ONA BABY ZUCHU NYIMBO YA NANI YAMPA MANAGER MZUNGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 129

  • @WesaJohn
    @WesaJohn 10 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu ampe huyu mtoto uzima na nyota take itang'aa zaidi.

  • @VarentinaSamson
    @VarentinaSamson ปีที่แล้ว +4

    Mimi nampenda sana napenda kumfatilia kwenye move ya pazia❤❤❤

  • @magdalenew.mwanyota5901
    @magdalenew.mwanyota5901 ปีที่แล้ว +13

    Waaaah mazee waeza Shiba sababu ya mtoto tu wachezea ww baba zuchu furaha unayo kweli barikiwa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

    • @JovityMwakingwe
      @JovityMwakingwe ปีที่แล้ว

      ♥️♥️♥️♥️♥️♥️

    • @EdithTelemark
      @EdithTelemark 7 หลายเดือนก่อน

      Jamani Mungu amzidishie kipaji Na afya njema mtoto huyu atimize ndoto zake ameanza kung'ara mapema asaidiwe Na muda Wa kusoma ya darasani. 👍👍👍!!!.

    • @EdithTelemark
      @EdithTelemark 7 หลายเดือนก่อน

      Yani Na tabasamu lake!

  • @ayumasylvia2226
    @ayumasylvia2226 ปีที่แล้ว +9

    Wow my baby zuchu you nailed it, much love from Kenya, keep it up

  • @JuslineJastine
    @JuslineJastine 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana mdg ang uko vzr Sanaa mung aksaidie ufike mbali nakpenda san baby zuchu❤❤❤

  • @emmanuelboniface3504
    @emmanuelboniface3504 ปีที่แล้ว +4

    Mwenyez mungu akujaalie baby zuu, uko vizuri👰👰💯

  • @jindwasam
    @jindwasam ปีที่แล้ว +16

    🔥🔥 great talent my small sister.. keep it up.. much love from 🇰🇪🇰🇪

  • @SumaiyaMwanjile
    @SumaiyaMwanjile 11 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤nampndaga xaaan

  • @kdv6959
    @kdv6959 ปีที่แล้ว +8

    Frm kenya tukupenda sana bby zuchu

    • @rinaleizaanyango2580
      @rinaleizaanyango2580 ปีที่แล้ว +1

      Unampenda sio tunampenda aaah 😂😂bt kako sawa

    • @Maimunasimon
      @Maimunasimon 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@rinaleizaanyango2580mkum a ww

  • @AngelikaKambanga
    @AngelikaKambanga ปีที่แล้ว +4

    Anaweza uyu mtoto mungu amuongeze na kipaji chake

  • @lindalove8634
    @lindalove8634 ปีที่แล้ว +3

    God bless Baby zuchu unafika mbali

  • @FatumaDuka
    @FatumaDuka 3 หลายเดือนก่อน

    Zuchu uko vizuli sana mungu akujalie iko ndo kipaj
    ❤❤❤ halibu kilanjelanje

  • @FlorensiaMasele-rl9eh
    @FlorensiaMasele-rl9eh ปีที่แล้ว +3

    Baby zuchu namkubali sana💓💓💓

  • @AdaNYAKISINDA
    @AdaNYAKISINDA 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda sana ila mshike sana Mungu Ili akusaidie

  • @y5y5prime58
    @y5y5prime58 ปีที่แล้ว +1

    Mtot uyu Mung akupe maisha marefu ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 ปีที่แล้ว +5

    Umeshaupiga mwingi baby girl❤

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 ปีที่แล้ว +5

    Mwanangu mpendwa

  • @MwakaMwadzombo
    @MwakaMwadzombo 5 หลายเดือนก่อน

    Safi sana baby zuchu nakupenda sana mm kutoka Kenya ♥️♥️♥️♥️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦

  • @BeatriceJosephine-no3oc
    @BeatriceJosephine-no3oc 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera ndo kipaji chako

  • @michaelodhiambo6121
    @michaelodhiambo6121 8 หลายเดือนก่อน

    tunakupenda sana may GOD bless you❤❤👍👍👌👌👌

  • @DebrahVike
    @DebrahVike 2 หลายเดือนก่อน

    Keep it up

  • @DamaDama-s6q
    @DamaDama-s6q ปีที่แล้ว +6

    Mungu azidi kumubari huyu mtoto

  • @AbubakarBayubahe
    @AbubakarBayubahe 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde kipezi zuchu nakupenda❤❤❤❤

  • @millycentmuhonja8836
    @millycentmuhonja8836 ปีที่แล้ว +2

    Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 ปีที่แล้ว +2

    Love You So Much ❤❤❤Form Qatar 🇶🇦

  • @YvngMoni
    @YvngMoni ปีที่แล้ว +2

    Much love baby zuchu❤ from Kenya

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 ปีที่แล้ว +1

    Maasha Allah Bby Zuchu Tunakupenda Sana Pamoja Na Mmako Zuchuu Kweli Umerithi

    • @HadijaMmwaro
      @HadijaMmwaro ปีที่แล้ว

      Sio mtoto wa zuchu huyu

  • @user-zj8fe9lynne
    @user-zj8fe9lynne ปีที่แล้ว +3

    From Kenya we love more.... ❤

  • @hosealebric
    @hosealebric 3 หลายเดือนก่อน

    Mwannang kwel uk vxr god blexx u

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba 6 หลายเดือนก่อน

    Wale wazazi wanao bagua watoto kwa kuwapa kipaombele watoto wa kiume na kuwaponda wa kike nadhani hapa wamepata somo yakwamba mtoto ni mtoto haijalishi wakike au wakiume.Kikubwa kwako ni kumshukuru Mungu kwakukupatia mtoto.

  • @DavineGesare
    @DavineGesare 9 หลายเดือนก่อน

    You are so talented may God bless you zuchu

  • @emmanuelboniface3504
    @emmanuelboniface3504 ปีที่แล้ว

    Mungu akujaalie ndoto zako, baby zuu

  • @neemabaya2445
    @neemabaya2445 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana baby zuchu❤

  • @prospermtui9036
    @prospermtui9036 3 หลายเดือนก่อน

    Waooooooh congratulating💓💓💓💓💓💓🇧🇼 Tanzania😊

  • @NyiramatwaraPascasie
    @NyiramatwaraPascasie 6 หลายเดือนก่อน

    Murakoze

  • @EmmaDamas-rz2bw
    @EmmaDamas-rz2bw 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde baby zuchu ❤❤❤

  • @MarthaGodluck
    @MarthaGodluck ปีที่แล้ว

    God bless u babyzuchu❤❤❤❤

  • @Maria-dg6ik
    @Maria-dg6ik 6 หลายเดือนก่อน

    Mashallah 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @AminaSoud-s3r
    @AminaSoud-s3r 7 หลายเดือนก่อน

    Nakupend Sanaa baby zuu

  • @MchinaSeme
    @MchinaSeme 7 หลายเดือนก่อน

    Mm kila nikimwona baby zuchu nalia kwa furaha anaweza huyu mtoto jaman

  • @MsanzuSaid-do9lv
    @MsanzuSaid-do9lv ปีที่แล้ว

    Twakupenda mamaa Kenya mombasa twakusubiri

  • @RamadhaniKristina
    @RamadhaniKristina ปีที่แล้ว

    Upo vzr sana❤

  • @mirajipandu
    @mirajipandu 7 หลายเดือนก่อน

    mungu akulinde na wabaya

  • @simplesense6559
    @simplesense6559 ปีที่แล้ว +2

    I love baby zuchu❤🎉😢😮

  • @JulietAkasi
    @JulietAkasi 3 หลายเดือนก่อน

    Kenya pia ingekuwa kama Tanzania ingekuwa poa,lakini wetu wa kenya anafuraha hata kidogo ni kukasirika tu kama bundi

  • @joyce2635
    @joyce2635 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana baby zuchu ❤❤❤

  • @GizibetiWilison
    @GizibetiWilison 3 หลายเดือนก่อน

    Daar mpaka raah HONGELA SANA

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 ปีที่แล้ว +2

    Zuchu mtoto hela ya kutunzwa angesanya mwenyewe ndiyo ngoma inanoga

    • @rehemakanyere4188
      @rehemakanyere4188 ปีที่แล้ว

      Huyo anaonekana ana tamaa atachukua tu hela kdg

    • @Maimunasimon
      @Maimunasimon 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@rehemakanyere4188😁😁😁

  • @IragiPascal
    @IragiPascal 7 หลายเดือนก่อน

    Kweli mtoto una tisha ndunia nzima

  • @SarahBanza-q6h
    @SarahBanza-q6h 6 หลายเดือนก่อน

    🎉❤❤❤❤❤❤❤❤ vraiment

  • @MwanapiliAthumani-zp1bs
    @MwanapiliAthumani-zp1bs 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu awe pamoja nawe mwanangu

  • @HelenaJames-g3b
    @HelenaJames-g3b ปีที่แล้ว

    Hongera❤ubarikiwe

  • @dorcasmueni2290
    @dorcasmueni2290 ปีที่แล้ว +1

    " duh" mtoto ameweza

  • @PrimroseDube-m6e
    @PrimroseDube-m6e 5 หลายเดือนก่อน

    I like you babe you make me happy every time

  • @TekoAmah-w1n
    @TekoAmah-w1n 4 หลายเดือนก่อน

    J'aime baby zuchu

  • @CalmBarnOwl-lc7fn
    @CalmBarnOwl-lc7fn 8 หลายเดือนก่อน

    God bless you baby ❤❤

  • @SaraphinaSamweliSamwelli
    @SaraphinaSamweliSamwelli 9 หลายเดือนก่อน

    Ongera zuchu baby

  • @صفوالغامدي-ل7ط
    @صفوالغامدي-ل7ط 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉zuchu

  • @elizabethnguma3379
    @elizabethnguma3379 ปีที่แล้ว

    😂😂wamama mnao toa mimba muache wivu😂😂

  • @annjerome
    @annjerome ปีที่แล้ว +1

    Poa sana baby zuchu

  • @VarentinaSamson
    @VarentinaSamson ปีที่แล้ว

    Namuombea kwamungu azid kumtunza kiroho nikimwili nakiakilizaid

  • @JamesPhidel
    @JamesPhidel 8 หลายเดือนก่อน

    God bless you

  • @MwemeziFrance
    @MwemeziFrance 7 หลายเดือนก่อน

    Waoooooooo❤❤❤❤

  • @Thebernafamily
    @Thebernafamily ปีที่แล้ว +16

    Kama munapenda baby zuchu kindly pitieni kwangu

    • @LydiaChirande
      @LydiaChirande ปีที่แล้ว +1

      Miminninapenda zuchu mtoto nitumie phone number yake

  • @kamarhelo
    @kamarhelo ปีที่แล้ว +4

    Mbona mzungu mwenyew anaonekana kafilisika😂😂😂

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 ปีที่แล้ว +3

    Kwenye maokoto upo vizuli😅

  • @denotheactor
    @denotheactor ปีที่แล้ว +1

    Nice content 🥰

  • @WesaJohn
    @WesaJohn 10 หลายเดือนก่อน

    Nyota yake in'gare zaidi sana.

  • @JamesPhidel
    @JamesPhidel 8 หลายเดือนก่อน

    Hapo baby zu unatisha

  • @Thebernafamily
    @Thebernafamily ปีที่แล้ว +1

    Watu wa nguvu kindly pitieni kwangu

  • @manyasigonga6589
    @manyasigonga6589 ปีที่แล้ว

    Keep it bby gal❤❤

  • @JovityMwakingwe
    @JovityMwakingwe ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @CaroyishWehu
    @CaroyishWehu 8 หลายเดือนก่อน

    Mtoto wèee

  • @DirectortristanKevin_POKOTTV
    @DirectortristanKevin_POKOTTV ปีที่แล้ว +2

    Amazing 😍

  • @carolinenyansimera2822
    @carolinenyansimera2822 11 หลายเดือนก่อน

    Woow zuchu

  • @KerenWanjiku-p6w
    @KerenWanjiku-p6w ปีที่แล้ว

    I love you 💞💞❤️

  • @UpendoMwakalobo
    @UpendoMwakalobo 7 หลายเดือนก่อน

    May god bless you baby zuchu

  • @JamesPhidel
    @JamesPhidel 8 หลายเดือนก่อน

    🎉❤😅waooo,

  • @KokoChanel-i6r
    @KokoChanel-i6r ปีที่แล้ว +1

    Nice 😊

  • @PascaliaAnyango-l3m
    @PascaliaAnyango-l3m ปีที่แล้ว

    Uyo mtoto ako pwa

  • @jenipherkessy5768
    @jenipherkessy5768 ปีที่แล้ว

    Nashangaa mzungu aonekan

  • @ndayisengalydwine8939
    @ndayisengalydwine8939 ปีที่แล้ว

    Love from Oman ❤❤❤❤❤

  • @MitchelAkoth
    @MitchelAkoth 9 หลายเดือนก่อน

    Zuchu na Jenifer

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 ปีที่แล้ว

    Baba zuchu ashaanza kung'aa jmn

  • @kidatokassim7616
    @kidatokassim7616 ปีที่แล้ว +1

    Mzungu kaka kupora mtoto wa watu

    • @mariamnjama3963
      @mariamnjama3963 ปีที่แล้ว +1

      No mm nlipata from Canada na poem za shule tu nkalpiwa Hadi kumalza secondary mzungu akaaga dunia😢

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 ปีที่แล้ว

    Kafanana na bbke

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba 6 หลายเดือนก่อน

    Kingine hapo serikali imsaidie huyo mtoto apatiwe huangalizi wa serikali na sio huyo Mzungu ambae amejitambulisha kama meneja wake, Meneja wake awe baba yake mzazi na sio huyo mzungu hakuna kitu cha bule mzungu kaishaiona fursa ndiomaa mnamuona anachangamka hapo.

  • @salinababe6894
    @salinababe6894 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ChadrackMupenda-l6j
    @ChadrackMupenda-l6j 5 หลายเดือนก่อน

    Where is hr mother??

  • @RusyJackson
    @RusyJackson ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @paushiodilo
    @paushiodilo ปีที่แล้ว

    🎉🎉🎉❤❤❤❤ 1:35 1:38

  • @ESTHERJAMES-x8w
    @ESTHERJAMES-x8w ปีที่แล้ว

    'nampend xan

  • @maureenmrembo4898
    @maureenmrembo4898 ปีที่แล้ว +2

    ❤❤❤❤

    • @JoyceMapigano
      @JoyceMapigano ปีที่แล้ว

      Pongezi baby zuchu Mungu akulinde na azidi kukikuza kipaji chako

  • @regybaby9067
    @regybaby9067 ปีที่แล้ว

    Baby zuchuu ❤❤❤❤❤

  • @paushiodilo
    @paushiodilo ปีที่แล้ว

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @OripaStevenmosha
    @OripaStevenmosha ปีที่แล้ว

    😅😅

  • @Mbulunaweji
    @Mbulunaweji ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ventomuteba1158
    @ventomuteba1158 ปีที่แล้ว

    sending love from 🇿🇲🇿🇲

  • @sultanaswaleh8892
    @sultanaswaleh8892 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂❤❤❤

  • @hajihussein8452
    @hajihussein8452 ปีที่แล้ว +1

    😂😂