 3 ปีที่แล้ว +4

    💪💥💥💥

  • @wamsquare2258
    @wamsquare2258 3 ปีที่แล้ว +18

    ofcoz konde is the greatest "mkanipa na jina mkasema niitwe JESHI"

    • @getrudealamis5682
      @getrudealamis5682 3 ปีที่แล้ว +1

      This is big boss walikuwa wanamfananisha na zuchu

    • @nancymoraa4374
      @nancymoraa4374 3 ปีที่แล้ว

      @@getrudealamis5682 Huyu amenunua views nikiangalia one hour ago ilikua 2.6m sahii iko 3.7 aiiii no trending inamuuza ata

    • @nasoroathumani7094
      @nasoroathumani7094 3 ปีที่แล้ว +1

      @@nancymoraa4374 shi ngapi na wengin weny hela wanunue

    • @godfreylyimo9442
      @godfreylyimo9442 3 ปีที่แล้ว

      @@nancymoraa4374 hahaha mbn wngn hawajanunua jeshi noma bn

  • @sheddyke.
    @sheddyke. 3 ปีที่แล้ว +27

    Jeshiiiiiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💥💥💥🇰🇪🇰🇪💯💯🇰🇪
    Great love from 254
    #Shabikisuguwakondegang

  • @bonkeirakiza3340
    @bonkeirakiza3340 3 ปีที่แล้ว +70

    People said you buy views . you can’t buy views we support u 100%🇺🇸

    • @impactoelectrical5814
      @impactoelectrical5814 3 ปีที่แล้ว +4

      Tell them

    • @isaacmutua7706
      @isaacmutua7706 3 ปีที่แล้ว +3

      Waambie tena hatulali hata Kama harmonize atunjui.

    • @badman9407
      @badman9407 3 ปีที่แล้ว

      He buy views 😂😂 its a fact

    • @m___ck799
      @m___ck799 3 ปีที่แล้ว +2

      @@badman9407 show the evidence!😂

    • @badman9407
      @badman9407 3 ปีที่แล้ว

      @@m___ck799 5m views right ? Top 5 trending 😂😂 think about it

  • @lukenkonde1467
    @lukenkonde1467 3 ปีที่แล้ว +26

    Konde boy for everybody we lili love you man keep the fire burn big 🇿🇲🇿🇲

  • @bithonmacharia9057
    @bithonmacharia9057 3 ปีที่แล้ว +31

    One of the most versatile artist. Jeshi for life

  • @generation30production92
    @generation30production92 3 ปีที่แล้ว +20

    Hata wabane still Jeshi lipo juu
    Konde Gang Ndo Nyumba
    Jeshi we r Together in Evry situation

  • @majigemajige9109
    @majigemajige9109 3 ปีที่แล้ว +13

    Wanyosheeeee wataelewa t K.G number one aahaaaaa jeshiiiii.

  • @justtheway111
    @justtheway111 2 ปีที่แล้ว +3

    So much money in the bank man!!💥💥💥💥💥

  • @djsalazza8779
    @djsalazza8779 3 ปีที่แล้ว +50

    Harmonize big love from somalia

  • @johnsonmushi3392
    @johnsonmushi3392 3 ปีที่แล้ว +56

    Ngoma iko pwoaaa I like it... Don't give up my brother .... We nimkali usisikilize mikuzi we picha kazi hii ngoma wataielewa tuuu

    • @MediaStories01
      @MediaStories01 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/_Z827NiqZQ0/w-d-xo.html

  • @joshuason557
    @joshuason557 3 ปีที่แล้ว +20

    Much respect from 🇺🇬🇺🇬✌️👍💪🏿💪🏿# KONDE gang juu xana

  • @sharifabwamkuu5075
    @sharifabwamkuu5075 3 ปีที่แล้ว +5

    Jeshiii

  • @overdoze2542
    @overdoze2542 3 ปีที่แล้ว +25

    Ni weekendi tunacheza sandakalawe mwendo ni 8g

  • @abassimussa7473
    @abassimussa7473 3 ปีที่แล้ว +22

    Wafinye mzee baba kondegang for everybody jeshiiiiii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @thesmoke595
    @thesmoke595 3 ปีที่แล้ว +46

    Jeshi in the building

  • @briangreatah6180
    @briangreatah6180 3 ปีที่แล้ว +49

    Harmonize is headed in the right direction

  • @noapologymson4638
    @noapologymson4638 3 ปีที่แล้ว +17

    Harmonize is so talented pwa sana🔥🔥😍😍

  • @raphaeldayos9188
    @raphaeldayos9188 3 ปีที่แล้ว +20

    Ambao siku haiwezi kuisha bila kusikiliza Sandakalawe like nyingi kwa Jeshi

  • @pagielashers7136
    @pagielashers7136 3 ปีที่แล้ว +43

    This is HARMONIZE ..... TEMBO MWENYEWE🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @msamanga2277
    @msamanga2277 3 ปีที่แล้ว +2

    Ila wabongo kwakuiba nakubooresha! Mpo vizur. Wanigeria wamekuja na afropop tume wakalisha sasa wazulu wamekuj na amapiano wamesahaulika kabisa

  • @evanyembeke7521
    @evanyembeke7521 3 ปีที่แล้ว +16

    📸📸📸 sandakalaweeeee🎞️🎞️💥💥💥💥

  • @zacknaick2918
    @zacknaick2918 3 ปีที่แล้ว +29

    I appreciate as a #beast doesn't compare himself with a human beings 💯💯💯💯💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @nchangdelphine8219
    @nchangdelphine8219 3 ปีที่แล้ว +32

    Konde music for Cameroonians🔥🔥💃🏾💃🏾🇨🇲

  • @freewallace7155
    @freewallace7155 3 ปีที่แล้ว +7

    Lets be honest an real hii ngoma harmonize kafunika balaa🔥🔥

  • @benardamuga510
    @benardamuga510 3 ปีที่แล้ว +42

    Eti Hermonize kanunia Views 😂😂Wamejuaje kama si Umbea😎😎from Kenya 🇰🇪🇰🇪 Jeshi this is a Banger 💥💥💯👊

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 3 ปีที่แล้ว +17

    Mkenya🇰🇪 mmoja akuje ni Mtooo tooo toooo ni Mtoooo ni Mtooowe out😋😋
    #JESHI🔥🔥🔥🤣🤣🤣🤣

    • @mishikitendo4441
      @mishikitendo4441 3 ปีที่แล้ว +1

      😛

    • @hassanovajunior6972
      @hassanovajunior6972 3 ปีที่แล้ว

      @@mishikitendo4441 Mishi leo nataka nikutoooo nikutooo nikutowe out😋😊😊🤣🤣🤣

    • @mishikitendo4441
      @mishikitendo4441 3 ปีที่แล้ว

      @@hassanovajunior6972 😆😋

  • @singeremmanuel5141
    @singeremmanuel5141 3 ปีที่แล้ว +15

    1•9m🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @shoobtoyeyteyshaahanshah1132
    @shoobtoyeyteyshaahanshah1132 3 ปีที่แล้ว +7

    Wooooooooooow

  • @OmariMndaluOOHME
    @OmariMndaluOOHME 3 ปีที่แล้ว +43

    loving the song from Kenya 254

  • @kageenuschedda9338
    @kageenuschedda9338 3 ปีที่แล้ว +39

    Harmonize is the real simba🔥🔥🔥

  • @josephtunje5829
    @josephtunje5829 3 ปีที่แล้ว +12

    I swear you can't watch this Video once....moto design ya fire🔥🔥🔥

  • @renicokinemo4808
    @renicokinemo4808 3 ปีที่แล้ว +14

    Greatest amapiano song...

  • @bestkingdom8006
    @bestkingdom8006 3 ปีที่แล้ว +186

    Likes za jeshiii hapa....World ting shiiiiit

    • @iamosam
      @iamosam 3 ปีที่แล้ว +1

      Jeshiiiiiiiiii

    • @alwattanchinga
      @alwattanchinga 3 ปีที่แล้ว +1

      th-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/w-d-xo.html

  • @reyneville5015
    @reyneville5015 3 ปีที่แล้ว +15

    and here comes our Bongo music president🔥🔥🔥

  • @cmk_football
    @cmk_football 3 ปีที่แล้ว +59

    Bonge LA ngoma, konde boy big up

  • @epiphanymuindi857
    @epiphanymuindi857 2 ปีที่แล้ว +1

    Jeshiiiiiiiiiiiiiii 🥳✨

  • @samkondeboy2254
    @samkondeboy2254 3 ปีที่แล้ว +39

    Harmonize sai ndio baba lao diamond na team yake ni mudomo 2😂😆😂😆😂😆 harmonize 👊👊👊👊👊 I support you

    • @neymardekutele8452
      @neymardekutele8452 3 ปีที่แล้ว +1

      Unaumwa na akili, endelea kujidanganya

    • @morryjohn8499
      @morryjohn8499 3 ปีที่แล้ว +1

      Kodey boy for everybody

    • @impactoelectrical5814
      @impactoelectrical5814 3 ปีที่แล้ว

      Sure

    • @queensuzybeb9676
      @queensuzybeb9676 3 ปีที่แล้ว

      @@neymardekutele8452 lakini si uko kwa TH-cam channel yetu 😂😂😂😂😂😂

    • @asaa3219
      @asaa3219 3 ปีที่แล้ว

      Mdomo na matusi tu🤸😂

  • @joelkavingulwa5417
    @joelkavingulwa5417 3 ปีที่แล้ว +22

    Harmonize bien,gonga liké kama ume kubali harmonize 🇨🇩🇨🇩

  • @soulmmeletla3872
    @soulmmeletla3872 3 ปีที่แล้ว +76

    This one is already doin wonders in south african dance floor..amapiano is huge here

    • @khamisjuma5046
      @khamisjuma5046 3 ปีที่แล้ว +1

      Sorry brother damodi respect conde genge

    • @charlesmajid1307
      @charlesmajid1307 3 ปีที่แล้ว +1

      Views 344k for one day

    • @fazilmalumalu2113
      @fazilmalumalu2113 3 ปีที่แล้ว +1

      @@charlesmajid1307 did you check well?

    • @shollen
      @shollen 3 ปีที่แล้ว +1

      @@charlesmajid1307 kindly confirm for me. I just saw 1.4

  • @mbasukennedy4718
    @mbasukennedy4718 3 ปีที่แล้ว +5

    Kazi njema #kondegang,karibu earphones zangu zinapasuka

  • @BrylSam
    @BrylSam 3 ปีที่แล้ว +18

    mnavyozidi kufuatilia viewers kuongezeka ndo mnavyozidi kutuogezea viewers 🤣🤣 tunawashukulu sana 👏👏👏

    • @aysharahman3080
      @aysharahman3080 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli alfu baadye wanasema ananunua wakati watu tunashinda humu 🤣

    • @getrudealamis5682
      @getrudealamis5682 3 ปีที่แล้ว +1

      Tunashinda na tuna kesha

    • @impactoelectrical5814
      @impactoelectrical5814 3 ปีที่แล้ว +1

      Hahahah Wambie

    • @isaacmutua7706
      @isaacmutua7706 3 ปีที่แล้ว

      Hahaha

    • @rsautoservice984
      @rsautoservice984 3 ปีที่แล้ว

      Away wote walio hapa ni mashabiki wa mziki mzuri sasa akuna asara tunapata burudani..kwa jeshiiiiii

  • @maryannekwamboka8341
    @maryannekwamboka8341 3 ปีที่แล้ว +20

    Record breaking Harmo😍😍😍😍😍😍😍

    • @mryansoo4217
      @mryansoo4217 3 ปีที่แล้ว

      Ukitaka kujua yale ni maroboti (views) hewa angalia speed yake na positions yake namba 7😂😂😂😂 Hapo konde anajitekenya

    • @BULLETIN254
      @BULLETIN254 3 ปีที่แล้ว +2

      @@mryansoo4217 we ujui lolote mbona ya alikiba jana ilkua namba 2 trending tz na alikua amemshinda diamond views... ongea ka mtu ambae kasoma usiwe mavi

  • @vasnadzeshillah2094
    @vasnadzeshillah2094 3 ปีที่แล้ว +38

    🥰🥰🥰🥰 the song is lit 🔥🔥🔥🔥💯 big up kondeboy ,,, big love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wapi likes za wakenya jameni

  • @walternyakundi5732
    @walternyakundi5732 2 ปีที่แล้ว +4

    Konde u will go far no matter how temptations u will face God bless u and strengthen you more love 💖 from kenya 🇰🇪 +254

  • @lekshonkivuyo7207
    @lekshonkivuyo7207 3 ปีที่แล้ว +33

    This is pretty classic

  • @Kulimagolddrc
    @Kulimagolddrc 3 ปีที่แล้ว +14

    I am satisfied before even to listen 🎧 to this song 🎶 good 👍 job Jeshiiii

    • @mudymussa9003
      @mudymussa9003 3 ปีที่แล้ว

      @ben Official god song

    • @IBRAHIMELSUBHY
      @IBRAHIMELSUBHY 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/d_DoEMJHO7c/w-d-xo.html

  • @ashaherzog4488
    @ashaherzog4488 3 ปีที่แล้ว +27

    Kondeboy to the World 🙌🏾🔥🔥🔥🔥🔥we ❤️ your 🎶 🎶🇰🇪🇦🇹 keep the vibes 🚀 🚀

  • @cathelinemaurid898
    @cathelinemaurid898 2 ปีที่แล้ว +1

    Sadakalawe Amina weeeeeeeee sio poa popoolipoooooo saluti

  • @angejeanboscohakizimana2402
    @angejeanboscohakizimana2402 3 ปีที่แล้ว +17

    C'est toi le ROI,BIG UP

  • @georgebidance1399
    @georgebidance1399 3 ปีที่แล้ว +13

    People hawaelewi this song is a banger🔥🙏🏿

  • @emmymgaya4077
    @emmymgaya4077 3 ปีที่แล้ว +71

    Kamakawa jeshii

  • @mansourmkanakuta6641
    @mansourmkanakuta6641 3 ปีที่แล้ว +4

    Sandakalawe ni 🔥🔥🔥🔥🇹🇿

  • @rafikiboy5525
    @rafikiboy5525 3 ปีที่แล้ว +25

    Konde boy forever 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬nakufam Sana broo

  • @biljinofficial
    @biljinofficial 3 ปีที่แล้ว +25

    Much love 💘 from Somalia 🇸🇴

  • @bsquaredpictures3300
    @bsquaredpictures3300 3 ปีที่แล้ว +17

    Achani wivu my people hii nyimbo nkali Sana kuliko zote both diamond, zuchu new song salute my brother konde gang 254 loves you alot #kondegang #254 #255

    • @impactoelectrical5814
      @impactoelectrical5814 3 ปีที่แล้ว +1

      Wambie

    • @jordplatnumz
      @jordplatnumz 3 ปีที่แล้ว +2

      Kama kalii kwann haiwi namba moja

    • @bsquaredpictures3300
      @bsquaredpictures3300 3 ปีที่แล้ว +1

      @@jordplatnumz haimaanishi kuwa namba mmoja ndio Kali kakangu , yaiza kuwa nambari mwisho Ila ikawa Kali kuliko zote harmonize Ni mkali siku zote @bsquaredpictures #kondegangforlife #254 #255 we love you harmonize tena Sana

    • @abdulhamidmakame3145
      @abdulhamidmakame3145 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwel kak

    • @billbulimu
      @billbulimu 3 ปีที่แล้ว +1

      For real hii ngoma ni kalii

  • @joycekathambi3072
    @joycekathambi3072 2 ปีที่แล้ว +1

    Damn!!! Harmonize your the best in amapiano